Christopher Mwahangila - Yesu Yuko Hapa - Official Video Song SKIZA *860*653#

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2018
  • Watch and Share "Yesu Yuko Hapa" (Gospel Song) by Tanzanian Gospel Artist Christopher Mwahangila.
    Kwa Mawasiliano
    +255 716620000
    +255 756068844
    GMAIL:chrismwahangila@gmail.com
    #LISTEN | #LOVE | #SHARE
    Enjoy & stay connected with us!!
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,6 тыс.

  • @wanjikugathoni6356
    @wanjikugathoni6356 2 месяца назад +63

    Who is here with me in 2024

  • @zenaabdhallah8836
    @zenaabdhallah8836 2 года назад +12

    Who iz watching dis song na machozi yakimtoka ju yakufikiria mahali Mungu alipokutoa ganga likes

  • @emillychirambira7278
    @emillychirambira7278 Год назад +8

    Thank you Lord for giving me another chance,, gift of life,, business,,, since 2010 everything was not going well at all,,, my business went down totally,,upto loosening my house,,my kids not going to school,,one day i choose to take poison,,,it was after nearly 10days of no food but because of my last born,,it comes in my mind who's going to look after her,,, from there i opened the door,,, to cut it's short,, there's good in heaven,, I'm now back business,,,,, Lord i thank you

  • @dinajames3726
    @dinajames3726 Месяц назад +7

    Wimbo hauchuji kila siku mpyaaaaaaaa ubarikiwe Sana mtumishi

  • @cynthiaatienootieno6549
    @cynthiaatienootieno6549 3 года назад +160

    Huu wimbo unigusa Sana nimefungua moyo wangu anihudumie,aniguse huu ndiyo wakati wangu, maana Yuko hapo 🙏🙏who is still here 2021 with me

  • @nelsonsamuel2910
    @nelsonsamuel2910 4 года назад +324

    I am Nigerian but in love with this song HALLELUYAH

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 4 года назад +22

      Nelson Samuel you are warmly welcomed to Tanzania and learn some swahili
      We also love Nigerian gospel songs 🇹🇿🇹🇿🙏👌👌

    • @aanuciathakwilasa9050
      @aanuciathakwilasa9050 4 года назад +9

      Namuona yesu yuko hapa🙏🙏

    • @MONENEish
      @MONENEish 4 года назад +5

      Request for translation, we will assist you brother

    • @joshua6993
      @joshua6993 4 года назад +4

      how do u understand it tho ur from nigeria

    • @janejonathan4037
      @janejonathan4037 4 года назад +2

      @@joshua6993 jitolee Kwa lyrics in English 🤔

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl Месяц назад +1

    Hallelujah hallelujah amen torch me God may God continue to bless you amen 💪💪💪

  • @boniphacemachage406
    @boniphacemachage406 3 года назад +56

    Yesu yupo ndani yangu nawe kama yupo ndani yako gonga like twende sawa hapo chini

    • @benandethawilliam2820
      @benandethawilliam2820 2 года назад +2

      Huu siku ya kwanza waliimba kanisani nililia sana na kweli Mungu siku hiyo hiyo Mungu alinitendea nilichokuwa namuomba nataka nikwambia ukiwa unasikiliza nyimbo hii maanisha Mungu atakuhudumia

    • @BrianMugendi-tv9ik
      @BrianMugendi-tv9ik Месяц назад

      ​@@benandethawilliam2820I

  • @mamaboyz789
    @mamaboyz789 4 года назад +203

    For those who are still listening in 2020 like here...much love from Kenya n stay blessed.

