ASKOFU BAGONZA 'AMKAANGA' VIKALI ASKOFU SHOO/ ASEMA KANISA HALIJAMTUMA KUHUSU KAULI ZAKE ZA KARIBUNI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • #JAMBOTV
    VIDEO:
    Siku chache baada ya Askofu Dkt. Fredrick Shoo kueleza matamanio yake ya kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akipewa muhula wa pili wa uongozi wa Taifa letu baada ya muhula wake wa kwanza kumalizika, wadau mbalimbali wameibuka na hisia tofauti wapo wale walioonesha kumuunga mkono lakini pia wapo wale walioonesha kutokubaliana na hoja hiyo
    Mmoja wa waliojitokeza na kuipinga hoja hiyo kwa ukali na uwazi ni Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Askofu Dkt. Benson Bagonza ambaye amesema kilichozungumzwa na Askofu Dkt. Shoo si msimamo wa KKKT bali ni msimamo wake binafsi ambao pia pengine mipaka yake inapaswa kuishia kwenye Dayosisi yake pekee...
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 129

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Месяц назад +14

    Hongeren sana kweli kabisa maana shoo alikuwa ameharibu hili kanisa la kkkt maana tulikuwa tumelihesabia hilo kanisa ni la siasa cha ccm maana shoo tumegundua kuwa ni chawa na mtumwa yaani kila mtu akilala akiamka anasema ameona.

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 Месяц назад +18

    Huu ni muhula wa mwisho kwa Samia. Kutoka 15 mpaka 25
    Naomba msituchanganye tafadhali 💃🏾💃🏾💃🏾

    • @musa-v3f
      @musa-v3f Месяц назад +4

      utakuwa muhula wake wa mwisho endapo watanzania wataridhia. she is not entitled to second term as President.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Месяц назад

      @@maryfranknamkumba9182 Wewee uogopi

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 Месяц назад +2

      Akagombee uraisi Zanzibar na sio Tanganyika .katiba ya zanzibar inaruhusu.Lkini hakuna Mtanganyika yyte anaweza kwenda kugombea kua rais wa Zanzibar, hivyo katiba ya Zanzibar ni ya UBAGUZIM .

  • @AdamuMsinge
    @AdamuMsinge Месяц назад +1

    Mungu akupe maisha marefu na yenye amani nakupenda sana kiongozi wangu KEEP IT UP

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Месяц назад +6

    Kweli huyu Baba ni msomi wa hali ya juu kwa tafakuri zake kofia navua😅

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 Месяц назад +5

    Asante mch bangoza

  • @melch3097
    @melch3097 Месяц назад +13

    Shoo nitakataka, wachungaji njaa

  • @JANEBGOYA
    @JANEBGOYA 26 дней назад +1

    Salute Kwa Askofu Dr Bagonza

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад +8

    siasa na dini ni vitu vyakuogopa sn! sasa uyo mama aendelee kwa lipi?! kwa yapi alioyafanya

  • @MwalimuPastorSam
    @MwalimuPastorSam Месяц назад +2

    Askofu Dr. Benson Bagonza uko vizuri kujenga hoja. Nimemsikiliza askofu Dr. Bagonza mara nyingi

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Месяц назад +5

    Show kama kaonyeshwa basì kaonyeshwa yeye kulingana na Mungu wake anaemwabudu huko sirini mwake. Lakini huyo mungu wake ameshindwa kumuonyesha watoto wetu wadogo zetu waliotekwa ni nani anawateka na kuwaua, hili baya huyo show hakuonyeshwa na Mungu wake! Hiki kizazi cha kina show kinatakiwa kitambue kuwa Watanzania wa sasa si mbumbumbu kama anavyofikiri.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Месяц назад +1

    Maajabu WAGALATIA mtu haruhusiwi kupongeza serikali 😢😢😢😢😢😢😢

  • @abednego3876
    @abednego3876 Месяц назад +2

    Safii yule shoo ni msenge

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад +8

    Huyo kala rushwa mnahangaika bure kumjadili Mchaga huyo

    • @mmassyferguson4959
      @mmassyferguson4959 Месяц назад +1

      Mchaga ndio wala rushwa?
      Si sawa kuwa mbaguzi wa kabila

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d Месяц назад +4

    HUYU SHOO NI CCM. MPIGA DEBE WA CCM. HUYO MAMA SAMIA HATUMTAKI.

