HATMA YA KUZIKWA TAJIRI WA MADINI MKE AENDA MAHAKAMANI ZUIO LATOKA WANANCHI WATAWANYIKA MOCHWARI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 109

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 Месяц назад +1

    Huyu anamwita mme wake akiolewa Tena hyo nae atamwita mme wake vip kuhusu baba anaweza kuja mtoto mwingne wenyewe wasimamie mali zao mwili waachie ndugu zake jaman msiba wa ndugu unauma nyie

  • @belindashija4452
    @belindashija4452 Месяц назад

    hongera sana kwa kusubutu mtu mmoja….wanawake wa has he sana nimejifunza kitu hapo

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j Месяц назад +17

    Yani misiba yakichaga inatia aibu tamaa wameweka mbele ndugu wamume mara nyingi wananjaa sana 😂😂😂

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Месяц назад

      Ndo maana siku mkiwapa Uongozi mkubwa Serikalini Hawa , mtalia 😢yani,Sijuwi Mali huwa wanaona ndo Nini? Halafu wote,wanawake,wanaume,watoto,Mali,Mali,Mali hawana utu😢

    • @Osm90-m3j
      @Osm90-m3j Месяц назад +2

      @@israelkisaila8401 Wabaki hivyo hivyo wapewe nanani wapuuzi Hawa kama msiba tu wanaleta shida je wakipewa inchi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Месяц назад

      @@Osm90-m3j kabisa wabaki hivyohivyo

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Месяц назад

      ​@@israelkisaila8401umasikini tuu una wasumbua hamna kingine hata ingekuwa ww huyu ni baba yako ungekuwepo hapo ukibwata bwata 😂😂

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Месяц назад

      @@deogratiusyudatadei5658 tunakubali umaskini lakini MUNGU katujaalia utu,SIYO ninyi wachaga na roho mbaya zenu, mahakama zote za kaskazini,zimejaa majalada ya kesi za Mali,Mali,Mali.mnatia aibu sana.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Месяц назад +2

    Nlijaribu sana kutafuta mchumba ambae Hana ndugu Wala wazazi nimekosa Kwa ajili ya huu ujinga😢

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Месяц назад

      Shida siyo kuwa na ndugu ww tafuta mchumba mtafute vyenu kwa pamoja ww unatafuta mchumba asiye na ndugu Ila awe na Mali utasubiri sanaa😂😂

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 Месяц назад

      @@deogratiusyudatadei5658 Sasa huyu alitafuta na nani muda wote? Hebu jiulize kama aliowa Na ana watoto Leo ndugu wanajitokeza Hawataki kuskia kama ameacha watoto Wala mke unataka kuniambia walitafuta nae🤔

  • @LaurenciaKitauli-or8rr
    @LaurenciaKitauli-or8rr Месяц назад +5

    Tujifunze kuandika wosia . Wamenikumbusha mbali sana. Nami ni mjane ! Kama mwili ni hivi . Je mali ?

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 Месяц назад

      Wachaga hata ukiandika wosia wataukataa sio wa marehemu

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 Месяц назад +1

    Tamaa mbaya

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 Месяц назад +5

    Ndugu wa marehemu wanataka kudhurumu Mali hakuna kingine 😞

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty Месяц назад +10

    Wakupe mume wako akazikuwe alopo semaga namali zote nizako nawatoto wako ao dugu wajiga sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад +5

    MPO SAHIHI SANA MAHAKAMA MSAIDIENI HUYO MAMA MJANE. TENA MSIMAMIENI NAONA WATAMNYANG'ANYA NA VITU VYA MAREHEMU. MTU AKIFA WANAJITOKEZA MATAPELI HAO. KWELI WAJANE TUNAKAZI SANA HUO NI UONGO MAREHEMU ALIACHA WOSIYA WAPI?HUO NI UONGO TUU.

