AY, MWANA FA WADONDOSHA SHOW KALI USIKU WA HESHIMA YA BONGO FLAVA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 апр 2024
  • AY, MWANA FA WADONDOSHA SHOW KALI USIKU WA HESHIMA YA BONGO FLAVA
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
    Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 210

  • @juniorsaranga5671
    @juniorsaranga5671 Месяц назад +2

    FA pumzi ndogo, ana sahau lyrics and he runs out of energy sooner than expected. AY is fit, energetic and more alive on stage hazugi na story nyingi. Kwenye live performance na style AY ✔️ ila uandishi FA. Love to see them both, respect

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 Месяц назад +7

    Ingependeza sana Grazy JK angetokea kama Suprise

  • @lawrancejosephat7387
    @lawrancejosephat7387 Месяц назад +6

    Obviously, Ay was so talented tongue twisted 🙌🏿🙌🏿

  • @KelvinFrank-ru7yr
    @KelvinFrank-ru7yr Месяц назад +3

    Huwa naanzaga na AY niulizwapo kuusu wasaniii more respect brother 🇹🇿

  • @DanyEnto
    @DanyEnto Месяц назад +15

    Mara pah! Sikumoja FA ..prezdar 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥afu tunaruka nae kwenye heshima ya bongo flava ya kwanza 😂😂😂😂😂

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 Месяц назад +10

    Hizi ndio show sasa. Wasanii wa bongo wanakwambiaa Sema woooooyo woooo wooo

    • @MusaNamkumbe
      @MusaNamkumbe Месяц назад

      Ni cousiiiiine😹😹 sio mazeeee

  • @GoodluckLameck-nh9tq
    @GoodluckLameck-nh9tq Месяц назад +1

    Show Kali nimeipenda

  • @AliHassan-fy6zk
    @AliHassan-fy6zk Месяц назад +1

    Big up brother FA na AY Mungu awajaze upendo

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 Месяц назад +20

    BONGO FLAVA HONOURS inazidi kuwa ya moto tu...

    • @damasmayanja2930
      @damasmayanja2930 Месяц назад +1

      Yeeees jamaaa walipiga Collabo Ile Song ya MTAZAMO , Afande Sele, Prof J na Solo Thang jamaaa waliua vibaya.

    • @makalema
      @makalema Месяц назад

      Inapaswa kuwa ya east africa

    • @makalema
      @makalema Месяц назад

      Wakachukue Hela hapo Kenya zije nchini

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 29 дней назад

    Show imekuwa modern, Waliomo ndani ya hiyo show, i wish wangejua vile we enjoyed during those days when those songs were hitting. We had no coin to buy alcohol, but we enjoyed fully. Habari ndiyo hiyo. Peace.

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 29 дней назад

    Show babu kubwa. Show ingekuwa moto tungeleta wasani wengine wa Bongo Flava. I miss you all. Long Live Bongo Flava. Peace.

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 Месяц назад +5

    Show nzuri sana halafu ni live, i real appreciate this, bigup to AY and MWANA FA

  • @HalfanKimbay-re7zt
    @HalfanKimbay-re7zt Месяц назад +7

    Tulio rudia mara nyingi Ku priview hii video tujuane kwenye like pls🤞

  • @user-zo1ym2te7r
    @user-zo1ym2te7r Месяц назад +4

    Ma rapper wenye hela🎉

  • @mulondakiyomarodriguerodri7261
    @mulondakiyomarodriguerodri7261 26 дней назад

    eshima inarudi mimi congo Rdc na wapenda sana nini wa falme wa bongo fleva ❤❤

  • @user-wv1ls4oh4l
    @user-wv1ls4oh4l Месяц назад +6

    Habari ndioiyooo😂😂 mazeee naskia arufu yaankala😂😂 wee noma aisee👑

    • @ezam255
      @ezam255 Месяц назад

      🔥🔥

  • @user-cq4mz8wn3b
    @user-cq4mz8wn3b Месяц назад +1

    Respect AY AND FA FOR A GOOD PAFORMANCE ONTHE STAGE

  • @user-cu4er9oy2q
    @user-cu4er9oy2q Месяц назад +2

    Mngemuweka na GK pandenoga sanaaaa

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 Месяц назад +1

    Big up sana Wazee

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 Месяц назад +1

    Mnamtenga sn Gk sijapenda kabisa

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch Месяц назад +1

    Wow mbarikiwe❤❤❤❤

  • @thomaskombeunda6470
    @thomaskombeunda6470 28 дней назад

    Sanaa ya Bongo iko level ya juu sana. You can only relate this show with those of akina Dr Dre and Snoop Dogg