    • @abelkeli6117
      @abelkeli6117 4 года назад +6

      Amen

    • @camelineomukami9047
      @camelineomukami9047 3 года назад

      I found it a few months ago

    • @alexamosmanyli5062
      @alexamosmanyli5062 3 года назад

      Bwanayesu asifiwee wapendwa wamungu jamani ninamtihani mgum najitahi maombi makubwa Sana naitwa ALEX AMOS MANYOLI kutoka tabata segerea chama wallet

    • @agnessrenfrid3578
      @agnessrenfrid3578 3 года назад

      ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @venantntakirutimana20
      @venantntakirutimana20 3 года назад

      @@agnessrenfrid3578 kweli

  • @rashidkafashe9248
    @rashidkafashe9248 3 года назад +33

    Me muislam Ila nyimbo hiz hunibarik saan napozisikiliza, pia napata iman mda wote napokuwa nasikiliza wimbo huu Allah the best🙏🙏🙏

    • @henrickaidan8371
      @henrickaidan8371 3 года назад

      We all an images of God, haijalishi mwislam ama lah

    • @amonidafa9665
      @amonidafa9665 2 года назад

      Zidi kubarikiwa ndugu

    • @shabanisalum2099
      @shabanisalum2099 2 года назад

      Hata mimi naupenda saana niko hapa nasikilizaaa,😜😜😜 nangoja wkovu

    • @kalukielizah9847
      @kalukielizah9847 Год назад

      @@shabanisalum2099 isig

  • @theophillusmusau5824
    @theophillusmusau5824 День назад

    This song made me Know Christopher, watched it in June 2018, its now June 2024 and its still new and fresh as "Yesu yuko hapa leo, kesho na ata milele Amina!"

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 2 месяца назад +3

    ooooh God you are here now healings me thank you my god amen wonderful song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @irinemulongo389
    @irinemulongo389 4 года назад +87

    Nyimbo zote za Mwahangila sina urejesho....weka like yako hapa kama tuko pamoja 2020

  • @matthewsichula7009
    @matthewsichula7009 3 месяца назад +4

    Indeed if it has not been for the lord to die for us on the cross, where would we be. The resurrected Jesus is ever present within us and is the same yesterday, today and forever. Praise be to God and God bless us and this ministry of brother Christopher

  • @martinecharles8818
    @martinecharles8818 3 года назад +8

    Kuna Jambo linautesa moyo wangu yapata miaka minne lkn bado sijapata solution,Ila naamini kupitia yesu 😴😴 atanifungulia milango

  • @nillagervas5878
    @nillagervas5878 4 года назад +11

    Nasikiliza huu wimbo sasahivi nikiwa Liverpool United Kingdom, ni saa kumi alfajiri🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋

  • @mosesmbinda7414
    @mosesmbinda7414 4 года назад +263

    This song draws the presence of the Almighty God in all situations. It's such a blessing am being blessed from Kenya. Gonga like if you are blessed by this song.

  • @logokuyang6080
    @logokuyang6080 2 года назад +135

    This is the song we shall play when my husband and I hold our third baby...very soon...😘😘😘😘😘😘😘

  • @christianmbise8851
    @christianmbise8851 2 года назад +2

    Christ touch me too. You have done it to billions of people, I can't wait that day I will be yours forever! Dunia inasonga sana.

  • @bridgetmubna
    @bridgetmubna 4 года назад +162

    I don't understand this language, but believe me my spirit has translated few words for me....I love the songs and dancing to them already.... Bless you my bro Chris. Greetings from zambia

    • @pst.latsonmusa1512
      @pst.latsonmusa1512 3 года назад +11

      YESU YUKO HAPA... Means Jesus Is Here, i can see him, i can feel his, power, miracles and his presence...

