The Story Book NYOKA 10 HATARI ZAIDI / 10 MOST DEADLIEST SNAKES

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 495

  • @robertlameck7095
    @robertlameck7095 4 года назад +12

    Naona nimechelewa but naomba like zenu please, jamali anazidi kuchanja mbuga like kwake pia

  • @hamiyarkhamisamour9440
    @hamiyarkhamisamour9440 4 года назад +110

    Huyu historian professor in Tanzania anekubali agonge like yak apo

  • @BL52Tv
    @BL52Tv 4 года назад +42

    Wote tuseme forward professor. Usisaau kugonga like chini apo

  • @fatmaabdulla9518
    @fatmaabdulla9518 4 года назад +15

    Subhanallah Allah hakika anamajeshi mengi asante pr kwa kutujuza

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 4 года назад +39

    Professor Jamal nimsimuliaji atari san anajua kusimulia kwangu mim ni the best Tanzania 🇹🇿🇹🇿

    • @alexmichael8950
      @alexmichael8950 4 года назад +3

      Naunga mkono hoja... Mtiga alikuwa anatuchelewesha sanaaa.. leo nimeamini hilo.

    • @ghostelmendez7206
      @ghostelmendez7206 4 года назад +2

      @@alexmichael8950 haaahahaha umekubali

  • @monicaalex1948
    @monicaalex1948 4 года назад +73

    Bado nasisitiza Jamaal apewe tuzo Kam tupo pamoj gonga like twende sawa

  • @meddykashakala5082
    @meddykashakala5082 4 года назад +168

    Duuuu Kama na we unaogopa nyoka Kama Mimi like ...

    • @bakarimohamedi1
      @bakarimohamedi1 4 года назад +3

      Mimi siogopi nyoka kwahiyo siwezi ku like hapo🤣🤣

    • @thequeen5985
      @thequeen5985 4 года назад +6

      Jmn the way naogopa nyoka... hhhhh Mungu tu!!!🙏🏾

    • @meddykashakala5082
      @meddykashakala5082 4 года назад +1

      Hatariii

    • @sashaqueentz2917
      @sashaqueentz2917 4 года назад +3

      Nikitok apa naogopa kwenda chooni

    • @ricksamthecrow
      @ricksamthecrow 4 года назад +2

      Sasa nini kinapendeza kuhusu kuogopa nyoka mpk tulike jamaa?😆😆😆
      You need to be reasonable.🤣

  • @christianbaba9971
    @christianbaba9971 4 года назад +2

    Hongera. Kazi, Nzuri sana. Mi ninaombi 1, Tuletee historia ya Nicole tesla mvumbuzi wa AC, Pia ukipata mda tuletee Historia ya thomas Edson mvumbuzi wa DC.... Napenda sana kama utafanikisha Historia Nicole Tesla Maana watu wengi, Hawamfahamu ingawa Anamchango mkubwa ktk Dunia, Respect Nicole Tesla. Nicole Tesla Father of light

  • @petronillamuba1614
    @petronillamuba1614 4 года назад +47

    Kaka unajua kama umemkubal huyu ni fundi wa story acha like hapo..

  • @jumanassoro3735
    @jumanassoro3735 4 года назад +6

    Prof Jamali April
    Nikupongeze kwa kazi nzuri sana unayoifanya nilikua naombi moja tu, kama itawezekana tuletee story ya Napoleon Bonaparte.
    Ahsante.

