Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!
Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 23, anapokea Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania.
Katika hafla hiyo Rais magufuli amemkabidhi captain wa kwanza wa shirika la ndege kwa kitendo chake cha ujasiri kwa kuruka na ndege kutoka Nairobi hadi Dar es salaam kwa nguvu bila kujali kulipuliwa.
Ndege hiyo imewasiri leo majira ya saa 10:30 jioni na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
#RAISMAGUFULI
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho