MUFT ASIKITISWA HALI MBAYA YA MAADILI SWEDEN WATOTO WADOGO WA KIUME MASHOGA KWA KIBALI CHA SERIKARI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии •

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 Месяц назад

    Subhanallah Mwenyeez Mungu atunusuru Insha'Allah.

  • @abuuijojo1300
    @abuuijojo1300 Месяц назад

    Mashaa Allah jambo hili ni kubwa, nyoyo hupata uhai kwa mikusanyiko kama hii ya kheri

  • @ishakamhina5109
    @ishakamhina5109 Месяц назад

    Sauti ya mamlaka. Masha llah

  • @SalimuAbdala-sg9cw
    @SalimuAbdala-sg9cw Месяц назад

    Unafurahi na ulimwengu. Wewe kama mfuti inakiwa uliye uwambie wafalume. Kura mm sipigi sikatika uisilamu. Maana hayo mambo unayosema demokrasiya inaruhusu ndoa ya jisia moja kila uchafu inaruhusu inaganya sheria za mungu

  • @AllySalum-ce3ix
    @AllySalum-ce3ix Месяц назад +1

    Innah Lillah wa Innah ilyhim Raajiu'n

  • @SalimuAbdala-sg9cw
    @SalimuAbdala-sg9cw Месяц назад

    Unaongea mambo rahisi sana. Ongea haqi ya ukweli upate msukosuko kwa wafalume ndotuje unaupeda wisilamu.

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Месяц назад

    Hiyo ni kweli imetokea mitaa ya jangwani Faya mzee alipo kufa kwa kuambiwa na kijana wake amlete mumewe alie muoa mambo ya ulaya hayo mume na mume kuoana allah atunusuru kwa haya

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Uki sahihi kiongozi mkuu

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh Месяц назад

    Ukweli kabisa, viongozi wetu muoneshe msimamo kwa mnayoyasema, huu mmomonyoko wa madili ni jukumu letu sote siyo viongozi tu wao waoneshe njia na kukemea na sisi tuwe imara katika hilo

  • @SalimuAbdala-sg9cw
    @SalimuAbdala-sg9cw Месяц назад

    Kawalinganie serikali ndowanakaribisha hayo.

  • @KaidiMajengo-sv7dd
    @KaidiMajengo-sv7dd Месяц назад

    Kwamanenohaya, wakrstoniwengi, nawotehupigakura, sijuikama, naowatawapigia, kuranduguzao, Itakuaje,ilihali,sisituliowengi,hatutaki,kipigakura................

  • @HajjiNguvuze
    @HajjiNguvuze Месяц назад

    Madili muna anza kuya bomoa nyinyi mashehe mtume alikua akiwaelimisha watu kwa busara nyinyi leo munanakaa katika mitandao munakosoana muna jenga nn

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Месяц назад

    Wafrika ns waarabu wammefumbia macho kujitanua kwa uharibifu na ushetani

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Месяц назад

    Hao washsuza nafsi zao kwa mashetani