Uko Sahihi Mh Kwajima nami Niko Hivo hivyo Sikubariani Nilisrma Watu Tuendelee Kuabudu Na Kusifu Shetani Huyu Anataka Aabudiwe Yeye.Mimi Sikubari Hats hizo Barakoa Misha Sema Sito Zivaa Kamwe.Watu Wana nibeza.
Unaweza juwa kidogo Gwajima. Ila nita wa saidia kidogo. Ugonjwa wa Corona uliwahi kukuwa myaka inayo pita. Sasa waliibadili jina kwa sababu isije ku fanana nahio iliopita. Ndio sababu waliipatia jina Covid 19. Asante.
Gwajima kwaunyenyekevu nitapata je vitabu vyako huku tanga korogwe vijijini??? Nakukubali. Kupigwa mawe na wengine usiogope kwani mti wenye matunda ndoupigwao mawe
@@georgesteven5185 who talked about money on that video # what you here there Is all about money # it seems you don't have money Just be careful full with money
Kwanza ni AIBU Mtumishi wa Bwana kujibu Maswali ya Kisayansi yasiyo Fani yake. Ni AIBU kujibu uongo eti Covid19 ni Corona Virus December 19. Na hao Waandishi hata kujiongeza kielimu hawawezi wanasifia Majibu ya Uongo. Kazi ya Mtumishi wa Mungu si kueleza Mambo ya kidaktari usiojua undani wake. Nilizani Mtumishi wa kweli wa Mungu angeeleza jinsi ya kuomba Ugonjwa Uondoke.
@@athanaskitime1484 Mimi siwezi kujibu kitu kwenye Fani isiyo yangu. Tangu lini Covid 19 ikaitwa Co vi December 19???. Hata kuGoogle huwezi kabla kujibu kwenye Media???
@@judymasunzu7517 kiwango chako Cha elimu kinakutosha kuelewa anachosema mch.sio kosa lako mama.mana ungeelewa kuwa uwezo wako mdogo usingejibu Mana wewe pia sio fani yako huku
Hiyo sheria ilitolewa Kwa wanawake wa kipindi hiko wq kirbrania baada ya kuonekana kujivuna nq kufanya mambo ambayo hayafai ibadani na kuacha kumtukuza Mungu ndipo wqkapigwq marufuku lakini now wanaonekana kuwa baraka ndani ya kanisa na wanaweza kushika nafasi mbalimbali
Sasa wewe mzeee mbona unapotosha baadhi ya vitu kuna umuhimu wakujikinga mtumishi jamani watu wasipende kuchimbia vichwa kwenye mchanga na kusahau kiwiwili nje lazima utanyeshewa tu
Si Kwa kujiamini huku Gwajima!!? Yaani bila AIBU unajibu na kusisitiza eti Covid. 19 ni Corona Virus December 2019. Acha kujibu Masuala ya Kidaktari wewe si Doctor ungewajibu hivyo kuliko kujiabisha Hadharani.
Mantik ya mahojiano na Mch. Gwajima inaeleweka sana kama alivyojibu maswali yaliyo mengi hapo juu ni kumuunga mkono Mh. Magufuli na kutokumvunja moyo Raisi wetu kwa maamuzi yake juu ya Taifa la Tanzania dhidi ya viongozi wa nchi zingine wanao dhihaki na kubeza maamuzi ya raisi wetu. Sasa katika swala la CORONA VIRUS DISEASE 2019 sio big deal kihivyo kwake yeye Gwajima, yawezekana namna alivyokielezea kirusi cha corona umepata uelewa mzuri tofauti na ulivyowahi kusikia mahali pengine, halafu dalili za makosa madogomadogo kama hayo ni ili utambue hata yeye Gwajima ni binadamu kama wewe japokuwa yeye anauelewa mkubwa tofauti na wengine ndio maana akawepo hapo kuwakilisha, lasivyo tungekusikiliza wewe basi katika interview. NB 1: Tusipende kutafuta makosa madogo madogo ili tu kutaka kuyumbisha ujumbe ama lengo la habari muhimu kwetu kama Taifa tupende kuwa na nguvu ya umoja sisi kama Taifa na hao viongozi ni kama viwakilishi vyetu kwa dunia hapo tutaheshimika zaidi... NB 2: Yeye hajajiaibisha kwasababu hata walio ugundua na kuupa ugonjwa huo jina hilo kwakuwa wao ni waelewa saana mbona hawajatoa dawa kwa dunia mpaka leo??? interview ni mtihani kama mitihani mingine ingawa hapo unajibu kwa uelewa wako mwenyewe sasa hizo marking skim zako subiri utazitumia ukipata nafasi nawewe...
hongera xanaaa mchungaji ngwajima kwa kusimamia kweli.chadema wamekula vya wa2.pia wamepoteza uelekeo
Uko vizuri prophet gwajima
oyaaa
Barakoa Sio tiba Tiba Ni Yesu Pekee
Nenda amana bila barakoa.ukirudi ulete hayo maneno.
