MAUAJI TANGA! MKE NA DADA WA KAZI WANYONGWA NA KUTOBOLEWA MACHO WAKIWA NDANI, MUME HAJULIKANI ALIPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 165

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania Месяц назад +17

    Yan nikikumbuka vile tz ilikuwa yasiwa kwa aman Leo hii twaogopana😢 Eeeh Mungu tusaidie hatuwez bila wewe Mungu wangu 🙏

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Месяц назад +24

    Wameshatoka Dodoma Sasa wako Tanga ee Mungu tunakulilia

  • @rockzenamtui6296
    @rockzenamtui6296 Месяц назад +8

    jamani haya mauwaji yamezidi mno. cjui ni nini kifanyike kwa kweli

  • @elizabethrichard7694
    @elizabethrichard7694 Месяц назад +3

    Tumlilieni sana Mungu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад +9

    Innalillah wainan lillah rajoun 😭 Allah awape kauli dhabit

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Месяц назад +11

    Tuendeleeni tu kusifia chama chetu ila dah jamani Kuna kitu kinaendelea atujui tz mambo yamebadilika Atari hii jamani

    • @kusinimojatv
      @kusinimojatv Месяц назад

      Kwan unajua alie uwa mbona autuambii

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 Месяц назад +2

      HAPO CHAMA kinaingiaje???

  • @Ambwene
    @Ambwene Месяц назад +9

    Muuaji kashasema Nyie endeleeni kumuita Muuaji tuu 😅😅😅😅😅😅

  • @ChristianSiwale-iw7ex
    @ChristianSiwale-iw7ex Месяц назад +2

    😭😭😭 twakuomba mngu utusikie haya tunayokuomba sisi niwatenda zambi tunakuomba utusamehe zambi zetu

  • @maryNdakidemi
    @maryNdakidemi Месяц назад +3

    Dooo poleni sana jamani😢😢😢

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f Месяц назад

    Inasikisha na inaumiza. Innalilah wainsilah rajuuni. Alowadhulumu rohozao kesho atajuachakujibu

  • @ShamimuKanju
    @ShamimuKanju Месяц назад

    Mwenyeezi Mungu tunusuru

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba Месяц назад +10

    Inawezekana baba mwenyenyumba katekwa

  • @amanakyando7435
    @amanakyando7435 Месяц назад +16

    Daaah umaskini mbaya dada wa kazi kaja kujitafuta ana ambulia mauti

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Месяц назад

      Unasema umaskini mbaya mbona na tajiri yake nae kafa!!!

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 Месяц назад

      Sasa kilichomleta hapo si ni shida,asingekuja kufanya kazi si wangeuana matajiri wenyewe?​@@mamboshepea8888

    • @sarahkwamboka8190
      @sarahkwamboka8190 Месяц назад

      ​@@mamboshepea8888Umasikini ndo ulimleta kwa tajiri, mwishowe naye kafa. Isingelikuwa ni umasikini wala asingekuja kutafuta kazi

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g Месяц назад

      ​@@sarahkwamboka8190kabisa pengine ni ugomvi wao maskini aujui ila ameuliwa kwa kua atatoa maelezo

  • @modestaBarani-b3m
    @modestaBarani-b3m Месяц назад

    Poleni sana

  • @فيصلالبادي-ح1غ
    @فيصلالبادي-ح1غ Месяц назад

    Haaaa kumbe kivumbi tifu nakujua huko poleni sanaaa 😢😢😢😢😢wafiwa mh tanga tena jamani nijuzi tu korogwe leo tanga mjini 😢😢😢😢😢😢😢

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika Месяц назад

    Wanadamu binadamu wataka nini katika maisha haya?. Poleni sana ndugu zetu.

