Kujifunza ni jambo la Kila siku na mwisho wa kujif unza ni pale tunapokufa.tujitahidi kuthubutu na kuwa watu wa kutenda,tuache maneno mengi,tuanze na kidogo tulichonacho,tuwe jasiri na Kila kitu kinaenda kwa kanuni duniani.weka Mambo kwa kutenda zaidi.daima tupende kutumia akili zetu kwa kiwango Cha juu.heshima kwako Antony Luvanda.naitwa Hosea na vile vile ni inspirational speaker.
Kati ya Video ambayo nimeisikiliza You Tube mara nyingi zaidi,zaidi ya mara 5 ni hii. Ahsante sana Kaka A.Luvanda MUNGU sana nimejifunza mengi, nimeondoka na mengi na ninaanza ku..take action.
Jamaa anataman kuuokoa uma wa tanzania ( anavyosema ) lakin anatumia zaid lugha ya waingereza (nashangaa )kwa kiswahil utawafikiwa weng zaid.haswa wale kingereza ni kikwazo.
Mungu akubariki sana ni kwa Mara ya kwanza naangalia video zako Ila nimetumia mda wa masaa 2 namaliza video moja naenda because zinafundisha sana hasa kwa vijana wasomi ajira ni ngumu sana ila umetufungua akili ndoto nilizo nazo I hope ipo siku ndoto zangu zitatimia Mungu akubariki Brother Tonny na Brother Joel Nnauka nimejifunza mengi kutoka kwenu natamani sana DVD zenu.
Thanks soo much brother am from Kenya and have learned a lot from you n nashukuru nimepata ideas za kubuni biashara kupitia mafunzo yako Mola akupe umri na afya kaka akituwezesha Manani nitarahi kuja kuskiliza mafunzo yako
Tatizo Vingereza vingi kaka. NINA WASIWASI NA UZALENDO WAKO. HEBU ACHA USHAMBA HUO KAKA. NDO TUTA KUBALI UPENDO KWA VIJANA. VINGINEVYO HAPO UNAUZA VITABU TUU !!!
Yaani amengea kwa dakika 49 ila amefundisha mambo mawili 2 tu loh. Jambo la kwanza alilofundusha ni ANZA NA ULICHONACHO jambo la pili ni ONGEZA THAMANI ya liobakia ni maelezo mengi ila nihaki yao kwasababu ni semina ya bure.
Watanzania wengi sio wasomaji lakini niwapenzi WA kufuatilia Jambo pia kingeleza kimewaoiga chini niwachache tu ndio Wana elewa nasio wafanyaji kazi wafanyaji kazi NI darasa lasaba
Christina Msoka mbn umesema english, kiandike kwa kiswahili.. Ila yote kwa yote tufahamishane/tushtuane/tujumuike. TUSHTUKE, tuamke..haya mwenzngu nn wafikiria tuyaunganishe na yangu.. Asante.
Maneno yako nimeyafanyia kazi hayajapita bureeeee......nina dream ya kumiliki kiwanda hivi sasa since nimepata maneno yako nimeanza kuandika kitabu kinaitwa kisiwa cha maarifa ya ujasiriamali ili niwauzie watu na kuwafundisha online na kuwafundisha practically ....uku na mimi nikizidi kuongeza skill Nipatie ushauri nirekebishe wapi maana nishaweka na brand katika bidhaa zangu na video ili wajanja wasiibe
Kujifunza ni jambo la Kila siku na mwisho wa kujif unza ni pale tunapokufa.tujitahidi kuthubutu na kuwa watu wa kutenda,tuache maneno mengi,tuanze na kidogo tulichonacho,tuwe jasiri na Kila kitu kinaenda kwa kanuni duniani.weka Mambo kwa kutenda zaidi.daima tupende kutumia akili zetu kwa kiwango Cha juu.heshima kwako Antony Luvanda.naitwa Hosea na vile vile ni inspirational speaker.
Ongea kiswahili, wenye elimu ndogo watakosa haya madini, ni ya wote, sio graduates oeke yao. Thank you bro.
now i found my GOOD mentor, thank you Brother.
Asante sana kaka Luvanda kwa elimu nzuri sana!!!
Pesa inashuka hadi level yako! I admire your brain Anthony .Amazing observations.
