MSINITISHE NAWAJUA WATEKAJI NA WAUAJI NIPO TAYARI KUUWAWA | ACHENI MAIGIZO YA KU....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 370

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 Месяц назад +26

    Harafu anatokea kenge anasema tz nchi ya aman Imani inatokea wapi😭😭😭😭😭

  • @MoroDartz
    @MoroDartz Месяц назад +3

    Askofu Ikongo Mungu akutetee

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 Месяц назад +1

    Mungu akubariki. Umefumbua fumbo. Adui wanafunuliwa Mungu anawaumbua. Mkono wa Mungu usitulie mpaka wamekamatwa wote

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 29 дней назад

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @KisaMbembela
    @KisaMbembela Месяц назад +15

    Pole sana baba yangu tunaendelea kukuombea mtumishi mungu akulinde

  • @BraysonMtweve
    @BraysonMtweve Месяц назад +10

    Pole Sana
    Kiongozi

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 6 дней назад

    Kweli

  • @evaemil856
    @evaemil856 Месяц назад +7

    Amen. Tuendelee kuombea Amani.

    • @aciphiweobethkinsindi2932
      @aciphiweobethkinsindi2932 Месяц назад +1

      Waombea Amani nao hawamwamini MUNGU,,kuwa anawalinda wanawamini mabodgard😂😂 Ila sisi wanatuaminisha MUNGU anatulinda,,

  • @djchiccotzofficialdjorigin1280
    @djchiccotzofficialdjorigin1280 Месяц назад +14

    AISEE UMEONGEA POINT MKUBWA NIMEKUELEWA SANA MUNGU AKUBARIKI

  • @KIGOLAORGINAL-kw6fq
    @KIGOLAORGINAL-kw6fq Месяц назад

    Wewe. Mtumishi hebu fanya kazi yako. Ya kuhubiri. Wewe. Kazi yako kuhubiri au mwana siasa. Utumishi wa Mungu sio siasa baba hubili injili ya yesu kilisto mtumishi wa Mungu katiba yako. Ni neno la Mungu lete neno

  • @AshaHalidi-v9f
    @AshaHalidi-v9f Месяц назад

    ALLAH akulinde

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA Месяц назад +25

    Kweli ndugu watanzania Mambo muhimu tunachukulia poa tuu

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s Месяц назад

      Tumeendekeza mpila

  • @ClementJohnson-j9y
    @ClementJohnson-j9y Месяц назад +2

    I trust God only no body else in Africa especially Ibrahim traore

  • @YohanaJulius-j8p
    @YohanaJulius-j8p Месяц назад

    Well said

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz Месяц назад +7

    Sema kaka ukitekwa niwao hakuna ketekwa washindwa kwajina labwana wamajeshi

  • @Omar-i1z3q
    @Omar-i1z3q Месяц назад +1

    Tz is sweet killer

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow Месяц назад +45

    MUNGU akulinde ndugu yangu tanganyika tunataka watu kamawewe ila samia sio kiongozi ni shetani

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n Месяц назад +2

      Ndugu yngu Samia akiisoma hii Moja Kwa moja utapelekwa lumande😂😂😂😂😂😂😂

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 Месяц назад +5

      ​@LindaMbilinyi-n3n tena Samia Pepo kabisa

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n Месяц назад

      @@anastaziamathias8861 🤣🤣🤣🤣🤣nakubal

    • @mrsmumewangu4907
      @mrsmumewangu4907 Месяц назад +1

      Msitu waununio aujalimwa bado ndugu yangu 🤣

  • @hedayamohammed2781
    @hedayamohammed2781 27 дней назад

    Tangia nifuatilie historia ya huyu Baba Wallah nimeumia sana 😢 anahaki ya kuongea jamani alichofanyiwa kama atakosa haki yake hapa Duniani Mwenyezimungu atatoahukumu hata ichelewe

  • @NeemaSaleh-um5hd
    @NeemaSaleh-um5hd Месяц назад

    Say true man

  • @siskimkimu2298
    @siskimkimu2298 Месяц назад

    Dah

  • @bwamkuuhassan421
    @bwamkuuhassan421 Месяц назад +6

    Umenena ukweli

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d Месяц назад +2

    Acha kuzunguuuuukaaaaaa Watajeeeeeeee

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 Месяц назад +9

    Ndg kwa kuwa uliisha Sema watekaji ni akina nani? Unaonaje ukiwataja hadharani Watanzania wote tukajua?

