Huwa najiuliza sana WATU WA mungu kuwa matajiri NA kushindwa kusaidia maskini NI SAHIHI kweli? Ndiyo mungu anasema HIVYO. Huwa sijasikia hapa kwetu Tz wachungaji wakisaidia WATU wanapopata majanga. NI toe mfano kwa NABII TB JOSHUA JINSI MUNGU ANAVYO MBARIKI NA KUWAPONYA WATU WAKE KWA HATUA HIYO NAONA UWEPO WA MWENYEZI MUNGU.
Leteni zaka kamilighalani ili kiwemo chakula ktk nyumba yangumkanijaribu kwa njia hiyo asema Bwana wa majeshi. Malaki 3:10 Nataka kusema nn zaka na sadaka ni mali ya Bwana. Kwa hiyo hata gwajima ni lzm atoe zaka na sadaka tena kwa uaminifu na km hatoi bibilia inamuhesabu kuwa ni mwizi.
Kabla ya yote watangazaji na waumi nendeni mkaisikilize nyimbo ya afande sele ft bele9 dini zililetwa tu kutoka mashariki ya mbali sasa inashangaza amzungumzii kabla ya hao watu weupe kuja africa sisi watu weusi tulikuwa hatu mungu wa mtume mweusi tiii kamimi au wewe leo hii unajifanya unaimani ya kuletewa
Said Athmani, inaonesha hujui Mungu ni nini! Unafikiria kuwa Mungu unaweza kumtengeneza hata wewe akawa Mungu wako. Mungu ni muumba wa wote, ni Baba wa wote wenye mwili. Wazungu kama waliteta dini ambayo hukuielewa inaweza kuwa sawa kwa sababu kuna dini nyingi; zinazoitwa za Kikristo na zinazoitwa za Kiislam. Dini siyo Mungu, lakini Mungu bado yuko. Mungu anawafanya watu kuacha dhambi wakishamtambua na kujua madhara ya dhambi, kwamba ni moto wa Jehanam. Nikizungumza hilo bado utasema ni mafundisho ya kizungu au ya kigeni; ni kwa sababu hujampokea huyo Mungu. Nikikuelezea kwa maandiko katika biblia utasema zimeletwa na wageni, bado moyo wako utakuwa mbali. Jambo moja fahamu tu kuwa, sisi ni viumbe, hatutaishi milele hapa duniani, na aliyetuumba ni Mungu mwenye haki yote, anataka tuishi maisha ya kutokuwa na dhambi au maisha ya utakatifu, Zaburi 16:3. Mwanadamu kwa jitihada hawezi kuishi maisha hayo, ni mpaka ajitambui na ahitaji msaada wa kushinda dhambi kutoka kwa Mungu mweyewe. Ni suala geni kwako, lakini tu ni kwamba wenye dhambi wote , wakifa wanaenda jehanamu ya moto, kama huamini utakapokuwa umekufa utaamini maneno haya.
Kiukweli asemae wanaibiwa wananchi unakuta hasomi maandiko bibilia iko wazi hilo ni 1la pili kuhusu kutaja mali zake acheni kbs mm naona haina mantiki yoyote huwezi kuchukuwa mazingila ya ulaya ukaya leta Afrika hapo nikitu hakiwezekani hapo tu kuna watu walikuwa wanasubiri kwa hamu ataje halafu angeona ambacho kingefatia
Ameongea mfano tu kwani papa ni Nani si binadam tu na yy kuanza Kanisa lake ipo kisheria na hata kutoa sadaka hakuna kudhikiwa bunduki hata ukitaka usiende hushtakiwi sadaka sadaka Tena wasemaji wa sadaka wao wanatoa mia mbili
Maswali mengne mnayotakiwa kuwaulza hawa wachungaji nkwamba KWANINI WAMEKUWA HAWAWAXOMEI WAUMINI WAO BAADHI YA SURA KWENYE BIBLE bali wamekuwa wakifichafcha tu mambo na kuwaxomea xehmu wanazoona zitawanufaisha wao?