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 Месяц назад +3

    waziri usiku ulizidi mpaka mistari ikapotea😂..ila show kubwa🔥🔥

  • @bigc5729
    @bigc5729 Месяц назад +1

    Ay 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 Месяц назад +1

    Kwenye live ni international level

  • @KadTheGenesis
    @KadTheGenesis Месяц назад +3

    Supere✊🏾

  • @saleheabdallah5461
    @saleheabdallah5461 Месяц назад +2

    FA saiv anaanza kupoteza pumzi ya kuimba sio kama zaman saiv amebweteka sana😂

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 Месяц назад +1

    Heshima kubwa Kwa Sugu aka Jongwe kipenzi Cha Wana Mbeya na Tz nzima Kwa ujumla

  • @mlawatanzanitetv-tl8uu
    @mlawatanzanitetv-tl8uu Месяц назад +1

    Igeni mifano watu wa Gospel sound inakelele kama mnataka live sension wajifunze kwa watu wa Gospel ndugu zangu

  • @PhilipoKajange
    @PhilipoKajange Месяц назад

    Leo nikikuona more respect ,we are together broo,tukuyu too far

  • @rashidnadhir1659
    @rashidnadhir1659 Месяц назад +3

    EFM nashauri MJIONGEE kwenye kuchukua VIDEO NA SAUTI, Show nzuri il , sauti na video MBAYA😥

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 Месяц назад +3

    ZAMANI BUANA MZIKI ULIKUWA UNAHESHIMA SAAAANA HATA UGOMVI KUBWA ULIKUWA UNAISHA MAPEMA SIO MPAKA MIAKA 10 PIA INAONYESHA MISTAR YAO ITADUM MILELEL SANAAA

  • @MussaJumanne-gf3hq
    @MussaJumanne-gf3hq Месяц назад +2

    Siasa na muziki😂😂😂samia ndyo nn jukwa la muziki

  • @user-rz9rf8og6q
    @user-rz9rf8og6q Месяц назад +2

    Hii ndio show yangu ya mwaka

  • @HalfanKimbay-re7zt
    @HalfanKimbay-re7zt Месяц назад

    Jamaa kama Sean Kingston Ay Noma Sana mwamba💪

  • @user-px3po9lt8g
    @user-px3po9lt8g Месяц назад +1

    True friends I love I this

  • @miltonmugisha1805
    @miltonmugisha1805 Месяц назад +2

    Wapi King Crazy GK,,, yuko wapi huyu jamaa

  • @mussawambwe5853
    @mussawambwe5853 Месяц назад +2

    Live band Bongo Bado saaaaaaaaana....

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад +1

      Kunahitajika kuongeza vifa vya kazi kweli

    • @amosmwangela1878
      @amosmwangela1878 Месяц назад +1

      Unadhani. Waongeze kitu gani ili kufikia mahali pazuri?

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад

      @@amosmwangela1878
      Speaker nzuri na microfone zenye uwezo mzuri. Kwenye Sound bado tunasuwasuwa

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 29 дней назад

    Haaaaaa, haaaaaaaaaa, Habari ndiyo. I miss and it reminds me my days. If you have time, please enjoy fully. Peace.

  • @user-zs8nj8ij4q
    @user-zs8nj8ij4q Месяц назад

    Noma sana

  • @ntullyjanga33
    @ntullyjanga33 20 дней назад

    Ana pumzi A.Y

  • @tomsijohni
    @tomsijohni Месяц назад +3

    Mbona sijaelewa kabisa apo ni mahali ya show sia kuongelea abari ya serikali 😂😂

    • @ananiambalai4783
      @ananiambalai4783 Месяц назад

      huyo ni waziri hajaenda kama msanii sana sana kaenda kama waziri

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 Месяц назад +1

    Marafiki w kweliii ndo hawa😊

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 Месяц назад +1

    Two proud 🦾🦾🦾

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Месяц назад

    nimesikia BEAT ya Easy skanking YA Bob Marley tu.....hayo mengine nawaachia

  • @mariustebuka1648
    @mariustebuka1648 Месяц назад +1

    Huyu Scooby na cap yake ya kijani 😂😂😂 Huwa yupo Kila party na show 🙌

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 Месяц назад

    pesa haijaenda bure🙌🙌🙌sio ukut wamnaz pga kelelee

  • @voiceofhopearushatz1878
    @voiceofhopearushatz1878 Месяц назад +1

    Hiz ndivyo namna inatakiwa kufanya show live guys waambieni wale Kina dai

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 Месяц назад +50

    Kwani lazima kwenye kila kitu mumtaje Samia? Sasa hapo samia kahusikaje wakati show imeandaliwa na sugu? Hapo sugu ndo wa kupewa maua

