BoT and presenter Mr. Mkate, well done. One of the best presentation on tresury bills and bonds with simplicity and clarity. Congratulations. Nawapongeza Benki Kuu ya Tanzania na mwasilishaji wa mada Bwana Mkate kwa uwasilishaji wa mada kuhusu hatifungani (treasury bonds) na dhamana za serikali za muda mfupi (treasury bills) kwa umahiri, wepesi na urahisi. Hongera.
Asante nimepata wazo naweza wekeza kwa miaka ishirini alafu kila mwaka nikapata hela ya kulipia ada ya watoto kwa miaka ishirini na watoto watakuwa wamemaliza masomo
Very Sorry. I missed such a good knowledge and ended in investing in commercial banks. Mtanisaidiaje nitoe fedha yangu huko nije kwenye hii risk free investment
BoT and presenter Mr. Mkate, well done. One of the best presentation on tresury bills and bonds with simplicity and clarity. Congratulations.
Nawapongeza Benki Kuu ya Tanzania na mwasilishaji wa mada Bwana Mkate kwa uwasilishaji wa mada kuhusu hatifungani (treasury bonds) na dhamana za serikali za muda mfupi (treasury bills) kwa umahiri, wepesi na urahisi. Hongera.
Ok
Asante nimepata wazo naweza wekeza kwa miaka ishirini alafu kila mwaka nikapata hela ya kulipia ada ya watoto kwa miaka ishirini na watoto watakuwa wamemaliza masomo
Great presentation.
This is good investment
Safi
Excellent explanation
Great
GOOOOD
Nikitaka kuwekeza naenda wapi? Je ni tawi lolote la bank kuu au?
Mbona kila mwaka kiwango cha riba kina pungua?
Very Sorry. I missed such a good knowledge and ended in investing in commercial banks. Mtanisaidiaje nitoe fedha yangu huko nije kwenye hii risk free investment