Na baada ya kupona mbona sijaona ukirudisha shukrani kwa Mungu sio vizuri kudhihaki maana hata sisi tunapaswa kuomba sio baada ya tatizo ndio tuambie Watumishi km unahubiri nione na hili ukilifanya neno linasema ktk Ezra inuka maana shuhuli hii inakuhusu
@@robathzingu1650 yesu kawakana hawa mitume feki hta kabla y cku y mwisho.sasa hta nikikwambia ukacme hta badilika.wewe komaa mpka cku ya mwisho.ukakataliwe live.
Nabii wa shetani huyo tapeli! Yesu hakuwa tajiri wala Papa wa Vatikan sio tajiri ana mamlaka tu!! Kumbuka "Tajiri kuingia ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano" mungu anakuona!!
Mamlaka ya Papa ni ya mbinguni au duniani? Papa kwa taarifa yako ni Rais, akiingia nchi yoyote anapigiwa mizinga kama Rais. Rais halafu kiongozi wa dini! Cha msingi nadhani ni utakatifu na uaminifu kwa Mungu, na pia kuhubiria watu kweli ili waende mbinguni.
Ndo ulivyoelewa kumbe, endelea kuwa maskini. Ukiwmbiwa toa mchango wa kujenga kanisa unahama kanisa, toka kwenye umaskini. Yesu alikuwa maskini ili tuwe matajiri
Wewe mchungaji unasema ni mfuasi wa Yesu na Yesu anasema msimwite mtu baba kiimani hapa duniani... Mbona hueleweki... Mathayo 23:9 Mathayo 23:9 BHND Wala msimwite mtu yeyote ‘Baba’ hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu, aliye mbinguni. BHND: Biblia Habari Njema
Hiyo tafsiri huwezi kuijua kama huijui biblia,hilo neno baba litakusumbua,usisome biblia kutafuta cha ku comment neno la Mungu kwa mkristo linaeleweka katika kufunuliwa kwa neema tuu,halina degree ya kwanza katika kusoma biblia,unaweza ukaisoma biblia hadi uzeeke usijue alichomaanisha Mungu,lakini anaweza akamfunulia mtoto mchanga,au hata asiyejua kusoma akaijua biblia, so unapotoa maoni jitafakari kwanza nia yako ni ya kimungu au ushabiki usokuw na tija kibiblia???Mungu akufunulie neno lake katika kweli ndugu yangu.
Daa hii interview ingekuwa kule WASAFI TV comments zingekuwa zaidi M1 ila hapa zipo 81 tu yaani chini ya 100 daa hii ni hatari ndugu zangu watanzania mgonjwa yupo ICU
Come on.... wewe jamaa Baba mtakatifu sio tajiri kama usemavyoooo wala hana utajiri binafsi kama usemavyo.... usiwalaghai watu. Utajiri wa Papa ni wa kanisa na wewe ni wako binafsi.
we tako kweli inamaana hujui kwamba papa ni rais wa roma ?? unajua miongoni mwa watu matajiri duniani yupo papa emb kasome uskae kujibu jibu tu vitu hujui
Katoliki ni taasisi Papa ni kiongozi Mkuu wa taasisi hiyo. Ufufuo na Uzima ni taasisi na Gwajima ni kiongozi Mkuu wa taasisi hiyo, tatizo liko wapi? Kama ni mali, taasisi ya Katoliki inayo, na pia Ufufuo na Uzima nao wanayo kidogo kutokana na ukubwa wa taasisi yao. Tatizo liko wapi? Nadhani tatizo ni ile hali ya kuzaliwa katika mazingira hayo, sasa unapoona mazingira mengine unaona kama si halali isipokuwa yale uliyoyazoea unaona ndiyo sawa. Ndiyo maana kutokana na watu kuwa na mazoea hayo, wanafikia hali ya kusema, mtu asipokuwa dini fulani basi hatamwona Mungu; wanadhani kwamba ile dini aliyozaliwa na kurithishwa na wazazi wake ndiyo dini ya kweli; hata mimi ndivyo nilivyokuwa.
