- Видео 124
- Просмотров 119 189
Bank of Tanzania
Танзания
Добавлен 7 мар 2018
This is the official Bank of Tanzania RUclips Channel.
The Bank of Tanzania mission is to maintain Price Stability and To Promote Integrity and Stability of the Financial System consistent with sustained growth of the National Economy.
The Bank of Tanzania mission is to maintain Price Stability and To Promote Integrity and Stability of the Financial System consistent with sustained growth of the National Economy.
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - KANUNI ZA MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI
Meneja Idara ya Usimamizi wa Taasisi Maalumu za Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Bi. Suzan Katabi, akifafanua kuhusu kanuni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni.
Просмотров: 96
Видео
KIJUE CHUO CHA BENKI KUU YA TANZANIA
Просмотров 2,9 тыс.4 месяца назад
Mkuu wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Nicas Yabu, akielezea historia ya Chuo na kozi mbalimbali zinazotolewa na Chuo hicho.
Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika - Gavana Tutuba.
Просмотров 7944 месяца назад
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, akielezea hali ya uchumi wa Tanzania alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo - Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma.
BoT YAELIMISHA UMMA SABASABA KUHUSU KAZI ZAKE
Просмотров 2845 месяцев назад
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hushiriki Maonesho mbalimbali nchini kwa lengo la kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu yake, ambapo wananchi wanapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo sera za fedha, namna ya kuwekeza katika dhamana za serikali, mifumo ya malipo ya taifa, na namna BoT inavyosimamia sekta ya fedha nchini. Vilevile, BoT inaelimisha umma kuhusu utatuzi wa malalamiko ya mtumia...
KOPA KWENYE TAASISI YENYE LESENI YA BENKI KUU YA TANZANIA KUEPUKA USUMBUFU
Просмотров 8125 месяцев назад
Kopa kwenye taasisi yenye leseni ya Benki Kuu ya Tanzania kuepuka usumbufu. Zingatia malengo ya mkopo, elewa mkataba na ubaki na nakala iliyosainiwa.
KOPA KWENYE TAASISI YENYE LESENI YA BENKI KUU YA TANZANIA KUEPUKA USUMBUFU
Просмотров 9945 месяцев назад
Kopa kwenye taasisi yenye leseni ya Benki Kuu ya Tanzania kuepuka usumbufu. Zingatia malengo ya mkopo, elewa mkataba na ubaki na nakala iliyosainiwa.
MIAKA 60 YA MUUNGANO - NAFASI YA BENKI KUU YA TANZANIA KWENYE MAENDELEO YA KIUCHUMI
Просмотров 8917 месяцев назад
Kwa takriban miongo sita iliyopita, Benki Kuu ya Tanzania imekuwa nguzo muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Taifa letu. Kama zilivyo Benki Kuu nyingine, jukumu la msingi la Benki Kuu ya Tanzania ni kuandaa na kutekeleza sera ya fedha inayolenga kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo imara wa fedha unaokidhi mahitaji ya ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa letu. Majukumu mengine ni pamoja na k...
RIBA YA BENKI KUU ASILIMIA 5.5 - GAVANA TUTUBA
Просмотров 1,7 тыс.11 месяцев назад
Kamati ya Sera ya Fedha iliyokutana tarehe 18 Januari 2024 imetangaza Riba ya Benki Kuu kuwa asilimia 5.5 kwa robo ya kwanza ya mwaka huu ili kutimiza malengo ya kiuchumi katika kipindi hicho. Kiwango cha Riba ya Benki Kuu kilichotangazwa kinaendana na malengo ya kuhakikisha kuwa mfumuko wa bei unabakia ndani ya lengo la asilimia 5 na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kufikia lengo la asilimia ...