  • @lucymgohere
    @lucymgohere Месяц назад

    Big up

  • @paullukanga-xn8pr
    @paullukanga-xn8pr Месяц назад +1

    bahasha

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 Месяц назад +4

    Mchaga kishapewa rupia sasa hivi ni kupiga pambio za chura kiziwi

  • @NatashaJonhson-es8si
    @NatashaJonhson-es8si Месяц назад +1

    mm kwanzia leo mm sijikusali kama tunaowaamini leo wametugeuka bolaniwempagani tuu

  • @HezronSangam
    @HezronSangam Месяц назад

    Must Go 2025

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 Месяц назад +9

    Ma Rais wanaokaa vipindi viwili kwa kawaida ni wale waliopigiwa kura. Huyu amemalizia tu muhula wa Magufuli. Tusubiri chama chake kama kitamteua au la. Tusubiri.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Месяц назад +2

      CCM wakitaka kushinda kirahisi wamsimamishe Mh Majaliwa Ushindi mapema sana kama Yangaaa

    • @user13375
      @user13375 Месяц назад

      ​@@MashakaMagesamakonda 😂😂😂😂

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Месяц назад

      ​@@user13375unaota wewe

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Месяц назад

      @@user13375 Makonda 2035

    • @AnnaErinest
      @AnnaErinest Месяц назад

      CCM wakitaka kushinda kirahis wamsimamishe majaliwa,Kabudi au makonda hapa ntawapenda san ccm

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 Месяц назад +3

    Haikuwa kazi ya askofu kumpigia debe rais wa Tanzania.

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 29 дней назад +1

    Wa Tz amkeni hii nchi inamachawa vimaaaaaaaaaai sana

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Месяц назад +8

    Shoo anamtumikia Mungu mtu wake ambaye ni Samia. Ameshindwa kuusimamia ukweli wa Mungu. Kaamua kumkejeli Mungu na kumsujufia Mwanadamu, shetani. Samia hakuchaguliwa na watu. Ni katiba ambayo kaidharau na kuiita karatasi tu. Ni hiyo imempa Uraisi ambao hauheshimu kabisa.kalambishwa huyu.

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Месяц назад

      Mbona wewe unamuabudu yesu amabae nibinadamu lakini hakuna anaekusema ??yaani umeacha kumuabudu mungu aliemuumba yesu na wewe na kilakitu unamuabudu yesu unamuacha mungu hivi kweli ww unaakili??

    • @EmmanuelKiula
      @EmmanuelKiula Месяц назад

      ​​@@zaidiissa3714 YESU KRITO ni BINADAMU 100% na ni MUNGU 100%! YESU KRITO ndiye atakayewahukumu wanadamu wote siku ya mwisho, na ndiye Mwenye MBINGU na uzima wa milele! Pinga upingwe.

    • @romanilyimo
      @romanilyimo Месяц назад

      ​jina lako tu linaonyesha umejaa udini na ndio unakutesa. Watu wanajadili mambo ya maana ww unaleta udini wako hapa kaa pembeni tujadili na wanaojielewa.

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 17 дней назад

      ​@@zaidiissa3714wew unamuabd mwarabu Mr mohamed

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya Месяц назад +2

    Awajui mwatanzania tunayo yapitiya mtaani

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 Месяц назад +3

    Katiba ya Kkkt ni mbovu. Inahitaji marekebisho

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 Месяц назад +2

    Yale mazawadi aliyopewa Askofu Shoo baada ya kustaafu ukuu wa KKKT ndo yamemfikisha hapo kuwa chawa.Hili kanisa bila kukemea litapoteza mvuto

  • @JaphetMulungu
    @JaphetMulungu Месяц назад +1

    Wazi sasa mlio chaguliwa kuwachunga kondoo sasa mumelewa na hizo nafasi.kila mtu nimeonyeshwa na mungu.hata pasipofaa na nyinyi mumejiigiza kwenye uchawa.muogopeni mungu haya ni macho ya watu watawapeleka motoni.

  • @suleimanomary8689
    @suleimanomary8689 Месяц назад

    Wote hao ni chadema unategemea waseme nini?

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 Месяц назад +1

    Huyu Shoo alikuwa mpingaji mkubwa sana wa Magufuli,shida ilikuwa hapati ulaji na kuzuiwa upigaji wake

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo Месяц назад

    Kuhusu jambo hili Baba Askofu Shoo naomba tupate tafakari katika Biblia 1Samweli15:22-23!