    • @halimashaban7637
      @halimashaban7637 3 года назад +8

      YESU YUKO HAPA- JESUS IS HERE
      NASIKIA NGUVU ZAKE- I CAN FEEL HIS POWERS
      YOU WHOM YOU ARE LOOKING FOR MIRACLES - LOOK FOR JESUS BECAUSE JESUS IS THE MIRACLE PEFORMER, DONT LOOK FOR MIRACLES IN HUMAN BEINGS.
      Run to Jesus whenever you are stressed

    • @chalindajason8261
      @chalindajason8261 2 года назад +5

      Mulibwanji azathu Ku Zambia

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 2 года назад +2

      Ok

    • @julianasekela9251
      @julianasekela9251 2 года назад +1

      Yuko Hp HP Arise &shine
      Amina

  • @cachybest3879
    @cachybest3879 3 года назад +4

    Kiukweli mimi ni muislam ila napenda sana kusikiliza njimbo za christopher zinanigusa sana na haya mapito ya dunia kaka mungu akutie nguvu sana usikate tamaa unajua kumuimbia mungu.

  • @daudjoseph5495
    @daudjoseph5495 4 года назад +5

    Hua nikiusikia huu wimbo hua najisikia kubarikiwa sana kati ya walio hai.Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu.

  • @user-vb8ev9tq7u
    @user-vb8ev9tq7u Месяц назад +1

    I enjoy this music so much.just be looking forward.🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @julianasingo6689
    @julianasingo6689 2 года назад +6

    Huu wimbo umenifanya nimpe Mungu daima yaan ATA nikiwa safarn namuona yesu yupo nami..nikiwa kwenye matatizo yupoo...na unanipa Amani kwamba yesu yupo hapa... Mungu akubark sanaaa...

  • @millicentatieno191
    @millicentatieno191 4 года назад +6

    Napitia magumu lakini najua mungu Yuko nami. Kila ninaposikiliza huu wimbo I feel relieved and feel Gods presence. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 3 года назад

      Whatever it is you are going through, just hang in there, Yesu yupo hapa , huu ndiyo wakati wako dada, kila jaribu lina mlango wa kutokea. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
      Sending prayers hugs from 🇹🇿🇹🇿

  • @legrandepharaoh1438
    @legrandepharaoh1438 2 года назад +7

    Mtafutee sana yesu kuliko kutafuta miujiza😍😍😍 ubarikiwe sana mchungaji 2021 Kenya bado twazidi kubarikiwa🙏🙏😊😊

  • @josephatkilonzo2999
    @josephatkilonzo2999 Месяц назад +1

    Brother Christopher this song really blesses my soul, may the almighty God continue uplifting you in the area of Music ministry.

  • @evalynnemuthikwa9947
    @evalynnemuthikwa9947 Год назад +14

    Before 2022 ends, God will open great doors 🥳🥳✨✨🔥

  • @richierichard633
    @richierichard633 3 года назад +48

    Huu wimbo alikuandikia Yesu mwenyewe na instrumental alipiga mwenyewe hii ni kazi na nusu zake bro #Chris mwahangila kila nikiuckiliza naingia Rohoni ghafla

  • @tracyasami218
    @tracyasami218 4 года назад +147

    This gonna be my wedding song ideclare it in Jesus name

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 Год назад +4

    From Uganda 🇺🇬🇺🇬 to Tanzania 🥰🥰🥰🔥🔥🔥 Ubarikiwe Mtumishi Wa MUNGU Aliye Juu Zaidi Mbinguni

  • @johnmakokha3796
    @johnmakokha3796 2 года назад +1

    Yesu yuko hapa...Iam lifted. Spiritually.in Doha Qatar... though reporting on duty

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 5 лет назад +249

    huu wimbo kwangu ni asubui mchana jion oooh ubarikiwe sana

  • @ibrambango6956
    @ibrambango6956 4 года назад +72

    Nyimbo zako zinanibaliki Kila napozisikia Be blessed mtumish wa mungu

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 2 месяца назад +1

    I'm Catherine from Ngong Nairobi this song is very powerful healing me May God continue to bless you my brother 💪💪💪💪

  • @beatricemunyedza952
    @beatricemunyedza952 3 года назад +8

    I'm a Zimbabwean who stay in Your Africa yoooo I love your music man of God

  • @gladnessthomas6363
    @gladnessthomas6363 4 года назад +8

    Hakika huu wimbo unanibariki sana namuona YESU kabisa yuko nami huu mwaka umekuwa wa baraka sana kwangu, Mungu akuinue zaidi kaka like pamoja nami kama unabarikiwa

  • @anitakingee3755
    @anitakingee3755 4 года назад +123

    Am going through a tough situation...but I know Jesus is here to wipe my tears....stay blessed as you continue touching our hearts...hallelujah. ..!!!

