Wakristo Wengi Biblia Hawajui

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
    Follow our Social Media:
    FB: / mzeewaupakotzz
    IG: / mzeewaupako_tz
    TIKTOK: / mzee__wa__upako
    Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za RUclips Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Комментарии • 141

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 8 месяцев назад +8

    ni Mungu ni mmoja na hakuzaa wala hakuzaliwa, Mzee wa upako uko vzr

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 4 месяца назад

      Ila mzee wa upako anajua kuwachota watu wa Imani zote ili apate ufuasi wa kushato kwe RUclips channel yake

  • @abbasallysaidy5442
    @abbasallysaidy5442 9 месяцев назад +4

    Allah akuongoze MR. Anthony.

  • @sekymwasumbi1938
    @sekymwasumbi1938 9 месяцев назад +10

    Kwanza sikuwahi kutegemea kusia haya kutoka kwako mzee wa upako, huu ni ukweli ambao watumishi wa Mungu wengi wanaufahamu lakini kwa kulinda maslahi yao hawajaweza kuthubutu kutamka haya hadharani, na kwa hili hakika Mungu ametukuzwa kupitia wewe.
    Kuanzia leo sasa nitaanza kufuatilia mahubiri yako rasmi.

    • @SamwelKipenzi
      @SamwelKipenzi 9 месяцев назад +2

      Pole sana

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 месяцев назад +1

      ​@@SamwelKipenzipole na wewe

    • @AvitusiRespikiusi
      @AvitusiRespikiusi 7 месяцев назад

      Acha wenge wewe yesu ni Mungu hayo yote yataoita lakini neno litasimama kusema ukweli

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 8 месяцев назад +4

    LAILAH AILALAH KWELI MZEE WA UPAKO

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 4 месяца назад +1

      Kama ume comment wewe Mujahidin ndio furaha yake anapiga hela yake ya Mtandaoni

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 9 месяцев назад +2

    Mapepo yanatoka kwa jina la Yesu, wagonjwa wana pona kwa jina la Yesu, tume okolewa kwa Kazi ya msalaba kwakuutowa uwahi wake alafu wewe una mbeza Kristo akusamehe sana. Yeye mwenyewe Yesu ame sema ukiniona unamuona Baba,huwezi kumuona Baba bila yangu mimi, sasa wewe unataka kumuona Yesu kuoitia Mungu, yaani visi vesa yaani sijui pepo la aina gani limekuingia, naona ume fika mwisho sasa gazabu ya Mungu alie hai ime kukalia.

    • @ShelukindoMgosi
      @ShelukindoMgosi 9 месяцев назад +1

      Nikajua anaelewa kumbe hamna kitu umo

    • @nassorkhamis6233
      @nassorkhamis6233 9 месяцев назад +1

      Yesu alifanya miujiza kwa uwezo wa Mungu pasipo mungu yesu asinge fanya miujiza yoyote

  • @godfreypaul251
    @godfreypaul251 8 месяцев назад +3

    Daa mnazidi kuniharibu kiroho mpka nashindwa kuelewa

    • @AbrahamMMcharo
      @AbrahamMMcharo 3 месяца назад

      Mtu kama huyu asikupoteze,yeye ndie kapotea. YESU KRISTO alifundisha kwa mifano kisha akasema mwenye akili ya kufahamu na afahamu, kama mwanadamu and utatu mtakatifu MUNGU atakosa je? Eti anasema yeye ndie anayeijua Biblia,Wala haijui. Diploma inaelekea aliipata kwa shida sana. WEWE muangalie MUNGU na kitabu chake TU inatosha. Yeye muache amsaidie mungu wa DUNIA hii,ujira wake u mkononi.😊❤

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 2 месяца назад

      @@godfreypaul251 kuwa na msimamo chagua sehem ya kuiweka imani yko. kama mmi nawaskiliza wengi ila kwa mwamposa hujanibandua. hawa wote ni longo longo tu

    • @Shaha-d1i
      @Shaha-d1i 2 месяца назад

      Sio kuchagua mchungaji, fatilia kitabu chako soma kitabuchako hasa soma injili bibilia imebadilishwa zaidi ya mara 1,000 ​@@Bles-x1v

