Hongera sana aida kwa hoja zako nzuri sana, kiukweli kama hakuna nafasi ya ufafanuzi juu ya namna ya kuingia na kutoka kwenye mkataba huu ni afadhali mkataba huo ulekenishwe kwanza, vinginevyo mbeleni tukikutana na changamoto inayohusu makubaliano italeta shida sana na watakao umia au kuadhilia na makubaliano hayo ni sisi watanzania.
@@Baba-JJ ndugu yangu hukulazimishwa kumkumbuka ila wanyonge watamkumbuka Kila iitwayo Leo. Mnyonge mnyooeni haki yake mpenzi.sasa wewe km unaona Hana ulazima wa kumkumbuka .Mimi nakumbuka maana angekuwepo hivyo vya kubisha bungeni vingekuwa hamna
@@ashurakiswamba7085 angekuwepo kwanza hakuna hata ambaye angejua kama bandari imegawiwa kwa Waarabu waendeshe. Tungeahtukia tu washafika na hakuna cha kuongea. 😂😂
Dada Aida Kenani Nimekuelewa Sana hakika Watanzania hatujaukubali Mkataba wenye mashaliti magumu namna hiyo Wabunge wenzio wakumbuke Mpoo hapo kwaajili ya kutuwakilisha Sisi wanaichi.
Mungu akubariki Mh.Mbunge na ikiwezekana omba msamaha chama kikusamehe umeongea point sana leo sisi watanzania tumeelewa sana acha hao wapige makofi tu tutakutana nao majimboni
Kuna jambo la muhimu sana ambalo watu wanalizunguka halizungumziwi saaaana! Kama huu mkataba siyo wa utekelezaji je iyo mikataba inayokuja ya utekelezaji na yenye mambo muhimu sana ya kuzingatia je itafikishwa bungeni nayo ili ijadiliwe na kupitishwa? au watu wanapewa go ahead afu wakafanye ya kwao watakayoweza kufanya? Tuwe makini hapa! Kama iyo mikataba itafikishwa bungeni na kujadiliwa na wawakilishi wetu basi me sina tatizo! Ila kama haitafika bungeni basi kutakuwa na upungufu mkubwa sana wa sheria!
Mkataba unatakiwa kuwa clear and specific kwann huo mkataba usitaje bandari husika na muda wa huo uwekezaji.... sadly enough hatuwezi kujiwithdraw from the contract means tukiingia mkenge imeenda iyo....my country duh😢😢
Nchi kuweni na msimamo,kampuni inataka kuwekeza lkn hata haiwezi kuheshimu nchi na lugha tetu,wangetakiwa kuandaa mkataba unaoendana na lugha ya nchi yetu na huo wa kingereza..na mkataba huu wa kiswahili ungewekwa kwenye website ya taifa na watu wote wadownloqd ma kusoma na kujadiliana na kutoa maoni yao.
Yani wabunge wanaopinga huu wizi hawapewi kbs nafasi ya kuongea vzr taarifa zimekua nyingi kutoka kwa majizi,na Mungu atawaaalani wote wenye nia ovu na nchi yetu
Kwanza mkataba huo ulitakiwa kuwa kwa kiswahili,wao wahusika walitakiwa kutafuta mkalimani mikataba iwe ktk lugha zote mbili sbb nchi yetu ni ya kiswahili,sasa huu mkataba ni wa kina nani sababu sio sisi waswahili
Hakika tunahitaji mikataba wazi kuliko mitegomitego, hii mikataba ingetafsiriwa kiswahili watanzania wote waelewe kabla ya kuingia mikataba,Kiingereza siyo lugha yetu mama itatuharibia.
Wahuni wapo kazini, Tanzania inaweza kuendasha bandari ila viongozi wetu wana uvivu wa kufikiria, na wanataka mambo rahisi. Kwani hiyo DP world ya Dubai inawezaje na Tanzania ishindwe? Tanzania inahitaji Uongozi bora na wa uzalendo ili kuweza kufanya huo mkataba. Na kwasasa Tanzania bado haina Uongozi unao jali masilahi ya wananchi. Na hii ina dhahilisha kwenye report za CIG, kua sehemu kubwa za rasilimali fedha zinapotea kutokana na usimamizi m’bovu. Na isitoshe hakuna mrejesho kwa wananchi nini kilifanyika kufatilia upotevu wa hizi rasilimali fedha. Mfano, Ndege zinakamatwa kutoka na migogoro ya mikataba mibovu. Sasa serikali isituingize kwenye matatizo mengine. Tanzania inahitaji viongozi wenye maono na wenye uwezo wa kutumia akili zao kutatua matatizo magumu kwa masilahi ya nchi nzima na sio masilahi ya wachache.
