RIP Mr. Pombe, you were a special kind! ❤🙏🏿 You are also very anointed Bishop Gwajima. We pray always for God to keep you and keep using you to minister to us and reach lost souls 🙏🏿🙏🏿❤🙌🏾
Na hii injili iendelee adi Yesu atakaporejea,na roho wa Mungu atutie nguvu ya kufuata njia zifaazo🙏🙏 Mungu akutie nguvu na akulinde mtumishi na walio chini yako na walio juu yako.Glory to God almighty🙌
Asante Bishop wameumbuka, haibu na hiwapate hao. Barikiwa Bishop tumuombee president wa Tz. Sana sana. ATA wewe we will pray for you and your family pia family ya Ufufuo wote Duniani Amen
Mungu anajidhirisha, tulifunga na kuomba kwa ajili ya taifa letu kuna miujiza mingi tu ambayo Mungu ataionyesha na dunia nzima Itabaki midomo wazi. God is powerful but human being is powerless.
Aisee Muacheni MUNGU aitwe MUNGU nilikuwa nasoma mambo ya mpinga kristo na nimekuja ktk channel hii nakutana na neno hili tena, Ahsante Mungu kumbe ni kweli mpinga kristo kaingia ahsante YESU nimeuona mkono wako leo natamani na watu wote wajue hili daah
Tupo pamoja mtumishi wa Mungu japo wapo wasiokuelewa lakn nakumbuka neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuz ila sisi na wewe tunao okolewa ni uzima wa milele songa mbele
Haikaely Mkongo His mother died last year amemfufua He is using physiological manipulation to get people like you to believe what he saying, you are still sleeping you need a slap on your bottom to wake you up
Yohana 14;15 Mkinipenda mtazishika amri zangu. 1Yohana 5:2-. Katika hili twajua ya kwamba twawapenda watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu na kuzishika amri zake.Kwa maana huko ndiko kumpenda Mungu kwamba tuzishike amri zake, wala amri zake si nzto
Magonjwa mengi yametengenezwa kutumaliza,lakn yalishindwa kwa nchi yetu,mfano ebora,nzige washambulia mazao,wanaishia Kenya,na kukimbia,corona pia,Yan mungu anatupenda Sana wa tz,sema ss ndo hatujui kumshukuru,Kuna watu wanataman kuishi ktk taifa hili lakn wanaikosa hyo nafac,watanzania tumshukuru munngu ktk haya.
Rafiki yesu mwenyewe hakufundisha watu hicho peke yake utaona mala mpanzi mala konde mala mwanampotevu mala wanawali kumi mala mpumbavu wewe Luna 12:20 nasema hayo inawezekana haujui gwajima ninani chombo hiyo ni chombo Kristo hatari duniani piga kazi baba yetu
@@jacksonmushi3595 kwani shetani hawezi kumtumia papa mtakatifu? Muamini Mungu tu,kwani nchi hizo takatifu si shetani ndo anazitafuta? Ushoga haupo Italy ? Papa mt.hayupo pale?Yeye mwenyewe anaweza asijue hili.Mungu azidi kutuimarisha ktk imani tumuamini yeye katika roho na kweli
Kwaiyo were ndounatuwa uwezinilazimisua Mimi nimezaliwa Romani katoliki na nitafia romanikatoliki namwamini mungu kwazeebulangu siaminiulokole kwani uweziokoka ukiwa duniani unaokoka ukiwa tayari Usha yaacha yandunia nakwana kuungana na Mama bikira Maria ili atufikishe kwamwanae yeyu kwaiyo uweziniambia kitu nikuelewe mungu akusamee sanavmpendwa katika jina la mungu baba mwana na roomtakatifu amina
wata elewa tyuu Baba wasiyo elewa Yesu yupo kwetu wote tunao muamini na ametupatia umeme na moto wa mbingu na nguvu zake kutoka kwenye kiti cha enzi mbinguni.
