JE KWANINI HADITHI NYINGI ZINAMKATAZA NA KUMKEMEA MWANAMKE KUOMBA TALAKA. SHK SAMIR KONGAMANO HEDARU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 6

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад +1

    إن الله يأمر باالعدل والإحسان.......

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu Месяц назад +2

    Wanazuoni ni warithi wa mitume, radhi za Mungu ziwe juu yao.

  • @universitylink
    @universitylink Месяц назад +2

    Talaka akipewa mwanamke ruhusa kutoa na mlipaji wa mahari ni mwanaume huoni wanaume watateseka sana , maana ukigombana naye kidogo tu amekuacha sasa unatafuta mahari mengine ya kuolea upya itakuwa kazi ngumu sana, ndio amepewa mume maana yeye ndie mbebaji wa kutafuta mahari

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 Месяц назад

      Maa shaa ALLAAH, maneno mazuri ndug yang naomba nisaidie hayo maneno yako yapo kwenye kitabu gani? Samahan lkn

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Месяц назад

      Kwani lazima yawepo kwenye kitabu kila neno unataka kusema yeye haruhusiwi kufikiri!?​@@abdulkhaliqmuhammed456

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@abdulkhaliqmuhammed456 mfano kikatolewa kitabu
      Je utakubaliana na haya maneno moja kwa moja?
      Akhy kuna mda ukiambiwa kitu unasema hiki kimepingana na hiki tutaachana nacho
      Ukitaka kila kitu dalili yake hata mawazo ya mtu kwenye kuelewa jambo
      Hata ao watunzi wa vitabu tungewaambia haya maneno mmeyatoa wap
      Akhy tumia common sense bhana