Goli tano mpaka saba uto zinawahusu na kujibu swali la zile goli tano walizotufunga last season walizitoa wapi? Ngonga like mwanangu kama umeisoma comment yangu💪💪💪🦁🦁🦁❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hongera sana bodi ya simba akiwemo tajiri mkubwa Africa mashariki mo Mungu akubarikiii sana sisi mashabiki tulimiss sana ushindi mnono nina uhakika kwa mashine hii haponi mtu nawaona nyuma mwiko wanavyoteseka 😂😂 tar 19 wataleta timu lupaso kweli hataree
Asanteni viongizi wetu hatuna deni kwenu, mm mwnyw nlkw natamani Mpanzu aje Simba ila kiukweli nilishakata tamaa, nimefurahi sannnnnaaaaaa, natamani dirisha lingeruhusu akaingia na ligi ya ndani na trh 19 akacheza ila frsh tu, muhimu tumempata
Ataanzia Makundi shirikisho lakini ligi ya NBC ataanza baada ya dirisha dogo, dirisha la CAF kwa timu zilizoanzia second preliminary limefungwa tarehe 30/09 kwa hiyo anaruhusiwa kucheza.
Tumalizeee na fei watu wasosonenekee boss moooooo umeionaaa iyooooooooooo tunakupendaaa sanaaaa tumekukubaliiiiii FEISALI SALUM uwe mwishooo wa ubaya ubwelaaa
Goli tano mpaka saba uto zinawahusu na kujibu swali la zile goli tano walizotufunga last season walizitoa wapi? Ngonga like mwanangu kama umeisoma comment yangu💪💪💪🦁🦁🦁❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Labda kama akina saido warudi
@@jasonwatz7457 mpaka utasema na mwisho wa siku utaelewa tu kuwa huu ndo UBAYA UBWELA
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊qq1111111111¹1¹¹¹¹111¹1¹1111111
❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ura yetu kama wana simba tuna itaji kuona ushindi zidi ya wapinzani wetu Kama tuko pamoja Tia like apo
Sijaelewa ura yetu?
❤❤❤❤❤❤❤
😂😂❤ Tarehe 19 tukutane 😂
Rau yetu sio ura yetu
@@youngsir5809😅😅😅😅
Nguvu moja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kumbe fadlu ni scouting pia, ndio maana hata Ateba ni mali Kutoka kwenye pendekezo lake
Naomba ombi la mechi yetu na hao utopolo aweeee Baraka Mpenjaaa atupe rahaaaa sisi Wana UBAYA UBWELA ❤
Mungu awalinde viongozi wa Simba wachezaji na mashabiki
Ameeen🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Aaamen
Ameeen 🙏
Boss asinyang'anywe beg lapesa ad fei toto atapotua unyamani..simba nguvu moja..ubaya ubwela
Tajiri kakasirika
Tajiri kaamua kwakwel
Amesema mzee Masatu tajiri anyang'anywe begi la pesa😂😂😂😂😂
Haaa Kwa usajri wa kibabe wa msimu huu kwel tajir anyang'wanye wallet maana naona kuna watu wanaenda kukimbia hii ligi😂
❤❤❤❤❤ simba naipenda sannaaa mimi moo niboss wangu lazimaniheshimu kaz yagu mooooo apewe mauayakeeeee
wanao mkubali moo gonga like hapa moo atumie tuko wangapi wana simba tunao mkubali
Hongera sana bodi ya simba akiwemo tajiri mkubwa Africa mashariki mo Mungu akubarikiii sana sisi mashabiki tulimiss sana ushindi mnono nina uhakika kwa mashine hii haponi mtu nawaona nyuma mwiko wanavyoteseka 😂😂 tar 19 wataleta timu lupaso kweli hataree
