Heri kwako kaka Luvanda & Lilian Mwasha(clouds fm) kwa maneno ya uzima. pongezi pia kwa wahudhuriaji wote ktk tukio hili. siku zijazo naamini mahudhulio yatafurika hata pasiwepo nafasi,kwa sasa watz wengi hasa wa mikoani elimu ya kujitambua bado haipewi umuhimu chakushangaza ni pale likes nyingi ktk mitandao zinapewa habari za udaku,wakiwemo wasomi walio wengi Hata hivyo naungana na kanuni isemayo; mabadiliko makubwa huanza na mtu mmoja au kundi dogo. I pay tribute to Myles Munroe.

Tuko pamoja
Ramoha from Zanzibar
Tukio zuri Sana
nmejifunza kuwa tatzo ni fursa
Mashauri Kilawa tatizo ni maamuzi tu na si fursa