    • @KhalfanMuhidin
      @KhalfanMuhidin Месяц назад +1

      @@godfreypaul251 dini sahihi ni uislamu tu kaka

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 8 месяцев назад +2

    Mzee soma Luka 3:21-22 Mungu mwenyewe anasema "huyu ni mwanangu mpendwa ninayependezwa naye"! Soma biblia na ielewe

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 8 месяцев назад +1

    Ubarikiwe Lusekelo

    • @ClintonBurton-y7n
      @ClintonBurton-y7n 7 месяцев назад

      May spirit of discernment reat upon you to know what is right and wrong

  • @hassannamichi4833
    @hassannamichi4833 9 месяцев назад +6

    Jesus is only a messenger

  • @sayilimbunabarikiwasananas7288
    @sayilimbunabarikiwasananas7288 8 месяцев назад +3

    Yohana 20: 28
    Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!
    Kama Mitime wake walikili wazi kuwa ni Mungu wewe ni nani unamkana kuwa syo Mungu. Jiangalie kwa kulipoteza hilo kundi kiongozi utakuja udaiwe na siku hyo ndo utakili waziwazi kuwa Yesu ni Mungu

  • @melkizedck
    @melkizedck 9 месяцев назад +2

    Mungu ni mmoja. Lkn huyo Mungu mmoja ndan yake ana NENO, na ANA ROHO. Siyo miungu mtatu tofauti. Ni MUNGU MMOJA KTK NAFSI TATU ILIYOUNGANA. ni MUNGU mmoja ktk utatu mtakatif. Mungu hajakamilika Bila huo utatu, yaan NAFSI, NENO, NA ROHO MTAKATIF.

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 8 месяцев назад +1

      Kasome

    • @sss3s867
      @sss3s867 7 месяцев назад

      wee unapata zambi. tumia kabla hujaenda kufa ukawa kuni za moto.
      kwani yesu anakamilosha njni.
      mitume mingapi imekuja nao walikuwa ni kina nani zaidi ya utume kuja kuwafunza

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 7 месяцев назад

      Achappy uongo. Mungu ni mmoja tu tubu kabla haujafa. Mungu sio utatu, utatu mumeweka nyinyi

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 5 месяцев назад

      Omba msamaha kwa mungu mungu amekamilika bila huo utatu wako

  • @jamesrurenza4040
    @jamesrurenza4040 5 месяцев назад

    Yesu ni Mungu .

  • @dizobrownclassic8950
    @dizobrownclassic8950 9 месяцев назад +4

    Umesema ukweli kabisa mungu ni mmoja na yesu sio mungu Mwenyezimungu akuongoze vyema

  • @sayilimbunabarikiwasananas7288
    @sayilimbunabarikiwasananas7288 8 месяцев назад +1

    Mathayo 24 25
    Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
    Ewe jamaa wew Nasi tunakuonya mbele hukumu iko juu yako kwa kupotosha umma huo. Hata wasikilizaji poleni sana.
    Ufunuo wa Yohana 18:4
    Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 9 месяцев назад +1

    Nakwataarifa yalo atakae Yesu ame pewa mamlaka yote mbinguni na ndunuani, na isitoshe Yeye ndie anaye abudiwa mbinguni sababu ime andikwa waka malaika wali ehinda mbinguni kwa damu ya mwanakondo, kwahiyo ni mokozi wa dunia na mbinguni pia, Yesu ame zaliwa kwa uwezo wa Roho mutakatifu. Lisekelo kibaraka wa Shetani wewe huna lolote.

    • @RashidKasanduku
      @RashidKasanduku 7 месяцев назад

      Kaka mzee waupako yuko Sawa ubalikiwe sana mzee waupako

  • @tentofgracechurch3504
    @tentofgracechurch3504 2 месяца назад

    Ukweli

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад +1

    Kama tukishinda kujua maana ya neno Je Yuko malaika aliemwambia wakati wo wote uketi Mkono wangu wa kuume hata nitakapo weka adui chini ya nyayo zako Ebr 1:13--14. JeHao wote si Roho watumikao wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu ?