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 Месяц назад

    INA LILAH WAINA ILAH RAJOUN 😭 Tanga mnanini jmn mbona mnabadilisha Tabia za jijiletu😭😭🇹🇿naungulika nikiwa Omani 😭😭

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

    Inalillahi wainailahi rajuun. ... Allahu akibarr😭

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 Месяц назад +1

    Jamaniii😢

  • @claraadolfu6685
    @claraadolfu6685 Месяц назад

    Mungu tusaidie

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Месяц назад +1

    Hivi hawa wauwaji wanataka tuishi dunia ipi 😢 watu wanaishi na hofu kwa sababu yao, hivi wao hawatakufa roho mbaya tu.

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Месяц назад

    Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun huu ni mtihani kila kukich mauwaji 😢

  • @ElinahStephano
    @ElinahStephano Месяц назад +5

    Watu hawaogopi kuua sku iz Mungu tusaidie

  • @OmanBahla-d2p
    @OmanBahla-d2p Месяц назад

    Subhanallah Allah tulinde waja wako

  • @saudaAlly-g7y
    @saudaAlly-g7y Месяц назад

    Tanzania 🙌

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +15

    WALE MACHAWA WA CCM ENDELEEN KUIPONGEZA SERIKAL YA USENGE , NA MKUMBUKE MACHAWA SIKU ZOTE WANAULIWA WAO , MACHAWA WANAOSIFIA SERIKAL HII MKIKUTWA NA HAYA MTATULIZA VIPAPA VYENU MANA MKIAMBIWA SERIKAL YA KICHOKO HAMUELEW

    • @AthumaniAmiri-fv5zp
      @AthumaniAmiri-fv5zp Месяц назад

      Haya yanahusiana vp na kifo hiki

    • @nyakwesichanzi3832
      @nyakwesichanzi3832 Месяц назад

      Mtuachie raisi wetu

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад

      @@AthumaniAmiri-fv5zp Unatak uhusike mkundu wako au unatakaje , hujielew ww mwenye wajibu wakulinda raia na mali zao ni nan?? Na kiongoz anaeongoza jeshi lakulinda raia ni nan?? Kama ni mkundu hujui rudi shule ujue wajibu wa viongoz wako sio kusema nyoko nyoko tu

    • @AthumaniAmiri-fv5zp
      @AthumaniAmiri-fv5zp Месяц назад

      @@ShaulizSeleman sasa rais ana uwezo gani wakuzuia ugomvi wa mke na mume sabab hapo ishu ni mume kamuua mkewe enhee yeye rais huko dareslam alipo anawezaje kumzuia mume aliepo tanga asimdhuru mkewe
      Shukran kwa matusi yako ALLAH atakulipa

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@AthumaniAmiri-fv5zp CHOKO WW HIVI MPK KIONGOZ ANASHIKA MADARAK YAKUONGOZ NCHI ANAONGOZA NN SAS, NA WAJIBU WA POLIS NI KULINDA RAIA NA MALI ZAO NA WANALIPWA MISHAHARA NA HUYO RAIS HUONI UZEMBE WA UONGOZI HAPO?? FIKIRI KABLA YAKUJIBU

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria Месяц назад

    Mungu turehemu Tanzania tunaumia sana😢

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali Месяц назад

    Subhana llah

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 Месяц назад +1

    Tunakufa jamni sie wanawake uuwiii ee Mungu tusaidie tunateketea Baba

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Месяц назад +4

    Huyo mume pia aonyesha pia katekwa maskini jamani mtihani mkubwa huu 😢😢😢😢

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 Месяц назад

    Tanzania Nchi Yenye Aman Naipenda sana

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Месяц назад +1

    SIKUZOTE watoto wanaiga kutoka kwawazazi.Sasa hwa watu wanaozidi. Kuutumaliza nimwemdelezo wawatu walikosa huruma naakili zakufikiria.

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus Месяц назад

    Tuendelee kukabiliana na waandamanaji maana vifo ni vifo tu jamani.