@@rugijofrey3685 Tatizo hamna ukweli, wanacho fanya ni kusema matatizo yaliyopo sasa hivi na kuhalalisha mkataba. Maanake DP ndio atatatua matatizo yetu kama nchi. Pia bunge limejaa CCM na wanaogopa kumkosoa raisi kutokana ndio aliye enda Dubai kusaini huo mkataba (wa memorandum of understanding).
Ondoeni ujingaa watanzania, msiwe kama huyu mbunge, mm ni mtumishi wa mda mrefu wa bandari kiukweli tumeshindwa na hatutoweza kuendesha bandari turuhusu uwekezaji, ondoeni ujinga kama alivyo mjinga huyu mbunge
@@isaachayes9783 safi kabisa, sasa hapo ilikuwa ni namna ya kujifunza wao wanavyoweza kuendesha na sio kuwa watuendeshee. Nchi yao hawafiki m6 wakati siai tupo zaidi ya m60, nani atanufaika hapo? Kama serikali wameshindwa kuisimamia haimaanishi watanzania tumwshinda. Hiki kikundi cha msoga ndo kinaleta matatizo nchi hii, wangeiache hadi nchi itakapopata raisi atakayeongoza sio anayeongowa waone kama itashindikana.
@@isaachayes9783 kwanini tume shindwa kuendesha bandari? Kumbuka DP World ipo kibiashara kwa lengo la kupata faida, je unafikiri wata jali masilahi mapana ya nchi? Kama nchi yenyewe haijali hayo masilahi?
Asante sana. Umewawakiisha vyema watanzania Mh. Mbunge. Keep it up
Huyu mama ametusemea Watanzania wengi Mungu akubariki
Mungu akubArik dada angu
Yaani hiloni jembe la CDM salut
Mungu akubarik sana dada yetu pia uendeleee kuwa na hekma
Hongera sana binti wa nkansi Aida ,ninazawadi yako.
Hongera sana aida kwa hoja zako nzuri sana, kiukweli kama hakuna nafasi ya ufafanuzi juu ya namna ya kuingia na kutoka kwenye mkataba huu ni afadhali mkataba huo ulekenishwe kwanza, vinginevyo mbeleni tukikutana na changamoto inayohusu makubaliano italeta shida sana na watakao umia au kuadhilia na makubaliano hayo ni sisi watanzania.
Jamani lazima tumkupumbuke jemedali baba John pombe magufuli roho yake ailaze mahal pema peponi.amina🙏
Tumkumbuke kwa lipi wakati wabunge wake aliowapitisha bila kupingwa ndio hao wanapitisha huo hayo makubaliano huko bungeni?
@@Baba-JJ ndugu yangu hukulazimishwa kumkumbuka ila wanyonge watamkumbuka Kila iitwayo Leo. Mnyonge mnyooeni haki yake mpenzi.sasa wewe km unaona Hana ulazima wa kumkumbuka .Mimi nakumbuka maana angekuwepo hivyo vya kubisha bungeni vingekuwa hamna
@@ashurakiswamba7085 angekuwepo kwanza hakuna hata ambaye angejua kama bandari imegawiwa kwa Waarabu waendeshe. Tungeahtukia tu washafika na hakuna cha kuongea. 😂😂
@@Baba-JJ bora ivyoo bas nawao wangefanya km hivyo ingekuwa pouwa.maana sisi hata tukisema sawasawa na zirooooo
Umenena dada watazania wakuwobee sana mungu Akutangulie ufikishe kilio chetu
Mungu atacmama na ww
Dada Aida uko vizuri, uyo Zungu mamluki uyo spika Mamluki, inamana, iyo Bandari imewashindwa kuendesha, mnaingilia watu wanao ongea ukweli, em wazeni miaka ijayo
Mama huyu kanena point haswa..😉😉🙌
Dada Aida Kenani Nimekuelewa Sana hakika Watanzania hatujaukubali Mkataba wenye mashaliti magumu namna hiyo Wabunge wenzio wakumbuke Mpoo hapo kwaajili ya kutuwakilisha Sisi wanaichi.