  • @johnwilliam8980
    @johnwilliam8980 Месяц назад +6

    Wachaga ni shida mbona wakati wanafunga ndoa hawjazuia ila kwa kutaka kumdhulum wanakuwa wakali

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s Месяц назад +3

    Je angekufa mke wake upande wa kiken wangetaka maiti msingempa nawajuwa wachaga mpen maiti yke azike na watoto wake nn lkn

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Месяц назад +3

    Marehemu angekua maskini hata kwenye kuzika wasingefika tatizo mali

  • @hyy4114
    @hyy4114 Месяц назад

    inna lillah wainna illahy Rajioun Jmn tuwe na huruma na maiti mtu kajifia maumivu ya kutolewa roho anaijua mwenyewe wann sasa mnamdhalalisha si mpatane mmzike mwenzenu akakumbane na aloyavuna wann sasa kumfanyia hv😢

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад

    Safi sn

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p Месяц назад

    Ira jamani na huyu mwanamke mwingine tena eti mzazi mwenzake na marehemu hata aibu hakuna hizi mali jamani

  • @dorcasPhyuza
    @dorcasPhyuza Месяц назад

    Yn wachnga ....laana sumaakaa🙌🙌🙌

  • @husnashoo6286
    @husnashoo6286 Месяц назад +1

    Jamani mdogo wangu nakuomea huruma pole sana

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 Месяц назад +9

    Kuwpuka migogoro kama hii nawashauri
    Ndoa iheshimiwe na watu wote

  • @NelsonMuindee
    @NelsonMuindee Месяц назад

    Siku hizi mwanaume anapata shida akiwa hai mpaka akiwa marehemu.ndio maana tunatakuwa tuendeleze siku ya wanaume duniani.poleni familia wote .

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад +12

    NA NYIE NDUGU WA MAREHEMU MNANG'ANG'ANIA HUYO MAREHEMU KWA NN MNAFANYA HIVYO?MNAMNYANYASA MJANE. SERIKALI HAO WAMEZOEA KUMZURUMU MJANE ACHENI UNYANYASAJI. MKE WAKE NDY NI HALALI. HY FAMILIA INATAKA NN?WASHEZI HAO

    • @hassanthabit3726
      @hassanthabit3726 Месяц назад

      Co kumdhurumu meme akiwa hai ndio una mamlaka nae akifariki ndugu zake ndio wana mamlaka nae

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Месяц назад +1

      ​@@hassanthabit3726Unaongea kwa busara gani? Kuna ndugu wa mtu zaidi ya familia yake hasa watoto? Ebu tuliza akili!

    • @Osm90-m3j
      @Osm90-m3j Месяц назад

      @@hassanthabit3726 Wwe Muslim unajua Sheria zetu wakrist au unaropoka Sheria ya ndoa yetu haifanani hata punje tuliza komwe kama haujui mambo

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 Месяц назад +2

    Kumekucha diss umeacha watu wanangombana mungu tusaidie mke amzike mume wake yote hayo no taama za mali

    • @zamzanimakundi2546
      @zamzanimakundi2546 Месяц назад

      Na ujanja wote dc anataabika kisa vitu vidogo.wakae mezani wazazi watoto mke waelewane tuu.yote hiyo ni uchu wa mali kwa wote.lala salama kaka yangu dc

  • @SiahMoshi
    @SiahMoshi Месяц назад

    Mungu atusaidie Dunia imefik pabaya

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f Месяц назад +2

    Mimi naona ki dini mke kama kaolewa wa mupe mume wake akamuzike yeye

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z Месяц назад

    Jamani mali ni za watoto na kwanini ndugu wanaingilia maali za watoto na mke

  • @mkubwakasim1470
    @mkubwakasim1470 Месяц назад +3

    Misingi ya dini ni muhimu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Месяц назад +2

    Mnaburuza midira yenu kwakuwa Kuna chakula na vinywaji.angekua lofa kila mtu angetoa udhuru

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Месяц назад

      Na angesha zikwa siku nyingi😂😂😂 wachaga na wapendaga hapa tu ukiwa huna kitu unazikwa chap

    • @AsiaAthumani-ew1gv
      @AsiaAthumani-ew1gv Месяц назад

      ​@@deogratiusyudatadei5658😂😂😂😂 hakuna kuremb ila uwe nacho sasa😅😅 utafik mbngun umechoka kwa hekahek za ndugu😅

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Месяц назад

      @@AsiaAthumani-ew1gv ni hatari mm nimchaga Ila nimewanyooshee mkono ase

  • @NasmahSaid
    @NasmahSaid Месяц назад +1

    Ndio ile ya toboa tobo

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад +1

    Yaani mtu umefiwa mume tena umeachiwa watoto ila watu wanakupa tena msiba mwingine wa vurugu

  • @yohanakateko
    @yohanakateko Месяц назад +1

    Mke wake ndo ana haki zote ndugu kaeni pembeni

  • @sashaliMbonde
    @sashaliMbonde Месяц назад

    mpenzi mumewake ndugu mbona mko ivo asa wachaga amuelimiki tuu mpaka leo

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Месяц назад

    Hata ningekua ni Mimi nisishirikishwe kinachoendelea ningesala tu.