  • @jacksonbaraka1392
    @jacksonbaraka1392 3 года назад +1

    Namuona Yesu hakika ni mkuu sanaa nafurahi sana namuona Yesu yupo hapa yupo hapa yupo hapa🙏awww

  • @drguillainmbavu3225
    @drguillainmbavu3225 4 года назад +1

    Amen naziona nguvu zake kweli barikiwa sanaaa kaka

  • @zawadpaul5023
    @zawadpaul5023 5 лет назад +9

    Nafarijika Sana kila nikisikia huu wimbo unanibariki barikiwa mtumishi Yesu yuko hapa

  • @dorcastabitha8155
    @dorcastabitha8155 4 года назад +6

    Huu ni wimbo wangu wa kila siku ...nazidi kubarikiwa sana kwani najua mungu yuko hapa hili unipeleke kiwango kingine amina

  • @FaustinaMsangi-no5lf
    @FaustinaMsangi-no5lf 6 дней назад

    Galija mungu tupo potpore 0a le nilipo Mimi sina budi kumwimbia wakati wote amina 8:03

  • @ruthongoro7913
    @ruthongoro7913 2 года назад +3

    Have been sick from Sunday night, i have been in different hospital for different tests bt no result come out positive all were negative, i talk tp to my God today and indeed saw His Face and am now now stronger than before no one can tell that i was sick, indeed God is here all tym🙏🙏

  • @josephnicolaus915
    @josephnicolaus915 5 лет назад +779

    Kama ni moja ya nyimbo zinakusogeza mbele kiroho gonga like tujuane. Mtumishi kaza mwendo kazi yako njema

    • @ednadamac97
      @ednadamac97 4 года назад +13

      nafalijika sana kusikiliza huu wimbo kweli namuon mungu mtend miujuza ubarikiwe sana mtumishi

    • @holysmoker4965
      @holysmoker4965 4 года назад +3

      Aki iyo wimbo yako inaniweka kiwango kigine

    • @glorymrema3857
      @glorymrema3857 4 года назад +4

      Unanigusa sana huu wimbo

    • @thadeimsoma7295
      @thadeimsoma7295 4 года назад +3

      Ubarikiwe

    • @ruffinsafari4847
      @ruffinsafari4847 4 года назад +3

      yes

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 4 года назад +29

    I like this song is🔥🔥🔥 kweli yesu yuko hapa kama unafunga mwaka 2019 na huu wimbo like tujuane barikiwa mtumishi kwa wimbo huu mzuri

    • @omarymahona9876
      @omarymahona9876 3 года назад +1

      Namm.namuona yesu.ahsante kaka mwangila

  • @leonardsalakana457
    @leonardsalakana457 3 года назад +1

    Nasikia nguvu za Mungu hapa,,big up Sana mtumishi

  • @njavwananyangwe2748
    @njavwananyangwe2748 Месяц назад +1

    I may not understand the language,but hey these songs by Christopher they lift my spirit even when am at my lowest 🙏🙏🙏🙏

  • @renyreny5995
    @renyreny5995 4 года назад +6

    Wimbo bora .... Kama bado unausikiliza huu wimbo na unakubariki usisahau kutype AMEN

  • @vumiliamausi8561
    @vumiliamausi8561 4 года назад +4

    Sichoki kusikiliza huu wimbo na hii ni 2020. Yesu yupo na mimi mda wote Mungu akubariki mtumishi