  • @edwardmambula8058
    @edwardmambula8058 7 месяцев назад +1

    Biblia inasema wazi zichunguzeni Roho Kama zinatokana na mungu.

  • @salomekatapa
    @salomekatapa 9 месяцев назад +2

    Tuache kupenda Dini Tupende kweli nayo kweli itatuweka Huru
    Tupunguzeee Ubishi Tusome Bible na kuielewaa kamwe Aliyeisoma Bible hasa Injili ya Mathayo Luka Huwezi pinga hii dhana yakuwa Yesu sio Mungu Kwaa maana hata yeye amekuwa akijieleza sana Na hajawahi jiseme yeye ni Mungu
    Yeye ni Emmanuel Mungu pamoja Nasi Amefanya muwakilishii wa Mungu kwetu
    Kupitiw Yeye Mbingu zimeshuka karibu nasi

    • @michaelapolonali1289
      @michaelapolonali1289 9 месяцев назад

      Nawe Bado unajikanyaga, unakataa Yesu sio Mungu,kisha unasema. Emanuel.MUNGU PAMOJA NASI, KUBALI YAISHE TU
      6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
      Yohana 14:6
      7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
      Yohana 14:7
      8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
      Yohana 14:8
      9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
      Yohana 14:9

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 9 месяцев назад +3

    Kwanza utukufu wa kutisha wa Mungu ni umoja wake kwanza. Na ndio maana ata raisi kwa nchi ni mmoja na mume kwa mke ni mmoja nk

  • @kitebentebrandtv1629
    @kitebentebrandtv1629 5 месяцев назад

    Ukisoma Mt:28:1-10 utaelewa kwamba kama ilivyo msingi wa UKRISTO kuwa ni KRISTO hivyo asili ya Ibada kufanyika siku ya jumapili ni UFUFUO wa YESU KRISTO muulize hata Mzee wa Upako mwenyewe Yesu alifufuka siku ipi atakwambia asiposema ni jumapili Kwa mujibu WA maandiko basi atakuwa anatumiwa na shetani kwelikweli.

  • @ShabanKibwita
    @ShabanKibwita 9 месяцев назад +1

    huyu mchungaji ni peponi Moja Kwa Moja Yuko sahihi 100%

    • @saadomar2480
      @saadomar2480 8 месяцев назад

      Hii ndiyo imaan ya ahlulkitabi, akichinja kula.

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 8 месяцев назад +1

    Lusekelo inaonekana kweli anajua kweli Biblia na anacho sema yupo sahihi kamili kabisa kwa mujibu wa Biblia.

  • @rosediria7306
    @rosediria7306 9 месяцев назад +2

    Raha sana ukiujua ukweli...Mchungaji tufungue akili wazungu wametuongopea mno

  • @josephmtikile-yf3pq
    @josephmtikile-yf3pq 7 месяцев назад

    Mzee wa upako acha izo mada kabisa utachanganya mambo

  • @JawwaadMsahala
    @JawwaadMsahala Месяц назад

    Islam ndio dini ya haki...

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 9 месяцев назад +2

    Mambumbu uamini kila kitu bali wenye busara huchuja mambo

  • @pauloadamu9492
    @pauloadamu9492 7 месяцев назад

    Ni kweli kabisa MUNGU ni mmoja lakini hakuna mahari kusali ni juma mosi mbinguni hakuna juma tatu wala jumapili mbinguni inajulikana siku ya kwanza ya juma siku ya pili ya juma

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 8 месяцев назад +1

    Na yesu wa kwenye picha ndo yeye au?

  • @mwanzaChurchkawekamo
    @mwanzaChurchkawekamo 8 месяцев назад +1

    Tito 2:13
    [13]tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; ( YESU NI MUNGU ) Hacha kupotosha watu

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 8 месяцев назад

    Mungu ni Roho na kweli Soma Yohana 2 - 7 . harafu Soma yohana 14 -1- 21 Soma tena 2Wakorintho 5 - 19 ,. Yaani Yesu ni Mungu na ndio maana Alipaa Kurudi kwemye Makao yake Mbinguni , Vinginevyo tusingeweza Kumwamini Kama Yeye yupo , ili tuweze kuamini kwamba tukifa kuna Uzima , Soma Waefeso 3 - 14 - 21