Hawa jamaa wana take advantage kutoka watu masikini.. Kwa uongo wao.. Wanafufua au wanaponya kwa jina la Yesu... Mchungaji sasa kuna wagonjwa wa Corona kwanini msiwaponye kwa jina la Yesu?
@@jamesmlengela156 wacha uongo wewe toa Andiko jina la Yesu linaponya, mwenyewe Yesu anasema mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe... Soma Yohana 5.30
Juma Jaffary yesu anaponya watu kwakuwa Baba yake Mungu wa mbinguni amemluhusu kuponya ndiyo maana hata mtumishi yoyote wa Mungu hawezi kuponya kila mtu Bali mbaka ambiwe na Mungu wake kuwa mtu furani au Fanya jambo furani kwaajili ya nchii na Mungu atakuwa nae cku zote
@@eliarichard9218 matayo 26 62 Kisha kuhani mkuu akasimama, akamwambia Yesu, “Huna jibu? Husikii huo ushahidi waliotoa watu hao?” 63 Lakini Yesu hakusema neno. Basi kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha kwa jina la Mungu aliye hai, tuambie kama wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu.” Mungu.” 64 Yesu akajibu, “Umetamka mwenyewe. Lakini nina waambieni nyote kwamba baada ya hapa, mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kulia wa Mungu mwenye uweza na akija juu ya mawingu ya mbin guni
This is one of the servants of God I respect and listen to.More grace!
kabisa. muujiza mkuu Ni Mtu kuokoka na kumpokea Yesu Kristo
I love the bishop, umaskini haupo mbinguni, ndio negative yenyewe
Unahekima ya kristo ndani yako mzee ❤❤❤
ndugu gwajima anajibu kwa hekima may GOD bless him
Yesu alikufa kwa ajil yetu inatupasa kumwamwin il tuingie mbingun nimeielewa hiyo bishop
This man of God is so smart. I just like him
Uwatakase kwa ile kweli neno lako (Mungu) ndiyo kweli. Yohana 17:17
Sure
A brilliant Man of God.
I love my Dad gwajima may God bless him
Gwajima is very smart Hasa hapo kwenye muujiza mkubwa
Bishop wangu gwajima tunakupenda
Nampenda Baba gwajima enyewe ana mafunzo mema
my role model
SIZYA hebu fanya upate mwenzio maana nimekuona leo kumbe umeisha kuwa mtu mzima. Napenda maongezi na maswali yenu...challenging questions.
Mawimbi mafuno🎉
Kwanini mko studio but mchukua local video sauti haiko well
clouds Tunaomba mtuleteee video za Sam_Sasali akiwa anaperusi na kudadisi na wakina kipanya
Shikamooh gwajima
🤣 🤣 🤣 🤣 Barack! 🤔
Huwa najiuliza sana WATU WA mungu kuwa matajiri NA kushindwa kusaidia maskini NI SAHIHI kweli? Ndiyo mungu anasema HIVYO.
Huwa sijasikia hapa kwetu Tz wachungaji wakisaidia WATU wanapopata majanga.
NI toe mfano kwa NABII TB JOSHUA JINSI MUNGU ANAVYO MBARIKI NA KUWAPONYA WATU WAKE KWA HATUA HIYO NAONA UWEPO WA MWENYEZI MUNGU.
Hakuna mtumishi nabi kama TB Joshua hapa TZ.... Yule TB Joshua alitoka kwa Yesu na pia tutamuona wote tukifa Mbinguni.
