Mungu akujalie kaka yangu upate hitaji sahihi la moyo wako, kiufupi unapambana sn juu ya taifa ,vivyo hivyo pambana juu ya familia yako ili umpate mtu sahihi, amen
@@AllyRamadhan-cw8we Majina ya Ally wengi malaya labda Ally kamwe tu ila hao wengine hata maendeleo hawana wanawaza wanawake tu hasa wanaojiuza hawajali watoto wao kwa malez wao ni kuzalisha na uchawi sasa wanapenda ndumba🤣🤣Nikikwambia hayo nina rafiki yangu alikuwa na X wake ndio ana tabia hizo
@@khadijatanzania8040 aaa wew usitutie nuksi sie alafu ukamuacha kamwe kisa ni semaji!!SEMA uyo wako wew labda ulikuwa humpi yote ndomana ivo!!lakn kina ally watu swaaaafi kabisa
Yani kina Ally karibia wote huwaga wanamuonekano ila Sasa kuwa romantic 😢😅😅😅😅😅😅😅Ukiwaona wapoleeeeee kwa surah vizuriii ila vikikasirikah sasa kasheshe😂😂😂
Msimfananishe Ally na vitu vya hovyo kama Mzungu! Mzungu kaisha zeeka lakini pia hana jipya tena kwenye mpira wetu na hasa kwetu sisi wana Yanga lakini kikubwa hatutaki chuki na uadui kwenye mpira Mzungu ni mtu wakuzalisha maadui yeye kila siku kagombana na huyu na yule bushet Aende akaongoze au akawe msemaji wa chama cha Malbino Tanzania
Wengi humu mnampenda Ali Kamwe ila maswali anayoulizwa hayaendani na jina la kipindi. Sawa unagusia kazi yake ndo kipindi kizima? Hayo mambo ni ya Sports Arena au Good morning huko ila sio Lavi Davi. Diva njoo hapa na comment yako ya “kajambe huko” ukajambe mwenyewe
Lakini hili la mtu kukaa mda mrefu bila kushiriki tendo alf unaonekana kama haujakamilika ni kama kuchochea hivi watu kuvunja amri ya 6.. mm naona ni maamuzi tuu ya mtu binafsi
Diva hiki kipindi ni cha mapenzi au mpira? kama vp badilisha hilo neno lavidavi andika mpira wa usiku coz mtu kaja kuhojiwa kuhusu mapenzi we unamuhoji kuhusu mazembe
Acha roho mbaya mtoto wakike ,kuwa size ya 5sio 32 uta muhoji vip mtu usimgusie kaz yake afanyayo au we mgeni wa lavidavi kwanzia leo fuatilia lavidavi zote ukiona mtu anahojiwa kwenye kipindi ajagusiwa kazi afanyayo uje uchukue k500 for free
Mungu akujalie kaka yangu upate hitaji sahihi la moyo wako, kiufupi unapambana sn juu ya taifa ,vivyo hivyo pambana juu ya familia yako ili umpate mtu sahihi, amen
kwa kweli @ally kamwe ni creator and innovator
Eee mungu nipe mwanaume kama ally kamwe please God please naomba mungu❤❤❤❤
Ally yoyote anaweza kuishi muda mrefu bila kufanya mapenzi!!lakn majina mengine hamuwezi ally shout up🎉🎉🎉
Nyooo kakuambia nani kina Ally malaya balaa kuna huyo mmoja anafanya kununua machangudoa kazi yake kuzalisha tu lakini huduma hajui
@khadijatanzania8040 heeeee!!! kwenye 100 utamkuta Mmoja na huyo Mmoja ujue ulimharibu mwenyewe ulikuwa mpenzi wake!!
@@AllyRamadhan-cw8we Majina ya Ally wengi malaya labda Ally kamwe tu ila hao wengine hata maendeleo hawana wanawaza wanawake tu hasa wanaojiuza hawajali watoto wao kwa malez wao ni kuzalisha na uchawi sasa wanapenda ndumba🤣🤣Nikikwambia hayo nina rafiki yangu alikuwa na X wake ndio ana tabia hizo
@@khadijatanzania8040 aaa wew usitutie nuksi sie alafu ukamuacha kamwe kisa ni semaji!!SEMA uyo wako wew labda ulikuwa humpi yote ndomana ivo!!lakn kina ally watu swaaaafi kabisa
Eeee mungu nipe mwanaume kama ally kamwe naomba please 🙏🙏
Ila Diva Kam Ahupo Makini Unawez Poromoka Vibaya😂🎉❤🎉
I proud lavidavi ❤
Kiongozi wetu tuzidi kumomba M/Mungu atujaalie mafanikio kwenye Timu yetu ya Yanga Inshaallah
Sema semaji wetu unaakili saan
Diva muhulize ally kuhusu ujenzi wa uwanja
Mimi na mwamini ally kamwe kwa u bussy alio kuwa nao namwamini . Uko vzr kaka
Yanga saizi imekua na imemature hongereni saana viongozi wa yanga.