Mungu anakwenda kuinua kizazi kingine cha watumishi Ambao watahubiri injili ya Msalaba na sio Injili ya Mafanikio na Siasa Kinakuja kizazi kingine cha watumishi Ambao Mungu atAwatumia kwa utukufu wake... Maana kuna watumishi Walianza vizuri lakini wanataka kumaliza Vibaya
Sunday Laws zinakuja ndo mwisho wa Mchezo wa Mfumo wa Roma, Roma kihistoria sio kanisa Ni Kingdom(Ufalme) ulitawala 508-1798 ukaanguka, ukaibuka kidini ili kutafuta kutawala kiserikali kwa Mara ya pili, kwahiyo watu msome ,Google inaukweli na Uongo, search mtachambua, ukweli unajulikana tu
Nimekuona Umesema baba mtakatifu ukaweka "quotation" ukahusisha maneno ya papa na "upinga ukristo" Hapo ndo mnaponiangusha unapoacha habari ya injiri na kuanza kutengeneza hoja ya kuponda wengine huo sio msingi wa kristo na mafundisho yake!
RIP Mr. Pombe, you were a special kind! ❤🙏🏿
You are also very anointed Bishop Gwajima. We pray always for God to keep you and keep using you to minister to us and reach lost souls 🙏🏿🙏🏿❤🙌🏾
Na hii injili iendelee adi Yesu atakaporejea,na roho wa Mungu atutie nguvu ya kufuata njia zifaazo🙏🙏 Mungu akutie nguvu na akulinde mtumishi na walio chini yako na walio juu yako.Glory to God almighty🙌
Asante Bishop wameumbuka, haibu na hiwapate hao. Barikiwa Bishop tumuombee president wa Tz. Sana sana. ATA wewe we will pray for you and your family pia family ya Ufufuo wote Duniani Amen
Kwa kweli Faith
Oooh Jesus. Ahsante sana askofu. Na president John wa Tanzania mungu akupe hekima maradufu.
Amen
Pastor Gwajima and Your Fellow Pastor Kakobe, You Are the True Soldiers of Jesus Christ... Massive Respect
Kila Mchungaji ameitwa kwa kusudi lake lakin huyu ameitwa kwaajili ya wakati huu he is the Man of highest God
Mungu anajidhirisha, tulifunga na kuomba kwa ajili ya taifa letu kuna miujiza mingi tu ambayo Mungu ataionyesha na dunia nzima Itabaki midomo wazi. God is powerful but human being is powerless.
Amen
Tanzania kiboko MUNGU ibariki sana Tanzania mbariki Rais wetu na watumishi wanaosema kweli
Nikiwa kenya nasema Mtumishi wa mungu songa mbele na neno la mungu .Sisi tayari tumetumwa ndani hatuongei lakini nakufuatilia kwa makini sana
The man and half Mungu wa Mbinguni aendelee kukulinda🙏🙏
docta Gwajima, miaka 5 baadae apewe uprofesa.
jitahidi kufanya tafiti na kuleta majibu fulani na Bwana unaemtumikia atakuweka juu zaidi katika Injili
Mi naona hata uraisi anafaa
Aisee man of God napata vitu vipya kila nikikusikiliza ubarikiwe mno
Chombo ya Bwana...safi sana baba ninakuelewa ninakuamini ktk Kristo Yesu
Huyu mtumishi ni msomi 👍👍
bishopu hakika wewe ni mtumishi ninayekuamini mungu azidi kukupa afya njema nimebarikiwa na maombeziyako yamenibariki sana nasadiki kusema ameni
Bishop your are real bishop may God Protect you and give you long life
Aisee Muacheni MUNGU aitwe MUNGU nilikuwa nasoma mambo ya mpinga kristo na nimekuja ktk channel hii nakutana na neno hili tena, Ahsante Mungu kumbe ni kweli mpinga kristo kaingia ahsante YESU nimeuona mkono wako leo natamani na watu wote wajue hili daah
Jina la Bwana libarikiwe. Be blessed man of God.