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 Месяц назад

    KWANI GWAJIMA KASEMAJE?

  • @FrankEdson-l2o
    @FrankEdson-l2o 27 дней назад

    Samia nichaguo sawa ila ni lakatiba tu.

  • @greysonmatogo4662
    @greysonmatogo4662 Месяц назад +2

    Wazee shikamooni, sisi watoto wenu si mnatufundisha namna ya kuongea vzr, basi kama hamtojali tunaombeni sisi watoto wenu tuwafunze kukaa kimya, sababu kuna wakati kunyamaza kunatoa sauti kubwa kuliko kusema.

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 Месяц назад

    Huyo kazeeka aendelee kupumzika aache mdomo mdomo ilimponza fisi au anakumbukia vizawadi nn?

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 Месяц назад

    Anatafuta gari jingine iliapewe

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Месяц назад +1

    Haya mambo ya lazima Rais apate awamu mbili ni upuuzi mtupu. Tramp alitawala muhula mmoja kwasababu waamerica hawakuridhika na uongozi wake. Na watanzania wasiradhimishwe kimuchaguwa Samia. Wengi hawajaridhishwa na uongozi wake.
    Kashindws kupigana na ufisadi na hii imekuwa mateso kwa watanzania. Bungeni amejaza watu wasiojielewa kazi yawo ni kupiga meza bila sababu. Wenye pesa hawafungwi matokeo jela zetu zimejaa masikini. Miaka mitano mingine ya Samia ni mateso kwa wengi.

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 Месяц назад

    UMRI JUDGES

  • @juliusshirima1151
    @juliusshirima1151 18 дней назад

    Kwani CCM hamna mtu mwengine anaefaa kuchukua fomu

  • @albertmichael4014
    @albertmichael4014 Месяц назад

    Disaster wimbo kanisa😂😂

  • @MwangaBora
    @MwangaBora 28 дней назад

    Viongozi,wetu,wadini,mnapoteza,mwelekeo,mnatuhbira,mini,sass

  • @NatashaJonhson-es8si
    @NatashaJonhson-es8si Месяц назад

    heshimayakeyete ameipoteza

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Месяц назад

    Chawa itakuwa asali imepita

  • @Char-TechGroup
    @Char-TechGroup 10 дней назад

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 Месяц назад +2

    Dkt Bagonza akili kubwa

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Месяц назад

    Kwa hiyo ni kiherehere chake??

  • @fratelltutiilaudatosi4153
    @fratelltutiilaudatosi4153 Месяц назад

    Kkkt kila mtu anatamko lake

  • @EmmanuelSitayo
    @EmmanuelSitayo Месяц назад

    Shoo kastaafu vibaya.
    Sasa akagombee uenyekiti was kitongoji.

  • @ElizabetiMlay-m1j
    @ElizabetiMlay-m1j Месяц назад

    Shoo hanasifia ccm

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 29 дней назад

    Ninyi wakristo ndy wachafuzi amani dunia nzima

  • @MrBarracudablue
    @MrBarracudablue Месяц назад +1

    Hata yeye hajatumwa na Kanisa kukana hiyo Kauli. Pia Askofu Shoo hakusema kanisa limemtuma

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Месяц назад

      Fungua akili yako au funguo zimepotea? Ni vema ukawa kipofu wa macho kuliko upofu wa akili? "Nidhamu ya kufikiri ni kutafakari kabla ya kunena..."!

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 Месяц назад

    Katiba inabidi sasa aingie kugumbea kikatiba ni 25 ndo anaanza hadi 35 ndo miaka 10 ya katiba hii alipokea kwa marehemu

  • @washingtonngullo1988
    @washingtonngullo1988 Месяц назад

    Kwanza alishastaafu anataka nini hachoki Hana wajukuu

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 26 дней назад

    Amemteka huyo shoo peke yake na rushwa zao

  • @michaelmyaka5367
    @michaelmyaka5367 Месяц назад

    Unaongea sana

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi Месяц назад

    Aongezwe nn, labda amuongoze yy ili amuongize yy ,sisi hatumuitaj asitulazimishe sisi ,kama kapewa bahasha huyo shoo, akamchague yy na sio atulazimishe na sisi kisa kapewa bahasha ya kwaajil ya kumpgia debe badala ya kupiga debe la haki

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Месяц назад

    Shoo ni chizi kweli

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d Месяц назад +1

    KILA MTU ANA UHURU WA KUONGEA.

  • @ElizabetiMlay-m1j
    @ElizabetiMlay-m1j Месяц назад

    Uyo hamepewa fungu

  • @Euph59
    @Euph59 Месяц назад

    Shoo Ndugu yangu uliamkia ubavu gani siku unatamka haya. Au ni zile za Putin kumuunga mkono Harris?.
    Kaka jiepushe na Siasa za Bongo kwani ni mchezo mchafu kupita maelezo. Utachafuka Kiongozi wangu.

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 22 дня назад

    BOSI ANUNIWI KAMA AMELIKOKESEA AJENDA ZA KANISA MFUKUZENI HATUHITAJI ROPOROPO HAZITUSAIDII KITU

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Месяц назад

    Askofu ajiuzulu mara moja

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko Месяц назад

    Akika nawaambia uyu shoo ayupo ktk maslai ya taifa wala ya. Kimungu shoo yupo ktk maslai yake yy na famil yake bas tukiweka ushabiki wa vyama na tofauti za dini pembeni kiukweli maisha ya mama samia kwa wananch wake sio rafiki hata kidogo wananch tunamengi ya kusema ila tunaogopa kupotea na watu wasiojulikana hawa viongoz wa din tunao wategemea wenyewe ndo hawa wanakua machawa bas acha tumtegemee ney wa mitego man anajalibu kutusemea kuliko uyu shoo

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Месяц назад

    Angesema mwijaku angeitwa chawa ss huyu mzee cjui ataitwa nani

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 Месяц назад

      Naye ni chawa tu kwa hili

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 Месяц назад

    Kinacho wasumbua sio uaskofu ni kauskazini chagadema

  • @naasibabuu
    @naasibabuu Месяц назад

    kumbe ndivyo mlivyo mbona mnajianika mapema na chuki zenu

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Месяц назад

    Mtu yeyote ana uhuru wa kusema vile aonavyo. Tusiwafunge watu midomo.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Месяц назад

    Kura zitaongea hata kama Bangoza hamtaki samia

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym Месяц назад

    Tunaomba askofu utuonyeshe ulipo onyeshwa ndio tuta amini

  • @IsayaMwamlima-j5r
    @IsayaMwamlima-j5r Месяц назад

    Viongozi wa dini simamieni ukweli semeni ukweli

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Месяц назад

    Bangoza akisema yeye ndio tamko la kanisa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад

    Kwanza samia hatukumchagua kaongoza kwa kumalizia muda wao na marehemu kama ni kawaida inamanisha tunatakiwa rais mwingine samia anamaliza na marehemu

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam Месяц назад

    Hakuna mirengo yeyote ktk Hilo, huo ni utafiti uchwara, huyo Askofu hajui kuwa kura ndo inayomweka kiongozi mamlakini?, Askofu Bangoza Yuko sahihi kabisa.

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi Месяц назад

    Ila askofu wananchi weng ihawamtaki sasa tutafanyaje ili apite chonde wakuu mtusaidie kuiba kura kwa hali hii ili apite bila kuiba kura samia hapiti mpo hapa tutaona

  • @stevenjackson4985
    @stevenjackson4985 Месяц назад

    Bagonza ni mfuasi wa CHADEMA Wala sishangai yeye kusema hivyo.

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa Месяц назад +4

    Majaliwa ushindi mapema kama Yangaa 2025 twende na Waziri Mkuu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Месяц назад +1

      Majaliwa ni kama gunia hamna kitu pale

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Месяц назад

      @@robertphilip385 Yule ni Kiongozi hata akiwa anatoa kauli unaona kabisa huyu akiwa mkuu wa Nchi Kuna hatua Fulani nchi yetu itafika hasa kuhusu Matumizi mabaya ya pesa za Umma

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад

    Askofu Bagonza kasema ukweli kwenye risala yake japo mengi yatasemwa kwenye risala yake na mkweli daima hapendwi

  • @CristovaoMarioJaimeJaime
    @CristovaoMarioJaimeJaime Месяц назад

    Huyu Mzee niwahovyo sana Samia kaingia mamlakani kwaajiri ya Katiba , hivyo anaihimisha ingwe ya Magufuli iweje huyu zezeta eti Askofu aslilijuwe hilo? CCM wakae wajidili waone nani anaweza kugombea nasicyo Samia anaendelea? Nyie wazee acheni ujinga nakupotosha watu umri wenu umeenda

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya Месяц назад

    Bagonza maneno mazur mpeni mauwa yake

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Месяц назад

    Asa huyo Bagonza ni nani wa kumkaripia Shoo?