❤️ALHAMDULILLAH❤️ 🇹🇿 🇦🇪 This Is SIMBA brother ❤️ karibu Mpanzu UBAYAAA UBWELAAA ❤
Kaz ndo hiyo sasa tunayoipenda simba yetu❤❤❤
Bakiaaa Fei Toto ndio upinzani wajaze kibwebwee😂😂😂yaani iweee zaidi ya UBAYA UBWELA😅😅😅
Ubaya ubwera ndio kwanza umeanza
Yaani ulivyowapanga mpaka nikahisi kushangilia kabla hata mechi haijachezwa❤❤❤❤❤❤❤❤simba
Anakuja kuongeza malalamiko
😂😂😂😂😂😂 ila wew
Kweli watalalamika sana
Naipenda Simba milele ❤️
Simba yetu mambele tumevimba
Lulu imeingia Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤simba ni shoo shooo
Το μόνο που θέλουμε τώρα είναι τρόπαια και καλή μπάλα. Η δουλειά που έχουν τελείωσε. Ο Mparu kasha επιβιβάζεται στο Ελληνικό πλοίο. #One power🦁
Simba raha2
Simbaaaaaa watu tuta zidi. Kunenepa jamani yani kama ugali wa dona mboga zimetimia kasoro kitungu tu watuletee fei jaman simba nguvu moja😅❤
Asante sana semaji la Caf tunakupenda sana wanasimba
Safi sana simba mnatupa raha niende wapi mimi simba nimefika kwa mpira huu acha niteswe na man u lakini simba nina timu💪💪💪💪🔥🔥
❤❤❤❤❤❤ love simba ya ubaya ubwela🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana mo na bodi nzima tunaamini hatuna miaka 2 ubingwa wa Afrika
Kweli simba ipo sawa semaji letu .Mungu awepamoja nasi
UBAYA UBWELA 🔥🦁🇹🇿
Kushoto,katikat,kulia,pote moto huu ni msimu wa kutoa huo mwiko nyuma😮😮
😂😂😂😂hataree sanaa
😂😂😂😂
❤❤ ubaya ubwela ❤❤ ubaya ubwela 😃😃😃💯💓 ubaya ubwela
Mungu aendelee kulinda Simba yetu amina
This is simba nguvu Moja
Sana semaji ❤❤❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela 🔥💯👍 Karibu sana brother Eli Mpanzu ❤
Mungu awalinde viongozi wachezaji na makocha ilituyafikie malengo ya timu yetu ya simba
Hongera sana viongozi wa SIMBA SC❤❤❤❤❤❤
✍️ Mabetu &Co
Hakika simba yetu enaendelea kuboresha kikosi kwa mwendo huu tutafika mbali sana❤❤
Mungu aiyongeze simba
Chama kashasaulika kwa dakika chache duh bora ya okwi ndoalisumbua🤣🤣
Tunashukur Mungu tunamshukuru mo dewiji the big boss Afrika kutuletea mpanzu tamanio letu . Simba nguvu 1
Mungu bariki simba
Yessss Mungu ni mwema
Asante tajili🦁💪
Mo mungu amrinde anatupa furaha sana Simba nguvu moja
aweeee mpanzu karibu ndan ya wanarunyasi 🦁
vp na Feitoto semaji la caf
Fey anamkata wenye kipengele kigumu mno hivyo kuja simba inawezekana ila ngumu
amesema yupo tayari kurudi yanga kama watamtaka...kwahiyo bado ana damu ya yanga achelewi kuuza code
@@huseinaly5163😂😂😂
❤ mnyama nguvu mojaaaaaa💪
5:24 Hongera Simba kwa mpanzu
Asanteni viongizi wetu hatuna deni kwenu, mm mwnyw nlkw natamani Mpanzu aje Simba ila kiukweli nilishakata tamaa, nimefurahi sannnnnaaaaaa, natamani dirisha lingeruhusu akaingia na ligi ya ndani na trh 19 akacheza ila frsh tu, muhimu tumempata
Mungu ibariki Simba yetu tumeona aibu sana
Mpanzu ni zaidi ya usajili tumalize na fei, kinzumbi tukutane cairo fainali CAFcc nguvu moja💪🦁❤
Wana simba wenzngu kuna anayemkumbuka chama kwa raha hzi jmn😂😂😂😂😂😂thubutuuuuu
Hakuna 😃
😂😂😂😂😂hatuna kumbukumbu nae mbona
NI mtu wa wapi huyo?
