Mchungaji Gwajima "Sakata la Video iliyovuja | Sina Tatizo na Makonda | Mungu anaponya Corona

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 484

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 2 года назад +2

    Hii ni Akili ya Mbinguni kabsa bigup Bishop Gwajima

  • @johnmichael4166
    @johnmichael4166 4 года назад +2

    Uyu dada Hana Ufahamu Kwa habari ya Mungu Na Ndiyo Maana Uwongea Kama Anaponda Flani , Upinzani Katika Roho sasa mwenzie MTU wa Vita za Roho

  • @kelvineddon3829
    @kelvineddon3829 4 года назад +1

    Genious, Simple ,Focus kilaza Anaonekana Huyu mama jmn Gwajima Nitakuja unipe lecture zaid ya Afiriro my Pastor

  • @azizamaulid5557
    @azizamaulid5557 4 года назад +8

    Well said Baba Askofu Dr. Gwajima, nimekuelewa sana, umejibu kwa ufasaha sana, na asante kwa maarifa uliyotupa kuhusu corona!!

  • @jacksonjacksonjacksonjacks7621
    @jacksonjacksonjacksonjacks7621 4 года назад +6

    Hakika Bishop Dr,Gwajima majibu yako ni mazuri sana binafsi yangu nimeyapenda sana,ninasapot kwa nguvu program yako ya kuiombea nchi yetu ni lanzima korona iteketee kabisa.

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 года назад +3

    Asante sn Askofu Gwajima kwa majibu ya corona umemsimamisha Kristo kwamba ni Bwana...!! Uwezo wa kujibu maswali na facts juu ya nini kinaendelea kiroho umeonyesha ilikuwa rohoni

  • @Andy_tz
    @Andy_tz 4 года назад +7

    Kwa sababu mimi nitawapa kimywa na hekima ambayo maadui zenu hawataweza kushindana nayo wala kuipinga (LUKA 21:15) BABA BISHOP DR. JOSEPHAT GWAJIMA Hakika MUNGU Yu ndani yako 🖑🖐

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 4 года назад +1

    Safi sana Mchungaji kweli umeiva maana unaulizwa kiugomvi unajibu kistarabu.

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 года назад

    Amen, Hao wale watu wanaokimbiliya Mungu hawana hofu na corona. Mzee wangu mchungaji Gwajima, naona leo ulipoteza leo muda wako. Yaani wewe unahekima na speech za mbinguni, hautaeleweka na wapagani kama Hao.

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 4 года назад +4

    AMINA baba askofu. Unafahamu unachokisema! You are genius.

  • @johnvascogodfrey7070
    @johnvascogodfrey7070 4 года назад +6

    Mbona Dada kapanic Sana duuuuuu anajambo na Mtu wa Mungu doctor Gwajima

  • @mckingmojojo363
    @mckingmojojo363 4 года назад +4

    Hakika ninae BABA, hiki ni kinywa cha MUNGU DUNIANI, asomaye na afahamu Baba Gwajima songa mbele Mungu azidi kukupa Afya njema na Maono makubwa.. Ameni
    Nakupenda Bishop Dr Gwajima.

  • @mahmoudomary6600
    @mahmoudomary6600 4 года назад +1

    Hassan Ngoma your the best Presenter of our time nakukubali sana na una IQ KUBWA maswali yako ni ya kiufundi sana lakini huyu Mzee nae ni kichwa anachomoka kama kama anatambaa.. BABY jaribu kuwa na utulivu ,,huwa upo vizuri sana ukiwa na utulivu kwenye Interview ,, nakukubali pia.. jitahidi kupunguza ukali wa maswali wasikilizaji unawajengea fikra hasi ,,wafanye wasikilizaji wawe waamuzi katika hoja zako.

