Kama Jicho Lako Linafanya Hivi Ujue Uko Kwenye Hatari Ya Jambo Hili - Sheikh Othman Michael

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b Месяц назад

    ❤ mansharaa tabarakaa Allah Karim akujalie ridhik kubwa Sana Kaka Niko msumbiji niombee Dua shehe othman Tanzania Mimi Ally bilali mandwanga

  • @AhmadStamil
    @AhmadStamil Месяц назад

    Shukrani jazila Sheikh Othuman maiko Allaah akuhifadhi ❤❤❤

  • @hemedmunira
    @hemedmunira 29 дней назад

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh sheikh yaani mm nna nyingi sana hapa. Yaani umri wangu mdogo lkn subhanaAllah yaani yamenitawala mengi uloyasema

  • @aminahaji7453
    @aminahaji7453 Месяц назад

    Shekhe Othman tusaidie Allah atakulipa inshaAllah

  • @maryamdotto2633
    @maryamdotto2633 Месяц назад

    Mm kweny kupepesa jicho la kushoto subhanaAllah

  • @SwaumuJuma-bc9se
    @SwaumuJuma-bc9se Месяц назад

    Msaada sheikh,tusaidie nying hapo mm ninazo sheikh

  • @hadyaAlii
    @hadyaAlii Месяц назад

    Nashukuru kuskia hivo asante sana

  • @AishaMahmoud-oe8is
    @AishaMahmoud-oe8is 25 дней назад

    As Salam alaikum warahtullahi wabarakatu shekh Mimi Nina dalili nyingi sana hapo na nilipokuangalia kwenye bapa la uso moyo uligonga mbio sasa utanisaidiaje shekh maana naumwa Kila siku mwanzo kichwa karibia Kila siku na moyo kwenda mbio...naomba usaidizi shekh

  • @FarHeart-y2h
    @FarHeart-y2h Месяц назад +1

    Assalam alykum mm nimeyumba. Msichoke kutusaidya masheikh hassad nyingi mitaani hatupendeleyani mashakkah tele

  • @HadijaIsmail-n6o
    @HadijaIsmail-n6o 27 дней назад

    Assalamualaikum warahma tullah wabarakatu shekh mm asilimia 70 ya hizo dalili ninazo😂😂 msaada

  • @hamidasaid2544
    @hamidasaid2544 Месяц назад +1

    Mimi nimekuwa sawa sikufunga jicho

  • @HunchoKimilila
    @HunchoKimilila Месяц назад

    Mwanangu alikuwa anatetemeka.

  • @shanibaniyas6308
    @shanibaniyas6308 Месяц назад

    Ameen🤲

  • @AishaAisha-oj1yq
    @AishaAisha-oj1yq Месяц назад +1

    Hata mm kushoto nimefeli😊

  • @ZulfaMrisho-k1k
    @ZulfaMrisho-k1k 8 дней назад

    Aslaam aleykum,mi dalili zote nnazo

  • @HalimaismailySaid
    @HalimaismailySaid 27 дней назад

    Me jicho la kushoto nimeona giza ningekuwa karb ningetafta hiyo dawa 😢 kuna masheikh wa mchongo wanadanganya kusaidia kumbe waongo wanakula pesa na wanakuzidishia matatizo zaid 😢 Allaah atawalipa hao kwa kweli

  • @SmilingGrapes-ml9ts
    @SmilingGrapes-ml9ts Месяц назад

    Allah Akbar dalili 4 ninazo hapoBismillah mi nakuona unabadilika badilika Kisha km unapotea ktk macho yangu Kisha juu ya nyuzi km unavimba Kisha inapotea

  • @saadaalmamary8397
    @saadaalmamary8397 Месяц назад +1

    Asalam aleikum warahmatullah wabarakatu vipi hali yako mbona dailies zote ninazo nisaidie sheikha wangu

  • @Daddysgal-j9v
    @Daddysgal-j9v Месяц назад

    Mm Niko Na 30 SubhaanaAllah 😢😢😢😢

  • @AminaMichael-s9s
    @AminaMichael-s9s Месяц назад

    ❤❤

  • @VeronicaMichael-g1h
    @VeronicaMichael-g1h Месяц назад

    Nimekohoa sana

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 Месяц назад

    Asalam alaykum warahamatulilah wabarakatuh Shekh mie karibia dalili zote hizo ninayo 😢😢😢naomba tuambie dawa yake 😢

  • @aminahaji7453
    @aminahaji7453 Месяц назад +1

    Asalaam aleikum vipi unaendeleaje!! Tunaomba namba maana mitihani nu mingi watoto waume na mie mwenyewe

  • @UwamahoroZahara-l2g
    @UwamahoroZahara-l2g Месяц назад

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh mm macho yangu yote ame pepesa ntafanya nn nipo Rwanda nambie

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 20 дней назад

    Mimi jicho lakulia lime pepesa sana kuchoto Alijua pepesa

  • @AdidjaNyirasafari
    @AdidjaNyirasafari Месяц назад

    Assalamualaikum warhmatullah wabarakatuh Niko sehemu Rwanda napendaga mafundisho Yakor akini izodawa hatuwezi kuzipata utadusaidi mini nasi tuzipate

  • @veronicalukindo1751
    @veronicalukindo1751 23 дня назад

    Nimepiga miayo

  • @AtendayeMwinyihaji
    @AtendayeMwinyihaji Месяц назад +1

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakattuh karbia yote niko nayo

