Kuota Unaongea na Nyoka huwa na Tasfiri gani kinyota? -S01EP23 -Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 мар 2018
  • Kuota unaongea na Nyoka huwa na tafsiri gani kinyota? Ndoto za nyoka huwa na maana nyingi.
    Mnajimu Kuluthum anatueleza jinsi Nyota yako inavyoweza kukusaidia katika maamuzi haya.
    Kama kawaida, usisite kutuachia maswali yako.
    Kujua Nyota yako kabla ya kufungua biashara yako ni muhimu sana. Kama unamaswali utatupigia simu au tuachie comment hapo chini.
    Tembelea Facebook account / utabiriwanyota

Комментарии •