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa Месяц назад

    Askofu Shoo amesema yeye kama yeye wala hajashawishi mtu yeyote, sasa kinachowauma ni nini nyie ndiyo mnaolazimisha watu wafuate matakwa yenu. Kiongozi hutoka kwa Mungu siyo kwenye maandishi ya methali

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 Месяц назад

    Hauja Tenda Haki

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc Месяц назад

    Huyu shoo ni chukizo mbele ya Mungu ni aibu kwa wafuasi wake.

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 26 дней назад

    Askofu msaliti kala pesa

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Месяц назад

    Siku zote na sasa naendelea kuamini maneno ya jamaa mmoja aliwahi kusema kwamba: kwa ujinga huu unaoendelea tanzania juu hadi chini si jingine bali zile sindano za covid 19 tulizopiga tanzania nzima zinaanza kufanya kazi! Chezea mzungu wewe!

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 Месяц назад

    Mchungaji huyu Hana huruma na watanzania kabisa apumzike

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 Месяц назад

    Huyu ni askofu mpumbavu amepata vip kiti hicho cha Uaskofu

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 Месяц назад

    Na waseme kosa lake Nini khassa mpaka iwe kipindi kimoja tuuu? Mbona wengine wanamalizia vipindi viwili au kwakua mzanzibari tena muislam tuacheni chuki tz haina dini wala ukabila msilete chuki binafsi

    • @EmmanuelKuzenza
      @EmmanuelKuzenza Месяц назад +2

      Ongea hoja usiongee dini! Kwani Muislam ndo amepewa urais awamu hii? Mwinyi alikuwa mkristo? Au Mzee wetu Kikwete naye alikuwa mkristo? Tusipotoshe jambo ovyo ovyo! Jadili hoja usichanganye watu na Imani zao!!

    • @emmanuelmakundi2320
      @emmanuelmakundi2320 Месяц назад

      Mbona mnapenda sana kuleta hoja za kidini???kwahiyo huyu askofu nae ni muislamu???shame upon your face!!!!!

  • @husseinomary-dg1wx
    @husseinomary-dg1wx Месяц назад

    INGE KUWA SHEHE APO KAPINGA ANGE KUWA MSHA MTEKA MAANA TANZANIA HODALI SANA KUUWA WAISLAM KMY KMY

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 Месяц назад +1

    Mama Samia bado yupo sana malizeni maneno ila mtaaona anaapishwa 2025 na 2530 kwenda 2035 la Uhai na Afya ndio ALLAH amzuie lakini binadamu yoyote hawezi

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Месяц назад

    Pumbavu hili

  • @adartraveltanzania1664
    @adartraveltanzania1664 Месяц назад

    Askofu Shoo, kanisa la kkkt limegawanyika kule mbeya sasa kuna kkam na kkkt Mungu hakukuonyesha?
    Bagonza aliwahi kusema,viongozi wa dini mtuambie kama Mungu yupo au hayupo mbona mnafanya tofauti na kile mlichoitiwa?

  • @GeoffreyShali
    @GeoffreyShali Месяц назад

    Umezee vibaya na wewe nichawa

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Месяц назад

    Begonza unajikanyaga tunakushauri achana na siasa

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Месяц назад

    Hawa KKKT ni CCM purely

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw Месяц назад

    Hakuna Rais bora Africa na simwingine zaidi ya SAMIA HASSAN SURUHUHISHO YA MATATIZO YA WATANZANIA yatakwisha

    • @Mughusi
      @Mughusi Месяц назад

      Hiyo tafiti umefanya wapi, weka takwimu

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 Месяц назад +1

      Kwa kipi alichokifanya? Kutujazia wazanzibari bungeni? Kushindwa kuwaadhibu mafisadi? Kuwaachia mafisadi waendeshe nchi? Acheni kumpamba mama nchi imemushinda.

  • @ElizabetiMlay-m1j
    @ElizabetiMlay-m1j Месяц назад

    Shoo hanasifia ccm