Acha aendelee kukusanya sadakkma za watu mungu anamuona
Huna Akili kabisa na unachokiongea hujui unaongea tu Bible inasema watu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndo wewe sasa
Sasa unataka uajiliwe wewe ukakusanye?? Mbona akili kidogo unauliza nini sasa hapa?! Kazi ya sadaka ni nini? Hebu soma na maandiko ili uelewe.
Ukienda kanisani ni lazima utoe sadaka.
Majibu anayotoa kwangu bado sana
mfuate Kawe utapata majibu yoote na Kiu itaisha
Bishop GWAJIMA Chuma kabixa
Mwenye akili kashaelewa...!!
No time to argue...!😃😃😃
Nimependa apo kwenhe muhujiza
Askofu Gwajima ichambue bible
Leteni zaka kamilighalani ili kiwemo chakula ktk nyumba yangumkanijaribu kwa njia hiyo asema Bwana wa majeshi. Malaki 3:10
Nataka kusema nn zaka na sadaka ni mali ya Bwana. Kwa hiyo hata gwajima ni lzm atoe zaka na sadaka tena kwa uaminifu na km hatoi bibilia inamuhesabu kuwa ni mwizi.
Mchungaji tu me kuelewa.
Leo cameraman yuko vizur!
Kabla ya yote watangazaji na waumi nendeni mkaisikilize nyimbo ya afande sele ft bele9 dini zililetwa tu kutoka mashariki ya mbali sasa inashangaza amzungumzii kabla ya hao watu weupe kuja africa sisi watu weusi tulikuwa hatu mungu wa mtume mweusi tiii kamimi au wewe leo hii unajifanya unaimani ya kuletewa
Ukitaka kusema hivo enzi hizo hata Hospital hazikuwepo viwanda mashule, umeme nk
Na kingine hata ww said hukuwa na dini hiyo kabla ya mwarabu
Said Athmani, inaonesha hujui Mungu ni nini! Unafikiria kuwa Mungu unaweza kumtengeneza hata wewe akawa Mungu wako.
Mungu ni muumba wa wote, ni Baba wa wote wenye mwili. Wazungu kama waliteta dini ambayo hukuielewa inaweza kuwa sawa kwa sababu kuna dini nyingi; zinazoitwa za Kikristo na zinazoitwa za Kiislam. Dini siyo Mungu, lakini Mungu bado yuko. Mungu anawafanya watu kuacha dhambi wakishamtambua na kujua madhara ya dhambi, kwamba ni moto wa Jehanam. Nikizungumza hilo bado utasema ni mafundisho ya kizungu au ya kigeni; ni kwa sababu hujampokea huyo Mungu. Nikikuelezea kwa maandiko katika biblia utasema zimeletwa na wageni, bado moyo wako utakuwa mbali. Jambo moja fahamu tu kuwa, sisi ni viumbe, hatutaishi milele hapa duniani, na aliyetuumba ni Mungu mwenye haki yote, anataka tuishi maisha ya kutokuwa na dhambi au maisha ya utakatifu, Zaburi 16:3. Mwanadamu kwa jitihada hawezi kuishi maisha hayo, ni mpaka ajitambui na ahitaji msaada wa kushinda dhambi kutoka kwa Mungu mweyewe.
Ni suala geni kwako, lakini tu ni kwamba wenye dhambi wote , wakifa wanaenda jehanamu ya moto, kama huamini utakapokuwa umekufa utaamini maneno haya.
nisaidie nmb yako askof Gwajima
Naipenda clouds
Yan uyo lady presenter ana put much concentration ya kuhangaika na kisim chake kuchukua video wakat kuna camera zimefungwa apo 😅😷
Amen.
Chuma hicho.