    • @icclcharters3389
      @icclcharters3389 8 месяцев назад +1

      Numbers 23:19
      Hosea 11:9
      John 8:40
      Acts 2:22
      Acts 17:31
      Tim. 2:5
      Numbers 23:19
      Matthew 12:40
      until they see the son of man coming in His kingdom.’ (Matthew 28)
      The Bible says that Jesus denied he is God
      Jesus spoke to a man who had called him ‘good,’ asking him, ‘Why do you call me good? No one is good except God alone.’ (Luke 18:19)
      and the list goes on and on from your own bible,He is the mightiest messenger of GOD but he is NOT GOD.That is blasphemy to say he is GOD.

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 5 месяцев назад

      Mbona Eliya alipaa nae pia kwako ni mungu, kuwa na fikra usibulunzwe

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 5 месяцев назад

      Mbona Eliya alipaa nae pia kwako ni mungu, kuwa na fikra usibulunzwe

  • @ChristianGregory-gf3gq
    @ChristianGregory-gf3gq 8 месяцев назад +1

    Ama kweli ukistaaju ya mussa utayaona ya filauni.

  • @omaralisaid67
    @omaralisaid67 9 месяцев назад +3

    Leo umeongea ukweli

  • @silaandrew
    @silaandrew 6 месяцев назад

    rafiki nimekusapoti point 2 lakin point 1 tusome vizri kwani yeye MUNGU mmoja alijidhihirisha kwetu kama mwana naye yupo nasi kama roho mtakatifu kwetu naye ni umoja na MUNGU baba tuwe makini damu za watu zisje zikadaiwa mikononi mwetu kwa kutokunena iyanenayo BIBLIA MUNGU akutie nguvu ya kweli

  • @salomekatapa
    @salomekatapa 9 месяцев назад +1

    Mzee wa Upako Umeeelewaka Na asiyetaka kuelewa hapa Ameamua kutokuelewa na kukaza akili.
    Kwani ,Tumesoma na Tumeona Yakuwa Yesu mwenywe mara zote amekuwa akijitengenisha Na Mungu Baba na Ndio maana hata kuhusu swala la siku ya Mwisho Yesu mwnyw amefichwa na Mungu ,Hata amesema hakuna ajuaye hio siku zaidi Baba Mbinguni .Tumesoma pia Yesu alimuomba Baba wa Mbinginu,Kikombe kimuepuke kwa maana hio kuna wakati Yesu ameweka wazi anamuhitaji Mungu Baba,Na mwisho kabisa Yesu anakiri ya kuwa anakwenda Kwa Mungu baba kutuandalia makao ya milele Na Yesu akasema ya kwamba,
    ametuambia Yote ambayo baba yake amesema naye nayo imetufanya na sisi kuwa wana Wa Mungu
    Ushaurii Mungu Baba Ametukumbuka Tanzania hata ametuletea Mtumishi wake Mzee wa Upako ambaye atakuwa sauti yake kwetu .
    Mungu akuweke sana Mzee wa upako tunakuhitajii ili Tuwe smart Kiroho hadi kimwili
    Shida ya Watanzania hatusomi Biblia Na wale hatuipendi

    • @SamwelKipenzi
      @SamwelKipenzi 9 месяцев назад

      Kwa hiyo nawe unaamini kuwa YESU cyo MUNGU?.

    • @SamwelKipenzi
      @SamwelKipenzi 9 месяцев назад

      Soma Mathayo4:10, kisha soma mathayo14:33. Km ni ukituliza fahamu zako utaelewa,,

    • @vicentmigodela190
      @vicentmigodela190 9 месяцев назад

      Kwakweli sijawahi kufikilia Kama huyu lusekelo anayejiita mzee wa upako Kama anaakili ndogo kiasi hiki, Yani Mimi hapa nikichokiona mwalimu kipofu na wanafunzi nao ni vipofu. Japo hatupaswi kumpinga kwasababu ndio anachoamini japo sijajua msingi wa Imani yake upo wapi,

  • @gekstamina8332
    @gekstamina8332 7 месяцев назад

    Nimemsikiliza mchungaji pia nimepitia comments baadhi, kwa nini wasitajwe wanaosema Kuna miungu miitatu? naona kila mtu anang’ata maneno hiyo sehemu. Kwa sababu ukute kuna knowledge gap kwenye mapokeo.