Tupo pamoja mtumishi wa Mungu japo wapo wasiokuelewa lakn nakumbuka neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuz ila sisi na wewe tunao okolewa ni uzima wa milele songa mbele
Ameeeeeen 🙏 🙏
Amen
Your are more than a teacher, appreciate you Mtumishi, by Eng. Edson Kanani
Hivi kweli umefufua watu walio kufa!
Acha kudanganya watu, mungu anakuona ujue
Serikali hembu mchunguze kauli yake ya kusema amefufua watu
@@luvisa2472 wasiwasi wako ni nini kwani amefufua kwa nguvu zake kwani biblia yasema haiwezekani mtu kufufuka imani yako changa
He is blessed child of God he has sent by God almighty to open the eyes for who does not know what is going on.
Haikaely Mkongo
His mother died last year amemfufua
He is using physiological manipulation to get people like you to believe what he saying, you are still sleeping you need a slap on your bottom to wake you up
Akili yako na dark soy ulio shika viko sawa sawa
Wewe pasta Sina uwezo wa kufika hapo kanisani ila maubili yako yananibariki sana nakukubali Sana mungu akuongezee nguvu sana
John Magufuli alitupenda sana sisi Watanzania. Mungu wa mbinguni bado anaendelea kulinda taifa la Tz. Tumekumisi Rais wetu mpendwa
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kweli asikia baraka sana kwautume wako ni sauti ya Mungu ndani yako
Hubili neno la mungu mtumishi acha siasa bishop mungu anakuona
Benjamin Steven injili unayoiona iko sawa ni ipi, kuhubiri kupata magari au kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.
Hii sio siasa
Gwajima yupo sahihi mzee baba
KILAZA mkubwa
Ni Jambo zuri watumishi wa Mungu kujifunza pia elimu dunia Kama huyu ili wajue pia dunia inapoenda
Amen bishop. Mungu anakutumia kwakweli.
Yohana 14;15 Mkinipenda mtazishika amri zangu. 1Yohana 5:2-. Katika hili twajua ya kwamba twawapenda watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu na kuzishika amri zake.Kwa maana huko ndiko kumpenda Mungu kwamba tuzishike amri zake, wala amri zake si nzto
Magonjwa mengi yametengenezwa kutumaliza,lakn yalishindwa kwa nchi yetu,mfano ebora,nzige washambulia mazao,wanaishia Kenya,na kukimbia,corona pia,Yan mungu anatupenda Sana wa tz,sema ss ndo hatujui kumshukuru,Kuna watu wanataman kuishi ktk taifa hili lakn wanaikosa hyo nafac,watanzania tumshukuru munngu ktk haya.
Yesu atupe mfumo wake kutoka mbinguni, Mungu atusaidie kutoingia kwenye mfumo wa kipepo
Huo wakati lazima utimie maana ulitabiriwa, na lazima neno litimie ila kitachokusaidia amua kukaa na YESU bila mchezo
MUNGU mbariki na kumlinda Raisi wetu na Mtumishi wako bishop gwajima
Na wakati wa korona Mimi nimeokolewa YESU ni BWANA NA MOKOZI WA MAISHA YANGU OOOH HALELUYA.
Mungu akubariki na usimwache kamwe
Hongera sana mtu wa Mungu umefanya uchaguzi wa muhimu kuliko unavyofikiri
Mungu yehova akubaliki
Amen,mungu atupe ujasili tusitikisike,na azidi kutufunuliya.
Mungu Akubariki sana Mchungaji Mungu akupe miaka zaidi na zaidi Nakupenda
Aksante sana pastor, kweli wew niufufuwo wamaisha ya watu....
Mungu akupe maisha marefu mtumishi, tuyajue mengi.
Tanzania ni nchi ya Yehova. Mabaya hayatatupata sisi. Corona imeshindwa kwa jina la Yesu
Rafiki yesu mwenyewe hakufundisha watu hicho peke yake utaona mala mpanzi mala konde mala mwanampotevu mala wanawali kumi mala mpumbavu wewe Luna 12:20 nasema hayo inawezekana haujui gwajima ninani chombo hiyo ni chombo Kristo hatari duniani piga kazi baba yetu
Sorry that is luka 12:20
Apoumesema kusu babamtakatifu umenifanya niskuaminitena. Mana Mimi niromanisafi
Jackson Mushi Roman yesu anakuja uta jibu yote wewe unafata tyuu mkumbo ujui chochote.