  • @SATULEJUCCA
    @SATULEJUCCA Месяц назад +7

    Mke apewe mme wake akamzike. Huyo mwanamke ndiye mwenye uchungu halali na marehemu. Ndiye anayejua machungu na matamu waliyopitia. Nyie wachaga nao vp bana?

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Месяц назад +2

    Mali nishida kubwa sana.

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад +1

    Ee mwenyezi MUNGU nijaalie na mimi kipato niwe na mwanasheria

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Aliye nacheti chandoa ndoazike mmewake

  • @samwelombeni6850
    @samwelombeni6850 Месяц назад

    Neno alasiri mchana ndio limenivuruga;😊

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala Месяц назад +1

    Kina Temu shemeji yenu mmemsahau hata watoto?

  • @LovenessShirima-hw7un
    @LovenessShirima-hw7un Месяц назад +1

    jmn 😢😢😢😢

  • @geey7893
    @geey7893 Месяц назад

    Wachaga wana tamaa za mali kuliko utu. Kesi kama hizi utazipata uchagani tu sjui wamelaaniwa.

  • @NeemaMweta
    @NeemaMweta Месяц назад +3

    Njaa za wachaga acheni aibuu watani zangu mnajifanya kujua sana mpeni.mwili wa mmewe

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Месяц назад

    Wachaga kwa pesa mnatia aibu mnagombea maiti??

  • @HadijaMsangi-e7n
    @HadijaMsangi-e7n Месяц назад

    Kama sheria ya dini ni mke mmoja huyo mwingine nae katoka wapi? Jamani njaa mbaya

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw Месяц назад

    Tafuta pesa ili ukifa mwili wako ugombewe

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p Месяц назад

    Jamani hizi mali

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад

    Ndugu wa mke muwe makini na mfiwa yani mjane asijepewa hata sumu

  • @yohanakateko
    @yohanakateko Месяц назад

    Ndugu fanyeni anavyotaka mke wake bhana

  • @agripinamallya7433
    @agripinamallya7433 Месяц назад

    uyo mke ni kifaruande .... kwann anyimwe nafasi

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Месяц назад

    Haya yote yanaendelea maiti iko tu?? Watu wana moyo MUNGU nijalie riziki kama upendavyo

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад

    Wachaga aibu sn sn

  • @AlexnderAnzigat
    @AlexnderAnzigat Месяц назад

    WANAPENDA PESA KWELI MKE NA MUME NI MWILI 1 INAWAUSU NINI KHAAAAAA

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 Месяц назад +3

    Yaan mali zitawatoa roho watu wajinga,aliyeolewa ni mmoja je hawa wengine wanatoka wapi au na wao waliolewa na marehemu😅

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Месяц назад +2

      wachaga wanalaana kwenye Mali aisee .mtu ana Mke tena wa ndoa na anawatoto shida Iko wapi wakati na harusi Yao waliudhuria? na angekua Hana ndoa ninachokiona wangemkana jamani

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 Месяц назад +1

    WANASHERIA WAHUNI. HATA KAMA AJUA ATASHINDWA ANAMANENO MENDI ILI UTOE FEDHA

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je Месяц назад

      Wahuni hawa wako kifedha zaidi hata kama anajua kesi anaenda kushindwa anakupiga hela

  • @agripinamallya7433
    @agripinamallya7433 Месяц назад

    picha linaanza aliyekuwa hospitali anamlea mgonjwa ni dada yake na marehem wewe mke ulikuwa wap

  • @AlexnderAnzigat
    @AlexnderAnzigat Месяц назад

    DUUUUUUU WACHANGA MATAIRA KWELI

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад

    Nifa mimi maskini hakuna hata anae nigombania

  • @agripinamallya7433
    @agripinamallya7433 Месяц назад

    Mumevwako Kafariki Wewe mwanamke unapata wap nguvu za kwenda mahakamani ......, akili ya kuanza kesi Unaipata wap ...... utakataa tukikwambia umemuua mume wako ili upate mali?