Gwajima swali kuhusu utajiri umezungusha nakupa F kwa ulivojibu yaonesha munawaibia ao wananchi
Amna mtu anaeibiwa maana sadaka sio lazima
Kiukweli asemae wanaibiwa wananchi unakuta hasomi maandiko bibilia iko wazi hilo ni 1la pili kuhusu kutaja mali zake acheni kbs mm naona haina mantiki yoyote huwezi kuchukuwa mazingila ya ulaya ukaya leta Afrika hapo nikitu hakiwezekani hapo tu kuna watu walikuwa wanasubiri kwa hamu ataje halafu angeona ambacho kingefatia
Ongea machache Abu maana Mali zake wewe hazikuhusu hata kidogo
Ila masoud naona umemuivisha ciza
Uwezi kujilinganisha na Papa,sababu papa hanamali zake binafsi,malianazo tumia zinabaki kanisani
Ameongea mfano tu kwani papa ni Nani si binadam tu na yy kuanza Kanisa lake ipo kisheria na hata kutoa sadaka hakuna kudhikiwa bunduki hata ukitaka usiende hushtakiwi sadaka sadaka Tena wasemaji wa sadaka wao wanatoa mia mbili
Baba angu Askofu akiongea natamani Kila mtu anyamaze nimsikie kwa Makini
Oya muachenihuyo gwajima! Mutamuumbua
Hao watangazazaji wamekutana na kichwa kinachowazidi akili na Mungu
Masoud Kipanya........maswali magumu unauliza
Maswali magumu sana aise
Mali zake na utajili vina mahusiano gani mwacheni awatumikie tz
👍👍💯
Kachemka
Mali ya kanisa nani mwenye kanisa wakati wewe ndiyo mmiliki wa kanisa?
Uyo jamaa ana point sana
Gwajima janja janja sana veve ,unajbu maswal kijanja janja sana
Philosophy
Mlidhani gwajima kapataje utajiri? Nyie watu gwajima ni intelligent sana yan hamkujua?
Kweli jamani iweni makin huyoo ni mtumishi mkubwa anaetumika kimungu so badili mawazo yenu ety mtaumbukaaa
Maswali mengne mnayotakiwa kuwaulza hawa wachungaji nkwamba KWANINI WAMEKUWA HAWAWAXOMEI WAUMINI WAO BAADHI YA SURA KWENYE BIBLE bali wamekuwa wakifichafcha tu mambo na kuwaxomea xehmu wanazoona zitawanufaisha wao?
Sura ipi kwa mfano ambayo haisomwi?
Mfano wapi
Wewe ni mkristo ?¹
@@joycegeorge4712 ww hokororo hujambo?
Namkubalisana.sikuhizi simsikikuliamsha dude
Hakuna aliejaribu kuchokoza
MasOUD Kipanya is the RADIO PRESENTER OF ANOTHER LEVELS!! Mwaswalii ya akili na yeye anazo akili pia.
Mwongo marizote zamakanisa haya yakireo huwa nimarizo na wanaandikisha kbs serekarini kama mariyao
nawewe fungua kanisa Kama unaona anafaidi mwenzio
Diyounawapa ujumbe hawasikiye
Mchungaji vipi kuhusu dawa ya corona, hapo ndio pa kusaidia, kama kweli unatembea na Yesu wapi dawa ya Corona
Na baada ya kupona mbona sijaona ukirudisha shukrani kwa Mungu sio vizuri kudhihaki maana hata sisi tunapaswa kuomba sio baada ya tatizo ndio tuambie Watumishi km unahubiri nione na hili ukilifanya neno linasema ktk Ezra inuka maana shuhuli hii inakuhusu
Maswali haya mh!🙆
Mali za sadaka hizo
Huyu jamaaan anapoint xana
Ckuwatuma muende kuponya watu kwa jina langu.mimi nyie cwajui. Yesu huyo ndo anacma sasa cjui hpo pamekaaje.
Una - refer toka wapi hiki unachokisema hapa? Biblia au Korani? Kama ni Biblia toka kitabu gani na aya ya ngapi ndugu?