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Soma waebrania 1:13--4.

  • @focuspaschal5330
    @focuspaschal5330 6 месяцев назад

    Dah...😂😂mzee kaua kweli yaan wakristo ni sifuri kwenye kuijua biblia

  • @benjaminngutta3529
    @benjaminngutta3529 3 месяца назад

    Wewe hapo uko peke yako mbona tunakuelewa kupitia part ya utashi wako? Yaan nafsi, then twakuona hai because uko na roho ikuendesheao uhai, and body structure as a temple, tafuta wajuzi wakufundishe a single temple into three components

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij 9 месяцев назад

    NDUGU ZANGU HUYU NI MZUSHI HAPO KWA UUNGU AMEDANGANYA SOMA ISAYA 6 UNGANISHA NA MATENDO 28:25 na tito 2 13 yesu ni nafsi ya uungu sio kiumbe

    • @sleymankassim4332
      @sleymankassim4332 9 месяцев назад

      Acha kukufuru, huyu mzee yupo sahihi, hata Quran inathibitisha Hilo, hakuna Mungu 3, matango ya wazungu yamekuchanganya

    • @SamhhIlo-ib4ij
      @SamhhIlo-ib4ij 9 месяцев назад

      @@sleymankassim4332 MWANZO 1inasema Mungu ni mmoja, nafsi 3 kwa mujibu wa biblia! Sisi hatumsikilizi mzee ila neno na neno pekee! Wala ata usikasirike mpendwa!

    • @jolamjuma-dh6hx
      @jolamjuma-dh6hx 9 месяцев назад

      Sisi hatupo chini ya sheria/Torati
      Rum.7:6
      Tutahukumiwa kwa INJILI
      Rum.2:16
      Yn.12:48
      TORATI UKIPATIKANA NA HATIA HUKUMU NI KIFO
      2kor.3:6
      Kum.17:6
      MUHIMU
      Sisi hatutakiwi kufuata utaratibu wa AGANO LA KALE
      Hos. 2:11; 4:6
      Kol.2:8
      Kol.2:16-17

    • @LameckIleta
      @LameckIleta 9 месяцев назад

      Sasa quran so kitabu sha shetani kwa hujui kisome vzr utaelewa

  • @andrewnyamwaro5174
    @andrewnyamwaro5174 7 месяцев назад +1

    What does this man intend to achieve?

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU
    @WAKRISTOKANISALAMUNGU 9 месяцев назад +2

    Hakika leo umesema hata mbinguni wamepiga makofi.

  • @ClintonBurton-y7n
    @ClintonBurton-y7n 7 месяцев назад

    Yeah now I agree that an anti christ will be from church..
    Walitoka kwetu ili ijulikane kuwa hawakuwa wakwetu toka mwanzo
    Naimba wimbo wao kwa usalama wangu,, wewe ni kama wolf in the midst of sheeps
    Mungu wa Ibrahim isaka na yakobo .. kwan yesu alisemaje kabla Abraham hajakuwako mimi nipo
    Mzee you not even a baby Christian your anti christ Jesus told us coz you deny the authority of Jesus. “Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

    - 1 Yohana 4:3 (Biblia Takatifu)
    Your contradicting Scriptures , unatafsiri unavotaka wew I have doubt kama hata umemaliza book of John
    But the year of Lord's fever is still open

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад +1

    Jina la mwokozi ni yahshua Messih maana ya jina yahshua ni wokovu wa Bwana ni sawa na jina la yoshua mwana wa nuni aliitwa. HOSHEA kabla ya kuitwa YOSHUA soma hesabu13:8-----16 musa alimwita yahshua maana ndie alie warithisha wana wa Israel nchi ya ahadi

    • @timotheomwita4529
      @timotheomwita4529 9 месяцев назад +1

      Wa kristo tukubali kujifunza ukweli maana UONGO uliletwa na WAZUNGU hata YESU sii mzungu raisi wa urusi katoboa siri

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij 9 месяцев назад +4

    Ila huyu jamaa mbona muongo hivyo kwani mwanzo inasemaje Mungu akasema natumfanye mwanadamu! Mungu ni mmoja ila sio nafsi Moja... Tunasoma biblia usije kutuuza.. isaya 6 nani atakaye kwenda kwaajili yetu! Mwanzo 11 natushuke kwanini asiseme nanishuke!??