HUDUMA YA UPOKEAJI WA SARAFU ZISIZOTUMIKA KWA MUDA MREFU
Просмотров 23311 месяцев назад
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kwamba huduma ya kupokea sarafu (coin) zilizotunzwa kwa muda mrefu bila kutumika itatolewa kwa wananchi wote au taasisi ili kubadilishwa na noti. Huduma hiyo itatolewa katika ofisi zote za Benki Kuu pamoja na benki za biashara nchini. Hatua hii imechukuliwa kutokana na utafiti uliobaini kuwepo kwa sarafu nyingi za shilingi 200, 100, na 50 ambazo ...
BoT: VICOBA KURASIMISHWA
Просмотров 1,7 тыс.Год назад
Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Deogratias Mnyamani, akifafanua kuhusu urasimishwaji wa Village Community Banks maarufu kama VICOBA.
BoT YAANZA KUNUNUA DHAHABU
Просмотров 780Год назад
Benki Kuu ya Tanzania imeanza zoezi la ununuzi wa dhahabu kwa lengo la kuongeza akiba ya nchi ya fedha za kigeni na kuchangia maendeleo ya sekta ya madini nchini.
BoT WEKENI MKAKATI WA KUNUNUA KILA AINA YA DHAHABU - DKT. BITEKO
Просмотров 386Год назад
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameipongeza BoT kwa kuanza kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na wauzaji wa dhahabu nchini na kuitaka BoT kuweka mkakati wa kununua kila aina ya dhahabu kwa bei ya soko. Dkt. Biteko amesema hayo wakati wa funguzi wa Maonesho ya Sita ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya Bombambili mkoani Geita.
BoT KUNUNUA TANI 6 YA DHAHABU - GAVANA TUTUBA
Просмотров 1,3 тыс.Год назад
Benki Kuu ya Tanzania imeanza zoezi la ununuzi wa dhahabu kwa lengo la kuchangia maendeleo ya sekta ya madini nchini pamoja na kuongeza akiba ya fedha za kigeni. Akizungumza baada ya ziara katika kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Geita (Geita Gold Refinery) na kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Mwanza (Mwanza Precious Metals Refinery Co. Ltd), Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel ...
TANZANIA INA AKIBA YA KUTOSHA YA FEDHA ZA KIGENI
Просмотров 285Год назад
TANZANIA INA AKIBA YA KUTOSHA YA FEDHA ZA KIGENI
CHANGAMOTO YA FEDHA ZA KIGENI NCHINI: GAVANA TUTUBA AFAFANUA
Просмотров 2,3 тыс.Год назад
CHANGAMOTO YA FEDHA ZA KIGENI NCHINI: GAVANA TUTUBA AFAFANUA
THE LAUNCH OF THE THIRD NATIONAL FINANCIAL INCLUSION FRAMEWORK (2023-2028)
Просмотров 228Год назад
THE LAUNCH OF THE THIRD NATIONAL FINANCIAL INCLUSION FRAMEWORK (2023-2028)
RC NJOMBE AWAASA WATANZANIA KUWEKEZA KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI
Просмотров 460Год назад
RC NJOMBE AWAASA WATANZANIA KUWEKEZA KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI
MPANGO MKAKATI WA TAIFA WA HUDUMA JUMUISHI ZA FEDHA (2023 - 2028) WAZINDULIWA
Просмотров 465Год назад
MPANGO MKAKATI WA TAIFA WA HUDUMA JUMUISHI ZA FEDHA (2023 - 2028) WAZINDULIWA
SERA MADHUBUTI ZA FEDHA KICHOCHEO CHA UIMARA WA SHILINGI YA TANZANIA - GAVANA TUTUBA
Просмотров 244Год назад
SERA MADHUBUTI ZA FEDHA KICHOCHEO CHA UIMARA WA SHILINGI YA TANZANIA - GAVANA TUTUBA
WANAFUNZI WA KIKE WANUFAIKA NA MFUKO WA UDHAMINI WA MWL. NYERERE
Просмотров 200Год назад
WANAFUNZI WA KIKE WANUFAIKA NA MFUKO WA UDHAMINI WA MWL. NYERERE
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - USIMAMIZI WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
Просмотров 771Год назад
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - USIMAMIZI WA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
"Kiwanda cha Sukari Bagamoyo ni uwekezaji wa mfano wa kuigwa" - Gavana Tutuba.