    • @ferouzkeis6994
      @ferouzkeis6994 Месяц назад +7

      Samia ndo raisi wewe, atatajwa kila Mahali hadi upumulie juu

    • @dingi-vk1tu
      @dingi-vk1tu Месяц назад +4

      Ni unafiki wa kitanzania na tamaduni za kipumbavu za kulinda matumbo

    • @allykwaya
      @allykwaya Месяц назад

      Watanzania wanafiki na kujipendeza

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 Месяц назад +4

      @@ferouzkeis6994 😂😂😂😂aloo nimecheka japo nami siungi mkono ccm. Hapo Samia lazima atajwe maana FA popote alipo ni kwa hisani ya Mhe. Rais

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh Месяц назад +1

      Exact unakuta kila kitu mama samia hii nchi kwa uchawa haiwezekani

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 Месяц назад +5

    Hii ilikuwa collabo Kali kuliko!! Halafu kulikuwa na prof J,Afande sele na Solo thang. Halafu Kuna Ile ya wahuni wa temeke.

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 Месяц назад +1

      Hizo ni balaaa ni best hiphop collabo of all time

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 Месяц назад

      @@mugadimon3563 yaani zile ngoma za kuanzia 2000-2004,zikipigwa Leo ni balaa hazichuji.

    • @ZakahModise
      @ZakahModise Месяц назад +1

      Oya mziki zamani ulikuwa mtamu sana ndomana mpaka leo ngoma zao zikipingwa aziishi amu

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 Месяц назад +1

      @@ZakahModise wanamuziki wengi wa zamani ni very talented kuliko wa sasa

  • @godwinmrema8239
    @godwinmrema8239 Месяц назад

    Appreciation for Musician

  • @DavidChristopherVeronica
    @DavidChristopherVeronica Месяц назад

    Duhhh nooma sana Bongoflava honours

  • @user-dx8bk9oj4g
    @user-dx8bk9oj4g Месяц назад +1

    Tanzania legend

  • @Kombs-cr2mj
    @Kombs-cr2mj Месяц назад

    Only PROF JAY, AY, FA, FID and CHID ndo wanafanya hiphop show in a pro form, and not only hiphop bjt every genre

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 Месяц назад +1

    HAWA NDIO WASANII AISEE , VICHWA HIVI HUWA VINAPOTEAJE KUANZIA WAPI

  • @mackpinno10
    @mackpinno10 Месяц назад +1

    Kukosekana kwa GK 😢😢😢cyo pow

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Месяц назад

    Nawapachika majina Mwana FA j,z AY paff dady

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад +2

    Dah hawa watu ni marafiki jamani

  • @DikelediAnnaLetsitsa
    @DikelediAnnaLetsitsa Месяц назад

    Daa hiki kizazi ni hatari sana kwa mziki ,mnatukumbusha mbali sana yaani .sio ujinga wa sasa wa mziki hakuna hata meseji. hicho kilikuwa kizazi cha mziki kweli kweli.

  • @user-xz6qb5cb1y
    @user-xz6qb5cb1y Месяц назад

    Ay heshima kwako. Sugu heshima kwako.

  • @godlistenmuro9313
    @godlistenmuro9313 Месяц назад

    Legends of the game 🎉🎉🎉

  • @paschalcleophace9628
    @paschalcleophace9628 Месяц назад

    Video sio nzuri na sauti ipo low quality 🤔🤔🤔 but show qariii

  • @THEEaglz
    @THEEaglz Месяц назад

    Nakubalii maniga funiko

  • @ndegeofficial9928
    @ndegeofficial9928 Месяц назад +1

    🎉🎉🎉❤

  • @boxdad
    @boxdad Месяц назад +2

    Mheshimiwa anazingua pumzi imekata kwa pesa za wananchi

  • @josephmasebo9448
    @josephmasebo9448 Месяц назад

    Masta zee

  • @fedrickwilliam1721
    @fedrickwilliam1721 3 дня назад

    Olol

  • @barakamwangeni6589
    @barakamwangeni6589 Месяц назад +1

    Natamani sana ndoto hii itimie wawili hawa kuingi ktk uwaziri 2025. Hakika itatimia

    • @dingi-vk1tu
      @dingi-vk1tu Месяц назад

      Lol mentality za kibongo ovyo Sana Yaani badala ya Wewe kutokuwa na dream zako unatamani dream za wenzio only in Africa 😂😂😂