Aida mimi ni CCM ila umesema vizuri Mungu akubariki
Uccm wako unakupa maisha yewe rahisi kushinda mtanzania asiye na chama.?
Wanufaika ni wachache haifiki hata 1%
Watanzania masikini ni 99%
🙄
Sisi
@@aliyageorge6794 Mimi ni CCM kivuli rafiki Mimi naenda na upepo unaoleta mvua ndugu yangu chama chochote kinachotetea inchi ndio nashikana nacho basi
Dada nimekupenda bure
Hongera dada chapa kazi dada ,,,endelea kuwabana
Safi sana mamy tunataka wabunge wazalendo
Yaani we dada aida mungu akutunze vzuru usizeeke kwa sasa umeletwa kwa ajili ya watanzania
Hawa wabunge wanaostahili kurudishwa 2025 ni 10% tu, wengine ni kuwadampo tu. Hongera mh Aidan
Barikiwa sanasana Mama unaelewa jinsi gani wananchi tunaonewa sana
Dada mwezi Mungu akubariki sana
Asante Sana viongozi
Mungu akubariki Mh.Mbunge na ikiwezekana omba msamaha chama kikusamehe umeongea point sana leo sisi watanzania tumeelewa sana acha hao wapige makofi tu tutakutana nao majimboni
Kabisa
Kuna jambo la muhimu sana ambalo watu wanalizunguka halizungumziwi saaaana! Kama huu mkataba siyo wa utekelezaji je iyo mikataba inayokuja ya utekelezaji na yenye mambo muhimu sana ya kuzingatia je itafikishwa bungeni nayo ili ijadiliwe na kupitishwa? au watu wanapewa go ahead afu wakafanye ya kwao watakayoweza kufanya? Tuwe makini hapa! Kama iyo mikataba itafikishwa bungeni na kujadiliwa na wawakilishi wetu basi me sina tatizo! Ila kama haitafika bungeni basi kutakuwa na upungufu mkubwa sana wa sheria!
I like this lady ❤
Upo sawa kabisaaa wanatuvula sanahapo
Uyu kenani kichwani yuko vizuri sana
Huyu spika shida sana, nawashangaa wabunge wa chama x hutetea MASLAHI binafsi
Safi sana dada uko vizuri.
Ee Mungu twajua unaipenda nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿 usiache hii nchi iingie kwa wachumia tumboni na wanafiki wakuu .mpumzishe Rais wetu mpendwa JPM
Eee Mungu baba nisamehe mimi kwa kiasi hii cha kuichukia (fisi)ccm! Daaah sijui famly zetu ambao hatumo kwenye hiyo mifumo ya ulaji! Tutateseka sana
Mmmmmmh!!!hii ishu imekuwa kubwa sana,
Tunataka kiongozi Kama uyu❤
Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe, Mhesh.Aida nakutakia maisha marefu.
Mkataba unatakiwa kuwa clear and specific kwann huo mkataba usitaje bandari husika na muda wa huo uwekezaji.... sadly enough hatuwezi kujiwithdraw from the contract means tukiingia mkenge imeenda iyo....my country duh😢😢
Wamekazana kusema Dp words atakuja kusema badae
Mama yetu umeongea vizuri sanasana
Dada Idda upon sahihi , ni kweli ! Uwekezaji, sawa, ni kwa muda Gani ? Msishindane humo ndani, tunataka maelezo yaliyo wazi, tutaafikiana!