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 месяцев назад +2

      mungu anapotumia wingi hamanishi kuwa wako wengi hiyo ni lugha ya mungu anatumia kujitukuza hata kwenye qurani sehemu nyingi mungu atumia wingi kwa mfano Kuna Aya mwenyezimungu anasema hakika tumemuumba mwanadam katika hali nzuri mno sasa ndio ujiulize kwani walikuwa waungu wengi wakati akiwa anaumba mtu hapanahiyo lugha ya kujitukuza mungu anaitumiaga

    • @SamhhIlo-ib4ij
      @SamhhIlo-ib4ij 9 месяцев назад +1

      @@Hussein-gx4qu ndugu yangu wewe ni muislam tutabishana tu! Mungu ni 1 ila nafsi tatu mimi huwezi kuniambia biblia ikosewe mara 3 mwanzo 1:26 , mwanzo 11:7 isaya 6:8 na agano jipya loote! Hapana "Mungu akasema natumfanye mtu" Mungu mmoja nafsi sio moja! Full STOP hiyo ni biblia hao walio shiba wali maharage wataasikilizwa na walio amua kupotea

    • @timotheomwita4529
      @timotheomwita4529 9 месяцев назад +1

      MUNGU ni mmoja soma isaya 45:21--23 soma isaya 48:11

    • @timotheomwita4529
      @timotheomwita4529 9 месяцев назад +1

      MUNGU ni mmoja soma isaya 45:21--23 soma isaya 48:11

    • @timotheomwita4529
      @timotheomwita4529 9 месяцев назад +2

      MUNGU ni mmoja soma 1timotheo 2:5 soma 1wakorintho 8:6--7 ujuzi huo haumo ndani ya watu wote ndoo maana mna mpinga Mzee wa upako kubalini jifunzeni YESU PIA JINA LAKE HASWA NI YAHSHUA MESSIH JESUS NI UONGO WA WAZUNGU Hilo nalo pingeni mengi mnafichwa na wachungaji Wenu ila wanajua wanaogopa kua za mmoja

  • @landelinusbyabato2512
    @landelinusbyabato2512 9 месяцев назад +1

    Mtandanganywa sana tena sana. Na bado hadi Yesu arudi mtakuwa mshandanganywa hadi mnyooke.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 месяцев назад +1

      na akirudi anavunja misalaba na kuuwa nguruwe bibilia iyo

  • @keburegesurura1042
    @keburegesurura1042 6 месяцев назад

    Umesema lkn bahati mbaya hujatoa rejea za maandiko kudhibitisha msimamo wako.
    Ukisema bila maandiko inakuwa mtazamo binafsi au mawazo au maoni binafsi.

  • @mussafaki5865
    @mussafaki5865 3 месяца назад

    Huyu ajamaaa anasema UKWELI MTUPU
    Hubu chukuwa mfano, ingelikuwa mtoto anababa zaidi ya 1 , Hao Mababa wasingeligombana??

  • @maximilianjeremiah1114
    @maximilianjeremiah1114 9 месяцев назад

    Tito 2:13
    [13]tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
    Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;

  • @michaelmwalimu6057
    @michaelmwalimu6057 9 месяцев назад

    Kwani watu hawajui kuwa mzee wa upako ni kiongozi wa waabudu shetani mwenye cheo cha juu, ndio maana anajiita chifu mwamchembe, mtu ukisha okoka hakuna cha uchifu tena, mzee wa upako akihubiri lazima anywe pombe kwanza