  • @makurataesperance9635
    @makurataesperance9635 4 года назад +1

    I love and trust Dr Gwajima. Full respect

  • @emmanuelmajele5812
    @emmanuelmajele5812 4 года назад +6

    Duh huyu Dada kilaza 😁Gonga like Kama umesha gundu Dada anapepo

  • @benardlisoso4565
    @benardlisoso4565 4 года назад +3

    Baba 🙏🙏😂😂 nimepata kitu 👍This is pastor Gwajima 🙏🙏🙏

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 4 года назад +11

    Clouds mtafulia mkimuendekeza huyu Baby,interview inaboa ana mhemko ambao unakera ,maswali anavyouliza utadhani katumwa ugomvi.Hassan hongera

  • @Bishopgeorgebilingimotoula9181
    @Bishopgeorgebilingimotoula9181 4 года назад +5

    Bish dk Gwajima nimekuelewa sana, shikamooo shikamooo

  • @timizanafrikamedia5464
    @timizanafrikamedia5464 4 года назад +16

    Huyu Baby, nilichogundua Hana nidhamu kabisa ya kiutendaji,,1.Ameanza kwa kumwita ndg Josephat badala ya Askofu Josephat.
    2.Mbili amehoji kwa notion binafsi.
    3.Anapaniki Sana
    4.Alf approach yake ya kuhoji Ni kama anamuhoji mtuumiwa.
    Baby anaamini Sana sanitizer kuliko Mungu(my opinion Hassan Ngoma you're an amazing Guy, umeuliza maswali Magumu but very respectful and calm

    • @macknonkibona2401
      @macknonkibona2401 4 года назад +2

      point kaka

    • @dayocha1855
      @dayocha1855 4 года назад

      Sahihi kabisa

    • @mahmoudomary6600
      @mahmoudomary6600 4 года назад +1

      hassan ngoma anajielewa ila baby anajaziba ya kuhoji ..lakini Askofi ni balaa kaniachaa sina mbavu kwa majibu ya kiufundi

    • @ambanconsultants6892
      @ambanconsultants6892 4 года назад +1

      Mahojiano na mtu mjanja na mwerevu Kama Gwajima ni HARD TALK. Yanafanywa na wanahari provoking hata zaidi ya Baby. Nyie mnayemsakama Baby mmeshasikiliza mahojiano aliyofanyiwa BIll Clinton akiwa bado raisi was Marekani wakati akiwa kwenye kashfa ya Monica Lewinsky?

    • @timizanafrikamedia5464
      @timizanafrikamedia5464 4 года назад

      Amban, Clinton alikuwa anahojiwa kwa kafisha , je nikuulize swali bishop Gwajima alikuwa anahojiwa kwa kashifa??, Pili Je kunasehemu mtangazaji alijarbu kumuondoa cheo chake Cha kumwita rais?? Kama baby alivyo jaribu kusema eti Ndg Josephat badala ya bishop??,, Unafaa kujua kuwa kila stylish ya mahojiano inaendana na issue inayozungumzwa so tu kupayuka payuka Kama yule dada

  • @paultvonline3742
    @paultvonline3742 4 года назад

    Nimetazama na kusikiliza mahujiano yote.. Nampongeza sna Bishop Gwajima amesimamia yale anayoyaamini. Lakn nimesikitishwa na dada yetu kwa namna yake ya maswali na kwamtazamo wa kawaida tu alikua kapanic....Ushauri wangu kwa clouds siku nyingine sio mbaya kweny mahojiano makubwa km haya mkamweka mtu mwingine anayeweza kuhimili mahojiano mazito km haya na naamini mnao.

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 года назад +3

    Huyo dada inaonyesha haamini katika uponyaji utokanao na Mungu. Anaamini utaalamu zaidi infact hajitambui hii ni kwa sababu haamini kuwa kuna maisha baada ya maisha ya hapa duniani.

    • @eliarichard9218
      @eliarichard9218 4 года назад +3

      Reuben Fabian huyu ndani yake ni serikali ya kuzimu kwaiyo anahinda na mtu wa Mungu.

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 года назад +1

    Baba LA Baba huyo uko vzr sana Doctor Gwajima Mimi huwa nakuelewa sana maswali yote umewajibu vzr linasema neno LA Mungu hamta sema ninyi bari Roho ndiye atakae sema mbele zao hao wasiyo hamini.

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 4 года назад +5

    Huyo Mama nadhani anapepo yaaaan kapotezwa vibaya na maswali ya Bishop

  • @elizabethraymond6388
    @elizabethraymond6388 4 года назад +10

    Najivunia sana kuwa na baba kama huyu. Love you dady Josephath Gwajima💪💪💪

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 4 года назад +11

    Leo nimeamini Gwajima ni Genius.

