HAPATOSHI BUNGENI; HALIMA MDEE AVUJISHA SIRI NZITO YA SERIKALI "TUTAWANYOOSHA'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 85

  • @makakimangore6333
    @makakimangore6333 Месяц назад +3

    Ubarikiwe Mhesh.

  • @BenjaminSululu-uz6sd
    @BenjaminSululu-uz6sd Месяц назад +4

    Uhondo TV mjirekebishe mnatuchukuria MDA wetu sana

  • @AdrophinaBosco
    @AdrophinaBosco Месяц назад

    Uko vizuri mnoo mh Dada halima, unasema kweli Mungu akubariki mnooo❤nakupenda mweeeh❤❤

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah Месяц назад +7

    Yaani huyu mdada nampenda mno.tungekuwa na wabunge 10 aina hii nchi ingejitwalia taji kitaifa na mataifa.Mungu Ampe maisha marefu for this generation

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 Месяц назад +1

    Nampendaga sana mh Alima mdee.❤

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Месяц назад +8

    Itungwe aheria kila idara na taasisi ya serikali itakayobainika kuwa na hoja na haijibiki (ushahidi wa nyaraka hakuna), uongozi wa idara na taasisi wakatwe fedha hizo kwenye mishahara na malupulupu yao bila kujali cheo chake. Aidha, mgao wao kutoka hazina upunguzwe kwa kiasi cha hiyo hoja. Hii itawafanya akili iwe katika kuthibiti na kuzima mianya yote inayovujisha mahela!
    Nawasilisha

  • @MzeeOsama
    @MzeeOsama Месяц назад +1

    Halima mdee mungu akulinde

  • @DanielMwakifwange
    @DanielMwakifwange Месяц назад

    Asante mdee unatusemea na unaisemea nchi inatumiza sana wananchi wake kwa ajili ya wasio jali wanadamu wenzao mung akutiye nguvu mapigano hayo si wewe mungu kakuchagua ktk kamati hiyo udumu.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka Месяц назад +2

    Mdee upo sahii sana umakini wakulinda raslimali zawananchi haupo niutaper tu nawiz umejaa

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 Месяц назад +1

    Mungu akubariki mh Halima wewe unauchungu na nchi hii

  • @musamollel6311
    @musamollel6311 Месяц назад

    Mungu akutunze Dada yangu Halima na azidi kukushindia

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa5758 Месяц назад +2

    Ukiwaona ni kama watu!

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo Месяц назад +2

    Hili hata wabunge wa covd spika aliona mbali hatawa wange kuwepo wakina mdee hata t.v tusingeona bungu

  • @theonestruta216
    @theonestruta216 Месяц назад +4

    Hapa ndio unaona umuhimu wa wabunge wa upinzani. Wale wengine uwa wanasubiri kupiga makofi. Watanzania wachuje sasa!

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama Месяц назад

      Mama kachemka Kama watu wanatafuna fedha za wananchi lipot ya CAG alioitoa inatisha Kama kiongozi mkuu wa nchi hatua Kali dhidi ya hao mafisadi waliotajwa kwenye lipot ya CAG unategemea wizi wa pesa za wananchi utakoma wakati wa magufuli watu waliogopa watumishi wa serikali walikuwa waoga lakini kwa Sasa wizi umekuwa Kama kitu cha kawaida hakuna uoga wanajua hata wakiiba hakuna hatua Kali dhidi ya hao wezi zinazochukuliwa ndio maana saivi wizi umekisili Sana kwa watumishi

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Месяц назад +1

    Bi Mkubwa awe na jicho la ziada.kwa viongozi Kama Hawa..ikibidi wapewe ubunge wa kuteuluwa...wanafaa kulitumikia bunge letu..hata Kama Hana chama.Mdee anafaa Sana,anajua kwa kweli...namkubali sanaaaaa

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 Месяц назад

    Akili kubwa 💥💥💥

  • @MichaelKibona-p9m
    @MichaelKibona-p9m Месяц назад +1

    Shamba la bibi,Kila anaeteuliwa anakuwa na mawazo ya kutajilika,Kwa maana hamna uzalendo❤

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 Месяц назад

    HALIMA MDEE akili nyingi sana nakuona kama Spikar ajae🎉🎉🎉

  • @JohnDeus-v3e
    @JohnDeus-v3e Месяц назад +2

    Nchi haina kiongozi ndilo jibu kamili, sioni jibu tofauti na Hilo.??