    • @latifakhator7941
      @latifakhator7941 Месяц назад

      Assalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh mm nko nazo sheikh

  • @muminamohammed9357
    @muminamohammed9357 Месяц назад

    Asalamu Aleikum shekh Niko Mombasa kenya sikuona chochote

  • @MariamAli-p9d
    @MariamAli-p9d Месяц назад

    Asalam alaykum. Mm pia. Jicho langu la kuchoto uwa lacheza hadi naskia dhiki walai

  • @AshuraKimera-nn3bj
    @AshuraKimera-nn3bj Месяц назад

    shekhe mm nimepepesa jicho la kulia napataje tiba

  • @aysha8507
    @aysha8507 Месяц назад

    Namba 18😢😢

  • @HhhHhh-x2c
    @HhhHhh-x2c Месяц назад

    Asalam aleykum walahamatullah wabarakatuh, dalili 40 zote nnazo nazingine hujavitaja

  • @Kuruthumumakalawa
    @Kuruthumumakalawa 14 дней назад

    Jee kama hayajapepesa yote je

  • @AishaAisha-u1q
    @AishaAisha-u1q Месяц назад

    Mimi jicho langu lakulia linatetemeka mpaka linanikera mpaka wakati mwengine ninalizuiya kw mono lakin nikiuwondosha tu linatetemeka siku nyngine mfululizo siku3 au 4

  • @SwaumuJuma-bc9se
    @SwaumuJuma-bc9se Месяц назад

    Jinamiz linanisumbua shekhe,napata ganzi

  • @FatmaAlabri-lz2cw
    @FatmaAlabri-lz2cw 29 дней назад

    Mie kushoto nimefeli

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Месяц назад

    Mimi siaona chochote

  • @rehemamohammed8359
    @rehemamohammed8359 Месяц назад

    Mm zote ninazo

  • @djamilabarekebavuge8990
    @djamilabarekebavuge8990 Месяц назад +1

    Tatizo hata tulipie hatupati matibabu ipasavyo mimi nina myezi kama mitatu ila sikufanyiwa na pesa zangu japo zilikuwa kidogo natuma msg hazisomwi

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss Месяц назад +1

    Mimi jicho la kushoto limepiga sana nipo omani ila nasumbuliwana miguu onawaka moto halafu usku silali nakua naota vibaya mpaka naogopa kulala halafu siendelei kimaisha naota nipo shule nakijijini kwetu kilasiku

    • @aminahaji7453
      @aminahaji7453 Месяц назад

      Asalaam aleikum vipi unaendeleaje!! Pole sana ndugu yangu. Ukipata dawa nijulishe nami imeanza hali hiyo. Mungu atuvue maradhi amin amin

    • @MyMobile-ee6iv
      @MyMobile-ee6iv Месяц назад

      Ii ndoto ya kuota shulen jaman Nam nimo

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад

      Hiyo ni dalili ya umaskini omba Mungu kemea ili hiyo ndoto hata Mimi nikishawahi kuota nipo oman Muombee Mungu saana hiyo ndoto sio nzuri Mimi Nina ndoto inanisumbua baba yangu kujenga golofa lakini sisi tunakaa nyumba ya nyasi we acha lakini namshukulu Mungu

  • @SpartuxPanama
    @SpartuxPanama Месяц назад

    A, alaikum Karibu ninazo dawa yake nn

  • @MaishaNuro
    @MaishaNuro 29 дней назад

    Mimi ninazo zote

  • @kinanaomar
    @kinanaomar Месяц назад

    Halija ni peoesa la kulia wala la kushoto

  • @DahlaniSaid
    @DahlaniSaid Месяц назад

    As Mimi Niko nazo hizo

  • @DahlaniSaid
    @DahlaniSaid Месяц назад

    Shekhi Mimi Niko nazo hizo vipimo

  • @SabiamSuleimanmtwalo
    @SabiamSuleimanmtwalo Месяц назад

    Mie yote yamepepesa

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Месяц назад

    Asalam alley kum je nitajiponya vp hayo matatizo kwa hisan yako tusaidie

    • @MarshallAKAMV
      @MarshallAKAMV Месяц назад

      Aslm alkm warrahma to llha wabarakatu

  • @asmarashidiy2184
    @asmarashidiy2184 Месяц назад

    Mimi naitaji dawa nije kuuza uniuzie by yajumla

  • @kinanaomar
    @kinanaomar Месяц назад

    Hamna lolote wala chochote hapo

  • @MgeniOmar-t9p
    @MgeniOmar-t9p Месяц назад +1

    Mimi nusu ya hayo nikonayo jee dawa yake ninini

  • @kinanaomar
    @kinanaomar Месяц назад

    Na baadhi ya vitu vinavyo tutowa raha ni wewe Uthman Michael una tubughudhi kwa kutudanganya , tuna kuamini una tufanyia khiyana una tuahidi kisha hutumizi ahadi zako wewe huoni kama wewe mwenyewe ni shetwani wa kijini na zaidi yake na in shaa Allah ushahidi ninao mimi binafsi siutafuti kwa mtu mwengine sasa hapo utataka kuniambia nini ? Sababu za wewe kuwa hivyo ? Kisha una tusimamia kwenye mimbar zite bila ya kumuogopa Allah na kuwa onea hata waumini wenzako .

  • @shamzone388
    @shamzone388 Месяц назад

    Sasa sheikh tupe hizo aya za quraan tupe na sisi tunufaike au tupe majina ya vitabu tukanunue tusome hizo duaa

  • @djamilabarekebavuge8990
    @djamilabarekebavuge8990 Месяц назад

    Kwasasa ata mawaidha yake tunaona ngumu kuyafatiliya juu hatuoni kwake tungenusurika ila njoo tumepata majonzi