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 года назад

      Leo tuu? Mtumishi Gwajima ni combo cha baba Mungu. Huyu siye kama Hao watumishi wa giza. Huyu ni voice of the most high.

  • @abubakarizuberi1691
    @abubakarizuberi1691 4 года назад +5

    Safi sana Gwaji Mlango ulio ileta Ndio itakao tokea kurudi.

  • @gershommwakila3373
    @gershommwakila3373 4 года назад +5

    Aisee askofu Gwajima ana madini sio ya nchi hii, ila huyo dada ametulia muda wetu anauliza maswali yasiyo na mashiko. Watu kama akina Gwajima ni wachache sana na ni hazina kubwa kwa taifa.

  • @apostleadamgige4662
    @apostleadamgige4662 4 года назад +4

    Huyu mwanamke ana pepo og,anatafuta kumbana kamanda lakini amefeli.ninakupenda sana bishop Gwajima,mahubiri yako yameniinua sana kihuduma,

    • @charlesmassawe6321
      @charlesmassawe6321 4 года назад

      Cyo kwamba ana pepo bali yupo sahihi..interview lazma kuwe na pande mbili zinazopigana.

    • @perfecttz2690
      @perfecttz2690 4 года назад +1

      @@charlesmassawe6321 alokwambia interview n kupingana ni nani?hiyo sio Debate Go and study

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 4 года назад +5

    Hasan Ngoma unautulivu wa kuuliza unatafiti unajua kuwakilisha swali ila bebii anabifu na mchungaji bebiiii tulia mama huyo ni Gwajima

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 года назад

    Acheni mtumishi Gwajima aseme, aseme, aseme ba waadui zake wote WAPIGWE kwa jina la yesu kristo wa Nazarethi.

  • @amurumtuya655
    @amurumtuya655 4 года назад +7

    Bishop Gwajima is very intelligent man of God

    • @pemdumi
      @pemdumi 4 года назад

      He is intelligent lakini anaitumia vibaya....manipulation anayowafanyia watu ni tragic.

  • @evambigi6628
    @evambigi6628 4 года назад +1

    Mtumishi wa Mungu Gwajima Mungu akulinde akuinue uzidi kusongesha mbele neno la Mungu.

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 года назад

    Amen, amen. Hiyo corona itarudi mahali ilipotoka. Africa yote haitapigwa, ok. Siyo Tanzania tuu Africa yote na congo DRC particularly. Nasikiya huyu dada anacheka kicheko kya sara mke wa Abraham aliposikiya malaika alimuambiya Abraham next year atachukua uja uzito. Mzee wangu mchungaji Gwajima HUPATIYA chakula cha watoto mbwa.

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 4 года назад +1

    This is Bishop Dr. Gwajima bana, very genius 😀

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 года назад +2

    I can tell you are bright and the lord has blessed you with anointing, wisdom, and more.

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 4 года назад +5

    Hii ni interview bora sana kwani Gwajima ni kichwa hatari sana

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 4 года назад

    B_Shop Gwajima iko vizuri Sana. Mm huwa nakusikiliza Sana na unanifanya kusonga mbele haswa kiimani. Dada acha kupaniki, unauliza maswali wakati una majibu tayari.

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 4 года назад

    Leo Clouds mmekutana na chuma cha pua, huyo ndugu sio level yenu kabisa, big up sana Bishop Gwajima for your widom, naona hao watangazaji wanakuelewa sana, sasa wamebaki wanarukaruka tu, askofu umewakamata kweli kweli kwa majibu yako ya hekima. Ni kama wanajuta kukuita hapo 😀😀

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw 5 месяцев назад

      Hahahahahaha hadi anawasaidia niulizeni hivi 😂😂😂😂

  • @innocentndabukakiye6100
    @innocentndabukakiye6100 4 года назад +4

    Kwakweli nilikuwa sijawahi kusikiliza Mtumishi wa Mungu Gwajima,Nimemkubali!

  • @davydany9648
    @davydany9648 4 года назад

    Eti unajiita mchungaji,eti nenda kawaponye,hii no dharau kubwa kwa mtumishi,mambo ya kiroho hayaendi hovyo,Dada umeboa haswaaaa

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 4 года назад

    Mchungaji anakuombea kwa Mungu sio ati yeye anakufanyia muujiza

  • @queenjaneth886
    @queenjaneth886 4 года назад +6

    Big up Dady Mtu wa Mbinguni

  • @jaycee9067
    @jaycee9067 4 года назад +9

    Gwajima genius.

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 года назад +6

    kweli kabisa mchungaji yupo sahihi 😂😂

  • @Poweredbymediaministry
    @Poweredbymediaministry 4 года назад +6

    Dada pole GWAJIMA NI SAUTI YA MUNGU AMEKUTAWANYISHAAA UMEONEKANA KINDA KWENY KAZ YKO

    • @double8tz
      @double8tz 4 года назад

      Ngwajima ni fraud tu hamna sauti ya Mungu wala nn, sema huyo dada amepanic hajui kumkabili ngwajima, watu kama Ngwajima wasomea saikolojia ukimuingia kichwa kichwa inakula kwako anajua kucheza na maneno na akili ya mtu.

  • @stephenchriss7919
    @stephenchriss7919 4 года назад +2

    Yaani huyu ndio binadamu wakwanza kwangu Mimi naona hamuamini Mungu kwakweli tena kwa kubisha kabisa yani

  • @stevenomanga7549
    @stevenomanga7549 4 года назад +16

    MTANGAZAJI mwanamke amechemka Sana,,ni kama ulijiandaa kumshinda Askofu badala ya kumu interview,,, pia huyo ni Askofu, usimuoji kama unamuoji joti, au juma lokole

  • @dianamwalyoga4365
    @dianamwalyoga4365 4 года назад +1

    Akili kubwa sana bishop

  • @thehopetv6299
    @thehopetv6299 4 года назад +7

    Askofu Gwajima MUNGU akulindee, na akilii zako kweli niza mbinguni, nimebadilishwa sanaa kiroho na mafundisho yako

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 4 года назад +20

    Gwajima akili nyingi sana.

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 года назад

      Mtumishi Gwajima ni mtoto wetu, mtoto wa kingdom za bwana wa milele MUNGU WETU. Uyishi baba. Damu ya Yesu Kristu ikufiche.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 года назад

    Imani nikitu kikubwa sana analo sema gwajina yupo sahihi yani sabuni iuwe wadudu mungu ashindwe tukiomba mungu huku tukitumia dawa gonjwa hili linaisha kabisa

  • @mwebraniaonline7001
    @mwebraniaonline7001 4 года назад

    Alikuwa vizuri sana mwanzo katikati pamemchanganya🚶🏃🏃🏃🏃🚶💇💇💇💇💇💇

  • @joeliyamakili5051
    @joeliyamakili5051 4 года назад +5

    Mimi sio mfuasi wa Gwajima lakini huyo Dada ameweka udini badala ya maswali leo ndio nimejua kuwa mjinga sana hafai kuwa mtangazaji

  • @kanyeshakur4971
    @kanyeshakur4971 4 года назад +8

    Askofu Gwajima mtu intelligent sana kweli Mungu ana watu asee

  • @sylvesternicholous5445
    @sylvesternicholous5445 4 года назад +8

    babie umepanic sana hahahhahaaa Gwajima ni chuma kitupuuuu

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 года назад +1

      Hahahahahaha, hamjuwe Mzee Gwajima? Mungu amusaidiye

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 года назад +3

    Woooooow! challenge hizo huyu dada, anawaza anazungumza na wenzio wa kimwili? Dada, mchungaji huyu ni vessel la bwana wa majeshi Eloim.

  • @dayocha1855
    @dayocha1855 4 года назад +6

    Baby kapaniki Sana yaaani kaalibu Sana hii interview

  • @saliminismail2271
    @saliminismail2271 4 года назад

    Uko sahihi gwajima kwa kila kitu

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 4 года назад

    Maombezi ni kumuomba Mungu ,na Mungu anaamua ajibu kwa namna Ipi

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 4 года назад +1

    Genius.Ufahamu Mkubwa Sana Bishop anao

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 4 года назад

    I salute mkuu bishop gwajima

  • @milanomilanogi
    @milanomilanogi 4 года назад +4

    Uyo dada anauliza maswali kama ugomvi

  • @athanaskitime1484
    @athanaskitime1484 4 года назад +1

    We Dada Dada una pepo sio bure, kifupi umenikera.

  • @rebeccaeric8911
    @rebeccaeric8911 4 года назад +9

    Aisee huyu mzee kiboko hayo majibu hawezi kutoa mtu wa kawaida... Huyo baby alikuwa kampania sana Ila Askofu 😎 noma sana

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 4 года назад

    Huyu Babie Kabaya, hana imani, sjui kabisa anasalia wapi... Nimemshusha

  • @christacharles4976
    @christacharles4976 4 года назад

    Warumi 12:19
    Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
    Unapoamua kuanzisha safari ya kulipa kisasi ANZA KUCHIMBA MAKABURI MAWILI KWANZA,MOJA LA ADUI YAKO LA PILI LA KWAKO MWENYEWE.

  • @benardlisoso4565
    @benardlisoso4565 4 года назад +1

    dah😂🙌🙌🙌🙌🙌 hatar sana

  • @luckysanga4554
    @luckysanga4554 4 года назад

    Natamani muelewe nyinyi mumuelewe Gwajima, kwani wanaosemwa kuhusu kusema mambo ya nafas zao ni lazma ni lazima awajibu kwa nafas yake.
    Ukisema Gwajima ni tajili alfu waumin wake ni maskini unakosea, kwani wapo wengi waliofanikiwa.

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 4 года назад +1

    Jaman usijinye unajua wakati hujui, kuna watu wamlaum baby. Kwa kati ya watangazaji bora clouds mmoja wapo ni baby. Ambacho baby amekosea ni kuruhusu hisia binafsi ni kitu ambacho kuna wakati kinatokea hata kwako. Ila ni mtu anaefaa sana tena sana.

  • @filbertwerema8459
    @filbertwerema8459 4 года назад +5

    Hahahahaha.....!!! Siku zote unapotaka kuhoji Akili kubwa kama ya Bishop Gwajima nawashauli clouds angalau wajipange vizuri LA sivyo ndicho kinachotokea kwa mama angu hapo...nadhani alikuwa na yake ....hahahahaha kweli huyo Dada kachemka...

  • @victoriachaula3921
    @victoriachaula3921 4 года назад +1

    Asnte nimekuelewa hadi sasa ni kweli Mungu ametusaidia

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 года назад +5

    Bebii anatutoa kwenye mada nzuri na kutuleta kwenye personal issues

  • @kitasyajohn6033
    @kitasyajohn6033 4 года назад +4

    Huyu Dada amenikera mpaka kichefu chefu huyu kuwahoji machangudoa sio watu wenye heshima za utumishi

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 4 года назад

    JEMEDARI WA BWANA WA MAJESHI 💪💪🙏.

  • @nemecymsanya3191
    @nemecymsanya3191 4 года назад

    Uyu dada ana keraa aiseee

  • @agapemwasomola.777
    @agapemwasomola.777 4 года назад +1

    Huyu Dada arudi darasani tena

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 2 года назад

    Tatizo mnaweza kuanza kwa lengo jema. Lakn ndani yake ukabila unaota mizizi. Hadi makizini humu huo umoja utaota mizizi. Matokeo yake wale wasio wasukuma hawatopata fursa ambazo walio wasukuma watazipata kwa sababu tu ni msukuma.

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 2 года назад

    Mama alipaniki huyu 😀😀😀😀

  • @selemanimeshack6535
    @selemanimeshack6535 4 года назад +3

    Gwajima yuko smart enough.

  • @henrystanley3767
    @henrystanley3767 4 года назад +1

    Gwajima is very intelligent

  • @rosesimwanza6033
    @rosesimwanza6033 4 года назад +4

    Nilikuaga namuelewa huyu Dada kumbe ndo galasa la mtangazaji

  • @theresiakamote883
    @theresiakamote883 4 года назад

    Askofu Gwajima Mungu nakubariki sana

  • @nowelaraymond703
    @nowelaraymond703 4 года назад

    Yes! Mungu yupo!

