TAFSIRI ZA NDOTO ZA KUMUOTA MAMA - S01EP34 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • Ndoto za kumuota mama zina maana kubwa kuliko kumuota baba. Tafsiri za ndoto za kumuota mama ni nyingi sana na hutofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.
    Mnajimu Kuluthum amejaribu kutuelezea vizuri kuhusu hizi ndoto za mama katika Utabiri wa Nyota episode yetu ya 34.
    Dokta Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini.
    Tembelea Facebook account / utabiriwanyota

Комментарии •