TAFSIRI YA NDOTO - UKIMUOTA BABA YAKO - BY SHEIKH KHAMISI SULEYMAN.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 201

  • @ReyHussein-k8g
    @ReyHussein-k8g 24 дня назад

    Assalamu alaykum. Sheikh mimi Alfajiri ya leo tarehe 8 jumatano mwaka huu 2025nimemuota baba yangu akiwa ananiambia nisikae nae mbali na hata kulala nisilale mbali nae niwe karibu nae kwa sababu yeye ni mgonjwa.. inshaallah nampenda sana Baba yangu Allah ampe umri mrefu na wenye manufaaa.. Amiin amiin🤲🤲🤲🤲🤲

  • @BesterSigalla
    @BesterSigalla Месяц назад

    Nimeota bb amenipokea mzgo NAMI nimetoka safari

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад +1

    aboo maryam sijui ni muislamu ww au dini ipi ambayo unachanganya ndoto na uganga Allahuakbar pole sana

  • @joharishabani8452
    @joharishabani8452 2 года назад

    Shehe asalla mwalaiku nimeota mdongo waga anapigwa na baba shehe na oba nitafrie samahani

  • @mariammussa6323
    @mariammussa6323 3 года назад +5

    Ukiota baba yako mzazi amekufa

    • @bisharamohd7164
      @bisharamohd7164 2 года назад

      Ukimuota baba yako mzazi anakwenda kazini,na hali yakua anaumwa namiguu nakipndi kikubwa hajaenda kazini,naomba fatua ya ndoto hii sheh

  • @yusufgagamuhammad2674
    @yusufgagamuhammad2674 Год назад

    Wakenya acheni kukomenti kizungu wenzetu wa tz hawa waelewi 😂😂😂 from kenya nairobi

  • @fatmamamlo7882
    @fatmamamlo7882 3 года назад

    Mimi nimeota nsmpiga mama keasababu mama alimpiga mama

  • @sheikhabdikadir6312
    @sheikhabdikadir6312 3 года назад

    Kubota Na ngombe

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 3 года назад +1

    Nime_kuelewA_sana_na_nimekuelewA

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 2 года назад +1

    Mim nikombali ya Tanzania sidhani kn nitapata wageni, walavsiumwi. .Baba yangu alishakufa nimemuota anafanyia watu dua lkn haonekani. Na anachuo anasomesha watoto

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 года назад

    وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته

  • @mamsmariam6670
    @mamsmariam6670 4 года назад

    Mungu akujalie mwisho mwema Mimi nimeota she Nina nywele ndefu sana upamde 1nyeuci upande wa 2bluu nini maana yake

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 года назад

    Shukran sheykh

  • @lydia7859
    @lydia7859 Год назад

    Nliota baba ananikumbatia

  • @pameladonald4100
    @pameladonald4100 9 месяцев назад

    Nikweli kabisa yani

  • @violetnanjira5942
    @violetnanjira5942 3 года назад

    Mimi nimeota banging amefariki,,,ilihali ako mjonjwa Sana,, am praying that nothing will happen to My dad 🙏🙏🙏

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 10 месяцев назад

    😊😅😅😅😅duu. Mimi. Nime. Muotaa. Baba. Yangu. Tokaa. Nizaliwe. Sikuu. Wahii. Muotaa. Baba. Yangu. Jamani. Nakupenda😅😅🥺baba. Yangu

  • @matridamahundi2090
    @matridamahundi2090 Год назад

    Habar shekhe kumuota baba analia akidai anahisi mauvivu nikampeleka kutibiwa mara rafikiangu akaja kuniambia babaako amekufa nikaanza kulia ila kuna mama akadai hajafa Mzima nini maana yake shekhe 🙏

  • @sisterttrouble4331
    @sisterttrouble4331 4 года назад

    Asante

  • @draculababaiyo2866
    @draculababaiyo2866 5 лет назад +1

    Ndoto moja ina maana tofauti shekhe usitafsiri kwa jumla

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 3 года назад

    Shukuran Jazakallah kheir In sha Allah

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Assalamu alaykum
    Shukran sheykh jee ukimuota baba kaja kwako lakini anaenda msikitini

  • @اسيلالعنزي-ذ8ح
    @اسيلالعنزي-ذ8ح Год назад +1

    Nimeota nmeokota mtoto mchanga kwenye choo karibu na shimo la choo ni kamubeba ni kamueka kwa nyumba na nkamulalisha mahali pazuri, Naomba Nijue maana yake