@@robathzingu1650 yesu kawakana hawa mitume feki hta kabla y cku y mwisho.sasa hta nikikwambia ukacme hta badilika.wewe komaa mpka cku ya mwisho.ukakataliwe live.
@@leokadiakajuna8000 uctoe povu.dogo rudi ucme baibo wewe unaendaga kuimba tu.
@@leokadiakajuna8000 wanao jiita mitume walijua hlo.
Tutajie hilo andiko linatoka kitabu gani Cha biblia na sura ya ngapi
Nabii wa shetani huyo tapeli! Yesu hakuwa tajiri wala Papa wa Vatikan sio tajiri ana mamlaka tu!! Kumbuka "Tajiri kuingia ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano" mungu anakuona!!
Mamlaka ya Papa ni ya mbinguni au duniani? Papa kwa taarifa yako ni Rais, akiingia nchi yoyote anapigiwa mizinga kama Rais.
Rais halafu kiongozi wa dini! Cha msingi nadhani ni utakatifu na uaminifu kwa Mungu, na pia kuhubiria watu kweli ili waende mbinguni.
Ndo ulivyoelewa kumbe, endelea kuwa maskini. Ukiwmbiwa toa mchango wa kujenga kanisa unahama kanisa, toka kwenye umaskini. Yesu alikuwa maskini ili tuwe matajiri
Kwan ww unapenda umasikini?
Wewe mchungaji unasema ni mfuasi wa Yesu na Yesu anasema msimwite mtu baba kiimani hapa duniani... Mbona hueleweki... Mathayo 23:9
Mathayo 23:9 BHND
Wala msimwite mtu yeyote ‘Baba’ hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu, aliye mbinguni.
BHND: Biblia Habari Njema
Hiyo tafsiri huwezi kuijua kama huijui biblia,hilo neno baba litakusumbua,usisome biblia kutafuta cha ku comment neno la Mungu kwa mkristo linaeleweka katika kufunuliwa kwa neema tuu,halina degree ya kwanza katika kusoma biblia,unaweza ukaisoma biblia hadi uzeeke usijue alichomaanisha Mungu,lakini anaweza akamfunulia mtoto mchanga,au hata asiyejua kusoma akaijua biblia, so unapotoa maoni jitafakari kwanza nia yako ni ya kimungu au ushabiki usokuw na tija kibiblia???Mungu akufunulie neno lake katika kweli ndugu yangu.
Ttzo hujui inamaana gn km haujui biblia hutoelewa kitu umo
@@linnamlay3643 wewe unae elewa toa ufafanuzi Yesu kakusudia nini?
@@leokadiakajuna8000 Nilifikiri ungetoa Andiko kua unaweza mwita Askofu baba hata kama hana mke au umemzidi umri umwite baba
Ndo ipo hivo ila mkiifata,biblia kichwa,kichwa,utakuwa unasoma riwaya,za bunuas
maswali lit pekee hiii ndo clouds
hawa ni wachungaji waongo tu wanaijua kweli hawataki kuifundisha.
Daa hii interview ingekuwa kule WASAFI TV comments zingekuwa zaidi M1 ila hapa zipo 81 tu yaani chini ya 100 daa hii ni hatari ndugu zangu watanzania mgonjwa yupo ICU
We inakuhusu nn mpuuz ww
Nanyie watangazaji muulizeni maswali ya msingi alisema corona HAITAINGIA sasa imeingia ajibu huyo Mungu kigeugeu akoje?
john mligo labha ulisikia vibaya au?
Haijaingia kwake ,,Kama i
meingia imekuja na wenyewe tu
Wajinga ndio wanaoliwa ...
kabisa
Harry silver man kabisa
Hamna kitu hapo sadaka tu za waumini hizo asiwalishe watu matango poli
Sasa ww ndo unamjua zaid ya anavojijua yy?
kwani akila sadaka ttzo nini siana wafundisha neno kuna kitu cha bure.
