SHEIKH: KESEDE( MAZINGE WA KONGO); AWALIZA WAUMINI KWA KISA HIKI....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 53

  • @anwarsalim6196
    @anwarsalim6196 3 месяца назад +1

    Maashallah.chozi pia lanitoka.sheikh umenigusa

  • @babuuabdalla4117
    @babuuabdalla4117 Год назад +10

    Shukran Ustadh Kesedee ALLAH SWT AKULIPE KILA LA KHERI KATIKA DINI NA DUNIANI NA KESHO AKHERA AMIN 🤲

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 Год назад +1

    ALLAH AKIBAR😢😢😢😢😢

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 Год назад +5

    Subhannallah laila ihailalah Alahu akbar

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Год назад +1

    Allhahu akbaru

  • @abdallaharuna7874
    @abdallaharuna7874 Год назад +5

    MashaAllah

  • @allykhaji-us7uu
    @allykhaji-us7uu Год назад +2

    Mungu.akuweke

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 Год назад +3

    Shukran ❤

  • @NiyizigamaClaudine
    @NiyizigamaClaudine Месяц назад

    ALLAH AKBAR

  • @katore1982
    @katore1982 Год назад +2

    SubhanaAllah

  • @amamiss22
    @amamiss22 Год назад +2

    Allah Akbar 😢

  • @jamuhurialiwazir4685
    @jamuhurialiwazir4685 Год назад +2

    Alhau akibarru

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 Год назад +2

    Masha'Allah Kila la kheri

    • @wemajuma5037
      @wemajuma5037 Год назад

      Ya Allah tupe roho ZA Imani kamili za kupendana

  • @زيتون-ض9خ
    @زيتون-ض9خ Год назад

    Allah akujazie ktk minzani alhamdulillah

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo Год назад

    allahu akbar sub'hanallah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Год назад

    SUBHANA ALLAH, WA ALHAMDULILLAH, WA LA ILLAHA ILLA ALLAH WA ALLAHU AKBAR WA LA HAULA WALA KUWWATA ILA BILLAHI AL ALIYYU AL ADHEEM

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Год назад

    Allah akbar Allah akbar

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 Год назад

    😊 si.masijd ni.masjid

  • @kashindijeanmarie6207
    @kashindijeanmarie6207 Год назад +2

    Takbir.......

  • @malengajuma2694
    @malengajuma2694 Год назад +1

    SUBHAANALLAH , kinachoshangaza kwa baadhi ya sisi waislamu ni kutokuwa na hekima na kuwaona wengine Ni waislam nusu, unapotsmka kuwa Hawa MASUUFI je Hawa ni kina Nani? Na je unaposema ni muongo je ni muongo kweli? Huwenda ikawa kissa fln hakijui lkn hajakusudia uongo, na km kisa hakijui je hii ndio hekima tuliyofunzwa ktk kulingania ww na mm? ,Lkn sitetei lkn pia tunapaswa kuangalia makusudio pia ya msemaji,mwisho kbs UISLAM unatufunza KUFUNZA si kukosoa tumtafute nje ya uwanja huu tumuweke sana alipokosea

  • @abdullahimohamudosman3695
    @abdullahimohamudosman3695 Год назад

    Maa shaa Allah

  • @jaydjuma8255
    @jaydjuma8255 Год назад +2

    Mansha Allah

  • @princematumbo
    @princematumbo Год назад +3

    Mnaopinga hiki kisa na kusema Mungu Atakuwa kasema uongo hamna elim, washenzi nyinyi.
    Katika uislamu tunafunzwa kwamba "dua huondoa kadari"
    Kipi kigeni hapo?!

    • @masjidsongeatv
      @masjidsongeatv  Год назад +1

      punguza munkali...waelimishe ya kuwa Quraan .ni kitabu cha kweli...ndani yake kuna Zaburi ya Nabii Daudi,Taurat ya Nabii Mussa,Injili ya Nabii Issa(Yesu) ,Sisi tutawafasilia kila Sura za kuraan ambazo zimesheheni Visa vya Manabii waliopewa vitabu na wasiopewa .(Ndio walimu wetu.).

  • @JRN2612
    @JRN2612 Год назад +2

    Hichi kisa nilishawahi kukiskia miaka kama 20 iliyopita, lakini Sheikh Kesedee naona kama amekitia chumvi sana hivi😅😅

    • @cabylake2320
      @cabylake2320 Год назад

      Hahaha 😅😅😅😅😅

    • @Nur-al-islamchannel
      @Nur-al-islamchannel Год назад

      Labda we ni mkristo ndo utumie hiyo njia ya kukashifu uislamu...huwezi

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 Год назад

    Hii hospitali ilikuepo wakati huo?

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj Год назад

    Nyinyi masufu muna visa vyaajabu na kisa 1 kila asimamae aeleza vyake kwenye kisa hijohijo muongopeni Alla nyinyi masufu duuu

    • @malengajuma2694
      @malengajuma2694 Год назад

      INNAALILLAAHI, naomba nitulize Hawa MASUUFI ni WAKRISTO wa wapi?

  • @sharifumkambala5655
    @sharifumkambala5655 Год назад

    Duuh kwa iyo na kipimo kikaonyesha ni miezi kabsa?