Просмотров 6 тыс.Год назад
"Kiwanda cha Sukari Bagamoyo ni uwekezaji wa mfano wa kuigwa" - Gavana Tutuba.
"Uwekezaji TPA na TRC unalenga kukuza uchumi" - Gavana Tutuba.
Просмотров 318Год назад
"Uwekezaji TPA na TRC unalenga kukuza uchumi" - Gavana Tutuba.
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO KUKUZA MASOKO YA FEDHA
Просмотров 3112 года назад
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO KUKUZA MASOKO YA FEDHA
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - UWEKEZAJI KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI
Просмотров 9 тыс.2 года назад
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - UWEKEZAJI KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - NJIA ZA MALIPO
Просмотров 3152 года назад
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - NJIA ZA MALIPO
"Wanawake wananidhamu ya kukopa na kulipa"- Gavana Luoga
Просмотров 1152 года назад
"Wanawake wananidhamu ya kukopa na kulipa"- Gavana Luoga
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - MFUKO WA UDHAMINI WA MWL. NYERERE
Просмотров 3612 года назад
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - MFUKO WA UDHAMINI WA MWL. NYERERE
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - NAFASI YA MWANAMKE KATIKA HUDUMA JUMUISHI ZA FEDHA
Просмотров 1692 года назад
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - NAFASI YA MWANAMKE KATIKA HUDUMA JUMUISHI ZA FEDHA
Hongera sana Wataalam wake walifika Wilayani Ngara na kutoa Elimu.hii.muhimu. Tunawasubiri tena
Pesa haipandi thamani mnabadilisha tu noti
Nipeni bas namimi mtaji nikaendereze duara yangu
asante
njjjj
Ahsanteni Sana kw maelezo mazuri yaliyojitosheleza
Ahsante
Mimi ni mwalimu nashukuru sana kwa mafundisho haya
Masomo yanaanza lini
Mnazingua ujuko kila siku huku shilingi haina thamani na unaendelea kupoteza thamani
🙏🙏
Uko vizurii sana mtaalamu.
Natak kujua lile jengo ni jengo gani
Kuna tasis zinatunyima balance zetu tufanyaje kupata msaada,, husani platinum credit
Kazi nzuri hongera kwa wote
Na je vipi kuhusiana na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne hawawezi kujiunga na masomo au ni kwaajili ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita tu?
Habari, ndio unaweza iwapo umefanya ithibati (certification) ya mwaka mmoja kutoka chuo chochote chenye usajili katika nyanja yoyote.
Maelezo mazuri sana
Mpo na any dollar utilization agreement na Marekani? If not why dollar?, at the end of the day ufanisi wake hauna ushawishi in a long run tena sana sana baada ya kutotumika tena kuuzia mafuta, Kwanini mhihold? Hamuoni future yake na future ya product bora ambayo ingefaa muitumie kuuzia gold zenu?
No numbers just stories is this statistics or what?
Asante kwatalifa njema
Do you offer online training.
Hello, currently, we do not offer online training. However, we are actively working on making this option available in the foreseeable future.
BoT mimi naumia sana kwa nini pesa yetu haina samani wakenya wanatuzalau sana mpaka kero hebu litazemeni hili kama vipi badilisheni pesa kama Zimbabwe pesa iwe na samani 🙏🇹🇿
mimi naomba kueleweshwa katika uwekezaji wangu, labda nimewekeza kwa miaka saba, hizo asilimia nalipwa hyo asilimia ya uwekezaji wangu kila mwaka katika hiyo miaka 7 au hiyo asilimia nalipwa mara moja tu?