Uko Sahihi Mh Kwajima nami Niko Hivo hivyo Sikubariani Nilisrma Watu Tuendelee Kuabudu Na Kusifu Shetani Huyu Anataka Aabudiwe Yeye.Mimi Sikubari Hats hizo Barakoa Misha Sema Sito Zivaa Kamwe.Watu Wana nibeza.
hongera prophet Gwajima
Well done Prophet 🙏
Hicho kinanda kinapigwa kina distract sana. Asante baba Gwajima.
Nakukubali sana Gwajima
Kama mmeamua kumwimbia Mungu mwimbien katika roho na kweli sio kuuza sura hapo
Nakukubali Sana Askofu
Unaweza juwa kidogo Gwajima. Ila nita wa saidia kidogo. Ugonjwa wa Corona uliwahi kukuwa myaka inayo pita. Sasa waliibadili jina kwa sababu isije ku fanana nahio iliopita. Ndio sababu waliipatia jina Covid 19. Asante.
Gwajima kwaunyenyekevu nitapata je vitabu vyako huku tanga korogwe vijijini??? Nakukubali. Kupigwa mawe na wengine usiogope kwani mti wenye matunda ndoupigwao mawe
Homem de Deus ' voçe mi edifica o bastante Gwajima
well done mtumishi wa mungu
Aameni man of god
Bishop Gwajima is the Greatest Man of God
@@georgesteven5185 oh You seems to know more than Me # drop ur points
@@georgesteven5185 who talked about money on that video
# what you here there Is all about money
# it seems you don't have money
Just be careful full with money
powerful🙌
Sidhan kama akina Hamad ni mhimu kucoment maana naona hawaelewi kinachoendelea na kucoment pumba
Yaan nakupenda San wewe Bab gwajima
Mungu anacma.ole wao wachungaji wanao wapoteza kondoo wangu.yeremia 23:1
Ndo ulichokariri kwenye vitabu vya dini za watu kazi umbea tu
@@anordsakaya9852 hahahahahaaaaaaa umemjibu vyema sana,nahapo atakwambia kafunga wakati anaongea asichokijua
Safi sana uko sahihi sana
Nimekuelewa
Amina
Mbarikiwe
👏👏👏👏👏👏👏
Mungu hushuka katika sifa mkimwuabudu kwa Roho ya kweli
Apàp
COVID 19: CoronaVirus Disease - 2019, sio kama alivyotafasiri mtumishi wa Mungu kuwa COVID 2019: Coronavirus December 2019
Hivi maana yake ni nini?
Mmejazana studio na barakoa hamjavaa, acheni kuzingua!
🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞
Mchungaji umenena vyema
Huyu keifa anayesema America na sio amelika na darasa lake la saba atamwambia nn Gwajima ,matako kweli keifa
Kwanza ni AIBU Mtumishi wa Bwana kujibu Maswali ya Kisayansi yasiyo Fani yake. Ni AIBU kujibu uongo eti Covid19 ni Corona Virus December 19. Na hao Waandishi hata kujiongeza kielimu hawawezi wanasifia Majibu ya Uongo. Kazi ya Mtumishi wa Mungu si kueleza Mambo ya kidaktari usiojua undani wake. Nilizani Mtumishi wa kweli wa Mungu angeeleza jinsi ya kuomba Ugonjwa Uondoke.
Wewe ulosoma eleza unachokijua, Gwajima sio kilaza huyo ni MTU aliyesoma Na ana Ufahamu mkubwa tofauti Na wewe, alafu jifunze kuchunga chako..
@@athanaskitime1484 Mimi siwezi kujibu kitu kwenye Fani isiyo yangu. Tangu lini Covid 19 ikaitwa Co vi December 19???. Hata kuGoogle huwezi kabla kujibu kwenye Media???
