Asante sana baba mahubiri Yako Yana ni jenga kila Mara Nike kufata Na miye Na tamani sana niwe tajiri mkubwa sana zaidi ka niombeye ata kama Niko Congo 🇨🇩
Unamafundisho mazuri ni kweli tupu ALLAH AKUBARIKI Usemayo kweli. Mimi MUISLAM, Nilisoma zamani billiards, yote uliyoyatoa nimeona kwenye methali ya suleiman.shukrani.
Tofauti ya wakristo na waislamu, wakristo wanafundishana sana kuhusu kufanikiwa duniani, waislamu hufundishana kuhusu kufanikiwa mbinguni tu, napita baadhi ya makanisa nakuta mchungaji anaongea hbr za Isack Newton sijui Galilei , mambo ambayo hayahusian na kanisa
Asante sana baba mahubiri Yako Yana ni jenga kila Mara Nike kufata Na miye Na tamani sana niwe tajiri mkubwa sana zaidi ka niombeye ata kama Niko Congo 🇨🇩
Daah umeongea maneno mazito baba kiukwel Mungu atusaidie ma azid kukutunz wew ❤❤
Baba hongera sana zaman walokole walikuwa wavuvi hawaaminiki baba umekuja kubadilisha fkira
Amen. ❤❤❤ 🎉🎉
Asante prophète mungu akubariki
Nami naomba niwe miongoni mwa hao watu mia ktk jina la yesu amina
Mafundisho mazuri saaana allah akuweke mzee
Unamafundisho mazuri ni kweli tupu ALLAH AKUBARIKI Usemayo kweli. Mimi MUISLAM, Nilisoma zamani billiards, yote uliyoyatoa nimeona kwenye methali ya suleiman.shukrani.
Naitwa mussa Abillahi tokea Lindi nakupenda baba
Kweli Mtumishi wa Mungu
Nikweli pastor uliyoyasema ni kweli Amen
Kweli kabisa Mtumishi
😢😢😢😢 Hapo mwisho umepiga kwenye mshono
Asante sana.
Mm muislam lakin nakusikiliza sana ipm sipend ukristo ila maneno yako kuna vitu vingi najifunza#
🙏🙏🙏🙏🇰🇪👍🤝
Kweli baba ukisemacho hicho nilikiwona mapema baba nilichukuwa hatuwa.
Heavy message
baba asante kwa kuwa live
Ukweli kabisa prophet ipm
Wewe jamaa Leo umeniliza
Âmen and amen
😂😂😂😂😂😂😂😂 kasongo yeyeye
Kweli kiongozi wetu
Asante mungu mwema ukitoa uongozi wewe unakipaji chauongozi
⚒️
AMEEE
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani baba wambiye vijana wasijiye
Amina prophet
Tumekupata 5/5 Stockholm Sweden iyokweli kabisa walokole tumesinzia sana.Atuwambiye tena Njomana tumekwama kwasababu tumewambia watu siri zetu!
Dah usemayo nikweli kabsa wazazi ni Nguzo Pia ya mafanikio.
Mishangazi 😂😂😂😂😂😂😂 haaaaaa
Tofauti ya wakristo na waislamu, wakristo wanafundishana sana kuhusu kufanikiwa duniani, waislamu hufundishana kuhusu kufanikiwa mbinguni tu, napita baadhi ya makanisa nakuta mchungaji anaongea hbr za Isack Newton sijui Galilei , mambo ambayo hayahusian na kanisa
Barikiwa
Ila IPM bwana mahubiri yako yananibariki a see ety Wana Hadi jasho la 1980😂😂😂😂
Hivi baba mchungajii ni kweli yesu alizaliwa tarehe 25 December???
Amen 🙏🙏
Kweli2pu mjomba
Baba niko Congo ila naitaji msaada wako kwangu ,unielekeze kwamafanyikiyo yaMUNGU
Mchungaji na wewe tuambie Siri ya mafanikio yako sasa
Asanteni sana