    • @DorothyFrancis-j5z
      @DorothyFrancis-j5z Месяц назад

      Kwahiyo kama America ndiyo akae kiboya? Hivi akili zako ziko vizuri kweli? Kwahiyo ulitaka akae kimya?

    • @benedictaoshoa5254
      @benedictaoshoa5254 Месяц назад

      Yaani kwamba asingepambana kupata haki yake kama mjane na watoto 7alioachiwa akaendelea kulia tuu unadhani machozi yake ndo yangetoa haki kuwa kama mke halali anapaswa kumzika mumewe?
      Kwani hao ndugu hawajui kuwa mke alipaswa kushirikishwa ktk taratibu zote za mazishi?
      Acheni kutetea ukatili hadharani,,,huu ni ukatili wa kijinsia na kifikra Kwa kuwa ni wakike

  • @NasmahSaid
    @NasmahSaid Месяц назад

    Ndio unakuta inaanza vita pesa mwana haramu

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 Месяц назад

    KUSHIRIKISHWA CO MMILIKI WA MWILI.

  • @jombilozoo
    @jombilozoo Месяц назад

    Kaskazini kama wamezaliwa benki

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад +1

    Mh!!

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Месяц назад

    Nani kakuambia uje si mlijua kuna ulaji.angekua kamera mngekuja?

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 Месяц назад

    AFA UFARA WEWE MTOTO NA KAKA WA MAREHEMU MKEE WA MAREHEMU NA BABA WA MAREHEMU NA KAKA WA MAREHEMU NANI ANAHAKI.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Месяц назад

    Huyo ni mwanzo tu kinachochibwa hapo ni mali

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 Месяц назад

    HAWANA USIA HAO NA KAMA UPO ATOE BABA AU KAKA

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Месяц назад +4

    Haya manamake nayo msikingie kifua.Mwanamke wa leo akishaolewa tu,anaanza kampeni kuvuruga ndugu na ukoo.Ww.umefiwa unapata wapi nguvu ya kuhangaika mahakamani.Hapo shida ni mali.

    • @yahayammbaga1839
      @yahayammbaga1839 Месяц назад +2

      Kwani ndg wa marehemu wasimsikilize mke wa marehemu?

    • @Ashrey82
      @Ashrey82 Месяц назад +5

      Lazima atetee Mali za Watoto wake akilemaa tu zimeenda hapo!

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono Месяц назад +3

      Sahizi ukifiwa usilie kijinga watakunyanganya kila kitu huyu dada anatetea mali za watoto wake

    • @AnnaFelix-p1z
      @AnnaFelix-p1z Месяц назад

      Shelia yatoka wapi ndugu waingilie Mali za familia vitu vyote ni vya watoto

    • @dottojumbe-jk5gg
      @dottojumbe-jk5gg Месяц назад

      Huyu mkewe hana kitu hapo kaoa picha tu bado mtoto wa mama unatetea ujinga ukioa unaanzisha familia yako na shida zako na raha zako na mkeo sio kwenu kama huwezi si ubaki kwenu unaoa nini sasa.

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 Месяц назад +1

    Kisa ni mtu wa madini na anayo ela,ulaku mtupu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Месяц назад

    Hapo ni.mali tu.hinaitajika hapo

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Месяц назад

    Pambana dada umzike mume wako wakwe wote ni mafisi

  • @NeemaMweta
    @NeemaMweta Месяц назад

    Wivu wa mali mpeni ushirikiano mkewe

  • @omaryibrahimu7822
    @omaryibrahimu7822 Месяц назад +1

    Duuh

  • @LeordegardMasaki
    @LeordegardMasaki Месяц назад

    Apewe mwili wa mume wake akzike

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 Месяц назад

    Wakili kisanga ukovizuri pigakazi

  • @NBTVIEW
    @NBTVIEW Месяц назад

    Mambo ya mali