  • @jainkamwela2015
    @jainkamwela2015 Месяц назад +1

    Hivi kweli wanasikia au wanalala😢😢😢😂😂

  • @isaacgabriel4088
    @isaacgabriel4088 Месяц назад +2

    Nipo dom lakini sijui kama vikao vya bunge vinaendelea aiseee

  • @MgishaStivin-kj8fs
    @MgishaStivin-kj8fs Месяц назад +1

    Mungu akurinde akupe afy njm make nakkubar pia

  • @user-cb1zc8ye3ymsumbiji
    @user-cb1zc8ye3ymsumbiji Месяц назад

    Love you sana halima mdee.

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 Месяц назад

    Hongera sana Halima Mdee, mchango huu ukifanyiwa kazi utakuwa na tija kubwa sana kwa taifa

  • @fadhiliibrahim9702
    @fadhiliibrahim9702 Месяц назад

    Cheki bunge lilivotulia mwamba akiwa anaongea 😅

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад

    Halima mdee dada wew akiri kubwa

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Месяц назад +4

    Wasomi Tanzania ni wengi , na kama hamuendekezi undugu kwrnye nafasi za kazi, kwanini mtumishi akizembea au akiiba mnamuhamisha badala aachishwe kazi akaendelee na maisha yake kama wananchi wengine wa kawaida ili wengine wajifunze, eti mnakaa kuhamishia wahalifu idara waendeler kuiba na kuzembea kazini. Inauma sana

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi Месяц назад

      Uyu mdee mwenyewe ameingiaje bungeni uwez wewe kuwa kiongoz kwa kugudua leo unachukia wiz jisafishe kwanza wewe mdee ata chama ana umo bungeni anawakilisha chama gani na katba ya nchi inasemaje

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад

    HAMFANYI KAZI
    MKO BUSY KUHONGA!!
    CK ITAFIKA TU MUNGU ataikomboa nchi hii kutoka ukoloni wa watawala na chama kibaya kinachotesa wananchi

  • @PeterNyondo-c8y
    @PeterNyondo-c8y Месяц назад

    Yani.mungu.atussidie.tupate.viongozi.wanao.muogopa.mungu.naku

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Месяц назад

    Mheshimiwa Halima rudi nyumbani mapema ili uchukue fomu ya kuongombea kupitia chadema tutakuba kura nyingi sana tupo tayari sana na tunakupenda watanzania wewe na wenzako mungu awabariki sana.

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 Месяц назад +4

    MHESHIMIWA HALIMA MDEE,
    wewe ni mzalendo wa kweli sana
    allah akulinde

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Месяц назад +2

    Kama dada halima anaonaga mbali sana, ni mzalendo anaongeaga mpaka anaishiwa na saiti ila chaajabu bunge nzima wanapuuzia, wanasaka maslahi yao, hakuna mzalendo, inauma sana hela ziko halmashauri imekaa tu na mabarabara yetu ya ndani mabovu nata kupita kwa mguu ni changamoto. Badilikeni jamani viongozi wa Tz.

    • @LameckMbele
      @LameckMbele Месяц назад

      ww umesahauHalima ni mzalendo unajua alivyoingia bungeni au ilikuwa hujazaliwa?

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 Месяц назад +1

    Mbona njemba hazp mabenj yapo waz ? Tabia za shule hawajaacha hat kwenye maeneo nyeti ya nchi?