@@jacksonmushi3595 kwani shetani hawezi kumtumia papa mtakatifu? Muamini Mungu tu,kwani nchi hizo takatifu si shetani ndo anazitafuta? Ushoga haupo Italy ? Papa mt.hayupo pale?Yeye mwenyewe anaweza asijue hili.Mungu azidi kutuimarisha ktk imani tumuamini yeye katika roho na kweli
Kwaiyo were ndounatuwa uwezinilazimisua Mimi nimezaliwa Romani katoliki na nitafia romanikatoliki namwamini mungu kwazeebulangu siaminiulokole kwani uweziokoka ukiwa duniani unaokoka ukiwa tayari Usha yaacha yandunia nakwana kuungana na Mama bikira Maria ili atufikishe kwamwanae yeyu kwaiyo uweziniambia kitu nikuelewe mungu akusamee sanavmpendwa katika jina la mungu baba mwana na roomtakatifu amina
Mungu akubariki sana kwa neno la Leo. I am blessed!
Yes Lord
Nakumiss sana namuombea askofu gwajima awe rais atakua kama huyu mzee zaidi yake mara mia
nimekulewa baba, mungu akutumie uzidi kutufichulia njama za ibilisi
Najiungamanisha na maombi ya kuanzia kesho. Ninakuelewa mno
HALELUYAAAA BABA
Uko vizuri sana mchungaji
Nashukur sana kwa mafudisho ya leo mungu akubaliki Baba
Shukrani ndugu mchungaji
wata elewa tyuu Baba wasiyo elewa Yesu yupo kwetu wote tunao muamini na ametupatia umeme na moto wa mbingu na nguvu zake kutoka kwenye kiti cha enzi mbinguni.
Ninakuelewa sana sana askofu gwajima
Gwajima wataje wapigweee, bbc, dw ntv...wanaisakama sana Tanzania, wakati nchi zao zina corona zaidi.
Mungu awahukumu kwa Jina la Yesu. Ameni!
Hili KAFIRI GWAJIMA linakera kweli
Utakuwa ni mchawi wewe
Bonjour nafurai saana na mafundisho. Yako naifata kila Siku
Bless 🎉🎉
Wafyatuliwe kwa jina la YESU!!!!!
Wapigweeeeeeee kwa jina la yesu
Gwajima noma sana aisee
Baba Mungu Akubariki sana Asante
Yesu atulindie Tanzania yetu na Rais wetu
Nawependa
Baba gwajima Hugo mchukua video mwambie aache kutubania mbona hatujamuona baba yako
Rais wetu aliandaliwa kwa ajili ya wakati huu
Very inspiring message.
Mungu anakwenda kuinua kizazi kingine cha watumishi Ambao watahubiri injili ya Msalaba na sio Injili ya Mafanikio na Siasa
Kinakuja kizazi kingine cha watumishi Ambao Mungu atAwatumia kwa utukufu wake... Maana kuna watumishi Walianza vizuri lakini wanataka kumaliza Vibaya
Huyu mchungaji Kama unamtihani wa civic ukimsikiliza Kwa makini unaweza kufaulu kiwango cha A. Ila Kama unamtihani w neno la Mungu F. Inakungoja.
@@Robust78 si kweli, kama elimu ya kiroho kwako ni ndogo utafeli anachofundisha ni chakula cha watu wazima na sio cha watoto wachanga
Kuna watu hawajaelewa kama siasa imondani ya biblia hiyo hiyo kama huelewi ni ww waache wanaoelewa waendelee
Sunday Laws zinakuja ndo mwisho wa Mchezo wa Mfumo wa Roma, Roma kihistoria sio kanisa Ni Kingdom(Ufalme) ulitawala 508-1798 ukaanguka, ukaibuka kidini ili kutafuta kutawala kiserikali kwa Mara ya pili, kwahiyo watu msome ,Google inaukweli na Uongo, search mtachambua, ukweli unajulikana tu
Najiungamanisha na maombi haya kwajina la Yesu
Classic sana hii
Hata Mimi Ninakuelewa maana unafundisha vitu vinavyohusu dunia inavyokwenda.