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n Месяц назад

    Ukifatilia sasa hv Tz nzima ni matukio ya kuua na kuuana tu,Mungu atusaidie jmn

  • @KhamisHamad-b9f
    @KhamisHamad-b9f Месяц назад

    Msiba mzito Mungu wajaalie mahali pema

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo Месяц назад

    Inalilah wainaillah rajion

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Месяц назад

    Innalillah waina ilayhi rajiun

  • @officialyoungxure
    @officialyoungxure Месяц назад +4

    Saiv ukitaka kuua una ua tu hakuna selikal hapa

  • @mjsmtalika5134
    @mjsmtalika5134 Месяц назад

    Innalillahi wa innailahi raajiuni

  • @nadhifamustapha7557
    @nadhifamustapha7557 Месяц назад

    INNALILLAH WAINNAILAIH RAJIGHUN😢

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 Месяц назад +1

    Rais wa Jamhuri Ya Muungano Mh Rais Samia Suluh Hassan
    Mitano tena ✊✊✊✊✊

  • @FmYiu-vx2cs
    @FmYiu-vx2cs Месяц назад

    Mungu hukum mwenyew Hal mbaya

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 Месяц назад +18

    Rais wa nchi fulani aliwahi kusema kifo ni kifo tu!!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад +2

      Ni mama abdull si mwengine muuaji😢😢😢

    • @rahema907
      @rahema907 Месяц назад

      Jamani mauwaji kila kona

    • @Bahati47
      @Bahati47 Месяц назад +1

      Ni chura kiziwi Wala sio mwengine😢

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Месяц назад

      CHAMA CHENU CHA KASKAZINI HICHO

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 Месяц назад

      Chura kuziwi huyo si mwingine.

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs Месяц назад

    😢😢

  • @annafredinandmatandiko8438
    @annafredinandmatandiko8438 Месяц назад

    Tanzania 😢😢

  • @deejay__best
    @deejay__best Месяц назад

    Yani Sasa Ivi Kuna Upepo Unapita Sio Poa Aise Kila Siku Vifo Yani Duh.

  • @mwanakhamisimwinyimatano1185
    @mwanakhamisimwinyimatano1185 Месяц назад

    Inna lilah waina ilah rajiuun

  • @claraadolfu6685
    @claraadolfu6685 Месяц назад +2

    Sasa wamehamia tanga wakitoka sijui ni wapi

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Месяц назад +3

    Hapana,matatizo Siyo kuongozwa na mwanamke.

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 Месяц назад

    Wauaji jamani mnawadhurumu uhai wadada wa kazi ambao hata hausiki na chochote

  • @JosephHenry-rg6jg
    @JosephHenry-rg6jg Месяц назад

    Kaskazini mwa Tanzania kulikoni? Tanga Arusha mauaji ya kutisha sana.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад

    Tanga kunani jamani kumeanza matukio kama Arusha

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g Месяц назад

    Innalillah wainna Lilah raajuun poleni wafiwa kulikoni jmn

  • @yusufsingano6202
    @yusufsingano6202 Месяц назад

    Sura ya 20 aya ya 124 kur,an

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 Месяц назад

    Nyinyi mlikua mnajua Sema mnajikweza

  • @zakiajuma646
    @zakiajuma646 Месяц назад +2

    ALLAH tuokoe tunakoelekea ni kubaya sana

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 Месяц назад

    No body is safe

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Месяц назад

    Subhanallah unamtoa macho unafikiri wewe utaishi milele la hasha utakufa kifo kigumu

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 Месяц назад +1

    Baba ndiyo muuaji hapo.