  • @YusuphRamadhani-yc3vj
    @YusuphRamadhani-yc3vj Месяц назад +1

    Nooumah sana

  • @user-qq2oc4bt3i
    @user-qq2oc4bt3i Месяц назад

    Gk..sikuizi haonekani...kwani yupo wapi..?? By Mr okay 1time

  • @benardsebastian7396
    @benardsebastian7396 Месяц назад

    Sema mwanetu katisha snaa mwana fa

  • @agreymwakapila7695
    @agreymwakapila7695 Месяц назад

    🔥🔥🔥

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 Месяц назад

    Ay katisha sna

  • @MrMpillyKassim
    @MrMpillyKassim Месяц назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @erickmsaki9383
    @erickmsaki9383 Месяц назад

    Respect sana

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Месяц назад

    Show kali haina fujo!

  • @saidjuma9885
    @saidjuma9885 Месяц назад

    I love Hip-hop

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 Месяц назад

    17:25-18:10, 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌👑

  • @edypirlo8968
    @edypirlo8968 Месяц назад

    Big up

  • @user-nq4md3sj6d
    @user-nq4md3sj6d Месяц назад +1

    Trust me bongo flava haijawahi tokea colabo ya kutisha zaidi ya AY & FA na sidhani kama itatokea tena SIJUI

    • @SUPERMANAGERVIBEZ
      @SUPERMANAGERVIBEZ Месяц назад +1

      SIKUBALIANI NA WEWE KUMBUKA PROFESSOR JAY FT AFANDE SELE NA SOLO THANG NGOMA YAO MTAZAMO THIS SUPER MANAGER FROM KIGALI RWANDA NAFUATILIA MZIKI MZURI WA WAKONGWE

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 Месяц назад

      Labda amemaanisha kundi la watu wawili.

  • @kenrifambi
    @kenrifambi Месяц назад

    Hii show siku izi iko Efm

  • @makalema
    @makalema Месяц назад

    Inapaswa kufanya East Africa Tour

  • @mzurulaji4081
    @mzurulaji4081 Месяц назад

    Hao ndo wasanii wangu

  • @user-ty8lf1gs6n
    @user-ty8lf1gs6n Месяц назад

    Amekosa king gk

  • @hongerakimbwala8650
    @hongerakimbwala8650 Месяц назад

    Hatari cna..... Au and fa

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 Месяц назад +1

    Unyaaama tupu vitu live

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 Месяц назад

    Msituuzie nchi yetu kwa waarabu.. na kuhamisha wamasai kwa nguvu..!

  • @jumazahoro3537
    @jumazahoro3537 Месяц назад

    Sa hv haicmamiwi na wasafi

  • @AmusedAstronomicalModel-lq3yu
    @AmusedAstronomicalModel-lq3yu Месяц назад

    Suguuuuuuuuuuuuuuuuuuu waheshimishe wanaaaaaaaaa..........wape mashavu

  • @nicokamily1749
    @nicokamily1749 Месяц назад

    Scooby ni noma

  • @madevaketajajr5041
    @madevaketajajr5041 Месяц назад +1

    Gk Yuko wap

  • @AbuuBinally
    @AbuuBinally Месяц назад

    Yan sio FA na sio AY Hili ni neno AFYA Yan Hawa watu ndio bongo flever yenyee

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki Месяц назад

    YAANI UKIWAANGALIA FA NA AY UNAJUA URAFIKI WAO NI WA DHATI

  • @officialkilaga3608
    @officialkilaga3608 Месяц назад

    Wapi Gk

  • @carcrazyhub
    @carcrazyhub Месяц назад +1

    Mwana Fa kama vile anamslow down mwenzie hivi

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 Месяц назад

    FA kasahau lyrics 😝

  • @erickmbilinyi2056
    @erickmbilinyi2056 Месяц назад

    Hii ni kubwa kuliko

  • @Nass.N2a
    @Nass.N2a Месяц назад

    Yuko wapi crazy Gk

  • @gaspersam1562
    @gaspersam1562 Месяц назад

    Whenever family calls you, you show up that's whats FA DID

  • @newswireKenya
    @newswireKenya Месяц назад +1

    ENTERTAINMENT SHOW WEWE UNALETA MAMBO YA SIASA? POLITICS DIVIDED SOMETIMES LET THE FANS ENJOYS AY STOR OF SUCCESS NOTHING MORE.
    MY HONEST OPINION. ................

    • @peterjohn1019
      @peterjohn1019 Месяц назад

      KACHEMKA PAKUBWA SANA HADI NOMA NAONA MIMI