MTOTO ALIYEUAWA KIKATILI DODOMA MJOMBA AFUNGUKA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 45

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 14 часов назад +7

    Poleni Sana Mungu akampe Makazi Mema Yenye Mbele yetu sisi Nyuma yake 😢

  • @Daphne362
    @Daphne362 14 часов назад +4

    Daaah..jamani kifo kusikie tuu kwa mwenzio😭😭😭😭😭

  • @Naju645
    @Naju645 11 часов назад +5

    😢😢😢😢mungu tulindie watoto wetu

    • @ezebiakayingi6576
      @ezebiakayingi6576 6 часов назад

      kweli Mungu atulindie watoto, ila na sisi tutimize wajibu wetu kwa watoto

  • @ThanksonJeremiah
    @ThanksonJeremiah 14 часов назад +4

    Poleni sana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 12 часов назад +2

    watanzania wameanza kuwa makatili wa kuitisha!!hii tabia hatukuwa nayo miaka ya nyuma!!
    poleni sana wanandugu kuondokewa na mpendwa wenu!!

  • @PaulAntony-i4c
    @PaulAntony-i4c 10 часов назад +1

    Jamani poleni sanaa

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 13 часов назад +2

    Poleni sana inauma sana

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 13 часов назад +2

    Katika Nchi yetu ndugu kuwa na Imani tofauti sio jambo la ajabu.
    Inawezekana ni mtoto wa mama mkubwa na mdogo,ama baba mkubwa na mdogo na vinginevyo.

  • @Dmsiris5
    @Dmsiris5 8 часов назад

    Poleni sana wapendwa.

  • @AngelinaDauson
    @AngelinaDauson 6 часов назад

    Poleni sana

  • @swaibushemdoe
    @swaibushemdoe 8 часов назад

    Duh😢😢inauma sana

  • @ashurachai8442
    @ashurachai8442 11 часов назад +1

    Kila kifo kina sababu zake.
    ALLAH NDIO AJUAE YOTE

  • @adeodatuskakorozya9064
    @adeodatuskakorozya9064 11 часов назад +1

    Mazito gani sasa amefunguka hapo! Haya mambo ndo RUclips wanakwenda kukomesha soon, mtanyooka tu na uzushi wenu

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 14 часов назад +1

    Jaman duniya imekwisha🤭🤭🤭🤭🤭🤭🙊🙊🙊🙏🙏🙏

  • @FarajaMarko-b9t
    @FarajaMarko-b9t 11 часов назад

    Duuuh inauma sana jamani... wana dodoma tuwe makini na watoto wetu

  • @bettykafumu6678
    @bettykafumu6678 12 часов назад

    Poleni wafiwa

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 14 часов назад +3

    Inasemekana ameuwawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani na sio kitu chenye ncha kali. Waandishi kuweni makini na taarifa zenu.

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 13 часов назад +1

    X.Mas ya mwaka huu atakaa haisahau milele😭😭😭

  • @halimakuju6076
    @halimakuju6076 8 часов назад

    Sasa ndugu zake kama wako jilani jamani siengempeleka mtt huko jamani

  • @swaibushemdoe
    @swaibushemdoe 8 часов назад +1

    Hivi hizi nguo za wanazo vaa wafiwa zinashonwa sangapi

    • @irhamseif
      @irhamseif 3 часа назад

      Zinauzwa zushashonwa.zipo madukan

  • @HappnesHasssani
    @HappnesHasssani 10 часов назад

    Dah😢😢😢😢😢😢

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 14 часов назад +3

    Frank makaranga dadake zaituni shaban zengo 👀 rip mtoto.

    • @evalinalucas7660
      @evalinalucas7660 14 часов назад +2

      Kila mmoja na Babaake huenda

    • @FekiHappy
      @FekiHappy 14 часов назад

      Kwani Kama lzm awe baba moja kuna Binamu una kaka kwa mama wadogo wa kubwa

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 13 часов назад

      Ubini wa dadaake unatajwa ule wa mme wake

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 13 часов назад +1

    Mama wa mtoto bora ungemchukua mwanao lkn ulimuamini bodaboda 😭😭😭.

    • @zubedamagambo8139
      @zubedamagambo8139 11 часов назад

      Jamani Dunia ilivyoharibika kumuachia kijana mtoto, watoto wanalawitiwa, wanauwawa ili waibiwe viungo, wanabakwa. Inakuaje bado tunawaanini vijana na kuwaachia watoto jamani????

    • @ezebiakayingi6576
      @ezebiakayingi6576 6 часов назад

      ​@@zubedamagambo8139katanguliza starehe mbele mtoto nyuma, anajiona bado binti kumbe keshakua mama, hapo alienda club, na itakuwa ndiyo utaratibu wake wa siku zote, wazazi wengine huwa wanawaona watoto wao kama kikwazo cha kutoponda raha.

  • @KalekwaKibwana
    @KalekwaKibwana 12 часов назад

    Mungu tuonyeshe kitu Kwa huyu mtoto mdogo Maraika wako

  • @josiamwambona2785
    @josiamwambona2785 11 часов назад

    Da inauma una ndugu hapo unamuachia boda mtoto una shida we mama wa mtoto tuombe sana mungu atupe hekima starehe zipo tuuu ila binadamu wabaya wapo omba sana

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 9 часов назад

    Inauma sana jamni Yani unaanzaje kumpiga mtoto kichwani adi kumtowa uwai wake inauma sana mtito hana kisa lolote Mungu atafanya kheri aliyeusika au waliyousika watqpatikana tu

  • @innaenock2074
    @innaenock2074 12 часов назад

    RIP broo🇹🇿

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 12 часов назад

    RIP MTOTO SO SAD JABMANI HATARI

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 13 часов назад

    Inalilah wa inailah rajuun

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 9 часов назад

    Au mama ulishindwa kumuuwa mwenyewe uka mkodi bodaboda.

    • @latifamubba100
      @latifamubba100 9 часов назад

      We mpumbavu kweli sas amuue mtt wake kisa nn mpk amtumie mtu kwann asitoe mimba

    • @Isack-b9k
      @Isack-b9k 8 часов назад

      Hakuna kutukanana maswal ni mazur kujua ukweli

  • @OmanOmanhoner
    @OmanOmanhoner 10 часов назад +1

    Uwezi jua labda mama kashanganya wa baba

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 9 часов назад

      Kwa hiyo kama umechanganya baba basi stahiki ni kumuua mtoto? Kakosa nini??? Kwanini asimuue mama aliyechanganya???

    • @PromieJosam
      @PromieJosam 8 часов назад

      Hata kama

  • @FarajaMarko-b9t
    @FarajaMarko-b9t 11 часов назад

    R.I.P Grayson😭😭😭😭😭😭😭