Maana za Kumuota Baba yako Mzazi - S01EP19 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
HTML-код
- Опубликовано: 2 дек 2024
- Please watch: "Ijue Siri Kubwa ya Rangi NYEUSI - S01EP22 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum"
• Ijue Siri Kubwa ya Ran... -~-
Mnajimu Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love, Dk. K ni mnajimu wa nyota nchini. Hasa hasa kwenye upande wa Mapenzi. Kwa maswali usiache kucomment hapo chini.
Baba Yako anaweza kuwa hai au amefariki. Kumuota baba yako mzazi ni jambo la kawaida, na huwatokea watu wengi sana.
Tembelea Facebook account / utabiriwanyota