  • @hancyjunior7060
    @hancyjunior7060 4 года назад +41

    Professor nakubali Sana kazi unayo ifanya ww n mtu makini Sana embu dondosha habari kuhusu mnyama Simba tumjue vizur

  • @arenthegreat4417
    @arenthegreat4417 4 года назад +107

    Jaman na Mimi leo nimejtaid kuwai like jaman

  • @marpaseidlaizer9075
    @marpaseidlaizer9075 3 года назад +5

    Nakupenda sana kaka jamal dah mungu akupe umri mrefu jamn naenjoy kusikiliza story zako 🥰😘

  • @michaelnyakunga4740
    @michaelnyakunga4740 4 года назад +13

    Takes Hat Off 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 For Belcher's sea snake na Inland Taipan 💣💥 I mean no 1 & 3. Much respect to Professor JAMAL APRIL. ✌🏼👏🙌🏿💪🏾🏆

    • @Lit7Gee
      @Lit7Gee 3 года назад

      We say chapeau!

  • @simonchambo1230
    @simonchambo1230 4 года назад +2

    Professional story teller una chakula kizuri cha ubongo God bless you bro unatufunza mengi

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 4 года назад +7

    Kaka Jamal upo vizuri sana

  • @mavadosantos1211
    @mavadosantos1211 4 года назад +1

    Prof.jamal niko makini sana naww tangu season 1, ur the best i wish one day we meet and have a chat jamaa ni unajua mpk kero nyota tano unazo kutoka kwang jamal april cjawh kupitwa na the story book maana me ni mtu wa story sana kufatilia mambo yalijificha dunian uzur umenirahisishia kwa kukuskilza...fans wote tugonge like kushare

  • @marjana1126
    @marjana1126 4 года назад +6

    Professor Jamal uko vizuri sana mashallah ❤️

  • @Newlifpratercenter-h5t
    @Newlifpratercenter-h5t Месяц назад

    Daaah!!!!!! sasa sitawai fuga nyoka

  • @komedikatv9411
    @komedikatv9411 3 года назад +1

    Ningependa kujua kuhusu nyoka went vichwa viwili mbele na nyuma

  • @jacobiejonnied_13
    @jacobiejonnied_13 4 года назад +3

    Huyu jamaa anazidi kuwa tishio sana dah Jamal👏👏👏

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 2 года назад +2

    You are the professional professor big up unatoa elimu hupigi zogo wewe ni statistics ya research tu big up.

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 года назад +4

    Upooooooooo vizuri sanaaaaaa prof

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 года назад +1

    Ahasante xan waO langu umeliona maneno ya kiingereza tunayaona pmja professor m nashukuru can kwa kutekeleza

  • @hamisijafari9470
    @hamisijafari9470 4 года назад +2

    Jamali umetisha sana naombeni like ata leo mm

  • @fadhilimnyambara3473
    @fadhilimnyambara3473 4 года назад +22

    Jaman na mm Leo ata like tatu mwana story book mwenzenu

  • @jeniphalusenga6976
    @jeniphalusenga6976 4 года назад +2

    Jaman huy kaka anafanana na ally kiba kwa mbalii

  • @mohammedabdulkadir527
    @mohammedabdulkadir527 4 года назад +13

    Dhuu!! Ambao tunaishi Australia tuko na kazi yakujilinda na nyoka

    • @emmanuelmtaita4068
      @emmanuelmtaita4068 4 года назад

      KARIBU TANZANIA ,MBUGANI UKUTAE NA BLACK MAMBA,KIFUTU NA BOOMS LANG

  • @marrysilverius9996
    @marrysilverius9996 4 года назад

    Black mamba..... tusamehe Africa aiseee prof nakkbali duuuh...Jamal da great

  • @kisainajr1530
    @kisainajr1530 4 года назад +22

    Kama una mkubali professor J. Twende sawa.

  • @depirates9982
    @depirates9982 4 года назад +7

    Uko vzr Brthr✌ kama na ww Una mkubali uyu jamaa usipite bila ku like

  • @bakariiddy4064
    @bakariiddy4064 3 года назад +1

    ehee mungu atuepushe na madhira haya dahaa

  • @husnahassan4771
    @husnahassan4771 4 года назад +5

    Professor 🙌, uko njema asee zidi kutufumbua macho🤗🤗💋

  • @masiihiddajjaal
    @masiihiddajjaal 4 года назад +18

    Huyu Belcher ndo alimshawishi Adam na Eve wale tunda ndo nyoka huyu alafu akakimbilia baharini anajifanyaga anaibu akija nchi kavu, msenge sana huyu nyoka!.