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 месяцев назад

      😂😂😂😂😂mwiba umekukwama wa mungu mmoja

  • @truthseeker8025
    @truthseeker8025 3 месяца назад

    huu ndo ukweli watu hawataki kuusikia,ukiendelea kunena ukweli utazimwa

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 9 месяцев назад

    Mtasema tu

    • @jolamjuma-dh6hx
      @jolamjuma-dh6hx 9 месяцев назад

      Kwa nini tunasajili Jumapili?
      Kwa sababu:
      a)Yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma
      Mt.28:1
      b)Kanisa lilianza siku ya kwanza ya juma(Jumapili)
      Pentekoste ambayo ni siku ya 50 (7×7+1) baadaya PASAKA. Law.23:15-16
      Mdo.2:41,46

    • @jolamjuma-dh6hx
      @jolamjuma-dh6hx 9 месяцев назад

      Sabato ni siku ya mapumziko ambapo taifa la Israeli waliambiwa wapumzike kukumbuka jinsi walivyokuwa watumwa Misri
      Kum.5:13-15
      Torati ni kiongozi kutuleta kwa Kristo ikiwa Kristo amekuja kwa nini kuyaletea mafundisho ya kwanza yaliyo mayonge?
      Gal.3:24-25
      Gal.4:8-11
      Sisi hatutakiwa kufuata taifa la Israeli (Torati) tunatakiwa kumfuaka Kristo
      Mt:17:1-9
      Kum.18:18-19
      Kama ukifuata Torati, Torati haiwez kukuokoa.
      Rum.7:6
      Kol.2:8
      Yesu Kristo anatoka na ahadi za Mungu kwa Abramu
      Mwa.12:1-3
      Mwa.3:15
      TORATI IMEONDOLEWA/HATUTAKIWI KUIFUATA
      Mt.5:17-18
      Lk.24:44-46
      Mk.9:1
      Torati ilikuwa ni taswira ya mambo yajayo
      Hutatakiwi kufuata Agano la kale. Mungu aliondoa
      Yer.31:31-33
      Ebr.8:7-13
      Je, Yesu alitengua torati?
      Yesu alipozaliwa hakutengea Torati ila alikuja kuitimiliza (kuna tabiri zaidi ya 300 katika A/Kale kuhusu Yesu Kristo) hivyo alipokufa na kufufuka ndipo alipoiitimiza na kuiobdoa Torati
      Yn.1:17
      Lk.24:44-46
      Kama akiamua kufuata Torati hatoboi.
      Moja: Huduma za kidini wanatakiwa kufanya Walawi? Je yeye ni mlawi?
      Mbili. Mtu akifanya Kosa anatakiwa auawe
      Kum. 17:6; 19:15
      Mfano. Uzinzi, kufanya mapenzi na mnyama
      Tatu. Anatakiwa awe ametokana na uzao wa Yakobo
      MKASOME NDIO MUWE WACHUNGAJI
      Mt.15:13-14.
      Ukitaka kufuata Torati huwezi Mungu mwenyewe amesema hao wa A/kale walishindwa kulishika
      Yer.31:31-33
      Yesu hatuulizwa mambo ya Torati tutaulizwa mambo ya Yesu
      Yn.12:48
      Rum.2:16

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 месяцев назад

      ​@@jolamjuma-dh6hx😂😂😂kwani alikufa mbona hakusema

    • @mohdsalum5274
      @mohdsalum5274 8 месяцев назад

      Siku yakwanza yajuma ni jumamosi ndugu ata kuhesabu tukufundishe

  • @RosemaryChengula
    @RosemaryChengula 9 месяцев назад

    Daaah kasome ufunuo wa yohana sura ya 1 mstar 1mpaka wa 4

  • @PriscusRobart
    @PriscusRobart 8 дней назад

    Kimber

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 9 месяцев назад

    We Mzee hubiri Injili acha upumbavu, na Mungu Alie Hai aziakiwi utavuna unacho kipanda. Kwa taarifa Yako Mimi mkristo Mungu wangu ni Yesu Kristo Mwo
    kozi Alie hai. Upo😕, ALAFU NATAKA UFUNDISHE WAUMINI WAKO MBINGUNI NI WAPI. Nina juwa hujui Mbinguni niwapi.