  • @dotomzungu7855
    @dotomzungu7855 4 года назад

    Asanteeee sn

  • @rmmulei8531
    @rmmulei8531 5 лет назад

    Lahaulaaaa

  • @andrewnyongesa8010
    @andrewnyongesa8010 Год назад

    Salam alaikum sheikh Mimi nliota babangu niende kwake ambako sijawai kufika kule nifurahia yake shukran

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 4 года назад

    Shukran shekh wetu

  • @aminaabdallah9117
    @aminaabdallah9117 3 года назад

    🤲🤲🤲🤲

  • @StellaShega
    @StellaShega 8 месяцев назад

    Nimeota baba ananiombea

  • @josphatcmeyu3516
    @josphatcmeyu3516 4 года назад

    Mimi nikita babangu ,lakini aliaga 2019 maana yake nini

  • @mwamvuaally6342
    @mwamvuaally6342 3 года назад

    Je ukimuota mlezi wako mpo wote wa kike inakuwaje shekhe

  • @sabraramadhan4634
    @sabraramadhan4634 3 года назад

    Jamani Mimi nasumbuliwa na ndoto moja kila nikiota ninatoka kimapenzi na baba angu mzazi mama angu ni wa kambo anajua anatufukuza Mimi na baba kisa baba angu kanipa zawadi za vitenge vizuri sana tunaondoka tunaenda nyumba nyingine hii ina maana gani

  • @furahashayo313
    @furahashayo313 2 года назад

    Mi nimeota nimembeba baba mgongoni huku baba akiwa ananiimbia nyimbo nzuri, niambie maana yake

  • @umuhemd4908
    @umuhemd4908 2 года назад

    Naukiota shamba la tungule limenawir zimewiva nzur nn maanayake

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад

    Al akh masjid mtoro endelezeni tu kutoa elimu za hadithi na tafsiri za ndoto mungu awajaalie kheri! Na hawa wasioelewa tuachieni sisi tuwape darasa tu

  • @jkzcr7z
    @jkzcr7z 11 дней назад

    Sheikh nimemuota baba yangu ananikumbatia mwenye furaha ana chekaaa ila nimelia saaana

  • @khamiskombo2272
    @khamiskombo2272 5 лет назад

    Mke jee

  • @ashurasaid5017
    @ashurasaid5017 2 года назад

    Mimi nimemuota baba ananipa nguo nyingi na zingine ni za shule nyingine za nyumbani

    • @ashurasaid5017
      @ashurasaid5017 2 года назад

      Maana yakenn maana Mimi ni MTU mzima nini tafsiri

  • @lamecknyalugoe7946
    @lamecknyalugoe7946 3 года назад

    Kumuota mama mjamuzito kifo na akichomwa moto

  • @pameladonald4100
    @pameladonald4100 9 месяцев назад

    Nikweli hili nimeshuhudia

  • @ashuramigilimo6469
    @ashuramigilimo6469 Год назад

    A.a.w shekhe nimemuota Baba yangu nachimba dhahabu akawa ananipa maelekezo chimba maeneo Fulanini kunadhaha nyingi na maeneo Fulani usichimbe kwani hakuna chochote na Mimi sio mchimbaji wa madini tena ni mwanamke nini shekhe

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 года назад

    شكرا

  • @halimafimbo4890
    @halimafimbo4890 Год назад

    Asalam aleykum mie nimeota analia

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 года назад

    asante

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 5 лет назад +1

    Waalaikumu ssalam warajmatullahi wabarakatuh
    Shukran

  • @SaidatiAthuman-lm7zb
    @SaidatiAthuman-lm7zb Год назад

    Mi nimemuota babaangu kanipa funguo ya nyumba

  • @saidamwinyi4038
    @saidamwinyi4038 3 года назад

    Ukiota unasoma shule au madrasa hii inamaana gani

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад

    dah kadango pole sana unabii hawapeani kijomba na kiujamaa unabii unapewa na mwenyewe subhana ila yaaqub alitambua tu kuwa yusuf atakuwa nabii lakini alipokuwa mfungwa jela unabii alikuwa bado hajatunukiwa my friend

  • @linetwesonga7830
    @linetwesonga7830 2 года назад

    Salam aleikum shekhe mimi naomba unisaidiye,nimemwota baba tunaugomvi kisha nikamwagia chai ya moto maana yake ni nini tafadhali

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 лет назад +1

    Mimi nimemuonata baba yangu tumefanya mapenzi nae na nilipoamka nilimchukia sana km kweli ila tupo mbali nae yeye yupo tz mimi nipo omani ina maana ndani

