MAMBO 7 YA KUJIFUNZA KABLA HUJAWA MJASIRIAMALI by Anthony Luvanda

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 205

  • @wisdomofbooks6905
    @wisdomofbooks6905 5 лет назад +8

    Maisha ni mfululizo wa matukio ya kupambana.katika maisha tunahitaji kuwa jasiri na kufikiria,kujifunza na kuanza kuwa wajasiriamali.kama una Uhai,Akili na roho hizi ni rasilimali muhimu.tuzitumie kupambana na umaskini na kupata mafanikio.heshima kwako Antony Luvanda.naitwa Hosea na vile vile ni inspirational speaker.

  • @ibrahtv5592
    @ibrahtv5592 6 лет назад +7

    Antony luvanda nimeanza kumfaham mda sana nikifuatilia vipind vya ujasiriamali big up brother

  • @alisuleimanothman3906
    @alisuleimanothman3906 5 лет назад +4

    Hongera Mr. Anthony Luvanda elimu tunayopata kwako ni muhimu. 'Indeed we should think beyond being employed by someone else'.

  • @kukuafjjif7272
    @kukuafjjif7272 4 года назад +1

    Najengeka sana na elim yako kaka. Natamani nikuone nipate dawa zaidi. Asante kwa ukareem wako bila choyo

  • @msafirimponda1719
    @msafirimponda1719 4 года назад +1

    Asante sana kwa kunifungua akili,mana mi ni mmoja ya MTU mkimya,

  • @kapanikapani5280
    @kapanikapani5280 4 года назад +1

    Uko vzr sana kaka barikiwa sana

  • @nyanzalakaporo2504
    @nyanzalakaporo2504 7 лет назад +12

    I LOVE THIS MAN, BIG CONGRATUTIONS TO YOU , FOR YOUR INSPECTION

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 лет назад +2

    Nimejifunza kitu asante ngoja nitakifanyia kazi mungu anisimamie

  • @bonnynicola2571
    @bonnynicola2571 7 лет назад +11

    niliitafauta siku nyingi hii semina hatimaye Leo nimepata, asante mwalimu

  • @bernardmwansasu5348
    @bernardmwansasu5348 5 лет назад +3

    Ahsante sana kaka luvanda kwani unatuinua sisi wenye elimu ya chini na tunaohitaji kutoka kimaisha kupitia ujasiliamali

  • @adrianashyko2781
    @adrianashyko2781 6 лет назад +8

    Sijui nimefika hapa but this is the best motivation...the man is full of humour and also he is a great mentor/teacher

  • @queentellynyaga2645
    @queentellynyaga2645 6 лет назад +24

    Wow wow all the way from Kenya can't stop following u,am greatful to be your follower,254 piteni na like👍 zenu hapa kwa kazi nzuri ya ndugu yetu from another mother anafanya.... Congrats👏 luvanda

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад

      Telly Nyagah sasa tunafanyaje ndugu.,tuinuke kwa nguvu zote, tena 🇹🇿&🇰🇪

    • @renathasulle2720
      @renathasulle2720 5 лет назад

      Asante sana kwa darasa brother

    • @nakombogo4859
      @nakombogo4859 5 лет назад

      Telly Nyagah

  • @elishagiligili
    @elishagiligili 7 лет назад +19

    This is one of the million dollar semina. hongera sana Mentor wangu, Tunamshukuru Mungu sana kwa kukuleta na kukuinua majira kama haya. hakika unatusaidia sana kiongozi.

    • @rabbymollel9407
      @rabbymollel9407 5 лет назад

      Nichek whtspp 0764896714 for entrepreneur activities

  • @kagemuloschool
    @kagemuloschool 7 лет назад +13

    This powerfully I always learn from you mentor kama sipo
    semina nakucheki kwa youtube..

  • @saidjumanne915
    @saidjumanne915 6 лет назад +1

    Thank you mungu akubariki nitafanyia kazi kwa kuwa hakuna pepo us mzungumzaji au msikilizaji ila IPO ya mtendaji

  • @selemanshaban3792
    @selemanshaban3792 7 лет назад +7

    Ubarikiwe sana luvanda

  • @maricelajohn942
    @maricelajohn942 7 лет назад +3

    huwa nafarijika sana kila ninaposikiliza mafundisho yako mc luvanda mungu akutie nguvu

  • @timonofficialbaitu4917
    @timonofficialbaitu4917 5 лет назад +2

    Tunakuomba hapa chuo kishiriki cha duce jaman vijana tuna mawazo ya Biashara hla elimu zako hatuna jaman we love u more

  • @Joshuamhamasishaji
    @Joshuamhamasishaji 6 лет назад +3

    kweli jambo jema kuelimisha wasomi maana watu wengi akiri yetu imejengeka kuajiriwa tu. hili jambo au elimu hii iliyowawafikia wasomi itasaidia sana na watakuwa watu wenye uwezo mkubwa wa uelewa wa maisha .

