UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 34

  • @SalhaAdnan-xf9rx
    @SalhaAdnan-xf9rx Месяц назад

    Shukran kwa elimu bora... MaashaAllah

  • @destineluna5768
    @destineluna5768 5 месяцев назад +1

    Shikrani sheh allal ukupe janata firdaus

  • @Noor2024-l8s
    @Noor2024-l8s 8 дней назад

    Alhamdulilah

  • @aminaibrahim7438
    @aminaibrahim7438 6 месяцев назад +1

    Shukran sheikhe

  • @YumnaBurhan-q6h
    @YumnaBurhan-q6h Месяц назад

    Habar shekhe mimi niliota nasoma maulid ya mtume (s.w), jee hii ina maanisha nini

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 6 месяцев назад +1

    Shukran Sana shekhe

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 2 месяца назад +1

    Jazakallah

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 6 месяцев назад +1

    Mashallah

  • @AbdulrazackMussamzee
    @AbdulrazackMussamzee 4 месяца назад +1

    Sheikh nmeota napambana na maadui bsdae nikasema ntaka nipae na nikapaa nikagsnda kule juu nikawa nssoma surat ikhras pia hii inajirudia nsota nspata matatz ucngzn then naota nasoma ayatul qursiyu na ikhras hii inamaanish nn

  • @MimahYaseen
    @MimahYaseen 2 месяца назад

    Shekh niliota ya mbingu nikaon alama ya tik na nyayo huku huku kuna watu wananikimbiza nikiw nasema laila ila anta subuhanak inkutum minadhwalimin

  • @JumaGishanga
    @JumaGishanga 2 месяца назад +1

    Je ukimuona Mtume unapoanza Dua hiyo ina maana gani

  • @hyy4114
    @hyy4114 6 месяцев назад +1

    Shekhe Nakutafta in Shaa Allah kwenye Whtsp

  • @AminaSapar
    @AminaSapar Месяц назад

    Assalamu Alaykum warahhmatullahi wabarakat mim nimeota tumeeenda hija na lakini huyo niliyeenda naye hija yeye na wazazi wake ila hajanioa ila nina mahusiano naye tumepand ndege tumefik watu nawaon kabisa ni wengi wamevaa nguo za ihhram na mengine mengi kuhusiana na ratiba za hija ila nililala nikiwa naleta istikhfari tuu sjaomb dua yeyote je ina maana gani hii ndoto?

  • @NasraKassim-r7c
    @NasraKassim-r7c Месяц назад

    Mie nimeota namswalia mtume

  • @kkkm6404
    @kkkm6404 2 месяца назад

    Shehe mimi nimeota nasikiliza kuruan naninasoma

  • @MukeshimanaHamida
    @MukeshimanaHamida 2 месяца назад +1

    Sheih naotaga Niko nashika udhu naenda kuswali nikika hPo wanatoa Adhan

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  2 месяца назад

      hiyo ni ishara ya kupendwa na Allah yaani kama hufanyi ibada uanze na kama una fanya basi unapendwa na Allah wallahu a' lam

  • @Fatuma-h8j
    @Fatuma-h8j 10 дней назад

    Naukiot unasom kuraani naukastuk waisoma inamaanisha nini ustdhi

  • @AmmarIssa-d8s
    @AmmarIssa-d8s 3 месяца назад +1

    A salamu, Alaykum, niliota niko msikiti wa madina ili niko nije, ya msikiti ila niko swahaba Alli bn Abitwalibu Ila tukaskia kipaza sauti kiki gongwa gongwa Alli aka sema mtume Ana,taka mtu akapige adhana mimi nikapatwa namshituko nika muuliza mtume Yuko ndani, akajibu ndyo, Alli akaniacha kumuwayi mtume ili akapige adhana mimi nikawa naenda taratibu huku nalia nikaja nikaingia kwenye lango la msikiti wa madina , nilipo ingia Alli na yeye akawa amemaliza adhana sasa mimi shauku yangu nimuonemtume nikaangalia msikiti wote sikumuona nikajampaka kwenye membari yamsikiti nikamkuta kwandani kwenye kile kinyumba cha membari amekaa kwenye bechi yeye namzee mmoja nikawatizama wote wawili kutaka kujua nani ndy mtume Wallahi nilimjua nikampwenti nikamwambia hakika wewe ndy mtume akanijibu swadqata umesema kweli, nikashika mapaja yake kwamikono yangu af nikaingiza kichwachangu kwenye mapaja yake nakuanzakulia kichwa kikiwa chini yamapaja yake nikasema Moyoni nimuombe aniombee dua Allah ani samehe makosa yangu sasa nikawa napandisha kichwa kutoka chini wakati nime fikausawa wakuangaliana mimi na yeye akaniwayi akasema hongera umefanikiwa mambo 7 kwafuraha nikarudisha kichwachini nikawa nalia naomba maana ila bado ndoto inaelelea

    • @AthumanSaidati
      @AthumanSaidati 2 месяца назад

      Maashallah

    • @ladooladoo1285
      @ladooladoo1285 2 месяца назад +1

      Usihadithie mtu hiyo ndoto hakika ya shetani ni muovu, kumbuka kisa cha nabii Yussuf alihusudiwa na ndugu zake walipoitambua ndoto yake yenye mafanikio

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 Месяц назад

      Bora uifute hii comment na iwe siri yako maana Dah kwanza hingera

  • @cutefaaherbal4107
    @cutefaaherbal4107 3 месяца назад +1

    Niliomba dua nikaota nimepewa halua usingizini maana yake ni nini

  • @SADIKIMALISAWA-ou8sk
    @SADIKIMALISAWA-ou8sk 5 месяцев назад +2

    Sheikh ukiota basi unakhutubu wala unaswalisha Wati inaashiria nini

  • @ladooladoo1285
    @ladooladoo1285 2 месяца назад

    She wangu kuna mtu aliniona Mamkka wakati akizinguuka alkaaba alipokiwa anafanya Umra nini maana yake?

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx 5 месяцев назад +2

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @kkkm6404
    @kkkm6404 2 месяца назад

    Tena siku hiyohiyo nikaota nakunywa maziwa nini maana yake

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 4 месяца назад +1

    Shukran shekhe wangu