Ali kamwe hayupo romantic kbs anawaza yanga T😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hashimu ibwe ataongelea mpira uwanja 2
Semaji
Bhasi tusionane Ally kamwe mana
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Sahihi kamwe
Leo siyo uck wa love Davy tyu niuck wa udaku udaku
Huyu diva sio smart kabisa
Dj anasinzia uko nyuma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂
😂😂😂 Ally kamwe nimecheka sana, eti yeah, halafu sijui wewe sauti yako unaifanyagaje
Muulize mamb ya MPIRA Tu uyu jamaaa
Hahahahaha Kwan SABUNI na MAFUTA vinakazi gani😅😂
Yani kina Ally karibia wote huwaga wanamuonekano ila Sasa kuwa romantic 😢😅😅😅😅😅😅😅Ukiwaona wapoleeeeee kwa surah vizuriii ila vikikasirikah sasa kasheshe😂😂😂
@Diver....waiteni wale mashabiki wawili mke na mume mke simba mume Yanga.
Msimfananishe Ally na vitu vya hovyo kama Mzungu! Mzungu kaisha zeeka lakini pia hana jipya tena kwenye mpira wetu na hasa kwetu sisi wana Yanga lakini kikubwa hatutaki chuki na uadui kwenye mpira Mzungu ni mtu wakuzalisha maadui yeye kila siku kagombana na huyu na yule bushet
Aende akaongoze au akawe msemaji wa chama cha Malbino Tanzania
Diva ukipigwa vzur utasema ukweli hiki kipindi kinausu nin
Asije akasema napenda mwnamke awe na macho km ya zengeli mwsho wa siku hakawii huyo
😂😂😂😂😂😂 daaaaaaaaaaaa au kusema anapenda macho kama ya Pacome au ya aucho daaaaaaaa we jamaha sijuwi umefikiriya nini😂😂😂😂😂
Kwa upande wa macho hapo ninasifa 😂😂😂😂
Namuamini kamwe mie naenda wa 4 tena nimetulia tu
Kamwe njoo uchukue mtoto wa kinzanzibar huku mdogo ila tatizo ww mfupi tu shida iko hapo kwako
mfupi ndo hawez kutunza familia au,hawez nin yan
Wengi humu mnampenda Ali Kamwe ila maswali anayoulizwa hayaendani na jina la kipindi. Sawa unagusia kazi yake ndo kipindi kizima? Hayo mambo ni ya Sports Arena au Good morning huko ila sio Lavi Davi. Diva njoo hapa na comment yako ya “kajambe huko” ukajambe mwenyewe
Semaji bwana eti miaka miwili 😂😂😂😂 siamini
WANGAPI wamemuona DJ KALALAH 😂😂😂😂😂
Niusikù mwingi maskini
Dj kalala 😂😂😂
😂😂Nakaribia kwenye mahusiano
Ww usituongelee kingereza unaeongea nae ni mswahil
Lakini hili la mtu kukaa mda mrefu bila kushiriki tendo alf unaonekana kama haujakamilika ni kama kuchochea hivi watu kuvunja amri ya 6.. mm naona ni maamuzi tuu ya mtu binafsi
sio kuleft group ni kuleave group
Chiku kama CHIKU 😂😂😂
Kwahiyo diva unataka kuhalalisha uzinzi
We kamwe wewe
Diva hiki kipindi ni cha mapenzi au mpira? kama vp badilisha hilo neno lavidavi andika mpira wa usiku coz mtu kaja kuhojiwa kuhusu mapenzi we unamuhoji kuhusu mazembe
Acha roho mbaya mtoto wakike ,kuwa size ya 5sio 32 uta muhoji vip mtu usimgusie kaz yake afanyayo au we mgeni wa lavidavi kwanzia leo fuatilia lavidavi zote ukiona mtu anahojiwa kwenye kipindi ajagusiwa kazi afanyayo uje uchukue k500 for free
kajambe huko
Kila kitu ni ubunifu dada angu
Yani wewe kama hutaki kufatilia acha maana Ali Ana maisha mengine tofaut na mpra jitambue kenge
Muppet
Ali kamwe hayupo romantic kbs anawaza yanga T😂😂😂