  • @edwardpatrick8170
    @edwardpatrick8170 4 года назад +7

    Nakubali professor wangu✔

  • @braysonmatoy8220
    @braysonmatoy8220 4 года назад +1

    Broh unajua sana stor zko sio za kubahatisha

  • @monahmdee6421
    @monahmdee6421 4 года назад +2

    Aisee we ni nomaaaaaaaaaaa nimeipenda hiii

  • @irenengowi3849
    @irenengowi3849 4 года назад +14

    Congratulation kaka Jamal 🙏😻

  • @luckyjillani3568
    @luckyjillani3568 4 месяца назад +1

    Inland taipan namba moja

  • @BilalIsmail-t6r
    @BilalIsmail-t6r Год назад

    ❤ huyu jamaa Anajua kusimulia

  • @suaarsulesh9646
    @suaarsulesh9646 4 года назад +6

    Duh wewe kwely ni professor💯

  • @emilyntadyo3100
    @emilyntadyo3100 4 года назад +5

    Jamal wewe ndo unatupa story ambazo zipo deep na unaweza kuingia darasan kujibia mtihani wenye maswali ambayo yanawiana na story zako...hakika wewe ni zaidi ya mwl...unafanya utafiti wa kina na kutupa full detailed story...Mungu akupe maisha marefu professor uendelee kuufundisha ulimwengu...you are a real talented story teller 👏👏👏🔥🔥🔥🙏🙏

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 4 года назад +1

    Weka na nyoka wasio na sumu tuone mzee baba

  • @piustombili9921
    @piustombili9921 4 года назад +1

    blaza achana na manyoka nyoka sio fresh bana wengine tunakaa maporini turudishe kwenye vitu vingine bana tutaftie story ya september 11

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 4 года назад +2

    Nakukubari mnoo jamar wew fundi mnoo auna mpixan mzee nakupa tokea south afric jonnes bg mung nimwem kwako

  • @luciusluoga627
    @luciusluoga627 4 года назад +2

    Noma sanaaa bro keep it up.....

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +1

    Pamoja na sumu zao Kali ila kwa *Han Badger* ni msosi fresh tu kama binadam na mtoli 😂😂😂😂😂😂😂

  • @gbwile1257
    @gbwile1257 4 года назад +3

    Kila mmoja anaomba like kwan zna maajbu gan? Kama unapenda like namim naomben like

  • @kelvinwepo5470
    @kelvinwepo5470 4 года назад +19

    Any kenyans here show some love

  • @BobMarley-ku9yl
    @BobMarley-ku9yl 4 года назад

    Daaaah wcb wasaf mpo juu sana

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 4 года назад +5

    jamal ~ akubariki Mungu zaidi kaka :)

  • @happytimpiyian1347
    @happytimpiyian1347 4 года назад +2

    Tunao mkubali jamal like zake tafadhal

  • @BAZZIKA_MEDIA
    @BAZZIKA_MEDIA 4 года назад

    Nakuku bali sana professor jamal endeleaa na kazi yakoo nzurii May Allah akuongozee naakutanguliee kwenyee hii kazi yakoo akulindee na husdaa

  • @dreamlsgrets8639
    @dreamlsgrets8639 3 года назад +1

    Professor jamal💯💯 2pieni likes jmn

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira9631 4 года назад +7

    Hahaha
    Kitambi cha mchemusho😂😂😂

  • @mkamariaupdatesTV
    @mkamariaupdatesTV 4 года назад +1

    Thanks a lot Bro kwa hii bonge la story dah nyoka sio poa aiseee siendi tena Australia kwa kaka

  • @bboyblackfire
    @bboyblackfire 4 года назад +4

    Kaka una vitu vingi sana kwenye ubongo wako big up kwako.