  • @sarafinaidabaga602
    @sarafinaidabaga602 2 года назад

    YOU ARE ADORABLE ADMIRE,I wish I could know you early but hopefully to know you now i earned alot from you may GOD BLESS YOU SIR

  • @mayalandimi6419
    @mayalandimi6419 5 лет назад +8

    Most of people are busy watching music and not this important issues

  • @onesmochaula5275
    @onesmochaula5275 4 года назад +1

    Bro hii semina nimeielewa mafunzo uliotoa kwenye semina hii yatanifanya nibalike katika maisha nitaendelea kukufatilia vipind vyako. God bless you

  • @hajimsophe2888
    @hajimsophe2888 7 лет назад +5

    True communication skills muhimu sana...boss aliniita akanambia you do best but try to be best in communication..

  • @evanestory3711
    @evanestory3711 6 лет назад +1

    Asante sana Antony ukweli umenifungua akili yangu sana.Mungu akubariki sana .

  • @fatnahendison59
    @fatnahendison59 5 лет назад +5

    Upo vzr ila usimlinganishe mungu na sayans maana hata wanasayans hupata maarfa kutoka kw mungu

    • @jackfimbo4486
      @jackfimbo4486 5 лет назад

      fatna Hendison unaweza kuithibitisha hoja yako?

  • @mohamedothumanhussein2792
    @mohamedothumanhussein2792 2 месяца назад

    thank you mr luvand for good education to us

  • @lusajogwassa9672
    @lusajogwassa9672 7 лет назад +8

    Mungu akubariki zaidi na zaidi kwa mafundisho haya.

  • @ramakheri9824
    @ramakheri9824 6 лет назад +1

    Am from kenya,asante cna kwa mafunzo yko,God bless you.

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 лет назад +27

    USISEME MUNGU HAWEZI SHINDANA NA SAYANSI UNAKOSEA SANA MUNGU MDOGO KWA MAWAZO HAYO MUNGU NI MUNGU WA KILA KITU NA HAKUNA KINACHOMSHINDA SAYANSI HAIWEZI SHINDANA NA MUNGU NA SIO MUNGU HAWEZI SHINDANA NA SAYANSI NABII WAKE TU ALISIMAMISHA JUA
    ..

    • @mayalandimi6419
      @mayalandimi6419 5 лет назад

      Hujamwelewa

    • @faithcu7845
      @faithcu7845 5 лет назад

      Ata mm apo cjamwelewa kwa kweli.

    • @edsonjackson1087
      @edsonjackson1087 4 года назад

      Science is naturee ndio anachomaanisha

    • @abachajackson2032
      @abachajackson2032 4 года назад +1

      Kiutani una imani ya kuhamisha milima & kam badooo u may think big the u will understand the the concept

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад

    Fact brother thanks alot..and God guide you.

  • @imanimwamasangula3467
    @imanimwamasangula3467 Год назад

    Product of Tafes, i love Tafes

  • @wesleykaleshu2369
    @wesleykaleshu2369 6 лет назад +6

    Thank you so very much. Bless you

  • @antoniaanthony1663
    @antoniaanthony1663 7 лет назад +7

    Waooo such a wonderful mentor .......icho kitabuu jamanii kipoo public Sana'a ???nakihitajii piaa

  • @biubwaahmadi40
    @biubwaahmadi40 6 лет назад

    Ahsante sana. Nimejifunza na kufurahi pia.
    Mungu akubariki zaidi.

