Uradi Wa Sheikh Walid Aliyopewa Na Baba Yake / Faida Ya Kusoma Quran Kila Siku / Sheikh Walid Alhad

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 35

  • @sharifamhina4345
    @sharifamhina4345 Год назад +8

    ALLAH akufanyie wepesi kwa Kila ulitakalo,huchoki kutukumbusha mambo ya kheri hf huna hasira ALLAH kakujaalia Hilo MASHAALLAH

  • @ffed1876
    @ffed1876 Год назад +4

    InshaAllah Mola atufanyie wepesi na kutuongoza Ameen shukran sheikh kwa ukumbusho.

  • @maryamhamdan5353
    @maryamhamdan5353 Год назад +3

    Masha-Allah shekh Walid, for really I like your darsa Allah akubarik na akulinde na maadui minkuli hali tuendelee kujifunza insha-Allah

  • @abubakarishame2624
    @abubakarishame2624 Год назад +3

    Allah ukizidishie ilimu na akulipe heri na atuhifadhi na udhalili wa dunia.

  • @rashidikidege
    @rashidikidege Год назад +1

    Mashaallah Allah akulipe sheikh Walid

  • @latifasalim679
    @latifasalim679 6 месяцев назад +1

    Wallahi kweli kabisa moe mwenyewe nasema mbona mie sijahifadhi lkn surah nazijua na nikiwa naomba sana Aya zikisomwa njwe nazijua na najua Surah gani

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 Год назад +2

    جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الحبيب الأستاذ وليد

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Год назад +4

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! SWADAQTA! ALLAHU BAARIK ❤

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 3 месяца назад

    Inshallah Allah atufanyie wepesi

  • @Mariam-xl4ze
    @Mariam-xl4ze Год назад +2

    Elimu ya simu ni pana sann inshllah tutafahamishana mungu ajalie

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 Год назад +4

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @cheka480
    @cheka480 Год назад +2

    Nakupenda sheikh wangu

  • @nyihajjialiy2287
    @nyihajjialiy2287 9 месяцев назад

    Asalam alaikum Sheikh Walid... Wallahi simu zimekuka kuleta FITNA TUH...kwa njia moja au nyengine.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад +9

    Pia ukitaka kuhifadhi Qur-an mara moja pendelea sana ukiwa ndani ya gari au nyumbani kuisikiliza

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 Год назад +2

    shukran Wajazaukum llah khayra

  • @salehrwigemagisa81
    @salehrwigemagisa81 Год назад +4

    اللهم صل على سيدنا محمد،الفاتح لما أغلق والخاتم لما سبق ناصر الحق بالحق والهادى إلى صراطك المستقيم وعلى آله حق قدره و مقداره العظيم

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Год назад +2

    Barak Allah kheri

  • @salimuabdy8394
    @salimuabdy8394 9 месяцев назад

    Maashaallah akujalie umr mrefu

  • @mwajumabwanga6313
    @mwajumabwanga6313 9 месяцев назад

    Allah akuhifadhi akuzidishie

  • @HamisaSambi-em8jd
    @HamisaSambi-em8jd Год назад +2

    Assalamu alaykum xamahan mwenye nmba za shekh walid tafadhal naomba anitumie

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад +4

    Hata maradhi ya kifizikal pia yanapotea ukiisoma Qur-an. Ndani ya Qur-an unakutana na aya za shifaa.

  • @salimuabdy8394
    @salimuabdy8394 9 месяцев назад

    Asalam Alaykum warahmatullah

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад

    Sufii

  • @abdullahtaha3242
    @abdullahtaha3242 Год назад +2

  • @Mariam-xl4ze
    @Mariam-xl4ze Год назад +2

    Kwa ufupi simu kifaha cha kumlevya mwanadamu kama hana elimu nayo

  • @wamalxayadudunyaa
    @wamalxayadudunyaa Год назад +3

    Jamani ni aibu kubwa kwa mtu wa muislamu ku shindwa kupata nafasi kuwa Qurani.

  • @SakinaIssa-fu3hl
    @SakinaIssa-fu3hl 10 месяцев назад

    Unasemakweli shekh nimehizi yasini kwakuisoma kilasiku akaingiya kichwani bilamtu kuni funza swadakta shekh

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 8 месяцев назад

    Usishangae waumini wako hawajui kusoma quran ndo muone faida ya kuwakazania kusoma barzanji na kuimba qaswida kula pilau na birian

    • @AdamRajab-xd3zg
      @AdamRajab-xd3zg 6 месяцев назад

      Nan kukwambia hawajui hapo wameisahau hyo aya mbona una gubu nyie wahabi

  • @maryamhamdan5353
    @maryamhamdan5353 Год назад +5

    Masha-Allah shekh Walid, for really I like your darsa Allah akubarik na akulinde na maadui minkuli hali tuendelee kujifunza insha-Allah

  • @maryamhamdan5353
    @maryamhamdan5353 Год назад +2

    Masha-Allah shekh Walid, for really I like your darsa Allah akubarik na akulinde na maadui minkuli hali tuendelee kujifunza insha-Allah