  • @saidjumanne5024
    @saidjumanne5024 Месяц назад +2

    Logic 100%

  • @EmmanuelMaigemasingija
    @EmmanuelMaigemasingija Месяц назад +1

    Mzee unasema kweli kambisa uposawakweli🙏

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Месяц назад +2

    Inalilah wainailaih huu ni msiba mzito yarabi tunusuru 😭😭😭

  • @fulgenceoswald3866
    @fulgenceoswald3866 Месяц назад

    upo sahihi kabisa

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 Месяц назад

    Wanalala na Wao.

  • @TumsifuSilaa
    @TumsifuSilaa Месяц назад

    ❤❤❤🎉

  • @SalhaJuma-i6z
    @SalhaJuma-i6z Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @FlorahMero
    @FlorahMero Месяц назад +2

    Hongera kilimanjaro sehemu gan

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo Месяц назад +3

    Pole

  • @InnocentShomari
    @InnocentShomari Месяц назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @TeodoriLussona
    @TeodoriLussona Месяц назад +2

    Haya sasa

  • @HajiMwangama
    @HajiMwangama Месяц назад +5

    Kaka nimekuelewa sana

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Месяц назад +4

    Ccm Ina green 💚 security...wengi sana ....

  • @wilsonletiet7852
    @wilsonletiet7852 Месяц назад

    umeongea facts

  • @AmmarSadik-x5u
    @AmmarSadik-x5u Месяц назад +9

    Katiba mpyaaaaaaaa

    • @rommybravo
      @rommybravo Месяц назад

      Huyu anachoongea kiukweli mimi binafsi sioni tija Bodyguard hana mafunzo ya kijeshi inategemea ni Bodyguard wa nani Bodyguard Bounsas sio kikundi cha kijeshi ni raia wa kawaida tu wanapata mafunzo gym kujenga mwili na kupewa bastola serikali ina sheria ya kumpa mtu silaha kwasababu za msingi ..Hakuna Bodyguard binafsi ana mafunzo ya kijeshi msifanye mchezo na jeshi jamani jeshi letu liheshimiwe inawezekana ndio watekaji cjui ila hawana mafunzo ya kijeshi

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 Месяц назад +9

    Kama kweli serikali ni wananchi na wananchi ndo sisi basi wataje sisi wananchi tuwafahamu tumalizane nao mtaani usizunguke sana

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s Месяц назад

    😢😢

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +3

    Kweli kabisa watanganyika wanaweza kucheza na maisha yao wenyewe. Wakisha kuwa wachawa tu wanajifanya kuwa wao ndiyo wenyewe. Tuambie hayo matekaji utadhani hayakuzaliwa na wazazi wao. Utadhani hayakulelewa hacha yatabeba laana zao mpaka vizazi vyao mpaka vya 4.

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on Месяц назад +2

    Hakuna watumishi wa Mungu siku izi ndo maana wako kimaslahi na si kuongea haki wakisema hakuna amani watakosa ugali

  • @RutaEmmaMachumu
    @RutaEmmaMachumu Месяц назад

    Ni kweli kabisaa hii mibodyguard isajiliwe sio kulinda olela...... Maana kila mtu anajibebea limtu anaweka hapo limlinde bila kufuata utaratibu.

  • @NeemaJitambi-hj9iv
    @NeemaJitambi-hj9iv Месяц назад +21

    pole,ila watanzania hasa ww ambaye unawajua ukipata media kama hii Taja majina yao moja kwa moja taifa lijue.wakijulikana kuanzia mtaan tuwakatae watafute nchi yao

  • @ApolinariBihofya
    @ApolinariBihofya Месяц назад

    Kazi imekushinda hubiri injiri

    • @hedayamohammed2781
      @hedayamohammed2781 27 дней назад

      Hujui aliyapitia huyu Baba ameteseka sana muache tu aongee 😢

  • @ALUNASYStephen
    @ALUNASYStephen Месяц назад +2

    Upo sahihi kabisa mlundikano wa walinzi
    Wa majeshi ya kienyeji mtaani ni kosa kabisa

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 Месяц назад

    Huyu mungu wawatanzania bhana cjajua ndiyo mwamposa, au kiboko yawachawi, maana kila kitu sisi huwa tunaigopa saana selikali, kama ndiyo mungu