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 6 лет назад +2

    Mungu akubariki kaka

  • @salehussi3650
    @salehussi3650 6 лет назад

    Asante sana Anthony Luvanda kwakutufungua akl zetu nakuweza kusonga mbele god bless you

  • @nyanzalakaporo4219
    @nyanzalakaporo4219 7 лет назад +11

    SAFI SANA BROTHER NAKUFATILIA SANA SPEECH ZAKO KWANI UNANITOA ATUA MOJA KWENDA NYINGINE. ASANTE SANA

  • @zaitunimohamed224
    @zaitunimohamed224 4 года назад +1

    Safi sana najifunza kupitia wewe japo nimeishia,darasa 7

  • @zaifathabubakar1414
    @zaifathabubakar1414 6 лет назад +1

    Think beyond employment.... Asante kaka

  • @assengatadey5106
    @assengatadey5106 6 лет назад

    Big up brother...tunajifunza sana sana kupitia wewe...God bless you

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 Год назад

    Kk nimeshindwa hata kuongea kwajinsi yote uliyotoa yote madini + Dimond Thanks so much

  • @lucky9285
    @lucky9285 7 лет назад +6

    Safi Sanaa 👏 👏

  • @nurumussa9107
    @nurumussa9107 6 лет назад +4

    Asante syaana brother Tony natamani nami kuwa muongeaji kama wewe

  • @OyoTanzania
    @OyoTanzania 5 лет назад +2

    kazi nzuri kaka

  • @edsonjackson1087
    @edsonjackson1087 4 года назад

    Am really motivated Am going to do something in this yeaar....stay blessed sir

  • @juliusnjiku3524
    @juliusnjiku3524 2 года назад

    Nimeipenda hiyo.

  • @alfeokaguo1663
    @alfeokaguo1663 6 лет назад +1

    i learn a new thing from you asante mr tony.

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 6 лет назад +4

    ahsante sana baba

  • @Blandine81
    @Blandine81 2 года назад

    Merci beaucoup mon frère ❤️👌(Asante sana kakayangu )

  • @barakamakombe
    @barakamakombe 7 лет назад +6

    asante sana kwa mawazo mapya

  • @bennychawala88
    @bennychawala88 6 лет назад +1

    Uko vizuri sana mr

  • @tunzayamungu4543
    @tunzayamungu4543 7 лет назад +3

    Asante kaka nachukua napambana lengo kufikia ndoto yangu kabda ya miaka 50

  • @lusajogwassa9672
    @lusajogwassa9672 7 лет назад +7

    asante sana.

  • @fraviabakari8720
    @fraviabakari8720 6 лет назад +2

    asante asante asante sana

  • @tatu3tatu549
    @tatu3tatu549 4 года назад

    Mungu akupe uhai mrefu

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 лет назад +2

    Daaaaa mmmnm asante

  • @mcteo1273
    @mcteo1273 7 лет назад +3

    MC Luanda thanks much much my brother be blessed

  • @comeandcooltv8689
    @comeandcooltv8689 2 года назад

    Thank u god bless e

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 4 года назад +1

    Your my mentor

  • @evaanthony8106
    @evaanthony8106 7 лет назад +1

    Asante sana kaka Mungu akubariki.

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 лет назад

    Wow nice massage.. That's true

  • @tatu3tatu549
    @tatu3tatu549 4 года назад

    Asnt nyingi sana kwa elimu uliotoa

  • @jacksonmwanyika5697
    @jacksonmwanyika5697 6 лет назад +4

    luvanda chuo kikuu Dodoma tunakuhitaji

  • @masoudalgheithy1270
    @masoudalgheithy1270 7 лет назад +1

    Eye opener. Amazing!!!!

  • @dalmasnyaribo7936
    @dalmasnyaribo7936 2 года назад

    Napenda masomo haya sana nikiwa inchini Kenya but kuvipata vitabu senyu ndio shida

  • @zuberysalim7498
    @zuberysalim7498 2 года назад

    God bless brother

  • @fraviabakari8720
    @fraviabakari8720 6 лет назад +3

    kaka kweli nimejifunza hakika nitakazana sana kupambana mimi ni mc

  • @rolineraban7443
    @rolineraban7443 7 лет назад +1

    I wish I could have known you when I was a first year student..but Iam So grateful that am learning from you at my Free time..be blessed sir

    • @juddygidion7529
      @juddygidion7529 7 лет назад +1

      napenda sana mafunzo yako na yamenijenga kuanzia kesho naanza biashara yangu niliyoipanga,nashukuru sana.

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад

      yaani kaka acha..namtazama hapa natamani nimtusi ila ndoivo..

    • @merishaolemepurda
      @merishaolemepurda Год назад

      Thengs brother gd bless you.

  • @fraviabakari8720
    @fraviabakari8720 6 лет назад +1

    mungu akubaliki sana umepanua akili yangu sana

  • @mclucksontv7832
    @mclucksontv7832 5 лет назад

    nimekuelewa sana bro Luvanda

  • @fatmaameer5333
    @fatmaameer5333 6 лет назад

    Mungu akuzidishie elimu kubwa umetoa

  • @triphonkwizera1565
    @triphonkwizera1565 6 лет назад +1

    Hi,sir I'm in Burundi i'm happy for your nice teaching ,so i want to meet you for explain me how I study in anthers state an university which i need.thx God blaisse u

  • @mchomvu1mchomvu1pare63
    @mchomvu1mchomvu1pare63 5 лет назад +1

    Nice dokta

  • @spiderelexander9977
    @spiderelexander9977 Год назад

    Lait kama ningekufuatilia cku nyingi ningekuwa mbali ila bado mda ninao kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa hiki nilichojifunza ntafanikiwa Mungu anisimamie

  • @stellahsanga8214
    @stellahsanga8214 6 лет назад +2

    yani apo kwenye fainesho menejimenti daah ninashida apo at tigo pesa nakomba zote sasa kwakuwa umenifumbua nime notes Asante .....

  • @johnmapunda3474
    @johnmapunda3474 6 лет назад +1

    Thank you so much for restoration of my Mind..

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 5 лет назад

    I real appreciate u

  • @henrykinga1484
    @henrykinga1484 5 лет назад +2

    Somo Zuri sana

  • @joanespastory293
    @joanespastory293 4 года назад

    Good bro inspired

  • @tamaduntv7074
    @tamaduntv7074 5 лет назад +1

    Hongera kka ila nahtaji namba yako unisaidie wazo flan hv nnataka kuanzisha kampun yang

  • @jovinjohn3952
    @jovinjohn3952 6 лет назад +1

    Am inspired with the sweetest message and have learnt something

  • @nyanchokachacha6975
    @nyanchokachacha6975 7 лет назад +5

    fine Antony I have understood.

  • @lucasmahimbo8257
    @lucasmahimbo8257 4 года назад

    umetufungua masiko ya mafanikio,mungu akupeuwezo ili utupe vingi vizuri

  • @hancedamas2192
    @hancedamas2192 6 лет назад +2

    ipo vizuri xana ila naomba link ambayo naweza download vitabu vya watanzania like Anthonny luvanda,chris mauk $joel nanauka n.k

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 6 лет назад +1

    Nahitaji sana kupata cd na dvd zako je ntapata Mawasiliano

  • @gracejackson8810
    @gracejackson8810 6 лет назад

    Asante sana mtumish. Nahitaj vitabu na DVDs pia napenda nikuone physically plz plz nahitaj sana msaada wako. Naomba unielekeze namna ya kukupata.

  • @Djyusso
    @Djyusso Год назад

    be blessed

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 6 лет назад +1

    hahahahaaaaaa nakuelewa sana mkuu

  • @lahjofficial5953
    @lahjofficial5953 5 лет назад

    fact evryday" enx xo much father

  • @erickmsele6274
    @erickmsele6274 10 месяцев назад

    Bro unaongea point

  • @saphielymtaita1110
    @saphielymtaita1110 7 лет назад +2

    nakuelewa sana brother, tuko pamojah sana

  • @shaabaneid6903
    @shaabaneid6903 6 лет назад +1

    Kaka nakukubali sana sijui na wezaje kupata DVD zako?

  • @saidimkombe1380
    @saidimkombe1380 6 лет назад +1

    asante Kiongoz

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 3 года назад +1

    Jamani mnavitu vizuli sana namba zenu

  • @lucaswami2388
    @lucaswami2388 Год назад

    Asante sana

  • @peteramon7702
    @peteramon7702 5 лет назад +1

    Napenda mafundisho yako juu ya kupata mafanikio naomba ushauri Mimi ni mwal Amon Peter Wa Tanga uko Tayari?

  • @shukranimwakasege1966
    @shukranimwakasege1966 3 года назад

    Safi broo

  • @angelomfilinge8662
    @angelomfilinge8662 3 месяца назад

    Nimejifunza sana kupitia mafunzo haya

  • @doublev8475
    @doublev8475 4 года назад +1

    Somo zuri

  • @jiongezetv6896
    @jiongezetv6896 6 лет назад +1

    nice speech