Come on.... wewe jamaa Baba mtakatifu sio tajiri kama usemavyoooo wala hana utajiri binafsi kama usemavyo.... usiwalaghai watu. Utajiri wa Papa ni wa kanisa na wewe ni wako binafsi.
we tako kweli inamaana hujui kwamba papa ni rais wa roma ?? unajua miongoni mwa watu matajiri duniani yupo papa emb kasome uskae kujibu jibu tu vitu hujui
Katoliki ni taasisi Papa ni kiongozi Mkuu wa taasisi hiyo. Ufufuo na Uzima ni taasisi na Gwajima ni kiongozi Mkuu wa taasisi hiyo, tatizo liko wapi? Kama ni mali, taasisi ya Katoliki inayo, na pia Ufufuo na Uzima nao wanayo kidogo kutokana na ukubwa wa taasisi yao. Tatizo liko wapi? Nadhani tatizo ni ile hali ya kuzaliwa katika mazingira hayo, sasa unapoona mazingira mengine unaona kama si halali isipokuwa yale uliyoyazoea unaona ndiyo sawa. Ndiyo maana kutokana na watu kuwa na mazoea hayo, wanafikia hali ya kusema, mtu asipokuwa dini fulani basi hatamwona Mungu; wanadhani kwamba ile dini aliyozaliwa na kurithishwa na wazazi wake ndiyo dini ya kweli; hata mimi ndivyo nilivyokuwa.
Uyo mzee mla sadaka tuu hana lolote dini biashara tuuu
Aisee!
Ushahidi unao?
Hujui chochote wewe,,,bora at ucngecomment
@@aliciasuperius3101 we unajua nn eb nambie
ssa ulitaka afundishe neno bure?
Hawa jamaa wana take advantage kutoka watu masikini.. Kwa uongo wao.. Wanafufua au wanaponya kwa jina la Yesu... Mchungaji sasa kuna wagonjwa wa Corona kwanini msiwaponye kwa jina la Yesu?
Juma usiseme waongo swali ni je hao wagonjwa wanaamini Yesu anaponya?au Maana imani ndio uponya mtu
@@jamesmlengela156 wacha uongo wewe toa Andiko jina la Yesu linaponya, mwenyewe Yesu anasema mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe... Soma Yohana 5.30
Juma Jaffary yesu anaponya watu kwakuwa Baba yake Mungu wa mbinguni amemluhusu kuponya ndiyo maana hata mtumishi yoyote wa Mungu hawezi kuponya kila mtu Bali mbaka ambiwe na Mungu wake kuwa mtu furani au Fanya jambo furani kwaajili ya nchii na Mungu atakuwa nae cku zote
@@eliarichard9218 Toa Andiko Mungu kasema Yesu ni mwanangu... Yesu amesema yeye ni mwanadamu
@@eliarichard9218 matayo 26 62 Kisha kuhani mkuu akasimama, akamwambia Yesu, “Huna jibu? Husikii huo ushahidi waliotoa watu hao?” 63 Lakini Yesu hakusema neno. Basi kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha kwa jina la Mungu aliye hai, tuambie kama wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu.”
Mungu.”
64 Yesu akajibu, “Umetamka mwenyewe. Lakini nina waambieni nyote kwamba baada ya hapa, mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kulia wa Mungu mwenye uweza na akija juu ya mawingu ya mbin guni
Mnajaribu kumtakasa muulizeni kondoo wa bwana kaacha kuwatafuna? Matapeli wajanjawajanja
Usiongelee uislam haukuhusu wala haujui.
MUNGU TUSAIDIE NA HAWA WATUMISHI WA SIKU HIZI!
kaongelea kibaya nin hapo we fala?
sikujui wewe ni nani lakini I guess anaujua uislamu kuliko wewe
@@frankanold9803 Nataka kuwahona anaye tikisa tazaniya mimi ni ir amosi Niko diyarasi