    • @abeid713
      @abeid713 5 лет назад

      Fatma aly duuh

  • @اسيلالعنزي-ذ8ح
    @اسيلالعنزي-ذ8ح Год назад

    Nimeota Nmeona Babangu mzazi aliye fariki kitambo amevaa kanzu kaa za waisilamu, amekaa kwa kiti karibu na mti wa mpera then dadangu mdogo anamchunia mapera akila. Adi Baba akipewa ananionyesha ayo matunda, Naomba Nijue maana yake

  • @leydaihal9332
    @leydaihal9332 2 года назад

    Mm nimeota nikiona utupu wa babangu

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад

    aboo maryam mungu akuhifadhi na jitahidi kusoma kidogo kwanza plzzzzzzzzz

  • @pesamashaka1479
    @pesamashaka1479 Год назад

    Sheikh Mimi Niko dar je vp nitampata dua

  • @zunaydaabdalla9718
    @zunaydaabdalla9718 5 лет назад

    Allahalam 🤐

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Amina mimi nilikuwa nasema nawaza, mafanikio usiku wake nikawa Ota wote baba, mama na sgangazi zangu na bibi yangu mzaa baba naongea naye wakati tunaongea ndo akatokea baba na badaye akatokea mama

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 Месяц назад

    A aleikum mimi nimeota simba ameingia mtaani na kufukuza watu ila Mimi nilipo muona kwa mbali nilikimbia hakunipata ila sehemu niliokimbilia ilikua ni sehemu ambayo kuna jengo la gorofa zilianguka nondo na zikanipiga sehemu ya bega

  • @rosemosoba2350
    @rosemosoba2350 3 года назад

    Niliota nikimpa babangu pesa

  • @khadijabuberwa3362
    @khadijabuberwa3362 4 года назад

    Mimi mala naota baba anaumwa au napewa nguo nimpereke

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 лет назад +1

    Waalleykum salaam Warhamathullah wabarakaatuuh,Aamiin.

  • @onyaman7336
    @onyaman7336 3 года назад

    Nime muota baba yangu kaniambia nipunguze sauti ya radio usiku ambapo nilikua nime lala chumbani kwangu halafu hapo hapo akaanza kutawaza kwa ajili ya swala

    • @onyaman7336
      @onyaman7336 3 года назад

      Na mzee wangu ambaye ni marehu sasa

  • @lelaallububa5739
    @lelaallububa5739 5 лет назад +1

    Ndio tatizo la wabong sis tuelimishapo watuelimik

  • @abdullkadirally7437
    @abdullkadirally7437 2 года назад

    A alaykum sheikh. Mimi baba yangu anaumwa. Na niliota tumeingia mskitini tumetia Udhu pmj tu kaenda kuswali. Na kitu cha ajabu imamu alieongoza sala alikua ni baba mdogo ni mdogo wake kabisa na baba yangu mzazi. Baada ya swala tukapewa tunda aina ya tende tukala. Sheikh vp hapa

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 3 года назад

    Shekh imenigusa hiyo topic had nmelia😭

  • @umuhemd4908
    @umuhemd4908 2 года назад

    Asalam alaiku shekhe hivi ukiota ndoto ya viaz vitam nn maanayake

  • @ImaniIbrahimu-jb2oo
    @ImaniIbrahimu-jb2oo 2 месяца назад

    Nimemuota baba yangu mzazi amekuwa kichaa na mama yangu mlezi wote wamekuwa kichaa inamana gani?

  • @peteralex973
    @peteralex973 2 года назад

    Asalamualaykum mim nilimuota babangu ananipa maji ya dua eti yanisaidie kwsbb y magonjwa yngu nin manak?

  • @athumanimudhihiri3893
    @athumanimudhihiri3893 5 лет назад +4

    Je ukimuota baba yako alafu ukamuota anakupa kitu kama pesa je maana yake ni nini

  • @seciliamwendwa6299
    @seciliamwendwa6299 3 года назад

    Mimi nimeota baba Yangu mlezi amekufa nawakati yeye anaumwa ndoto inamaanisha nini

  • @petroelifazi7003
    @petroelifazi7003 4 года назад

    Nimemuota baba yangu kikatwa kichwa nakuwekwa kwenye jineza wakat baba yangu ameshakufa zaman nn tafsili yake

  • @agapenkya4148
    @agapenkya4148 4 года назад

    🙏🙏🙏

  • @nadhiralfane8875
    @nadhiralfane8875 5 лет назад

    Uwogo

    • @aliomar5603
      @aliomar5603 5 лет назад

      Nadhir Alfane na ww muongo

  • @Raya-em8wz
    @Raya-em8wz 4 года назад

    Mimi nimeota bba yangu lakini ameshafariki samani nimemuona nikiwa madrasa akapita ila ninemsemesha hakusema ila aliendelea kwenda na mm nikamfata hafla wakatokea watu wakanifukuza