  • @raymondmalunda6024
    @raymondmalunda6024 4 года назад +7

    Extremely civilised teller

  • @nassorsaid9122
    @nassorsaid9122 3 года назад +1

    😍Nakukubali sanaaah kaka ila atakae kukubeza Ana yake huyo🤗

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 года назад +1

    Hamna kwa bongo anaye kufikia wewe kwa kuchabua vizuri bro umetisha sana yani umechubua sana nimeelewa sana hii kitu

    • @alexmichael8950
      @alexmichael8950 4 года назад

      Mimi nikiwaambia watu hawaamini.. huyu jamaa ametuleta kwenye usiriazi kabisa... Yani akisimulia unamuelewa anaanza taratibu tena kwa kina kbs nukta hadi nukta na hana makelele kbs.

  • @ismaelkessy8219
    @ismaelkessy8219 2 года назад

    Jamal professor nakukubali sana

  • @abduljuma5867
    @abduljuma5867 4 года назад +1

    Jamali king of story.nakuelewa sana kaka

  • @ommykhan1748
    @ommykhan1748 4 года назад +6

    Ndounaamua uzid kututisha tusilale daaah ::: big up bro jamal april %%%

  • @yorymaster4297
    @yorymaster4297 4 года назад +2

    Siku pingiii damu yanguu

  • @focusswahili6150
    @focusswahili6150 4 года назад +9

    nipeni like jmn to show love❤️🙏

  • @maguoshao1300
    @maguoshao1300 4 года назад +6

    Nyoka mkubwa ambae anatisha ummesahau BINADAMU,HUYU AKUNGATI AKUVIZIII,AKUTEMEIII MATE,AKUKABI ila maneno na matendo yako utaleewa ninyoka wa aina !

    • @davidmwanjela1091
      @davidmwanjela1091 4 года назад +1

      Hapana nyoka mkubwa ni mwanamke

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 года назад +1

      @@davidmwanjela1091 yn km machizi mcuuuuu

  • @louiriri
    @louiriri 4 года назад +52

    Mdomo unataka kuongea Kiingereza roho inasema " We Acha Utajimix "

  • @simenokiunga7169
    @simenokiunga7169 4 года назад +2

    Kama unamkubalii black mamba gonga like 😅😅

  • @shafiqnjaraly1779
    @shafiqnjaraly1779 4 года назад +2

    Hko Australia mbna kuna nyoka wengi wa kutisha aiseeh

  • @zaujathyahya6142
    @zaujathyahya6142 4 года назад +4

    Were so proud na wasafi.

  • @rosemarykapembe9462
    @rosemarykapembe9462 4 года назад +2

    diamond platnumz muongeze huyu jamaa mshahara anatumia akil nyingi mno

  • @simonotieno132
    @simonotieno132 3 года назад +13

    Death Adder also exist in Nyanza region Kenya.

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 года назад +1

    Aisee blck mamba(koboko) noma tunae huyo ukanda wa kati

  • @riadhassan9051
    @riadhassan9051 3 года назад +1

    Huyu jama anajua kulikokujua kwenyewe

  • @kalvinzombie
    @kalvinzombie 4 года назад +1

    jamal kiboko ila izi za manyoka asee bola niangalie saladini izi zinaniogopesha kishenz

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 4 года назад +1

    Daaah htr xna hii hawa viumbe bora wasingekuwepo kbxaaa dunian

  • @bienfaitfahamu492
    @bienfaitfahamu492 4 года назад +7

    Thank you for tell us 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥

  • @sakinaomary1922
    @sakinaomary1922 4 года назад +1

    Fundi ni mtiga ,,,diamond amefeli kumtoa mtiga,,yule ndo professor material

    • @iddihashimu7261
      @iddihashimu7261 4 года назад +1

      Huelewi...mtiga alikuwa anaandikiwa na huyu jamaa

    • @JM-rs8gf
      @JM-rs8gf 4 года назад +1

      Mfuate
      Acheni kukatisha tamaa wa2
      Huyo mtiga alikua anaandikiwa na huyu