Wabunge wa CCM... Nyie wamejipanga kutoa Taarifa
Aida juuu umetisha
Dada safisana umetuwakilisha vema mungu akulinde
Daaaaah!!!! Dada yuko vizuri mbunge wa wapi huyu????
tulia nilimkubali lakini kwahili apana amekubali tuuzwe daa mungu anawaona
Anakumbuka kilicho mpeleka bungeni mungu akulinde
Nchi kuweni na msimamo,kampuni inataka kuwekeza lkn hata haiwezi kuheshimu nchi na lugha tetu,wangetakiwa kuandaa mkataba unaoendana na lugha ya nchi yetu na huo wa kingereza..na mkataba huu wa kiswahili ungewekwa kwenye website ya taifa na watu wote wadownloqd ma kusoma na kujadiliana na kutoa maoni yao.
Mheshimiwa ida ujengewe sanamu lako ❤🎉 na maua yako ayo apo
najivunia sana kalumbu kutika amasyu
Dada mungu akulinde sana
Asante mama
Yani wabunge wanaopinga huu wizi hawapewi kbs nafasi ya kuongea vzr taarifa zimekua nyingi kutoka kwa majizi,na Mungu atawaaalani wote wenye nia ovu na nchi yetu
Upo sahihi mbunge wetu hatujakosea kura zetu mbunge aida
Ck l huo unafki wa ccm na spika mungu atawaumbua tu hyu spika wa ajabu e Mungu tuokoe Tanzania ipo gizan bdo wanasheria wetu kma wamesomea uwizi tu
pole aida
Kabisa dada Upo sawa
Kwanza mkataba huo ulitakiwa kuwa kwa kiswahili,wao wahusika walitakiwa kutafuta mkalimani mikataba iwe ktk lugha zote mbili sbb nchi yetu ni ya kiswahili,sasa huu mkataba ni wa kina nani sababu sio sisi waswahili
Taarifa kila wakati
Ad kero
Njaa mbaya, Wabunge wa ccm kama ningekuwa na uwezo wasingerudi Bungeni tena. Hawafai
Safi Kenani
Ccta yuko vzr sana 👍
Hatutaki kwa nini asibinafisishe zanzibar?? Samia hatutaki usituuze kama umeshindwa kuongoza wapo wengi wanaweza jiondoe tu
Na Mimi hapanaaaaa
Bunge la ndiyo
Aida upo vzr san
Dada kumbe Ni mzur sana moyo wako
asante binti yangu kwa mchango wako kwa maslahi ya watanzania,walobaki kwa maslahi yao tu wanachojali ni posho zao tulio
Yaan Kuna baadh ya wabunge humu ndan 😢😢😢
Huyu dada Yuko vizuri Sana,
Talifa talifa hadi mnakera ccm
Wabunge mnaotoa taarifa ebu kuweni na AIBU. Hili swala ni muhimu
Afu iyo kampuni isha futiwa mikataba mingi na baadhi ya inchi nalo mnafaa kufanya utafiti pia
Dada pekee ndo anaetetea nchi ,wengine wote wanaelemea upande Ili kupata maslahi binafsi ,MUNGU saidia sana
Wakiona anataka kuongea point..wanainuka na taarifa....
Mwamba bungeni tenaaaaaaaa Mboe oyeeeee
Spika simuelewi kabisa ana tetea tuu mwanzo mwisho
Ni mizinguo t
Hilo takataka
Walipewa pesa
Tulia umekomalia sana hili jambo ila ukweli hatutaki kuwapa
Sema dada unajitahi kusema ukweli sema
Dada hawa taarifa wanaboa na taarifa zao hazina mana
Kila saa taarifa, let someone speak bana .
HILI NDIO TATIZO LA KUWAPA NCHI WANAWAKE😢😢
Mama Samia anashida kutawala wenye hisia za uchumi wa Ujamaa
Hakika tunahitaji mikataba wazi kuliko mitegomitego, hii mikataba ingetafsiriwa kiswahili watanzania wote waelewe kabla ya kuingia mikataba,Kiingereza siyo lugha yetu mama itatuharibia.
Kabisa
Si mtapitisha Kwa kusema ndiyooooo kama kawaida na wachache wa chadema 19 watasema siyooooo
Mkataba unaandikwaje kwa Kiingereza?
Mwarab mshenzi anapenda ubwana
Huyu ndio aliolopoka mambo ya tozo kabla hajawa naibu spika ni mtu hovyo tu
Mungu azidikumbaliki uyu mwanamke
Ada nakusifu sana wasikupotoshi dada
Yani hawa wakimwagiwa pesa hawaoni tatizo, tena wanatetea bandari iuzwe ilimladi wawo wamevuna chao.