@@judymasunzu7517 kiwango chako Cha elimu kinakutosha kuelewa anachosema mch.sio kosa lako mama.mana ungeelewa kuwa uwezo wako mdogo usingejibu Mana wewe pia sio fani yako huku
@@athanaskitime1484 achana nae huyu dada,bada ya kurudia mtihani akaanza kujuwa mapungufu ya watu
Sawa. Corona Covid December 2019. Ugonjwa WA tarehe.
Hadi raha kwamba covid 19 kwmba d ni desemba da
Kwaya mpya
Bwanaaa asifiwe watumishi hatua 12 jamani askofu hajazimaliza
Siyo Malekani ni Marekani
VAENI BARAKOA VIPI HAWA
Vaa Wewe mwenye hofu. Maana kila roho itarud kwa baba kwa siku na wakat wake
😂
Najiuliza et kw nn mwanamke anakuwa mchungaji? naomba nijibiw kimaandiko kwa anae jua
Hiyo sheria ilitolewa Kwa wanawake wa kipindi hiko wq kirbrania baada ya kuonekana kujivuna nq kufanya mambo ambayo hayafai ibadani na kuacha kumtukuza Mungu ndipo wqkapigwq marufuku lakini now wanaonekana kuwa baraka ndani ya kanisa na wanaweza kushika nafasi mbalimbali
@@anordsakaya9852 Amina mtumishi barikiw
@@anordsakaya9852 ila vp mchungaji mwanamke akiw dalini maandiko yanasema anakuw najisi vp atasimameje madhabahuni?
@@mwitikageofrey6175Munngu mwenyewe alishatamka katika agano jipya kuwa alichokiumba yeye sio najisi kwa namna au hali yoyote
@@anordsakaya9852 majibu yako vizuri sana
Sasa wewe mzeee mbona unapotosha baadhi ya vitu kuna umuhimu wakujikinga mtumishi jamani watu wasipende kuchimbia vichwa kwenye mchanga na kusahau kiwiwili nje lazima utanyeshewa tu
Kwani hukusikia aliposema kuwa serikali kupitia wizara ya afya imetoa mwongozo wa kujikinga? Ckiliza kwa makini mkubwa then utoe comment
uyu jamaa kapawa ivi sasa sadaka zimepugua makanisani
Huyo ni muongo mbona chadema wapi bungeni
KasikiliE vzr alisemaje hakusema bungeni kipindi hichi but next election
@@fadhiliandrew2186 hajielewi huyo jamaa achana nae
Si Kwa kujiamini huku Gwajima!!? Yaani bila AIBU unajibu na kusisitiza eti Covid. 19 ni Corona Virus December 2019. Acha kujibu Masuala ya Kidaktari wewe si Doctor ungewajibu hivyo kuliko kujiabisha Hadharani.
Mantik ya mahojiano na Mch. Gwajima inaeleweka sana kama alivyojibu maswali yaliyo mengi hapo juu ni kumuunga mkono Mh. Magufuli na kutokumvunja moyo Raisi wetu kwa maamuzi yake juu ya Taifa la Tanzania dhidi ya viongozi wa nchi zingine wanao dhihaki na kubeza maamuzi ya raisi wetu.
Sasa katika swala la CORONA VIRUS DISEASE 2019 sio big deal kihivyo kwake yeye Gwajima, yawezekana namna alivyokielezea kirusi cha corona umepata uelewa mzuri tofauti na ulivyowahi kusikia mahali pengine, halafu dalili za makosa madogomadogo kama hayo ni ili utambue hata yeye Gwajima ni binadamu kama wewe japokuwa yeye anauelewa mkubwa tofauti na wengine ndio maana akawepo hapo kuwakilisha, lasivyo tungekusikiliza wewe basi katika interview.
NB 1: Tusipende kutafuta makosa madogo madogo ili tu kutaka kuyumbisha ujumbe ama lengo la habari muhimu kwetu kama Taifa tupende kuwa na nguvu ya umoja sisi kama Taifa na hao viongozi ni kama viwakilishi vyetu kwa dunia hapo tutaheshimika zaidi...
NB 2: Yeye hajajiaibisha kwasababu hata walio ugundua na kuupa ugonjwa huo jina hilo kwakuwa wao ni waelewa saana mbona hawajatoa dawa kwa dunia mpaka leo??? interview ni mtihani kama mitihani mingine ingawa hapo unajibu kwa uelewa wako mwenyewe sasa hizo marking skim zako subiri utazitumia ukipata nafasi nawewe...