Jinsi ya Kukabiliana na mabadiliko katika Soko la Ajira - Anthony Luvanda

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 10

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 5 лет назад

    well done

  • @agathamichael8818
    @agathamichael8818 6 лет назад +1

    nimejifunza mengi asante

  • @barakadfx2351
    @barakadfx2351 6 лет назад

    Tony karibu sanaa chuo cha ualimu butimba uje usaidie vijana huku.

  • @francoisfearlessilunga4047
    @francoisfearlessilunga4047 6 лет назад

    May God bless you Mr Tony Luvanda every day i learn something knew from you. I am in Lubumbashi DRC

    • @cses5483
      @cses5483 6 лет назад

      Bien venue en Tanzanie

  • @jacksonmwanyika5697
    @jacksonmwanyika5697 6 лет назад

    tony uje na Dodoma

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 лет назад +3

    Unaanzaje biashara huku hata kula tu nimashaka Bro ningumu saana but rahisi kusema sina hayo maisha magumu Thank God ila naona watu wanvyotahabika hata mtaji wa karanga like 5000 hana mtu km huyo Bro unadhani atakuelewa?

    • @mgallason...5686
      @mgallason...5686 5 лет назад

      Kama kula ni mashaka wakati unaweza kumiliki smartphone tambua tatizo sio kuanza biashara Bali ni kujipanga na kujua fursa zilizopo, muelewe Antony, kuwa vijana lazima waangalie upandewa pili wa shilingi na SI kwenda shuleni na kutegemea serikali itatoa ajira, ajira ni janga la dunia nzima Kama vijana hawatakaa na kujifunza kujiajiri, fikiria nje ya BOX na sio kutegemea kujibana ndani ya BOX. kila mtu amepewa TALANTA ambazo zimefichwa na Mungu mwenyewe haitakaa siku akaja na kukwambia TALANTA yako ni hii, ila uvumbuzi unaufanya mwenyewe, kwa umakini zaidi.

  • @eliudimwigi8368
    @eliudimwigi8368 6 лет назад +1

    Kaka Tonny ni Kweli Umeongea pwenti tupo kwenye Ulimwengu wa SMART TECHNOLOGY mtu yeyote atakayebisha abishe uzee utakuja kumkumbusha.