  • @ZiyounAljabri
    @ZiyounAljabri Месяц назад +1

    Wanatoa macho kupoteza ushahidi kwani hata ukifa kuna kipimo cha macho unaweza kummuona muuwaji inasikitisha sana

    • @zaykipini4761
      @zaykipini4761 Месяц назад

      Kumbe dah 😢😢😢

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s Месяц назад

      ​@@zaykipini4761 Ndio kwasababu wakiwa wanakuua unaona kwahiyo wakienda kupima hayo macho kuna kumbukumbu ya Hilo tukio kwahyo ni rahis muuaj kuonekana kupitia lens za macho yanatunza kumbukumbu

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +7

    SAIV ANASEMA MUMUITE MUUAJI NI SAW HAOGOPI😂😂😂ND RAIS HUYO , WANYONGE WANAOFAT UPEPO NCHI HII SUBILIN KULA MPK PUMBA , MM SIO MNYONGE MANINA

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd Месяц назад

      Unaongelea Mkunduni. Ata mkiuana wenyw ni Raisi? Ubongo wako upo matakoni ww na Machadema wote.

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +2

      @@twalibulomy-cd4zd MAMAAKO MZAZ KAKUZALIA WAPI MKUNDUNI KWA MAMAAKO MZAZ KUNAVUJA USAHA MAMAAKO MZAZ KAFIRWA HUKO MPAK SAIV ZEZETA KUNDU LAKE LOTE MANUUU

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@twalibulomy-cd4zd WW DEMU KIJEBA MAMAKO MZAZ NISHAMFIRA NAONA NA WW UNAWASHWA , UNATETEA MASHOGA WENZIO KUMA LA MAMAAKO MZAZI LINAVUJA FUNZA NA KUNDU LAKE KUOZA

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@twalibulomy-cd4zd MASHOGA VIDELA KAMA WW WANAFIRWA SANA SAIV, BABAAKO MZAZ NA WW NA MAMAAKO MZAZ WASHAFIRWA WOTE , MKUNDU KUWAKA WW ET NYOKO NYOKO AU CCM WANAMTIA MAMAAKO SAIV KOLEO MKUNDUNI KWAKE

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@twalibulomy-cd4zd ISTOSHE WW BWABWA , CCM HAWATOAGI POSHO KWA MIKUNDU VILAKA KAMA WW , LABDA MLETE MAMAAKO MZAZ ND AONGEE HAPO KWASAB KASHAZOEA KUTIWA MKUNDU WAKE

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +7

    KILA SIKU MATUKIO MAWILI MPK 3 HUKOSI TZ SAIV , SERIKALI YA KISENGE KABISA POLIS NAWASHAUR MKALINDE WAKE ZENU HUKO KULIKO KULA MISHAHARA YA BURE WATU WANAULIWA HUKO 😒😒NIDHAM YA UOGA UMEJAA KWA WANANCHI WENGI SERIKALI ISHAOZA YOTE HII

    • @kusinimojatv
      @kusinimojatv Месяц назад

      Kama unamjua aliyefanya mauwaji tuambie na sisi tumjue

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o Месяц назад

      ​@@kusinimojatvNIWEWE AMA SIYE

    • @kusinimojatv
      @kusinimojatv Месяц назад

      @@khadi-z4o Shida watu mmejiandaa kuipinga serikali ndio mana Kila jambo mnalitupia Kwa serikali ndio imefanya kama hili tukio una iusisha vip serikali

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 Месяц назад

      ​@@kusinimojatvsio hili tukio tu, kuna matukio mengi yanahusisha serikali, mtu anashushwa kwenye basi kweupe na maaskari, alafu anakutwa kafa??????😢

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад

      @@kusinimojatv Kumbe ww kuma hivyo , hivi ww kuma mweny wajibu wakulinda raia na nchi nzima ni nan?? Na wanalipwa kwajil ya ulinzi , kiongoz mkuu anaeongoz jeshi la ulinz ni nan?? Acha ukuma kumamayo zako boya ww , Rais lazima ahusike kwasab askar wake wanakula mshahara alaf matukio yanatokea kibao tu

  • @gastonamnon7005
    @gastonamnon7005 Месяц назад

    Mimi Ndio nme Follow account za mauaji au 😢😢😢😢 mbn Kila ninapopita ni mauaji 😢😢😢

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy Месяц назад

    MUNGU atustir yaaa RABI

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus Месяц назад

    Tz kuna Inteljensia ya SAMAKI, wako kila mahali hata kwenye vikao vya vyama fulani wanakuwepo, ila wamesahamu kazi yao.

  • @HonestaAloyce-m2g
    @HonestaAloyce-m2g Месяц назад

    Baba,tyuhurumie

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Месяц назад

    Au wamemuwa baba mwenye nyumba

  • @ccmtanga2023
    @ccmtanga2023 Месяц назад

    Innalillahi wainnaa ilaihi raajiuun 😢

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w Месяц назад

    Ulinzi kwetu mdogo ata pateol za askari amnagaa mitaani ww umewqonaa

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k Месяц назад

    Jamani Hawa wauwaji niwatu wawapi

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +4

    RAIS MWANAMKE UNATEGEMEA KUFIKA SALAM SAFAR YA MAISHA?? YEYE ANAJIPONGEZA 2 KUWASIFIA POLIS WAKAT MATUKIO KIBAO YANAENDELEA , HAO POLIS SIJUI ND NN WANALINDA MATUMBO YAO SIO NCHI

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 Месяц назад

      Acheni dharau basi kwani mwanamke sio mtu.
      Hamtupendi mpaka mmeamua kuoana wenyewe kwa wenyewe

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@neemamdami7466 WW TANGU LINI MUNGU KAMPA MADARAKA DEMU AWE KIONGOZI?? AU HUJITAMBUI WW USHAWAH KUONA NABII WA MUNGU AU MTUME TANGU WALIPOAGIZWA NA MUNGU USHAWAH KUONA MWANAMKE ?? WANAWAKE UONGOZI HAWAWEZ NA HAWATAKUJA WAWEZE , KAZI YENU KUTII WANAUME TU UONGOZI MNAWEZEA WAPI

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 Месяц назад

      Mbona mama yako alikuingoza mpaka hapo ulipo?

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 Месяц назад

      0🧠​@@yugemasanza1008

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +3

      @@yugemasanza1008 HIVI WW KUMA UNAFANANISHA UONGOZI NA KULELEWA NA MZAZ?? BOB AU WW NDO WALE MIKUNDU KUWAKA UNAPANUA MKUNDU MISHIP INAKUSIMAM KUONGEA USENGE?? USHAWAH KUONA MTUME AU NABII WA KIKE MUNGU ASHAWAH KUTOA MADARAK YA UONGOZ KWA MWANAMKE?? AU UNAPANUA KUNDU TU HAPO KUONGEA

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 Месяц назад

    Kinachofanyika ni kutiwa hasira ili watu wapigane sasa jitoeni ufahamu tu

  • @rajah9328
    @rajah9328 Месяц назад

    Tanzania ya zamani sio ya sas Rais wenu bdo hajakua serious sai kungekua na watu washakamatwa vifo vyote ivyo ady sas

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад

    TANZANIA TUNAENDA WAPI SASA HV. EEE MUNGU TUSAIDIE. HUYO MME YUKO WAPI?SERIKALI MKAMATENI HUYOMME WAKE NDY MHUSIKA KWA HAPO.

  • @UgaliMtamu
    @UgaliMtamu Месяц назад

    Nyiny acheni uceng kila jambo siaca nyiny wawap

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Месяц назад

    Kumeingia pepo gani Jamani la kuuua?

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg Месяц назад +1

    Dunia dhaa

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +5

    POLENI SANA HAYA NDO MATUNDA YA UONGOZI SERIKAL KUOZA NDO HII IKIONGOZWA NA MWANAMKE 😒😒

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Месяц назад

    Sasa matukio kama haya ni vikundi maalum inatumika kuchafua nchi sasa kama hatuta ungana tukachukua hatua tufanye nini sasa mnapo Anza kulaumu polis bila kutoa taarifa watajua vp

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Месяц назад

      Si kuna ile inaitwaga interejesia au? ni lazima tutalaumu police kwa sababu chadema inawachukulia muda kuliko wananchi na mali zao ambacho ndicho kiapo chao.