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Месяц назад

    Huna mamlaka ya kumyoosha mtu yoyote, aliewateua ndio mwenye mamlaka, ww mwenyewe umeingia bungeni kimchongo

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 Месяц назад

    ESCROW NO1.WAZIRI WA NISHATI YUMO BUNGENI?

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 Месяц назад

    UNAONA WABUNGE WENGINE WAMENONG,AA TU,WANASUBIRI MSHAHARA MNONO NA POSHO,TAIFA LINAFIRISIKA

  • @KapeloJr-e3b
    @KapeloJr-e3b Месяц назад

    ivi kwann kwenye ukweli hakunaga makofi nayakiwepo yanakuaga kwauchache sana

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Месяц назад

    Njoo kawe,jimbo lako vichaa wa ccm walipeana,na jimbo likaangukia kwa taahira.

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Месяц назад

    Huyu ndiyo spika aliyetukana wazungu?Au macho yangu mbona amepwaya,si bora huyo mdee awe spika alau kwa muda.

  • @lucasmasumbuko2098
    @lucasmasumbuko2098 Месяц назад +2

    Uhondo mitambo yako chenga au

  • @amanijoseph6764
    @amanijoseph6764 Месяц назад

    She deserves $1M token..bravo

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Месяц назад

    Mheshimiwa khalima una siasa yenye ueledi mkubwa sana

  • @ApolinaliMyovela
    @ApolinaliMyovela Месяц назад

    🎉

  • @EliasNyadack-nu8yh
    @EliasNyadack-nu8yh Месяц назад

    Kwenye ukweli tukubali na tuone namna ya kumpa jimbo huyu mh. HALIMA hata Kama ni kugawa kawe

  • @AnthonyBizulu
    @AnthonyBizulu Месяц назад

    Kamati inarudiabyaletale ya kila mwaka. Halimashauri ndio maxhimbo ya wakubwa. Ndio maana wakurugenzi wakiharibu upande wa masharki wanapelekwa magharibi au kusini. Halima na kamati yake amenena kweli ila bado wakubwa wa kubadili hizi tabia hawapo!!

  • @josephmaganga9948
    @josephmaganga9948 Месяц назад

    Kwani hawezi kuwa waziri

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga Месяц назад

    Tushaazoea walipe madeni,, ya watu kwanza watu wanadai taass zina dai taifa linadaiwa waiziri ana mabasi yamelala hapo road yakutosha yote hayo ni mbwembwe tu ,,

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 Месяц назад +1

    MHESHIMIWA HALIMA MDEE,
    mungu akuweke sana unatusaidia sisi walala hoi kujua nini kinafanyika na nini kifanyike ili nchi yetu iende mbele zaidi.
    Pia kwa vyovyote vile nakuomba usiingie CHAMA TAWALA kwa faida ya nchi,
    kukosoa kwako na kushauri haitawezekana ukiwa chama Tawala,.
    pia kukosoa kwako kunajenda mwamsho kwa watendaji.

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 Месяц назад +1

    HALIMAEEE! HAIWEZEKANI KU CHANGE.
    ALIYE WAMUDU HAO NI JPM TU,MKAMCHUKIA SANA ETI NI DICTATOR.
    Sasa unalia nini? WACHA TU WAWAKAMUE WANANCHI NA VIKODI VIIIINGI KISHA WANATAFUNA.
    LAKINI UBAYA UNAMWISHO MBAYA

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama Месяц назад

      Tutamkumbuka Sana magufuli mafisadi walinyoka hii nchi tulipofikia Kama rais hatakuwa mkali mzalendo mwenye uchungu na nchi basi ujue pesa ya umma itatafunwa Sana na viongozi wezi ambao hawana ofu ya mungu na uzalendo na nchi yao watu wametajwa kwenye lipot ya CAG lakini hatujaona hatua Kali dhidi ya hao waliotajwa inasikitisha sana

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Месяц назад

    Yaan usisahau kuchukua form mapema jimbo la kawe Chademaaaa twakungojea

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 Месяц назад

    Shida moja hapo bungeni mnaongeaga mazur sana na mngekuwa mnayafanya au kufatilia tz tungekuwa mbali sana, ila inasikitisha, mnaishia kuongea kwingi utekelezaji hakuna.