    • @masjidsongeatv
      @masjidsongeatv  Год назад +1

      Enzi na Enzi,kulikuwa na matibabu, ...kuna usafiri,kuna ujenzi wa majengo tena ni kwa ubora wa hali yajuu mifano ipo km majengo ya kifalme mpaka leo yapo maeneo mbalimbali Duniani, km vile Misri,uturuki,Jerusalem nk....Hii yote ni Ishara Mungu alitoa ujuzi kulingana na zama..hata hapa Tz ,matibabu ya kuunga mifupa kwa njia isio ya kihospital,Tohara au jando kabla ya Hospital, pia wakunga wa Jadi walizalisha majumbani tu.hizi ni baazi ya mifano hai...
      .Usidanganyike na hizi tekenelojia zimekuja juzi na kukuta Mababu zetu wakitibiana tena bila kuwa na vifo....Inasemekana miaka hiyo mpk ya 1980 ukisikia kifo ilikuwa wilaya nzima inajua .leo hii pamoja na hizo tekenelojia vifo ni jambo la kawaida.......
      Pia kumbuka hata nyakati za ibada zilipimwa kwa kuangalia Jua na vivuli awakukosea muda wa ibada...hizi saa zimekuja wakati wazee wetu wanajua kipimo cha nyakati na awakukosea hata kidogo...Pia hata nyakati za kusafiri baharini walipima pepo na kuzipa majina Kusi na Kasi(Unajimu)..Bado katika kilimo pia awakukosea nyakati za kuandaa mashamba na nyakati za kupanda....nazani hapa nimekujibu kutokaana na uelewa wangu mdogo....ila Quraan ina kila kitu.haikuacha kitu.
      Masheikh wapo watakuelimisha zaidi omba uelimishwe kwa mujibu wa vitabu vya Mungu,.

  • @hassanussein1817
    @hassanussein1817 Год назад

    Operations ili aanzia kul

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Год назад +1

    Sheikh kidgo ulikosea hakukuwa na kipimo

    • @masjidsongeatv
      @masjidsongeatv  Год назад +1

      Nini maana ya vipimo? je ni lazima kiwe hivi vya kisasa? basi nakutoa wasiwasi vipimo vipo toka enzi na enzi...ila tofauti ni hii ya kisasa au vya asili....mfano km unajimu ulipimwa kwa kuangalia pepo,(kipimo),Nyakati za swala zilipimwa kwa kuangalia jua na kivuli(kipimo)hakukuwa na saa..

    • @bojomohamed9999
      @bojomohamed9999 Год назад

      Wacha kuwa na Imani butu sikiliza ustadhi anacho kufunza mbele ya mwenyezi MUNGU hakuna kinacho shindikana

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj Год назад

    Kisha kulikia na osipital wp na vipimo mumekusanya watoto mwawadanganya tuuu aaaa yahadikumu lla

    • @masjidsongeatv
      @masjidsongeatv  Год назад

      Pia kumbuka hata nyakati za ibada zilipimwa kwa kuangalia Jua na vivuli awakukosea muda wa ibada...hizi saa zimekuja wakati wazee wetu wanajua kipimo cha nyakati na awakukosea hata kidogo...Pia hata nyakati za kusafiri baharini walipima pepo na kuzipa majina Kusi na Kasi(Unajimu)..Bado katika kilimo pia awakukosea nyakati za kuandaa mashamba na nyakati za kupanda....nazani hapa nimekujibu kutokaana na uelewa wangu mdogo....ila Quraan ina kila kitu.haikuacha kitu.
      Ila kwa kukosa kusoma vitabu vya Mungu ,Utabisha kila kitu....nakushahuli Tafuta Muda Ingia humu Maso tv Kuna darasa linaendelea Masjid Songea kila jm4 na jm5...pia jm2 na jm3 masjid Taqwa utapata elimu na kujua Mungu alitoe kila kitu kwa kila zama...km unavyoona wewe leo ndivyo enzi ya Nabii Daudi,Nabii Seleman,Nabii Mussa ,Nabii Issa ,Nabii Muhmad na wengine ,Vilikuwepo ila kwa namna nyingine tena yawezekana vilikuwa bora kuliko hivi vyetu....kwa mfano...mapilamid mpk hii leo yapo.je hizi nyumba zetu zitadumu km mahekaru ya enzi ya Yesu kule jerusalem au Mussa na Filauni kule misri?

  • @bellasi349
    @bellasi349 Год назад +1

    Acha uongo wako na vissa vyenu vya kijinga kipindi cha nabii Mussa hata baba yake muhamadi alikuwa hajazaliwa wala uislamu haukuwepo sasa izo habari mulizitoa wapi uongo mtupu

    • @saynabmohammed6263
      @saynabmohammed6263 Год назад +2

      Uislam ulikuwepo kabla. Nabii Muhammad ulikuwa tanga nabii Adam

    • @idiluza3937
      @idiluza3937 Год назад +1

      Uislamu ulianza kabla Muhammad soma ndugu yangu

    • @jamilaothman4119
      @jamilaothman4119 Год назад +1

      Ww ndo muongo maana hujasoma lakini bado unadanganya, Soma kwanza ufaham ndugu

    • @lookmanlookman6297
      @lookmanlookman6297 Год назад

      fundisha wwe unachokukijua kila mnapinga tu

    • @robertmwangiotieno6183
      @robertmwangiotieno6183 7 месяцев назад

      Ivi divyo munauana kw Jina la Allah ,Njohonio kwn Christo

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 Год назад +2

    MashaAllah

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj Год назад

    Nyinyi masufu muna visa vyaajabu na kisa 1 kila asimamae aeleza vyake kwenye kisa hijohijo muongopeni Alla nyinyi masufu duuu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Год назад

    Mashaallah