  • @williamsmollel3524
    @williamsmollel3524 Месяц назад

    Mzee nakukumbuka sana kanisa lako lilikua shule ya shaurimoyo moshi ulikua mweusi sijui ulifanyaje ukawa mweupe pole sana

  • @leitonyngayama6882
    @leitonyngayama6882 Месяц назад

    CCM hawawezi kujibu Kwa hoja,,, policcm NI kikundi cha chama, usitegemee haki

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Месяц назад +1

    Majambazi ya nchi hii yanatokeaga kaskazini tena majambazi sugu ya magari mpaka ubunge yaligombea

  • @PakistaniMwambene
    @PakistaniMwambene 8 дней назад

    Tanzania bado haijapataga uhulu bado

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri Месяц назад +2

    Nikweli kabisa watanzania hatuna msimamo na uoga mwingi

  • @TeodoriLussona
    @TeodoriLussona Месяц назад +1

    Aiser

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe Месяц назад

    Sirikali inajua kila kitu na niwahusika namba 1

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr Месяц назад +10

    Pole Sana

  • @dijamfaume9732
    @dijamfaume9732 25 дней назад

    Jeshi la polisi hatuliamini na ndio maana kilammoja anakuja na walinzi wao shirikishi

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 Месяц назад +1

    Wabongo wengi wanapenda uongo na unafki kuliko ukwer

  • @RevocatusBussiah
    @RevocatusBussiah Месяц назад +4

    Utekaji n mkubwa....

  • @manenohamisi2858
    @manenohamisi2858 Месяц назад

    Kweli kabisa. Uyasemayo

  • @SaidMohamed-z9j
    @SaidMohamed-z9j 29 дней назад

    We vp

  • @MnoileAbedi
    @MnoileAbedi Месяц назад

    Sawa

  • @simonetz7036
    @simonetz7036 Месяц назад

    Pole sana Pius, Lakini hakika ndo nimejua kwamba watanzania tunamtindio wa ubongo. Hata serikali haifuati kikamilifu iyo katiba. Nadhani iyo sheria ilitungwa ili kuondoa ugumu kwa serikali pale itakapoitaji kumpata mtu wasikutane na kikwazo chochote. Hilo ndo lengo kuu

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf Месяц назад +6

    Heshima akuna sababu kila sekta wamejazana waovu Allah yupotu

  • @musarashid7873
    @musarashid7873 Месяц назад +1

    🤔🤔

  • @AlfonceGwambiyeBilantanye
    @AlfonceGwambiyeBilantanye Месяц назад

    NI VURUGUMECHI TZ

  • @MashakaMpembule
    @MashakaMpembule Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ManaseJubilate-kk2gz
    @ManaseJubilate-kk2gz Месяц назад

    Hivi kwa nn watu wameshafahamika kabisa lkn hawafanywi chochote?! Kwamba ukishakuwa ulitumika eneo flani au una pesa uko juu ya sheria?hii ni indication mbaya sana,Mungu tu aingilie kati kwa kweli🥹🥹

  • @HusnatJosephat
    @HusnatJosephat Месяц назад

    Wataje tuwajue mpendwa was mungu

  • @Salimumussamchoropa
    @Salimumussamchoropa Месяц назад +1

    Tuendelee kupambania Amani ya nchi yetu inapotea hongera sana mchungaj pole San na Mungu akulinde

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 Месяц назад

    Mmh! Hiyo nayo point jamani!!! Tukidharau maoni haya mwishowe tunatengeneza vikundi vya kigaidi ambavyo hata majeshi yetu yatashindwa kuyadhibiti

  • @lowasanangoro9384
    @lowasanangoro9384 Месяц назад +1

    Ni kweli mzee wangu ukweli unabaki wapi

  • @mohamedhamisi5369
    @mohamedhamisi5369 Месяц назад

    Hako point hapo kashambulia watu ,awataje na hapa ,lakini ukianza kusema mkinzi wa msanii akimaliza kaz anaenda wapi nisawa nanini tukitoka kazin huwa tunaenda wapi hapa umepuyanga ndio maaana hata hao uliowapa ushahid wako bado haujaleta matokeo

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb Месяц назад

    Nikweli kabisa mtumishi
    Wanathamini wasani wanaonengu viuno mbele
    Ya viongozi wakihamaziza
    Omalaya wanafundiza vizazi
    Vijazo wanafundiza Nini watoto Leo marehem mzee
    Nyerere atawashanga sasna

  • @AlfredMapile
    @AlfredMapile Месяц назад

    We!