Mungu akuone maana baado sikuamini tangu ufanye uzinzi na yule jini mahabah gini fatuma
Shetani alijaribu kutumia picha hizo kwa kuwa alijua linalokuja mbele ila badala ya aibu kwa Gwajima ni aibu kwa shetani
Hakika
Nakuelewa Sana mtumishi
I wont surrender in Jesus name
Nakuelewa sana Baba Askofu
Na wamekosa ubunge kweli
Nimekuona
Umesema baba mtakatifu ukaweka "quotation" ukahusisha maneno ya papa na "upinga ukristo" Hapo ndo mnaponiangusha unapoacha habari ya injiri na kuanza kutengeneza hoja ya kuponda wengine huo sio msingi wa kristo na mafundisho yake!
Hebu tafuta kiapo cha papa utuambie anaitwa je na usome kitabu cha danieli 7:1- na ufunuo 17 utaelewa tu
No weapon formed against children of God shall prosper in Jesus name.
Fireeee
Wapegweeeeeeeee kwa jina la yesu
Wapigweee ktk Jina la Yesu
🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏
Mungu yumwema
Jamani eee watu Wa camera MBNA gwajima anamuonesha baba yake nyinyi mmekazana tu kumulika sehemu moja , mnajisahau
Kweli kabisa hata mm walinikera
Hiyo mikafiri WENZIWO ifundishe bible Mana haijui lolote
Magu anatakiwa kuombewa sn
We are conqurers in Jesus name.
Barikiwa
Ni watu waje kwa Yesu
Wapigweeee
Kisa cha kweli vingine vya honge?
Virgílio Mpachoka Mazabique ,asante kwa fundicho lá corona na abarikiwe raisi Makufuli ,na ascofu wa ufuho na uzima.
Asante naomba ascofu oba kibalj uji Mazambique kwa uduma kwa sababu unaza kiroho ubarikiwe.
mtumishi mbona kama unasimamia kwenye siasa
Mifumo ya ulimwengu inakuja kisiasa kwa hiyo si ajabu
saa inakuja watu watamwabudu MUNGU ktk roho Na kweli Na saa hiyo ni sasa.
@@tulizosteven3193 ni kweli lakini unapaswa kuujua mwenendo wa ulimwengu ili wakikuletea chanjo wanasiasa usikubali tu
nashukuru chajo yangu ni damu ya YESU Na kila alitajaye jina la Bwana ataokolewa
@@tulizosteven3193 sawa fanya hivyo nawe utaishi lakini huwezi kwepa masuala ya kisiasa katika maisha haya la sivyo tungelazimika kuondoka ulimwenguni
Una akili sana baba yangu
MUNGU BABA atupe nini Watz?
Tanzania bila covid19 inawezekana
rais wetu ni mwanasayansi
Aisee mnajua kudanganywa
Hahaha hyo lugha gani wanaongea au ndio ya kuibia sadaka
@@sudizopantalaou4012 mtoto mdogo hata akiona simba humuona kama mbuzi yaani elimu yote hiyo we unawaza sadaka tu!!!
Magufuri mi naomba abaki madalakani moja kwa moja
Sitakufa kwa korona ktk jina la Yesu!
Magufuli kasema,haya ni advanced Mafia!
Unatubumba kaka
Mambo vp wadau
Fireeeee🔥🔥🔥🔥
Bishop Nakuelewa sana
MUNGU BABA taupe nini Watz?
Kitu kimoja tu ambacho sijapenda ili nisiwe mnafiki ni kwaya hiyo tu na mavazi yao hiyo usiruhusu tena ila elimu nimepata
Halisalia jiwe juu ya jiwe