  • @catherineboit7569
    @catherineboit7569 4 года назад +2

    Ni macho yangu ama nini🤔🤔...kama unakubali jamal Ana fanana Alikiba pita na like 🇰🇪🇰🇪

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 9 месяцев назад

    Wee jamaa mwongo sana

  • @khadijasimba8720
    @khadijasimba8720 4 года назад

    Uwii Nitaota leo...ninavyowaogopa

  • @saimonmatonya9341
    @saimonmatonya9341 4 года назад +2

    M nimependa hili Somo kwa sababu kwanza nasomea hiv vitu Kama ushauri tu ungejitahidi uwe una unataja Kila nyoka na simu anayo izalixha maana Kuna wengine hujataja simu wanazo zalixha

  • @allenbeats__
    @allenbeats__ 4 года назад +1

    Noma sana

  • @alexmichael8950
    @alexmichael8950 4 года назад +1

    Professor chombo unakiendesha vyema... Kipindi kimepata msimuliaji... Kwenye zile tuzo za KILL ni lazima ungechukua... Tunaelimika huna makelele,, upo siriazi sana na kazi yako.. big up.

  • @alexanderson1805
    @alexanderson1805 4 года назад +7

    Uko vizur but changanya story,

  • @edygcharles7972
    @edygcharles7972 4 года назад

    Jamali unajua kusimulia sana

  • @rajansharky3386
    @rajansharky3386 4 года назад +4

    Australia Australia Australia
    Sio pakuishi ni kisiwa cha Wajuba🔥🔥🔥

    • @buponelomwakatuma6217
      @buponelomwakatuma6217 4 года назад

      Kuishi unaish ila hujiloge unaenda kutafuta Kuni😁😁

    • @rajansharky3386
      @rajansharky3386 4 года назад

      @@buponelomwakatuma6217 😂😂😂😂😂hurudi kijijin unabaki hukohuko porini

  • @fisher4444
    @fisher4444 4 года назад

    Naona karibu kila nyoka hatari anapatikana Australia

  • @niyongaboegide254
    @niyongaboegide254 2 года назад +1

    Ikikunasa.unaparangana.yani.kutokuwana.hakili

  • @shabanhasan2057
    @shabanhasan2057 4 года назад

    Daaah hii safi saaaanaaa tunasubiri nyingine mkuu

  • @japhethymwalisu1643
    @japhethymwalisu1643 4 года назад +1

    Yaaan huko Australia sio pa kwenda maana kila nyoka kwao hata bure aisee

  • @FLOMENALUBELEJE
    @FLOMENALUBELEJE Год назад

    You are the best for sure.

  • @musicapprentice6682
    @musicapprentice6682 4 года назад +33

    The Most Deadliest snakes on earth:
    1. Black Mamba
    2. King Cobra👌🙌

  • @zamoyonisaidy7078
    @zamoyonisaidy7078 4 года назад +6

    Nimekuwa wa 84 like za professor hapa

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 4 года назад +1

    Unajua sana Jamal

  • @hassanchomar5224
    @hassanchomar5224 4 года назад +4

    Professor Jamal voz espetacular Nina obwa like toka Mozambique 🇲🇿

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 года назад +2

    Nyoka swila ni moto wa kuotea mbali😂😂

  • @edwardamos614
    @edwardamos614 4 года назад

    Wew ni profesa kweli

  • @ElephantEchoesEntertainment
    @ElephantEchoesEntertainment 4 года назад +8

    Anayeangalia now tujuane

  • @JamalJamal-ol5js
    @JamalJamal-ol5js 4 года назад +2

    mwaka jana nimemuua black mamba na alikua na futi 6.7🙏