😂😂😂😂😢😅 nimeipenda hiyooo chama gani ACT AU CCM
Mwamba wa rusaka tutamumic sana 😢 Triple C
❤❤❤❤ smba nguvu moja
nakupenda msemaji wetu,Simba nguvu moja
❤❤❤
Asante rais wa heshima simba nguvu moja
MUNGU ibariki Simba Mungu ibariki Tanzania
Alhamdullilah!!
Asante mungu kwa Elie Mpanzu
Simba nguvu❤❤❤
Of course ndo lvyo👍👍👍
Alhamdulillah 🤲
Wajina Thobias upo vizuri upo na semaji la cuf champion's
biliani tupa kule sasa ni wali wa mawese BABABABAKEEE gonga like hapa kama unasubiri wali la mawese❤❤❤
Hahaaaa et wali na namawese😂😂😂😂 I love you Simba❤❤❤❤❤
@@ceedanstan6780 nguvu moja💪💪💪😅
Hapa ubaya ubwelà unaendelea na pumzi ya Moto watu wanavuta msimu huu ❤
Simba nguuvu moja 🔥 ubaya ubwela
Nakubali simba nguvu moja
Ubaya ubwela❤❤
Kwan mpanzu anaanza kucheza lini
Anaanza kucheza mech za kimataifa
Makundi shirikisho anacheza
Ataanzia Makundi shirikisho lakini ligi ya NBC ataanza baada ya dirisha dogo, dirisha la CAF kwa timu zilizoanzia second preliminary limefungwa tarehe 30/09 kwa hiyo anaruhusiwa kucheza.
Mwezi December
2024
Mwezi December
2024
Simba nguvu moya❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu moja ❤
Yaan simba raha tupu❤❤❤❤
Jamn naipenda simba
🦁🦁🔥🔥
Hakika Simba nguvu moja 🦁🦁💪💪💪
This is SIMBAAAA🔥🔥🔥🔥🔥
Nikweli semaji naamini maneno yako tena sana
❤❤❤ ubaya ubwellaaa
ubaya ubwela
Ubaya ubwela
🎉🎉🎉🎉
HII🦁SIMBA🦁HIII🏆🏳️🚩🚩🔥
Mashabiki bingwa tunasikiliza sauti Bora na nzuri ya semaji la cuf
This is 🦁
Tumalizeee na fei watu wasosonenekee boss moooooo umeionaaa iyooooooooooo tunakupendaaa sanaaaa tumekukubaliiiiii FEISALI SALUM uwe mwishooo wa ubaya ubwelaaa
Kuna balaa lingne toka congo 🇨🇩 kinzumbiiiiiiiii
Aisee Fei Toto namkuli sana natamani san kumuona ndani ya Simba yetu
Tayari Simba imeshawaka Moto uko juu kuleta heshima waooo
Baba baba nakubaliii
Simba. ❤❤❤❤❤❤
Ubaya Ubwela 🦁#Nguvumoja💪
Nguvo moja 💪🏿 UBAYA UBWELA
Simbaaaaa❤
Viongozi apo wamecheza kama mbele🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Atar🎉mambo ni motoooo❤
Ubaya ubwelaaa
Kaka mwalimu wasimba mkomuondoa fadru kocha nami naondoka simba
nakubali sana semaji
Ubaya ubwera ❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥
Aiseee tajiri tajiri tuuuuh kudadeki kwa simba hii labda waroge