Dah unasimama kabisa unasema mhuni mmoja na tumekupa dhamana ya kutusememea kweli
Huyu dada kaongea vizur sana
Sana
We mwenyewe ndo mhun ulie pita kwa wiz ata bungen
Uko sawa dadaetu
Nchi yetu bwana kwel niyawatu binafsi tu basi wengine nibendera tupo kama upepo😭😭😭😭😭😭🙏mungu akulaze pema jpm hato tokea kama ww
Wape ukweli kuhusu mkataba Yao feki watakubana sana lakini wape ukweli hatuna wabunge waelewa Kama wewe Aida watakudanganya soma vfungu
Hii mibunge inayosema taarifa ndio hy ilio pelekwa dubai mimbumbubu
Mtatuuza kwa hii sitaili
Mnakeraaaaa mkiona mtu anatetea wa Tz mnakuja na taarifa zenu za ajabu
Watanzania wanaka kujua mda na mahali km aida anavocm
Wahuni wapo kazini, Tanzania inaweza kuendasha bandari ila viongozi wetu wana uvivu wa kufikiria, na wanataka mambo rahisi. Kwani hiyo DP world ya Dubai inawezaje na Tanzania ishindwe?
Tanzania inahitaji Uongozi bora na wa uzalendo ili kuweza kufanya huo mkataba. Na kwasasa Tanzania bado haina Uongozi unao jali masilahi ya wananchi. Na hii ina dhahilisha kwenye report za CIG, kua sehemu kubwa za rasilimali fedha zinapotea kutokana na usimamizi m’bovu. Na isitoshe hakuna mrejesho kwa wananchi nini kilifanyika kufatilia upotevu wa hizi rasilimali fedha. Mfano, Ndege zinakamatwa kutoka na migogoro ya mikataba mibovu.
Sasa serikali isituingize kwenye matatizo mengine. Tanzania inahitaji viongozi wenye maono na wenye uwezo wa kutumia akili zao kutatua matatizo magumu kwa masilahi ya nchi nzima na sio masilahi ya wachache.
Hatari sana Kuna tatizo kubwa lisipoonekana tunaingia kwenye shida kubwa
@@rugijofrey3685 Tatizo hamna ukweli, wanacho fanya ni kusema matatizo yaliyopo sasa hivi na kuhalalisha mkataba. Maanake DP ndio atatatua matatizo yetu kama nchi. Pia bunge limejaa CCM na wanaogopa kumkosoa raisi kutokana ndio aliye enda Dubai kusaini huo mkataba (wa memorandum of understanding).
Ondoeni ujingaa watanzania, msiwe kama huyu mbunge, mm ni mtumishi wa mda mrefu wa bandari kiukweli tumeshindwa na hatutoweza kuendesha bandari turuhusu uwekezaji, ondoeni ujinga kama alivyo mjinga huyu mbunge
@@isaachayes9783 safi kabisa, sasa hapo ilikuwa ni namna ya kujifunza wao wanavyoweza kuendesha na sio kuwa watuendeshee. Nchi yao hawafiki m6 wakati siai tupo zaidi ya m60, nani atanufaika hapo? Kama serikali wameshindwa kuisimamia haimaanishi watanzania tumwshinda.
Hiki kikundi cha msoga ndo kinaleta matatizo nchi hii, wangeiache hadi nchi itakapopata raisi atakayeongoza sio anayeongowa waone kama itashindikana.
@@isaachayes9783 kwanini tume shindwa kuendesha bandari?
Kumbuka DP World ipo kibiashara kwa lengo la kupata faida, je unafikiri wata jali masilahi mapana ya nchi? Kama nchi yenyewe haijali hayo masilahi?
Hivi kwanini hiyo mikataba inaletwa kwa kiingereza bungeni?
Jaman huyu Mbunge abarikiwe mno,ana tetea haki ya watanzania,
Umesema
saf saaaana dada nimekuelewa
Sheria ni Zambi kwa mwenyezi mungu
Spika anamasilahi nini humu mkataba au
Fafanueni huo mkataba kwa kiswahili ueleweke Kwa watanzania