Sifa Tano Za Mtu Kutorogeka / Wale Wanaosema Mtume Hasifiwi Wanamkosea Mungu / Sheikh Walid Alhad

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @allywaziry7489
    @allywaziry7489 Год назад +2

    Shekh Walid M/Mungu amjalie,,shekh anaelezea vizuri Sana hata Kama uelewa wako ni mdogo utaelewa tu

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb 9 месяцев назад +2

    Allah.akuhifadhi.shekhe.wetu

  • @AbdallahYanga
    @AbdallahYanga 6 месяцев назад +1

    Mashallah mwenyez mungu akupeshifaa amina

  • @jamilanassor1135
    @jamilanassor1135 Год назад +2

    Allah azidi kukuhifadhi Sheikh Walid

  • @cheka480
    @cheka480 Год назад +1

    Mashallah Allah subhanah wataala amuweke Sheikh na sijutii wallah thumma wallahi kukuombea dua kila swala nnaoswali namuomba Allah amuweke kwenye hiki cheo aweze kuokoa ummah wa Dar es salam na Tanzania kwa ujumla

  • @ramaaman9173
    @ramaaman9173 2 года назад +11

    Da,unafafanuavizurisana Shekh wala huna haraka katika kuelewsha mashallah

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 2 года назад +2

      Hakika anajitahidi waumini watoke nakitu si warudi majumbani kama walivyoingia : MashaAllah

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 года назад +13

    Allahumma swalli wasallim. Wabarik alayhi❤❤❤😍😭allah atujaslie nuru ndani ya nyoyo zetu tuwe wapole na kuhurumiana kama kiongozi wetu yaarsbbi amiin

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 года назад +4

    Masha ALLAH. Rehma na amani zimshukie mtume wetu kipenz pamoja na maswahaba zake..

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 года назад +8

    Shukran ya sheykh jazakallahu khayran

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 2 года назад +8

    Mash Allah mwenzi mungu akujaza kheri shekh letu kipenzi

  • @omarijuma6692
    @omarijuma6692 2 года назад +5

    Allah akupe kila lakheri sheikh letu akupe pia umri mrefu ili tuendelee kufaidika na wewe inshallah

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 5 месяцев назад +1

    Shukran ❤❤

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx 4 месяца назад

    Mashaaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤😢

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 2 года назад +5

    Allahumma ammeen yarrab

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 2 года назад +7

    Sheikh Walid MaashaaAllah. Ahsante, darsa nzito. Allahumma swalli wasallim alayh

  • @mariammohamed6762
    @mariammohamed6762 Год назад +1

    Mashallah shekh ndo maana Allah amekuchagua kuwa shekh wa mkoa Allah akuongoze uzidi kutupa imma wa kiislam nasi atuwezeshe kuyafuata nakuyafanyia kazi

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 2 года назад +6

    Maa shaa Allwah

  • @abdallahjoe8015
    @abdallahjoe8015 2 года назад +3

    Allah akuweke amina

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 2 года назад +7

    Mashaallah

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 года назад +4

    Shukraan 🙏

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Год назад

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Jazzaka Allahu Kheir

  • @BabySheni
    @BabySheni 2 месяца назад

    Kweli shekhe Allah akubarik shukran

  • @abubakarswaleh5667
    @abubakarswaleh5667 2 года назад +3

    Mashaallah Sheikh Walid

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 16 дней назад

    Huu ndio uongozi mungu akujalie afya uzidi kutuelimisha

  • @universitylink
    @universitylink 17 дней назад

    Sheikh ametulia sana

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 Год назад +1

    mashaalah allah akulipe kwa ghelim shekh walid ishaalah

  • @abdulrazaktayeb
    @abdulrazaktayeb 11 месяцев назад

    Mashallah
    Jazakallah

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Год назад

    maashaallah shekhe wetu

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid Год назад

    Tuyafanyieni kazi hayo mambo matano.

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 2 года назад +4

    waalykum msaalam waramatulah wabarakatul.

  • @josephmasika3854
    @josephmasika3854 2 года назад

    Alhamdulillahi

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад

    Shukran jazzakallah khairan

  • @khalidiswala2505
    @khalidiswala2505 2 года назад

    Qiraa😍😍

  • @shamisfahiye9628
    @shamisfahiye9628 Год назад

    🎉

  • @universitylink
    @universitylink 17 дней назад

    Naomba namba yako sheikh waliid

  • @khalidiswala2505
    @khalidiswala2505 2 года назад

    Kimaro tuache banaaa

  • @abdallahshariff2983
    @abdallahshariff2983 5 месяцев назад +1

    Hakika na sadikisha mambo yake,sheikh unayaongea ni ukweli mtupu.