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w Месяц назад

    Katiba mpya 🎉ni ukombozi

  • @ARAFATSALUMABDULLA
    @ARAFATSALUMABDULLA Месяц назад +2

    Ta. N. Za. Ni. A. . polisi alinda mali naraia wake . 😂😂 .

  • @VidothLema
    @VidothLema Месяц назад +3

    hao ni vibaraka wa mama halafu anajigamba hadharani kwsmba hajui yanayoendelea nchini anatudanganya watanzania

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Месяц назад

    Tutasikia mengi

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde Месяц назад

    Kweli kaka ni maigzo yanaendelea.

  • @JUMANNEGIBSON-k6c
    @JUMANNEGIBSON-k6c Месяц назад

    Daah najisikia vibaya

  • @simonjohn7405
    @simonjohn7405 Месяц назад

    We kilema acha kutupiga kelele

  • @alenimgaya3889
    @alenimgaya3889 24 дня назад

    Wewe umetekwa nanani

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 Месяц назад +3

    Dah nimepoteza bando langu...

  • @watuwamungutaifalamungu.6108
    @watuwamungutaifalamungu.6108 Месяц назад

    Wanatekwa Wa chama kimoja Tu Acha porojo

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba Месяц назад

    Hata daudi,Ibrahimu na wengine wengi walikuwa na walinzi wao

  • @Francis-kx1sb
    @Francis-kx1sb Месяц назад

    Hakika upo sahihi mtumishi shidayetu WA tz nimfanonwa manyumbu

  • @officialvicetz
    @officialvicetz Месяц назад

    Kivumbi leo

  • @Kombs-cr2mj
    @Kombs-cr2mj Месяц назад +3

    Mpaka hapa nishaelewa nani alikuteka brother! Serikali iko innocent.

    • @philemornmutta1597
      @philemornmutta1597 Месяц назад

      Na kama serikali yetu ni inosent wanafeli wapi kuwakamata Ili Hali amesha wataja mpaka Kwa IGP

  • @LusunguWatsonMgeni-gr8zt
    @LusunguWatsonMgeni-gr8zt Месяц назад +1

    Wambie Baba CCM hawaele hata kidogo

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 Месяц назад

    Mmmm polisi wanatuumiza sana sisi ni binadamu kama jiji ushahidi huo hamuoni polisi mkuu wa polisi tanzania yupo hayupo

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl 12 дней назад

    Kwa Akili yako hiyo ni halali yakufike yaliyokufika!

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 Месяц назад

    Hilo ni hatari sana,kwani ofisa anaomba kustaafu Jeshini halafu anaenda kulinda kwenye kampuni binafsi,hicho kifungu cha katiba kimekufa jumla😢😢,yawekana wewe pastor ni chawa chama kileeèee

  • @thomasbundala7165
    @thomasbundala7165 Месяц назад +1

    Kunakitu naweza kusema kunabaadhi ya watu hawajui uchungu wa kufiwa ndiyo maana wanaandika porojo, nawengine nivibaraka wahao wauwaju

  • @DAVIDJOSEPH-u8r
    @DAVIDJOSEPH-u8r Месяц назад

    Mbona police ama serikari .hawafungui.kesi.km mnawasemea uongo

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 12 дней назад

    Wanaongeza Ajira . Si wanalipwaa?wanakula wanacholipwa. Kuna shida?

  • @ngamanyamwakasula3198
    @ngamanyamwakasula3198 Месяц назад

    Umetumwa ww

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 Месяц назад

    POLE SANA

  • @lucygodwin7590
    @lucygodwin7590 Месяц назад

    Nan huyu

  • @josephmwangita7041
    @josephmwangita7041 Месяц назад

    Hatuungi mikono utekaji na mauaji ya aina yoyote Yale ila wanaendele na kaz zao zakila sku Kwan kabula ya mafuzo walikua wanafanya nn muheshimiwa upon sawa lakn usiwalaumu wasio na hatia

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 Месяц назад +2

    Kwani Mimi nikiajiri kijana anirinde nimuripe mshaara kunakosa gani,siameingiza kipato