Nimefatilia live band nyingi mno za Hip Hop ndani ya Tanzania ila we bro (Fid Q)uwezo wako mkubwa sana mungu abariki kazi yako#Much love from Kingdom of Eswatini
Fid huna mpizan tz we jamaa unajua sana ila bado hujepewa heshima inayo stahiki kupewa ila wanasubiri ufe ndo wajue umuhimu wako ila usikate tamaa bro IPO siku wataelewa tu
Huyu ndie anafanya show sio wale wa backplay harafu kwenye mitandao nikujisifu nimeua kumbe umezingua ila Wana tumekuvumilia tu ujui tu ulikuwa unaturusha
Fid q noma sana heshima miaka buku ndomana mwenyewe alisema nibora angeumbwa nyoka angeyavua magamba milele asengezeeka hip hop endelea kutamba
Noma
Huyu fid Q ni Mtu na nusu kwenye Hili game la hip hop... 💥💥💥 Hii Ni Kubwa mno aseee 🔥🔥🔥
Nimefatilia live band nyingi mno za Hip Hop ndani ya Tanzania ila we bro (Fid Q)uwezo wako mkubwa sana mungu abariki kazi yako#Much love from Kingdom of Eswatini
Fid q anajua sana live band kiukweli ilikua ni vibe sana pande za rock city
Big up Fid jeshi la mtu mmja..Naenjy all the way from Qatar Doha....Shabiat Khalifah area....much love brother
Sehemu Qatar
Fd q ni level nyingne kabsa,Sure majani hakukosea kusema fid q ndio msanii Bora Dunia even Africa wanajua mwamba yupo fit kuliko wanavyofikiri
Hip hop ya ukweli haipigwi redion 😂😂😂 ilove you this song ngosha one love
Sijawahi kumuona muimba Hip Hop amayeimba Live kama huyu Msukuma 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Jamaa ni kisanga
Fid Q ni level ingine🙌 ais respect kwa Rappers wote 🌍🔥🔥
Fid nakosa maneno bro yani nakupenda leo mpaka basi huu ndio mziki mzuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This man should be respected more than how they respect now I dare to say no one can match him in east Africa Hip hop game.
East Africa, Fid Q is the only genuine Hip Hop act. He lives it.🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣
Namkubali sana Fid Q.... Anajua kuandika mistari na kutembea na beat
Wametisha sana 🔥🔥🔥nimeenjoy kama nilikuepo apo. Much love from 254 🇰🇪 Mombasa
Huyu jamaa bado hapewi heshima anayostahili. #FidQ mtu hatari sana
Saana
Trueeee
Kabisaa an hajapewa heshima anayostahli daaah
From kenya n i agree
Fid huna mpizan tz we jamaa unajua sana ila bado hujepewa heshima inayo stahiki kupewa ila wanasubiri ufe ndo wajue umuhimu wako ila usikate tamaa bro IPO siku wataelewa tu
Fid is not Hip hop artist, he is Hip hop itself
How
@@Ndaizee huwezi elewa
Respect for you ngosha #this one kutoka chuga
Siku hizi wanaume mmepoteza uhustler kwa sababu mnapenda nyimbo laini za kupapasana
Wow wow wow i love hip hop. Good quality Cypher freestyle. Big up fid q stamina. Quality quality staff
When stamina stepped up I saw Did q feeling as a proud dad
Dahh ngosha katisha nakubar sana bablai fid q n mbaya kwa live bend🙌
Jamaa wa mwisho kaua kinomaaaaa nimnyama kabisaaaaa
Hii seen ya nyuma alipokuwa anamchukua fid q akiwa anaperfomance kali sana mmetisha sana Tv Pendwa WEKA MANENO
Nomaaaa sana mwamba FID Q we ni jiwe🤛🤛🤛🤛
no play backs this is so real wengine wanaimbaga na kinaliu maskioni Ila jamaa Hana😂💪💪💪
Napenda. Real real hip hop. Love from 254 kenya
Daaahhh #Fidq is the real definition of #truehiphop anajua Sana huyu mjamaa 🙌
Mzee mbuzii live band nmeipnda sana🙌
Hip Hop ikipigwa live inanoga knoma! Fid is a real deal! Show ya kimataifa😊😊
King fid Q. Aiseee huyu jamaa kumbe ni noma hiviiii 🤭🤭🤭🤭
Kiingilio kw show hii aloifanya fidq mliwapiga fiesta,, huu ndiyo mziki wa live unaotakiwa
Live band salute kwenu
Fid Q ndo msanii pekee wa hip-hop bongo anaejua kupiga live show!Apewe heshma yake!
We kuna chid mzee anabalaa uyo
Kamwangalie wakazi utaniambia
Ya Kizazi Sana Aisee FidQ Kwa Live Band ni Mtu Mbad sana Heshima yake aisee 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mpeni nafasi na poison aoneshe uwezo
@@yohananicodemo130 ungecomment iwe public na si Reply ingekuwa poa zaidi kk
Up to date I haven't heard the the Best singing style like that of the bad man fiiiiiid Q
Big up sana Farid kubanda, unajua sana
Mambo mazuri fidq is area GOAT 🐐
For you clouds fan base na vibe vimepungua sana is this the end of erra
Fid q is the top level asikuambie mtu
Jamaa kaua...much love from 🇶🇦🇶🇦
Farid wewe your on another level dude....🙏
Huyu jamaa nomaa Sanaa 🔥🔥🔥
🙌🏼🙌🏼 YAKIKUBWA SANA
NGOSHA Salute Kwako 👍
MKALLY Fidy hii Noma Aiseee Ina Mapigo ya Kufa Mtu Kizazi Sana
Mtu mfupi mbishi kwel sema nin namwelewa sana tamina
Baba ya muziki ikiwa nyumbaniiii
Mzee mbuzi🙌🙌
MAN .ITS SOMETHING ELSE ................FIRE BURN
Fid q awezi aka mzzidi stamina Kwenye freestaili
💪💪🥇u deserve better 😉💪 vibe la Stamina hatar sana kamalizia vzur sana 💥🔥🔥🔥🔥
Fed q hatar Sana wampe ufalme wa hip-hop tz
Aise fidy ikikosa dar hatulipiiii🙌🙌
Sichok kumwangaliaa fid q 🔥🔥🔥🔥
Huyu ndie anafanya show sio wale wa backplay harafu kwenye mitandao nikujisifu nimeua kumbe umezingua ila Wana tumekuvumilia tu ujui tu ulikuwa unaturusha
Nakubali manigga fid
Salute Kaka fareed kubanda
Meaning of hiphop
Cet homme est un feu devorant.
Mwanza mmenjoy sanaaaa
Huyu fid Q wallah namkubali sana
Huyu fidQ bdo hana mpinzan kweny rap
Sure man
Respect kwake Kaka Ngosha🙌
Fareed kubanda....Hili ndio banda la hip hop...staminaaaaaa!!!
Bro anajua bwana🔥🔥🔥
Hajawai kosea huyu jamaa huwa naenjoy sana ninapo msikiliza pia nasoma kupitia yeye
Good sana ngosha live band mpaka raha nashangaa wasanii wengine band ipo wanashindwa kuitumia
Fid Q ni King basi tu hapewi heshima yake
Kama fid q ni king na professor Jay utamwitaje maana kila msanii anampa anakwambia professor Jay Jay ndo Jayanti mwenyewe katika gem
Huo ni matazamo wako na huu ni mtizamo wangu
Hii ndo show sio show za piga keleleee
My best hip hop artists ever
the swagaga don
the Rock city native
Ng'wanamalūndī
Mbuzi level zingine
Bonge moja la show 😊
This is amazing live hip hop music performance. Respect @fidq @cloudsmedia
Kinyamwezi san joe
Siku uyo stamina wakimpandisha na Roma mwaka huu nahisi kesho yake watazika mamia kwa pressure 🔥🔥🔥
Respect toka Congo RDC
Fid Q the real Ngosha, Ni motooooooooooo
Nyie hamna Kama Fid Kumamae
Daaa fd ameuwaaa
Ngosha tangu zamani...@USINIKUBALI HARAKA FEAT TONYA MOOTO MZEEE
Alafu utakuta mtoto wa juzi unajiita GOAT watoto wa juzi tulieni mjifunze kwa the real GOAT
We ndo
♡ G.O.A.T♡
☆FARID QUBANDA☆
Kibonge km kibonge
De real Goat in de indrstry
Kenya tunata msanii kama huyu si zile fujo za kayole😂😂😂😂kayombotole
Mzeeeee Mbuzi Aiseeeeee
this is really hip hop
Weeeeeeeeeeeeee fid Q jamani live bend imetulia aiseweeeeee umeuuuwaaaaaaa
Long live Fid🔥🔥🔥
😅😅😅nomasana man
Let's keep the good music alive
Fid will stil Fid Tu, The Definition of the real Mc
napenda saaana
Greatest of all time #NGOSHA
The Most Top Elite Hip Hop Artist In Africa 🔥🔥🔥
Respect to the OG @ Fid Q 🔥
Fariiiiiid ❤🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
Mwanza mwanza
Yule dogo wa kwanza na stamina wametisha 😂