KAMBA ZA KICHAWI Part 2/5 - Bishop Gwajima

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 17

  • @MarryKashaija
    @MarryKashaija Год назад

    AMEEN ubariikiwe sana mtumishi

  • @damarisfavour5799
    @damarisfavour5799 6 лет назад

    Mungu wa Huruma kwa mamlaka ya Jina ya Yesu Christo nakata kamba zote za kichawi lea jina ka Yesu

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 3 года назад

    Kamba zimekatika kwa jina la Yesu

  • @shohamuwokovuhalisi.2648
    @shohamuwokovuhalisi.2648 8 лет назад +1

    Wonderful,kamba za kichawi zimekatika Amen in JESUS CHRIST NAME

  • @rithersospeter9693
    @rithersospeter9693 8 лет назад +1

    kamba za kuzimu zimenizunguka niko kwenye uzuni sielewi. Naomba msaada.

  • @bettynyongesa6702
    @bettynyongesa6702 4 года назад

    Ameen

  • @StanleyMwaipopo
    @StanleyMwaipopo 5 месяцев назад

    Ameni

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 8 лет назад +1

    I am so blessing in Lord!!

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 8 лет назад +1

    Amen😇😇😇. nikweli unaongea Askofu.

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 9 месяцев назад

    Nikisikia nasikia kama leo

  • @nawalbaby3518
    @nawalbaby3518 6 лет назад +1

    Napenda maombi yake nasikiliza kila leo nipo marekani mwaka wa 7 sasa na. Huku america kila kanisa wachawi mimi nilienda kanisani wakanitia hoho ya kichawi wakaitoa soli yangu wakaichukua akesha wakanitia kitu kama mzimu akesha nikilala naota poster huyo ananilala wakati mwingine nawaona wananilisha nyamba mbich ..na damu akesha wamenitia jini la kichawi ambae mimi siendani nae maana sijui kuchawia akesha usingizini wameniozesha mbwa...yani naumwa huu mwaka wa 3 ...na familia yangu wote wanaumwa nikisikiliza maombi ..wadudu wengi sana wanatembea mwilini mwangu kama sisimizi ..akesha nimesoma biblia mara tatu yaishe na nimeomba wapi hayaondoki nimejikabidhi kwa mungu wapi ...yani kwa sasa nawaza labda nirudie uislam maana nilipokua muislamusikuyapata haya.

    • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
      @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 лет назад

      Nawal Soud hayo mawazo ya kurudi uislam ni ya kukumaliza kbs ili wakuue kirahisi

    • @highzacknnko4002
      @highzacknnko4002 4 года назад

      Hapana usijali wala hayo ni mambo madogo sana,hao no wachawi na wamekufunga kwenye magonjwa na wanakupa utisho na wanataka kuipindisha kesho yako kwa kukufanya we kuumwa kila siku unaumwa na familia ,lengo LA shetani kwanza kuuwa afya yako na anataka kukumaliza,lakini ,nakupa ushauri ukiwa unaomba au kulala tumia damu ya yesu,sema najitakasa kwa damu ya yesu ,omba kwa damu ya yesu kila unapokuwa unataka kulala na kila unapokuwa na pia waambie nduguzo waombe kwa damu ya yesu pia

    • @highzacknnko4002
      @highzacknnko4002 4 года назад

      Nawal usjali kabisa Mungu hajawahi kumuacha MTU lakin anataka kila MTU kumtegemea sana kwahyo endelea kuikiri damu ya yesu kila unapoenda jamani,hakikisha damu ya unaikiri

    • @highzacknnko4002
      @highzacknnko4002 4 года назад

      Au kama ukiweza nitafute kwa hizi namba nikupe maelekezo ya namna ya kuutumia damu ya yesu kuunganushia na watumishi