More blessed nmejifunza mengi sana
ujumbe mzuri Sana your change my mind
Unaongea point kwa ufafanuzi ubarikiwe kwa somo nzuri
Mwenye sikio amesikia na mwenye jicho ameona kazi kwetu kuchagua mbivu na mbichi
Thanks my brother
bor upo makini sana na unachokifanya na unakijua God bless you
Nasikitika kuchelewa kukufatilia wow wow
Kati ya Video ambayo nimeisikiliza You Tube mara nyingi zaidi,zaidi ya mara 5 ni hii.
Ahsante sana Kaka A.Luvanda MUNGU sana nimejifunza mengi, nimeondoka na mengi na ninaanza ku..take action.
Btother umenifungua bongo zangu sanaaa.umenifanya nifikirie zaidi ya nilivyo.i like your speach.
Nashukuru sn, mafunzo yako yamenibadilisha kwa kiasi kikubwa sn.
Nashukuru bro...you have enspired me
Tunakuelewa sna tu broo
Jamaa anataman kuuokoa uma wa tanzania ( anavyosema ) lakin anatumia zaid lugha ya waingereza (nashangaa )kwa kiswahil utawafikiwa weng zaid.haswa wale kingereza ni kikwazo.
Sio lazima kila mtu aelewe. Hapo ana targeted audience
uko vizuri sanaa broo,sema tumia sana kiswahil ili watu wengi wakuelewe
ni vizuri kuongeza maarifa kwa kujifunza kutoka kwa wengine
karibu pia Golden Nation
ruclips.net/channel/UCX-ZMz52PbtoLHaW4ft9FuQ
Mungu akubariki sana ni kwa Mara ya kwanza naangalia video zako Ila nimetumia mda wa masaa 2 namaliza video moja naenda because zinafundisha sana hasa kwa vijana wasomi ajira ni ngumu sana ila umetufungua akili ndoto nilizo nazo I hope ipo siku ndoto zangu zitatimia Mungu akubariki Brother Tonny na Brother Joel Nnauka nimejifunza mengi kutoka kwenu natamani sana DVD zenu.
Thanks soo much brother am from Kenya and have learned a lot from you n nashukuru nimepata ideas za kubuni biashara kupitia mafunzo yako Mola akupe umri na afya kaka akituwezesha Manani nitarahi kuja kuskiliza mafunzo yako
Thanks brother
Madini safi kabisa
Excellent,! Ila punguza English pia video zinachelewa kutoka,!
Nakupata sana kk
mungu akubarik
You are the best and your shows are Awesome b blessed, I come to thank you after watching you 8 months ago, now am different and i can see it
ur words are lyf kwa kwel..ur such an inspiration👏
Thank You
TonyInspirationalTalk Daaa Jamaica Luvanda kamwene
Nc brother
Tatizo Vingereza vingi kaka. NINA WASIWASI NA UZALENDO WAKO. HEBU ACHA USHAMBA HUO KAKA. NDO TUTA KUBALI UPENDO KWA VIJANA. VINGINEVYO HAPO UNAUZA VITABU TUU !!!
Issa Saidi angalia alikuwa anaongea na akina nani ? Ingekuwa anaongea na wasiosoma sawa lkn anaongea na,wasome kwa hiyo pambana endana na mazingira
Mungu akubariki uendelee kutuelimiasha
ubarikiwe na Mungu
Thanks for your good lesson.
Amazing 🙏
Shukran sana
you inspired me
Nakuelewega sanaaaa kaka Anthony
Real humble brother
Barikiwa sn nafunguka taratibu
God bless you brother luvanda..... I get something
u inspire me a lot brother .. God bless u
Thank you so much bro 🙏
good mr Tonny
Hongeraaa sanaaa Kaka nitakufollow kila sehemu,hadi CD zako ntazifollow.Na nikikukuta njiani pia ntakufollow ili nijue mengi.Ahsante sana
Umenifurahisha na nmekupenda mnoo
@@isayamwakabana6439 😁😁😁😁 😁😁 😁 nimefurahi ndugu kama umefurahi tuendelee kufurahia mafunzo ya kaka yetu.
Nmekupenda jaman
@@isayamwakabana6439Ahsante Sanaa
Nakupenda pia ndugu yangu.
Twende kwa Joel Nanauka.
Timiza malengo yako.
Hawa kaka zetu wanajitahidi Sanaa, Mungu awabariki.
