ASKOFU GWAJIMA NA MASANJA NDANI YA MWAKA1 WA FREE CHURCH

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2024
  • ASKOFU GWAJIMA NA MASANJA NDANI YA MWAKA1 WA FREE CHURCH

Комментарии • 74

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 года назад +4

    Umoja wetu katika Mungu ni Muhimu Sana. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 3 года назад +6

    Bishop Gwajima speaking 💪💪💪

  • @lamecktv4269
    @lamecktv4269 3 года назад +3

    SuperMan...Dactor wa Nguvu Akili nyingi Mtu katika wakati wake...Jasiri Shujaa na Hodar.
    Bshop Gwajima.
    Nakupenda sana Babayangu.
    Nakukukubal

    • @janethndial5759
      @janethndial5759 3 года назад +2

      Saaaaaaaaaana😍😍😍😍😍😍😍😍💪tuko pamoja

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад

    Mungu awabariki watumishi kwa ushirika huu inapendeza kuliko kutupiana made kwenye media

  • @williamfaraja384
    @williamfaraja384 3 года назад +2

    Barikiwa mtumishi Emmanuelli , nasisi tunakusapoti kwa maombi , katika jina la yesu

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 3 года назад +1

    He!...Bungeni kuna Nini!?...Gwajima Afya imekubali...All in all Glory be to God!

  • @KuhaniMwakalambo
    @KuhaniMwakalambo 3 года назад +1

    Maneno ya HEKIMA toka kwa mtu mkuu.... Mungu akutunze Emmanuel

  • @robertsuper4406
    @robertsuper4406 3 года назад +2

    Bsp wangu gwajima 🙏💪🤝🦾

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 3 года назад +2

    #Legacy
    #ThankyouGwajima

  • @janethndial5759
    @janethndial5759 3 года назад +1

    Baba kama baba😍😍😍😍😍😍😍😍💪💪💪Barikiwa dady g, barikiwa mtumishi masanja

  • @linusamos4500
    @linusamos4500 3 года назад +1

    Amen songeni mbele watumishi wa Mungu

  • @ezilomhassani4695
    @ezilomhassani4695 3 года назад +1

    Amina mtumishi balikiwa sana

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 года назад +2

    Mwagilamayo muhuno ,omulwensinga

  • @zabronsimfukwe
    @zabronsimfukwe 3 года назад +1

    Amen

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @josiakatende7683
    @josiakatende7683 3 года назад +1

    Hongera mwagitoo!!

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 3 года назад +1

    Hallelujah

  • @OmegaNabii990
    @OmegaNabii990 3 года назад +2

    Big up Mylove Brother in Christ

    • @alessandrocristian6839
      @alessandrocristian6839 3 года назад

      I know I'm kinda randomly asking but does anybody know of a good place to stream newly released series online ?

    • @otiskamden1757
      @otiskamden1757 3 года назад

      @Alessandro Cristian flixportal :P

    • @alessandrocristian6839
      @alessandrocristian6839 3 года назад

      @Otis Kamden Thanks, I signed up and it seems like a nice service =) I really appreciate it!!

    • @otiskamden1757
      @otiskamden1757 3 года назад

      @Alessandro Cristian Happy to help xD

  • @lisayusuphu9195
    @lisayusuphu9195 3 года назад

    waooh asikofu wangu mungu akubariki sanaa

  • @celinayohane7994
    @celinayohane7994 3 года назад

    Mungu awabariki

  • @pastorshadrackruben9673
    @pastorshadrackruben9673 3 года назад

    Hongeren kwa ugeni mkubwa

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 3 года назад

    Safii sana

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 года назад

    Mh

  • @theotimumuhairwe1693
    @theotimumuhairwe1693 3 года назад

    Mungu apewe sifa

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 3 года назад

    Amen

  • @marianalingigwa468
    @marianalingigwa468 3 года назад +1

    May Almighty God bless you, I understand you sir Emanuel Mgaya,Mungu aende pamoja na wewe

  • @theresialubida7335
    @theresialubida7335 3 года назад

    Ameni naiwe ameni naiwe

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 года назад

    Naona Bunge hatimae limekuwa muhimu kuliko kazi ya Mungu,lkn tulikuonya

    • @kennedymboma8268
      @kennedymboma8268 3 года назад

      Weunaumia nini

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@kennedymboma8268 yeye ndiye analalamika kuwa muda unampungua,sasa unasema kuwa kinaniuma nini,muulize yeye analaumu nini kuhusu kukosa muda wa kutosha kufanya kazi ya Mungu,wabongo jmn,muwe mnasikiliza siyo kukurupuka

    • @elizabethkisogole34
      @elizabethkisogole34 3 года назад

      Kikunwa amefika kinyume cha tarajio

  • @noahyavinmlela859
    @noahyavinmlela859 3 года назад

    Sawa sawa mtumishi tuko pamoja amen 🙏 Mwanza-Kanyama

  • @dadarehema
    @dadarehema 3 года назад +2

    Ngwajima wewe msaport Masanja kama wengine tunavyomsaport acha kupindisha maneno.Sabato imeandikwa kwenye biblia na sio kwamba kuna wafuasi wa mtu fulani,acha watu wasome biblia waujue ukweli.Barikiwa.

    • @fredykindimba8793
      @fredykindimba8793 3 года назад +1

      Kweli kabisa

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 3 года назад +1

      Sabato inabidi waokoke,Maana hatuishi kwasheria tena bali kwaneema, mambo ya kuhesabu dhambi kwa ulaji wa vitu mfano nidhambi kula nguruwe,nidhambi kunywa chai ya rangi nimambo ya agano la kale ila YESU aliyabatilisha hayo niliyo taja waziwazi sasa wewe ufuataye sheria utapata matunda Gani? Yesu anawapenda okokeni

    • @stevenhinjo9664
      @stevenhinjo9664 3 года назад +1

      @@johnzacharia2308 je unadhani Mungu aliyetamka sabato au alipozuia ulaji wa nyama ya nguruwe nk je Mungu alikosea? Unadhani Yesu alikuja kusawazisha makosa? Lakini pia tafakari kidogo mathayo 5:17

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 3 года назад +2

      @@stevenhinjo9664 mpendwa Mungu kipindi cha agano la kale alikuwa anasema na watu wake kupitia mitume na manabii, mfano alimtumia mtumishi wake Musa kuleta amri zake duniani, hilo La nguruwe bila Shaka yoyote yeye ndiye aliyekataza, Ila sasa Alipomtuma mwana wake YESU KRISTO aje duniani nikwalengo lakututoa katika sheria natujitambue kuwa neema imekuja kwetu na tunaokolewa kupitia Kristo aliye zibeba dhambi zetu pale msalabani, sasa basi MUNGU aliyempa sheria MUSA kwahabari ya mtu atakaye zini afukiwe kwenye shimo then apigwe mawe mpaka afe ndiyo huyo MUNGU aliye mtuma mwanaye nakusema samehe Saba Mara sabini naumlipe mtu ovu kwa ovu, MUNGU aliyesema na MUSA kwahabari ya sabato nisiku yakumwabudu Mungu nahaitakiwi kufanya kazi yeyote ndiye Mungu huyohuyo kupitia mwanaye YESU Kristo aliwaponya wagonjwa siku ya sabato,wanafunzi wake kukata masuke siku ya sabato na washika sheria wadini mafarisayo ambao kwasasa ndio wasabato wakamwuliza wawezaje kufanya haya siku ya sabato aliwajibu enyi wanafiki,mwanapunda wako akizama kwenye shimo siku ya sabato huwezi Mwokoa? NA MUNGU aliyeruhusu talaka kwa wanandoa kipindi cha MUSA mtumishi wake je siyo Mungu huyo kupitia mwanaye YESU Kristo alipo ulizwa kuwa nihalali kumpa talaka mwenzi wako alicho jibu si halali naakatoa sababu kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu ndio maana Musa aliruhusu hilo kadhalika na swala la nguruwe ilikatazwa ila yeye mwenyew alimwambia petro usiite kiumbe nilicho kiumba kuwa najisi ,kimwingiacho mtu hakimtii unajisi Bali kimtokacho soma vizuri wakolosai sasa jiulize wamfuata YESU au musa ?maana hakuja kutangua torati ila mambo yamebadilika kupitia neema aliyo ileta na amri ya upendo, alafu tatizo la wasabato hamsomi agano jipya ambalo ndiye Yesu mwenyew na mafundisho yaletayo uzima na hamjui katika agano la kale lipi la kubeba lipi yesu kapinga mnabeba yote mwisho wasiku mnakuwa mafarisayo na masadukayo wapingao injili ya YESU na kufuata sheria za musa namapokeo ya wazee wao

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 года назад +1

      Barikiwa sana mtumishi

  • @gracelori5029
    @gracelori5029 3 года назад +1

    Mungu azidi kuulinda ufalme wa Mungu,kupitia kila mtumishi anaye jitoa kwa kazi yake.