Unalipwa mara mbili kwa mwaka kwenye ile faida
Ipo mtandaoni
Kuna watu wapo humu mtandaoni wanajiita ni kampuni zinatoa mikopo mtandaoni sasa basi kinafanyika hapo ni kitu Cha ajabu sana unakopa 80 elfu unarudisha laki na nusu je benki kuu mumewapa leseni kufanya biashara kwa riba Kubwa? Kibaya zaidi ndani ya siku saba urudishe ukichelewa unatangazwa Kwa ndugu zako woote
Naitwa Joshua bundala naomba mnisaidie ninataka kujua kampuni au taasisi zinazotoa mikopo mtandaoni maana Kuna wizi mkubwa sanae
tupo pamoja kiongozi
Mm nataka mkopo jaman
🎉
Acheni uongo bhana kausha damu?? Mbona tuna wahudumia vizri na watu wanalipa bila shida
Kuna taasisi zimesajiriwa ila bado Zina riba kubwa tofauti na taasisi za benki
Hata haijaelezewa vizuri
Point.
Amin usiamini Mambo yote aliyozungumza hapo hayamgusi mtanzania wa kawaida….swali tunalolilia jibu kila siku ni kujua kiwango cha riba elekezi kwa walaji haiwezekani watu na taasisis za mikopo mitaani kujipangia riba watu wanakopa milion 10 wanakuja kudaiwa million 80 jibun maswali ya msingi tafanyalini …achen kijitekenya
Bot
Kwanini wafanyakazi wa sekta binafisi hawapati mikopo Toka taasisiza kibenki?
Hera zakigeni zinazopatina zipi
Point.
Isihifadhiwe ulsya, siku akikosana wanaimba yote, angalieni urusi wanavyoibiwa mali zao kisa tu wamewashinda vita😮
Mfano nipo India au Marekani,ntatumia banking gani ili nitume hela Tanzania?
Mkopo tunapataje sasa? Na ni kiasi gani kinatolewa?
Bado sjapata jambo la mhimu na la msingi kwa walaji bank zimewekewa riba kias gan kwa wafanyabiashara na watumishi Hilo ndo la msingi tukiweza kwenda kwenye single digit itasaidia sana walaji
Je one pound inashilingi ngap 😅
Brother Deo leo nimemuona!
Habari ninaitwa Charles naishi kibaha kuna kitu ambacho nilikutana nacho lkn kina ukakasi kisogo kuna dada mmoja alikuwa na kesi ya madai mahakamani ikamlazimu atafute pesa ili akalipe akaenda kwenye taasisi fulani za mitaani kuonq kwamba anawezaje kupata pesa kiasi cha milioni 6 kweri wakaingia makubaliano kwamba watampa milioni 6 lkn katika iyo iyo milioni 6 atoe laki tatu kwa ajili ya mwana sheria lkn pia atoe elfu 30 ya muhuli wa s kali ya mtaa kwaiyo akaijuta amepokea milioni 5 na laki 6 kwa makubaliano ya kulipa kwa mda wa miezi mitatu alipe mioni 15 kabla sijaenda mbali ni kweri kwamba apa imekaaje mbona liba ni kubwa sana ilibidi akubali kwakuwa ilikuwa afungwe lkn ninacho kiona apa hii ni tayali tatizo mana yule mama ameweka nyumba yake kama lehani sasa nyie kama wataalam wa aya mambo ni sahihi apa 0659922356 kwa ushilikiano kuna kitu akipo sawa apa
Asnte kwamafundisho
Asnte kwamafundisho yapesa Tanzania
Na Bora zaidi mernyeji ndio ashike pesa sio mgeni
Umeeleweka sana muwasilishaji.👏🏾👏🏾👏🏾
Swali: je nikinunua bond ya miaka 25.nikaamua kusitisha katikat je ninaweza kupewa pesa zangu au ndio ukiweka umeweka hadi 25yr itimie?
Unauza
Unaweza kuiuza kwenye soko la upili, kwenye DSE