  • @melkizedck
    @melkizedck 9 месяцев назад

    Hakika hyu kaasi Bila kujitambua

  • @jrgongo6348
    @jrgongo6348 3 месяца назад

    Wewe ni Muislam ? Antony lusekelo Jifunze sana kusoma biblia, Husomi biblia unakufuru sana wewe.

  • @apostlemosessangu5231
    @apostlemosessangu5231 8 месяцев назад

    1:55

  • @AmosAdam-n9v
    @AmosAdam-n9v 4 месяца назад

    Aliye kuwa wakwanza kuokoka amekuwa wa kwanza kurudi aliko kuwa kabla ya kuokoka

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 9 месяцев назад

    Huyu mzee ana tatizo la afya ya akili. Moyo wake umetawaliwa na ulimwengu na tamaa mpotoshaji mkubwa

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Ebr 1:11 maana yeye atakasaye na hao watakaswao

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 8 месяцев назад

    Wapi ndacha😂
    Mtaelewa tu haki haizami
    AlhamduliLLAH ALAA NIIMATI L ISLAM

  • @djfiremoto3429
    @djfiremoto3429 8 месяцев назад

    MUNGU NI MMOJA TUUU MATOTO YA SHETANI NA WANAOABUDIA SANAMU WATABISHA NAKUTAKA LIGI PUNGUZENI MIHEMKO😂

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Wa kristo kama sio 000 mbona hawujui jina kamili la mwokozi je mnajua anaitwa yahshua Messih wachungaji Wenu wanajua mbana hawawaambii kuwa Jesus ni feku?

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Maana yeye atakasaye na hao watakaswao wote pia watoka kwa mmoja kaajili hii haoni haya kuwaita ndugu zake

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 9 месяцев назад +1

    Mzee wa mapepo

  • @brezenetcomputers9081
    @brezenetcomputers9081 8 месяцев назад

    Nakukubali kila siku we jamaa ni kiboko

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wote, Ndiwe mwanangu, mimi leo nimekuzaa

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Soma 1timotheo 2 :5 soma 1wakorintho 8:6--7

  • @barackmaduhu660
    @barackmaduhu660 9 месяцев назад +1

    Mbona hamsemi kuhusu siku ya ibada hapo kasema kweli au ametupiga na kitu kizito

  • @hamisiismail2577
    @hamisiismail2577 9 месяцев назад

    Mbn ni kipindi hiki kuna nini kwan😢

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 9 месяцев назад

    We zombie haujui?😂😂😂😂ni kwel kabisa mungu ni mmoja tuu

  • @christianokessy1670
    @christianokessy1670 9 месяцев назад

    Washirika mnaomfuata huyo haya kumekucha anzeni kusepa haraka mno Kwa usalama wenu.

    • @binyamina8850
      @binyamina8850 9 месяцев назад

      Ingelikuwa vyema ushauri wako ungetoa na uthibitisho kutoka kwenye vitabu,maana yeye amesema mambo yalivyoluwa magumu kwa Yesu naye pia alitafuta wapi pa kuhemea, Yesu alizaliwa ila mungu hajazaliwa, pia alisema mwema ni mmoja naye ni mungu yu mbinguni. Hizo ndio hoja za jamaa.

    • @christianokessy1670
      @christianokessy1670 9 месяцев назад

      @@binyamina8850 Kwa mujibu wa hicho kitabu unachoamini baba yake ni nani?ulishawahi kuona wapi binadamu asiye na baba?Neno la Mungu sio hadithi halitafsiriwi kama unavyofikiria.udhibitisho ipo kwenye vitabu vyote vya biblia

  • @sylvergate9653
    @sylvergate9653 9 месяцев назад

    Hakuna mkristo anayeamini kwenye miungu watatu. Mungu ni mmoja tu na ana nafsi tatu

  • @KALULUALLI
    @KALULUALLI 9 месяцев назад

    hahahaha

  • @timotheomwita4529
    @timotheomwita4529 9 месяцев назад

    Kama tukishinda kujua maana ya neno Je Yuko malaika aliemwambia wakati wo wote uketi Mkono wangu wa kuume hata nitakapo weka adui chini ya nyayo zako Ebr 1:13--14. JeHao wote si Roho watumikao wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu ?