IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - UWEKEZAJI KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 окт 2024
  • Mchambuzi wa Masuala ya Fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha BoT, Bw. Ephraim Madembwe, akieleza namna mwananchi anaweza kuwekeza katika Dhamana za Serikali za Muda Mrefu (Treasury Bond) na Muda Mfupi (Treasury Bills).

Комментарии • 11

  • @infortainment2557
    @infortainment2557 Месяц назад +1

    Maelezo mazuri sana

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 11 месяцев назад

    Umeeleweka sana muwasilishaji.👏🏾👏🏾👏🏾

  • @protasmtechula9705
    @protasmtechula9705 2 года назад

    Ok nishachek, thanks

  • @nebuzaradanmalabe1270
    @nebuzaradanmalabe1270 2 года назад +1

    Ila katika faida atujachanganuliwa vzur!

  • @NoelStephen
    @NoelStephen Месяц назад

    mimi naomba kueleweshwa
    katika uwekezaji wangu, labda nimewekeza kwa miaka saba, hizo asilimia nalipwa hyo asilimia ya uwekezaji wangu kila mwaka katika hiyo miaka 7
    au hiyo asilimia nalipwa mara moja tu?

    • @ernestshija8186
      @ernestshija8186 24 дня назад

      Unalipwa mara mbili kwa mwaka kwenye ile faida

  • @innocentlongino5664
    @innocentlongino5664 Год назад

    Ok

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 11 месяцев назад

    Swali: je nikinunua bond ya miaka 25.nikaamua kusitisha katikat je ninaweza kupewa pesa zangu au ndio ukiweka umeweka hadi 25yr itimie?

  • @protasmtechula9705
    @protasmtechula9705 2 года назад

    Hasanten Sana BOT but hayo matangazo ya masoko yanapatikana wap??