  • @StevenBasil
    @StevenBasil 9 дней назад

    Nyimbo ya maana sanaaaa hii.....!!Nimeguswa sana.....!!Hakika Mungu ni Mwema

  • @emerenciennenyirahabimana2966
    @emerenciennenyirahabimana2966 3 года назад +1

    Yesu Baba Yangu nakupenda sana uko kati ya maisha yangu

  • @mankakweka3460
    @mankakweka3460 4 года назад +7

    Mwenzenu huuu wimbo ukiimba huwa na ski a mwl wangu wote unasisimka kwakwel najikuta nabarikiwa mungu akuongezeee maono uwe mtunzi bora wa kimataifaa

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 4 года назад +11

    Nasikiliza huu wimbo nikiwa Saudi Arabia,, hakika Yesu yuko hapa, kama si yeye singeweza🙏🙏🙏🙏🙏nimefungua moyo wangu niguze Yesu🙌🙌20/5/2020

  • @gloriandirangu
    @gloriandirangu Год назад +1

    Yesu ni mwamba
    Yuko hapa 😭Anatenda kila siku

  • @lailakacm6599
    @lailakacm6599 Год назад +2

    Hallelujah 🙏Asante Yesu kwa Upendo wako kwangu

  • @edsonjonas229
    @edsonjonas229 3 года назад +4

    who is still here listening this blessing song? God is the most higher God......Amen Amen

  • @sarahmatenda6197
    @sarahmatenda6197 5 лет назад +6

    ....mungu yuko hapo kila jambo ananipigania... gonga like tusonge mbele

  • @albertcann1918
    @albertcann1918 3 года назад

    Woowww, Kweli Kweli Kweli, Yesu yuko Hapa. Dar es Salaam Intchi ya Maziba na Asali... The Country of Excellncy, The best of The Best in the World Mweshimiwa Bwana President John Magufuli ... May God highly protect his servant.. Mungu amulinde na kumtchunga uyu President Bwana Mweshimiwa President John Magufuli... Hatujaona Raisi kama wewe uku tshini ya Jua... You are UNIC... UNIQUE... WEPEKE.... YESUS AWENAWE... YESU YUKO TSHINI TANZANIA.... Albert Knn

  • @yudamwambeta2479
    @yudamwambeta2479 3 года назад +1

    Hakika Yesu yupo hapa nilipo anaendelea kutenda miujiza kila kunapokucha ktk maisha yangu

  • @sharoniminza7760
    @sharoniminza7760 4 года назад +9

    Wow blessed song...just realized the video was shot in Kenya 😊😍😍🙏🙏

  • @neemalymo2526
    @neemalymo2526 3 года назад +5

    Haleluya nimefunga basi naskiliza hii nyimbo nikiwa kazin hapa napata faraja 🙏🙏

  • @neemamturi3273
    @neemamturi3273 3 года назад +2

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako hakika Yesu yupo maishani mwetu Mungu azidi kukuinua zaidi Mtumishi wa Mungu.

  • @goodluckmwangomango1548
    @goodluckmwangomango1548 24 дня назад

    Wimbo umenibariki leo hii! Hakika Yesu Yuko Hapa!

  • @veronicamathew31
    @veronicamathew31 5 лет назад +13

    Namuona yesu yupo katika maisha yangu, ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @getrudefavour6099
    @getrudefavour6099 4 года назад +20

    Huu wimbo!!!! Oh my God! Don't know what to say. This song has touched me in a mighty way. My day was bad, full of stress and anger. But when I watched this song I felt in my heart I need to let go of my anger n to forgive those who made me stress myself. Nimeutazama Leo Kama Mara kumi. Na bado sijaridhika. Still watching on my 📱. It touches me in a different way. Barikiwa Sana mtumishi WA Mungu

  • @neemamturi3273
    @neemamturi3273 3 года назад +1

    Hadi kufikia hapa niwewe tu Yesu naomba utuguse sisi wanao katika maisha yetu tuko hapa Baba ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe mzuri.

  • @mwikalijanet3874
    @mwikalijanet3874 3 года назад +1

    Iam a huuge fan of Mwahangila. blessings. From Kenya

  • @maureenmunkombwe3592
    @maureenmunkombwe3592 Год назад +3

    This song really blesses me

  • @decemberachieng7488
    @decemberachieng7488 4 года назад +10

    Whose with me now😥😥😥
    May God hear us 🤲
    Am blessed now👃👃👃👃

  • @josephmassawe9392
    @josephmassawe9392 2 года назад +1

    Sijui nisemeje Ila huu wimbo huwaga nikiusikiliza huwa nabarikiwa mpaka najihisi Niko kwenye dunia nyingine Mungu akubariki uzidi kutulea nyimbo nyine zenye faraja Kama hiii🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @bonnyelias4838
    @bonnyelias4838 4 года назад +16

    Hii nyimbo mpaka kesho kali.. .. nyumbani, kwenye usafiri wangu, dukani kwangu ni Yesu tu yupo hapa🙏🙏🙏

  • @miriampanga211
    @miriampanga211 4 года назад +120

    September 2019 bado nasikilizia kama upo pamoj gonga like twende be blessed Christopher

    • @anthonmichael4567
      @anthonmichael4567 4 года назад

      Amen nikweli nilikuanimipata majaribu nikawa nalia Mara nilipo sikia huu wimbo nilijikuta nimejiwa nanguvu akunakushigwa kwa yesu akika nilipata faraja sana mungu akuinue zaidi

    • @julianamsimbe7464
      @julianamsimbe7464 4 года назад

      Nipo nyumbani naumwa nimevunjika mguu kukwe hii nyimbo inanitia moyo sana tena inanibariki sana nakukubari Sana

    • @denismlay6424
      @denismlay6424 4 года назад

      miriam Panga nafurah hadi bas

    • @bandaally369
      @bandaally369 4 года назад

      Nyimbo nzriii

    • @valentinekavita8831
      @valentinekavita8831 3 года назад

      Hakika Yesu yuko hapaa

  • @mutundumercy2675
    @mutundumercy2675 2 года назад +1

    Yesu Yuko karibu Kila wakati. Rafiki wa karibu. Hallelujah

  • @williammuthaura3172
    @williammuthaura3172 2 года назад +1

    God remember me.i really need your mercy and grace to make it in everything i do.

  • @cynthiamuriithi4678
    @cynthiamuriithi4678 8 месяцев назад +11

    Hallelujah 🙌, glory to Almighty God, such a glorious and wonderful song, your songs are such a blessing especially this one, may God continue blessing you even more

  • @abelkhiyanjila1675
    @abelkhiyanjila1675 9 месяцев назад +3

    2023 and still this song is very empowering. The Lord Jesus Christ is indeed here

  • @odiliamambacho4533
    @odiliamambacho4533 Год назад +2

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu,Nabarikiwa sana nisikiapo wimbo huu,Hakika namwona Mungu Yuko Hapa

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 2 года назад +1

    YESUuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wangu uko hapaaaa.niko naona nguvu zako Baba uku hapa mwezi huyu tarehe 03.01.2021niguse Baba nihudumiye JEHOVAH shamman🙏🙏🙏🙏🙏🙏😪🤲

  • @faithakinyi6556
    @faithakinyi6556 2 года назад +5

    Nimebarikiwa sana kwa wimbo ambao unafuza moyo wangu sana,am blessed 🙌

  • @charlesmbuge6114
    @charlesmbuge6114 Год назад +3

    Hakika YESU yupo hapa wimbo mzuri sana barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl Месяц назад +1

    Hallelujah wonderful man for songs amen may God continue to bless you amen 💖💖💖💖💖💖💖💖 hallelujah 🙋🙋🙋

  • @dadaprishelo8085
    @dadaprishelo8085 4 года назад +1

    Mexico, loving his song. mimi ninaipenda Afrika mashariki

  • @charlesjacksontz267
    @charlesjacksontz267 5 лет назад +4

    Yesu yuko hapa tu siyo mbali amini tu atakuhudumia katika huu Wimbo ukiamini utafunguliwa

  • @lukamu5806
    @lukamu5806 2 года назад +14

    Indeed nice song. Watched it today 08/04/2022 whilst on a bus the conductor of that bus namely MBWE BUS SERVICES here in Zambia was playing this song then I liked it and I had to search for the title on RUclips and here I am. 🙏🙏🙏👏👏👏 Am very happy. Thank you bro Emmanuel together with your team. Am from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲💯

  • @priskajustin707
    @priskajustin707 3 года назад +1

    Kweli na muona yesu yuko hapa

  • @user-vd5dd7vg3i
    @user-vd5dd7vg3i 7 месяцев назад

    Hakika huu wimbo sichoki kuusikiliza kila napousikiliza najikuta mwenye kubarikiwa na huu wimbo

  • @aurahbintiwaaura2564
    @aurahbintiwaaura2564 6 лет назад +161

    Who's still listing this song, Yesu Yuko hapa, I'm so blessed Amen.

  • @faudhiahamis5486
    @faudhiahamis5486 4 года назад +3

    Hakika huu wimbo unanibariki sana kama bado unaangali na kusikiriza huu wimbo 2020 lik hapa hakika yesu yuko hapa

  • @mariaclaraleonard6538
    @mariaclaraleonard6538 4 года назад +2

    Yesu yupo hapa Kama unaamini Mungu akutendee miujiza Leo. Amen

  • @rebeccahsoki
    @rebeccahsoki 2 года назад

    Spotlight Media Wako juu sana , Video hadi wa leo nikubwa kwote duniani

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 5 лет назад +295

    Wimbo mkubwa Kamanda, Mungu akubariki. Weka LIKE yako hapa kuonesha ishara ya upendo
    #lawrencendosi

  • @WazembaOwen
    @WazembaOwen 5 месяцев назад

    My dear iam a Ugandan but Kenyan gospel songs are always good for me

  • @agnesmwikali5218
    @agnesmwikali5218 7 месяцев назад +2

    Am never alone..kweli Yesu yuko hapa.
    Blessings 🙌
    🇰🇪

  • @aarthuranangwe532
    @aarthuranangwe532 4 года назад +4

    Wimbo mzuri umeniweka karibu na mungu ....asante mungu namwona yesu yuko hapa kazini kwangu...may God bless ur works

    • @dianamseka1233
      @dianamseka1233 3 года назад

      I real like this song hakika Kaka Mwahsngila umebarikiwa Sana na huduma hii ya uimbaji

  • @nevens2502
    @nevens2502 3 года назад +8

    Listening from kingdom of Saudia Arabia. This Song has been a blessing in my life.

  • @essieshan
    @essieshan Год назад +2

    Finally after 1year searching for this song and the singer I finally found it

  • @numukobwaassumpta9519
    @numukobwaassumpta9519 Год назад +1

    Ubarikiwe sana na group yenye unaimba pamoja Mungu aendelee kazi kwa Christopher na Talent yako ipande sana. Roho wa Bwana awe juu yako tunabarikiwa kutoka nyimbo zako.

  • @princeochilo4329
    @princeochilo4329 2 года назад +13

    2022 we are still here praise the Lord mmmmh the word of the Lord will always stand no matter how many years to come this song is my morning 🌅 star to start my day at work.

  • @hannahmontana8510
    @hannahmontana8510 2 года назад +3

    4 years down the line am coming to meet this beautiful song... Meeeen this song is really blessing me... Thanks to my husband who made me think of it when he plays it every morning.. 28/4/2022.. For every like am coming back to listen.