  • @ndayishimiyeaisha9211
    @ndayishimiyeaisha9211 5 лет назад +1

    Asalam Aleikum shekh naomba unitafsirie plus mi nimuota baba angu kahama kisha kaenda arusini yupo anakula wali pamoja nawadogo zangu

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 4 года назад

    Nini maana ya kumhota baba yako na halishafariki lkn amekuja na nguo alizokuwa akivaa za kazini (jeshi)nilipomhona tu nilimkimbilia na kumkumbatia nae alinikumbatia lkn hakunisemesha na kwenda kukaa kiti cha peke yake namimi nikaa peke yangu

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 5 лет назад +1

    Mbona hujatoa dalili yoyote. Mtume Amekataza na hajafundisha kutafsiri ndoto. Ndoto zote walizoota manabii na mitume zilikuwa Ni Wahayi. Mche Allah acha shirki. Kama Ni ya kweli usemayo toa dalili.

    • @ss.songitor7894
      @ss.songitor7894 3 года назад

      Kasome ndugu yngu acha ushamba, ndoto sio kwa manabii tu. Angalia Surat yusuf utakuta mfalme aliota wale ng'ombe saba

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 5 лет назад +7

    Acha uongo Sheikh ndoto moja inaweza ikawa na tafsiri tofauti kutegemea na hali ya mtu na huo ndio ulikuwa mwendo wa wanazuoni wetu na maswahaba wetu waongofu katika kufasiri ndoto. Na tafsiri ya ndoto inaweza ikawa moja kwa moja ama kinyume chake na ndoto haiegemezwi katika vitabu vya tafsiri za ndoto bali hasa quran na sunnah

    • @swahilireadingandspeaking5271
      @swahilireadingandspeaking5271 5 лет назад +3

      Maulid Mnukwa hujamuelewa Vizuri wewe Huyu sheikh

    • @dazuujuma1211
      @dazuujuma1211 5 лет назад +3

      Dah usimuite shehe muongo mpenzi hata kama ni hivo hekima ni kitu kizuri sana zingatia ilo usikurupuke kwenye kuaminisha ukweli halkadhalika kutafuta haki 🚶🚶🚶🚶 napita tuu

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 5 лет назад

      @@dazuujuma1211 anadanganya Kwani uongo

    • @aliomar5603
      @aliomar5603 5 лет назад

      Maulid Mnukwa ww hata baba ako n mama ako nahisi unawatukana n halafu ww jiona unaelimu yote unayo ww n peponi unaasilimia mia unaenda mtu mwenye adabu n anaemuogopa muungu hawezi kumwambia muongo bila sababu yoyote hivi ulimtafuta ukamuuliza elimu hii kaipata wapi namba za simu hakuweka hapo kw nini unashindwa kumtafuta ukamuuliza halafu unasema muongo mtu n heshima zake mmh hatari pengine mtu km ww hata swala yako huijuwi vizuri

    • @aliomar5603
      @aliomar5603 5 лет назад

      Dazuu Juma yani hawa vijana wana kibri sana mtume muhammad alikaa n wanafiki lkn hakuwahi hata siku moja kumwambia ww fulani mnafiki n alikuwa anawajuwa mpaka anakufa ndio maswahaba wanajuwa huyu alikuwa mnafiki kw sababu mtume hashiriki mazishi yake sasa hawa wanaojifanya wamesoma alifu wao wanaumizwa n dini kuliko mtume wao

  • @monicatarimo1185
    @monicatarimo1185 5 лет назад +1

    Mm nilimuotaa lakini alishafarikii jamanii

    • @maureenmacha6397
      @maureenmacha6397 5 лет назад

      Polee my dear... Mimi nilimwota babangu mara3 then akaja kufarikiiii😭😭😭😭😭

  • @froridaanthony3278
    @froridaanthony3278 3 года назад

    Mahitajio maana yake ninj

  • @mercymarhamulama93
    @mercymarhamulama93 3 года назад

    Ukimuota babagu akiwa amesima karibu n nyoka nanyosha kidole laki hata kuua manake n nn

  • @InnosensiaMutungi
    @InnosensiaMutungi 23 дня назад

    Mimi nimeota leo baba ana nifokea sana na kuna mzozo baina yake mimi na yeye namwambia baba wana uniingizia
    Wakati nataka kuondoka kwake kwa hasira ili muage niondoke ila sikuweza kuagana naye nika stuka maana yake nini?