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 2 года назад

    kama mtu muhammad alilogwa wewe unafundisha haya mafundisho unatoa wapi shekh. alilogwa mpaka akachanganyikiwa akawa anaota mara amawaingilia wakeze kumbe bado. lakini pia mtume mmefanya kuwa mtukufu wakati yeye mwenyewe anajijua. waislam pendeni kusoma bila kasumba wacheni kukaa hapo mdanganywe na mashekh wanajua kabisa mtu si chochote ila ni chifu tu wa makoreshi. hapasi kisifiwa kiungu isipokuwa hodari wa giza

    • @shamisahmed1425
      @shamisahmed1425 2 года назад +1

      PERISH IN YOUR RAGE!!

    • @waleedalhad4844
      @waleedalhad4844 2 года назад +7

      Yeye alirogwa mola akamfundisha dawa akapona lkn yesu alisulubiwa baba yake hakuwa na uwezo wa kumtetea wala kumnusuru akafia pale pale na kuozea msalabani zinduka mpumbavu weeee kisha unabeba hiyo silaha (msalaba) ulimuua unauenzi duuuh kweli umechelewa mjinga mkubwa weeeee fala

    • @jolinkimaro9939
      @jolinkimaro9939 2 года назад

      @@waleedalhad4844 leta ushahidi wapi alipona. hakuna sehemu yoyote alipona wacha kudanganya watu. muhammad alikuwa na shetani toka kuzaliwa. na unakimbia kwa yesu unadhani itapindua ukweli kuwa mud alilogwa. alafu leo eti njia ya kufanya usilogwe. mkamfundishe kwanza mtume aijue.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 года назад +3

      Usilolijua Litakupa tabu. Kama Haujui waulize Wenye Kujua. Yesu Amekufa Msabani Kwaajili Yadhambi Zenu Nabado Nyie Ambao Dhambi Zimechukuliwa Nayesu mnatenda dhambi Namnasamehewa Nawakati Mnajua fila kasurubiwa Msabani Kwaajili Yenu. Ungejitahidi Kusoma vizuri Nakuibadilisha hali kamahii. Kuliko kuyaingilia mambo usiyoyajua. Kwavitendo Chako chakuvamia mambo yawatu Kwalugha yamtaani kinaitwa umepanda Treni kwambele. Waswahili Wanasema Ukitaka Kutoa kibanzi mwenzio kitoe chakwako kwanza.

    • @jolinkimaro9939
      @jolinkimaro9939 2 года назад

      @@nurdinmfamau3493 shekh. hiyo haiondoi muhammad alilogwa. kipi sijui. muhammad alilogwa alafu wewe unajidanganya eti njia za kuepuka usilogwe. shetani amewadanganya kama alivyomdanganya muhamad na nyie anawapepeta hovyo. amewapa mizigo mizito mpaka kuingia chooni jinsi ya kulala jinsi ya kusali ili allah awasikie. shekh mnapepetwa kwa kuwa mnaibishi kama huu ubaobishana hapa. mtume amelogwa mpaka anakufa hakuna ishahidi uchawi ulimwacha kama unaushahidi leta. utaniambia eti ni sura za mwisho zilishuka ili uchawi umwache. yaani shetani amshushie mtu aya za kumtoa yeye? funguka macho ya kiroho shekh. fikiri jambo hilo unayozungumza kuhusu yesu mzigo kwako hili la wazi kuwa mtume kalogwa huoni kabisa na watu wamekaa wanakusikiza majitu mazima midevu kama nyuzi

  • @ffed1876
    @ffed1876 Год назад +3

    Shukran sheikh wajazaakumu Llahu khayra

  • @smartpass7928
    @smartpass7928 Год назад +1

    MashaAllah yarabbi atujaliye nyoyo zetu tuwe watu wenye kuhurumiana kama kiongozi wetu rabbin alemian.

  • @balyyusuf7394
    @balyyusuf7394 2 года назад +6

    Mashallah

  • @universitylink
    @universitylink 17 дней назад

    Mashaallah sheikh walid

  • @kuluthumurahisi1498
    @kuluthumurahisi1498 Месяц назад

    MashaAllah