Asante MUNGU kwa zawadi muhimu kwa kusudi lako la Kumuumba Giant Killer mr Joel Nanauka . Akika wewe ni nuru ya giza binafsi nimepata mwanga kufanikiwa kupitia wewe , na ivi nilivyo ni kwasababu ya uwepo wako. Shukrani zangu zimwendee MUNGU kwa ajili ya uwepo wako hapa Duniani.
Hakika hicho ndicho ulicho kibeba na mungu alikiona akaruhusu uishi katika karne hii kwa kusudi maalum tangu nlipo pata mafunzo ya mwanzo ndg zangu wengi wameniita kwa jina lako! Najivunia kuwa mwanafunzi wako '' na nitawezaje kujisajili kwenye academy yako ni swali inayo nigusa kila wakati , mungu akubariki sana ! !
Asante MUNGU kwa zawadi muhimu kwa kusudi lako la Kumuumba Giant Killer mr Joel Nanauka .
Akika wewe ni nuru ya giza binafsi nimepata mwanga kufanikiwa kupitia wewe , na ivi nilivyo ni kwasababu ya uwepo wako. Shukrani zangu zimwendee MUNGU kwa ajili ya uwepo wako hapa Duniani.
Mungu Akubariki sanaaa kaka Joel 🙏
Ubarikiwe
Asnte.sana.ubarikiwe.joel.lakini.usiseme.sana.kizungu.mwengenehaelewi.sana
Thanks
Savi sana
Asante
Amen
Amen Mungu akubariki sana
Kosa lako sio muislamu tu ila unaweza sana uislamu ndio ukombozi
Asante sana my role model! !
Hakika hicho ndicho ulicho kibeba na mungu alikiona akaruhusu uishi katika karne hii kwa kusudi maalum tangu nlipo pata mafunzo ya mwanzo ndg zangu wengi wameniita kwa jina lako! Najivunia kuwa mwanafunzi wako '' na nitawezaje kujisajili kwenye academy yako ni swali inayo nigusa kila wakati , mungu akubariki sana ! !
Okovizirisana
God bless yuo bro
🎉🎉🎉