  • @fntv12franciskenneth12
    @fntv12franciskenneth12 4 года назад +2

    Uyu Dada yan umekosea kbx mpk anaboa

  • @samwelmjika.8870
    @samwelmjika.8870 4 года назад +2

    Huyu baby hajui kuhoji kabisa yaani, hawa cliuds wamtrain vzr.

  • @mosesedwardmagembe9657
    @mosesedwardmagembe9657 4 года назад

    Pamoja na kuwa nyinyi ni waandishi wa habari ila kuna maswali ambayo hammtendei haki Askofu hasa hayo ya ukabila na inaonekana mnakahasira fulani hasa baby. Kumbukeni kuwa uchaguzi uliopita askofu hakuwa akimuunga mkono Rais Magufuli.

  • @kibonahenry1521
    @kibonahenry1521 4 года назад +4

    Huyu jaamaa yupo vizur

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 4 года назад +4

    Huyu dada mbona ana jaziba, mhemuko na mawenge sana? Wawapi huyu? Askofu Gwajima huwa ana kipaji kikubwa sana cha kutoa maelezo.

  • @syproelvistru2610
    @syproelvistru2610 4 года назад +1

    bebii ana I Q ndogo sana ingawa anausauti nzuri ....hongera zake

  • @augustinongimba2143
    @augustinongimba2143 4 года назад

    Mungu tusaidie

  • @pastoramoskomba2431
    @pastoramoskomba2431 4 года назад

    Mungu Tanzania. Baba hongera sana sana

  • @ambanconsultants6892
    @ambanconsultants6892 4 года назад +1

    Gwajima ni ntelligent sawa. Lakini kwa sasa ni mapema mno kusema sisi Tanzania tumefanikiwa kuliko Kenya na Rwanda katika kukabiliana na Corona. Analysis ya Gwajima katika hili inapotosha. Ni muhimu Sana tuepuke mikusanyiko ya aina yoyote. Lock down ndio inahitaji mjadala katika mazingira ya kwetu.

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 года назад

      Mtumishi Gwajima not only he's got GOD WISDOM, but also he is extremely intelligent. I'm a congolese and I'm 100% with mzee wangu Gwajima. He cares about everybody and him being concerned about congo DRC is just good. Jamani, mzee Bishop Gwajima niombeye. I know you are from GOD our CREATOR.

  • @raymondkaswaga5055
    @raymondkaswaga5055 4 года назад +6

    Baby wakati wa Ruge ulikuwa unahoji vizuri hivi sasa umepotea njia

  • @egibartjosephat8727
    @egibartjosephat8727 4 года назад +6

    GOD BLESS YOU MAN OF GOD

  • @catherinemsumary1595
    @catherinemsumary1595 4 года назад +3

    Well said Daddy

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 4 года назад

    Maisha ya mtu duniani yanategemea Mungu

  • @dr.castorymwigulu5218
    @dr.castorymwigulu5218 4 года назад

    Huyu mtangazaji wa kike hana ethics za proffesional yake ,,,naweza kusema anaugonjwa unaitwa PPD,,, na bahat mbaya hajui hana approach na anayezungumza na bahat mbaya nyingne hajui anayezungumza naye ni nan ,ana nafas gan kwake ,,,anamchukulia kama mtu wa mtandaoni ,,, unamuatack Gwajima ,,,kumuattack mgeni wako kwa style hyo ni PPD,, usitumie maneno ya watu au mtandao kumuattack mtu muulize mambo hayo kwa kufanya aeleze mengi !!---bado sanaaaaaa

  • @juliananguma8981
    @juliananguma8981 4 года назад

    Mimi nafikiri kuwa tunakosea kitu kimoja huu ugonjwa sasa upo miongoni mwa Watanzania. Kama tunaruhusu watu kwenda kanisani au misikitini basi tuwafundishe kuhusu self protective ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa. Tujifunze China walikuwa wanavaa barakoa. Kila mmoja amwone mwenzake kuwa anao. Hivyo tujikinge na Kila mtu na mwenzake

  • @savian1072
    @savian1072 4 года назад

    Dada naomba umrudie Mungu maana hujui unalolitenda hata iyo professional naona uliipata kimagumashi

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 года назад +4

    Actually sio chanjo ni majaribio ya chanjo!! Sio kitu kizuri!! Waanzie kwao huko!!