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt Месяц назад

    Yaani kunyonga tu haitoshi hadi utoe na macho. Kwani hayo macho ni ya kuuza

    • @khabibahussein7239
      @khabibahussein7239 Месяц назад +1

      HapNa wauaji walifanya hivyo kupotezs ushahidi ili wakipimwa macho sura za waalifu zisionekane ,mwenyezi Mungu atawwdhibu

    • @RehemaMasunga-ml7kt
      @RehemaMasunga-ml7kt Месяц назад +1

      @@khabibahussein7239 kama ni wa kukamatwa utakamatwa tu damu ya mtu huwa haitendewi ubaya alafu ukaikimbia utakamarwa tu

    • @khabibahussein7239
      @khabibahussein7239 Месяц назад

      😭😭😭🙏

  • @NechLove
    @NechLove Месяц назад

    Asaivi tz unauliwa ndani wenzako wko kibarazani

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Месяц назад +1

    yearab

  • @DorcasPhilemon-kj4ro
    @DorcasPhilemon-kj4ro Месяц назад

    Mtafuteni mumewe mtapata ukweli yuko wapi

    • @Benny318m
      @Benny318m Месяц назад

      Maskini ya MUNGU huenda Kuna jambo limemkuta tusiwe wepesi kuhukumu huenda naye aliko hayupo salama

    • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
      @NajmaramadhaniAlly-is6mf Месяц назад

      Yeye ndio kauwa 😭😭

    • @Benny318m
      @Benny318m Месяц назад

      @@NajmaramadhaniAlly-is6mf chanzo ni nini?

  • @AgnesKapama
    @AgnesKapama Месяц назад

    Eee MUNGU tusaidiane

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @AliphonceMartina-q1u
    @AliphonceMartina-q1u Месяц назад

    𝕙𝕚𝕚 𝕙𝕒𝕝𝕚 𝕚𝕥𝕒𝕞𝕦𝕜𝕦𝕥𝕒 𝕜𝕚𝕝𝕒 𝕞𝕥𝕦 𝕙𝕒𝕤𝕒 𝕤𝕚𝕤𝕚 𝕨𝕒𝕥𝕒𝕟𝕫𝕒𝕟𝕚𝕒 𝕓𝕒𝕝𝕒 𝕟𝕪𝕚𝕟𝕪𝕚 𝕥𝕦𝕝𝕚𝕖𝕟𝕚 𝕙𝕚𝕧𝕪𝕠 𝕙𝕚𝕧𝕪𝕠 𝕞𝕜𝕚𝕫𝕒𝕟𝕚 𝕞𝕦𝕟𝕘𝕦 𝕒𝕟𝕒𝕨𝕖𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕞𝕤𝕒𝕚𝕕𝕚𝕒 𝕞𝕥𝕦 𝕓𝕚𝕝𝕒 𝕪𝕖𝕪𝕖 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕪𝕖𝕨𝕖 𝕜𝕦𝕛𝕚𝕡𝕚𝕘𝕒𝕟𝕚𝕒
    𝕤𝕚𝕤𝕚𝕖𝕞𝕦 𝕚𝕟𝕒𝕦𝕡𝕚𝕘𝕒 𝕞𝕨𝕚𝕟𝕘𝕚 𝕙𝕚𝕚 𝕙𝕦𝕕𝕦𝕞𝕒 𝕚𝕥𝕒𝕞𝕗𝕚𝕜𝕚𝕒 𝕞𝕥𝕦 𝕪𝕠𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕓𝕚𝕝𝕒 𝕜𝕦𝕛𝕒𝕝𝕚 𝕨𝕖𝕨𝕖 𝕟𝕚 𝕤𝕚𝕤𝕚𝕖𝕞𝕦 𝕒𝕦 𝕔𝕙𝕒𝕞𝕒 𝕔𝕙𝕠𝕔𝕙𝕠𝕥𝕖😢😢😢😢