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 3 года назад +1

    Pia nlioto kuna harusi ila waliokwenda kuoa waliporudi walikua na majonzi eti yule biharusi walirudi nae afekufa sasa mie nikawa nawauli mulipata ajali au kafa kwa nini nikashtuka

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад

    kweli aboo elimu huna kwa heri naona hata hujui unachoongea

  • @puritymolly3512
    @puritymolly3512 Год назад

    Na ukiota mnagombana na mama aliyekufa maana yake

  • @Mubarak_1000
    @Mubarak_1000 5 лет назад +2

    Waislam mnakosea sana kumkosoa mtu bila kujua elimu yake I kiwango gani, Shekh we endelea na Tafsiri na kila anaepinga a nakosea sana kwanini impinge mtu kwani umelazimishwa kufuata, huu ni ukosefu wa adabu

  • @chizainazahrrey4397
    @chizainazahrrey4397 5 лет назад +1

    Shekhe mmi nilimuota bba yangu amefariki hii inamaansha nni mana ndoto hii hujiludialudia

    • @dazuujuma1211
      @dazuujuma1211 5 лет назад

      WEWE KAMA MIMI MPENZI MARA YA MWANZO NILIMUOTA BABA NNA UMRI KAMA MIAKA 13 YAANI KAMA MAZINGIRA YA KWELI HASSA NIKAAMKA NIKALIA HADI KUNYAMAZISHWA IKAPITA MIAKA MARA YA PILI NIKAOTA TENA YAANI ANAKUFA YAANI MFANO WAKE KAMA UHALISIA MPENZ YAPATA MIAKA 4 MPAKA 5 SIJAOTA TENA SIJUI NNINI HICHI

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 5 лет назад

      Njoo WhatsApp Kwa Maelezo zaidi +255765893020 au +255713439891

  • @hasefaameery8838
    @hasefaameery8838 5 лет назад

    mimi na muota mama kira siku inamaana gan

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад

    waliopewa unabii wakati wachanga ni wawili nabii yahya na nabii issa wengine wote walitunukiwa wakiwa wakubwa tayari!

  • @maase2023
    @maase2023 5 лет назад +2

    jibuni basi niwape elimu msikae kukashif mashekhe au wenye vipaji vya elimu tu

  • @saidafaridi727
    @saidafaridi727 3 года назад

    Shekhe nimeota baba yangu Kama ananitamani

  • @amilymawazo8929
    @amilymawazo8929 5 лет назад

    dalili shekh

  • @evalineathanas5374
    @evalineathanas5374 4 года назад

    Mimi namuota baba angu ila alishakufa shida nini

  • @suma643
    @suma643 4 года назад

    Mimi niliota nlipokuwa naingia ndani pindi baba kaja kunitafuta hapo nje ya nyumba pembeni nliona joka kubwa mkiani anarangi nyeusi kwambele anarangi ya dhahabu lakin katikati na kichwani sikumuona maana alikaa sehemu kama kwenye pango nikamtazama baadae nikaingia ndani ndipo nikaonana na baba ambapo tulipoteana miaka mingi sana. maana yake sijaijua hadi leo waweza nisaidia?

  • @dab8859
    @dab8859 4 года назад

    Ubaya haangalii comment

  • @christophemaitaji2308
    @christophemaitaji2308 5 месяцев назад

    Ukimuota akuombakitunaunamupaacho inamaanagani?

  • @shufaaomar1986
    @shufaaomar1986 5 лет назад

    A.alykum. mm nmeota baba amenipa karatasi ya dua na kunambia zitafute hizo ila ckujua no nini

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 3 года назад

    Sheh nimeota nimevishwa harini na dadaangu maana yake ni nini

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 4 года назад +1

    Tafsiri hii nikweli kabisa wala sina shaka na ufasili wako

  • @rukiakassim7925
    @rukiakassim7925 5 лет назад

    Asalam alaykum shekh mm nishamuota baba yng ananijia lkn hanambii kitu, nikamwambia mm nitakaa nyumba hii hii, mama yng akaniuliza yko hii nyumba nikamjibu hii nyumba nimepewa tangu nilipoolewa mwanzo baada ya wiki nikamuota tena baba kanijia lkn hanambii kitu lkn km anajambo maana alikuwa hana furaha inamaana gani hii ndoto tafadhali

  • @rilogistics392
    @rilogistics392 Год назад

    Asalam alykum nimeota baba alishafariki lkn nimeota time una mpunga mwingi tunapakia kwenye magunia Nini tafsiri yake Ili hali baba alishatangulia mbele ya haki??

  • @binshemainda200
    @binshemainda200 3 года назад

    Vp ukiota ndoto baba yako amekufa vp inamaana gan?