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 Месяц назад

    Kweli nchi inaliwa na alio waamini RAIS SAMIAH. HII ingekuwa kwa jpm ingekuwa vipi?

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo Месяц назад

    Hamuna muzalendo nchi wazalendo muzalendo alikua nyelele sokoine kawawa na wenzake tu mama wakiludi

  • @MussaBakar-p2p
    @MussaBakar-p2p Месяц назад

    Ndio serekaliyetu tunajua ila sisi wanyonge hatuna pakisemea ukisema utapotea

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 Месяц назад

    Sauti ya dume.

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 Месяц назад

    RIP JPM.

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 Месяц назад

    Iv kumbe wanawake wanaluhusiwa kuvaa suluwali bungeni

    • @Justinamwakajumba
      @Justinamwakajumba Месяц назад

      Suruari ndo nzuri anakuwa comfortable ,sizani kama inashida

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga Месяц назад

    Bongo uchawa tu hata siwaelewi viongozi ni wafanyabishara uongozi sa ngapi

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Месяц назад

    Hao watoro wanalipwa posho?

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Месяц назад

    Halima unasema Kanuni? Kanuni zipi zitaheshimiwa iwapo tu Kanuni za Uchaguzi zinavunjwa, ofisi za watendaji wa mitaa zinafungwa ili kuhakikisha kuwa washindani hawapati nafasi ya kurejesha fomu?

  • @alhajiakida9703
    @alhajiakida9703 Месяц назад

    Hongera Mh. Halima unatendea haki nafasi yako kama Mbunge na mwenyekiti wa kamati LAAC.

  • @MohabeMwita
    @MohabeMwita 27 дней назад

    Wasiojjlikana

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Месяц назад

    Unaongea point lkn nani anakusikiliza dadaangu. Watu wanapuuza kukusikiliza kwa uliyoyafanya nyuma lkn wanaokusikiliza pia yanaingilia kulia yanatokea kushoto. Bora ulale tu uvute zako mkwanja wa bure ukachezee!

  • @bydonengabo
    @bydonengabo Месяц назад

    Covid 19

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o Месяц назад +2

    Uyu ni chadema atarudi chadema na atachukua jimbo lake la kawe

    • @gabrielkyando2632
      @gabrielkyando2632 Месяц назад

      Hyoo muhimu akili kubwa kama hii wananchi ndo tunaitaka

  • @IddySeleman-w3w
    @IddySeleman-w3w Месяц назад +1

    Halima nakukubali huyo kenani ukweli nyie ni wazalendo

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga Месяц назад

    Ujinga mtupu, pesa nyingi, kwenye maandishi,, hatuzioni

  • @shamtenyambega2944
    @shamtenyambega2944 Месяц назад

    Pia ivi ni kweli watu wanashindwa kujiepanga na kubuni vyanzo vya mapato kwa Halmshauri zao?
    mfano mdogo sana,
    kwa Dar es salam ,Arusha na kungine
    mnaweza buni mradi wa NYUMBA ZA KUPANDA zilizopo kupitia NHC sio rafiki kwa walala hoi,
    hivyo mnaweza kukodisha kwa chumba cha KULALA na choo kwa 70,000/-
    na chumba bila choo kwa 50,000/-
    watu watakuja sana na kupanga .
    vingine mkae muongeze ninyi,
    kuna LODGE nk

  • @maynshoo3924
    @maynshoo3924 Месяц назад

    maneno mabaya

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi Месяц назад

    Mdee wewe umo bungeni unawakilisha chama kip au na wewe unagudua

    • @shamtenyambega2944
      @shamtenyambega2944 Месяц назад

      hapa ni Uzalendo kwanza,huyu dada ni mzalendo anaongelea nchi yetu

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 Месяц назад +2

    Mungu akubariki mh Halima wewe unauchungu na nchi hii