You have motivated me.starting tomorrow my business where I am
Grace Njeri tushirikishane basi tuwe timu..tutafutane!
Great
@@TonyInspirationalTalk I'm so inspired brother
Asante sana umenisaidia sana
Kunawatu wanaamini huwezi timiza ndoto bila kupita kwa waganga wa kienyeji hivi hiyo ni kwel au vp hapo
Thank brother.. Likin umelenga kuisaidia Tanzani use mr our national language
Viingereza vingi niwajibuwako unaetaka kujifunza kuuliza ili ujue kwani ni sehemu yajifunza pia.
Very nice my brother I wish one day I will attend ur class
Kindly Follow me on Instagram to Know my schedule
TonyInspirationalTalk May i have your email contact please!!?
TonyInspirationalTalk Huwa napata faraja sana ninapokusikiliza..unanipa ujasiri mkubwa..Mungu akubariki Sana.
Mbona Kama nilichelewa kufatilia hawa watu..
Asante kipenzi
Hello natamani sana ungelikuwa unazunguka mikoa yote ugawe hayo maarifa
Big up sana
Asante kaka
very inspirational. ..you're the best brother
Thank You
Asante kwa ushauri wako
Good Broo
Sijuti kukufahamu kaka umenifunza mengi god bless you
Amen
Yaani amengea kwa dakika 49 ila amefundisha mambo mawili 2 tu loh. Jambo la kwanza alilofundusha ni ANZA NA ULICHONACHO jambo la pili ni ONGEZA THAMANI ya liobakia ni maelezo mengi ila nihaki yao kwasababu ni semina ya bure.
OMG I got something Mr Luvanda......God bless you 2 do more and best than this
Amen
Nimekuelewa sana mungu akubariki
Mr njoo na mwanza namba yang hii hapa 0746485419 nipigie tuongee nikuandalie mr
napenda unavyotuelimisha nimekuelewa sana tunaomba namba ya simu kwaajili ya elimu zaidi
Kweli kila kitu kazi
Thank you my brother
You are welcome
Good work may God bless you
nice bro
Good
NAKUSHUKURU SANA!
Karibu
Nashda sn na Mr Antony jamn ntapataje nahtaji ushauri wake nahsi nikikutana naye ntafanikiwa
Thanks
naomba namba yako mie Egno
brother, ntakupataje maana mie nahitaji muongozo kutoka kwako kabla cjaingia kwenye mambo ya biasharara ikiwezekana nipe no yako plz🙏
Watanzania wengi sio wasomaji lakini niwapenzi WA kufuatilia Jambo pia kingeleza kimewaoiga chini niwachache tu ndio Wana elewa nasio wafanyaji kazi wafanyaji kazi NI darasa lasaba
Unayo ongea ni ukweli mimi naomba number yako ya simu plz
this is true story from luvanda
Hatukuelewi wa tanzania !!! tulio wengi.!!!
Talk on your side
my mental I wish by DASH KOMBO
🙏🙏🙏🙏🙏🔥
Asante sana kaka angu
Kaka haupo twitter.??
nipo. natumia @AnthonyDLuvanda
💪
gudiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ni vizuri kuongeza maarifa kwa kujifunza kutoka kwa wengine
karibu pia Golden Nation
ruclips.net/channel/UCX-ZMz52PbtoLHaW4ft9FuQ
kwani hujui kiswahili vzr?! mbona unaongea English!
Christina Msoka mbn umesema english, kiandike kwa kiswahili..
Ila yote kwa yote tufahamishane/tushtuane/tujumuike.
TUSHTUKE, tuamke..haya mwenzngu nn wafikiria tuyaunganishe na yangu..
Asante.
Mtajuaje Kama ni msomi??? LoL
K
Maneno yako nimeyafanyia kazi hayajapita bureeeee......nina dream ya kumiliki kiwanda hivi sasa since nimepata maneno yako nimeanza kuandika kitabu kinaitwa kisiwa cha maarifa ya ujasiriamali ili niwauzie watu na kuwafundisha online na kuwafundisha practically ....uku na mimi nikizidi kuongeza skill
Nipatie ushauri nirekebishe wapi maana nishaweka na brand katika bidhaa zangu na video ili wajanja wasiibe
Mashine ya kusafisha alizeti
Kweli kaka Tanzania sisi ni wa vivu Sana wa kujituma
Shukran kaka
Mungu akubariki uendelee kutu elimisha