MAAJABU YA RAPPER LIL CHAVES KWENYE VINA MEZANI, NDANI YA CROWN FM, LORD EYEZ AWAACHIA USHAURI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 94

  • @MohamedNgovi
    @MohamedNgovi Месяц назад +5

    Hapo moto umeunguaa duuuh bro unajua hadiii unawajuzaaa

  • @Drfighterofficial
    @Drfighterofficial 2 месяца назад +3

    Daah!! Kizazi sana kbs❤❤natokea 🇨🇩nafurai sana kbs.hata mimi nimrapa

  • @latestuploads06
    @latestuploads06 3 месяца назад +5

    Lets get it🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emmanueljuma5851
    @emmanueljuma5851 3 месяца назад +4

    Lil chaves...... the real coming conquer

  • @h.akarim
    @h.akarim 3 месяца назад +4

    Kali Sana☝️

  • @BlantonNatembea
    @BlantonNatembea Месяц назад +2

    Follow ya kipeke big respect from Nairobi Kenya bro

  • @eryclassictz6011
    @eryclassictz6011 3 месяца назад +4

    Lil Chavez uyu nomaaaaaa aisee

  • @emmanuelntemi531
    @emmanuelntemi531 3 месяца назад +4

    Kwenye verse sidondoki, najitupa 🔥 🔥 🔥

  • @kanunimc4318
    @kanunimc4318 2 месяца назад +3

    Mzee we nooma una vibes sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤

  • @JonahOfficial-d4o
    @JonahOfficial-d4o 3 месяца назад +5

    Unampa chakula, na atakusema kisa majii daaaah mwanangu Tisha sana

  • @abbythebrain7043
    @abbythebrain7043 3 месяца назад +4

    Respect nikupa Brain

  • @agreywilbert272
    @agreywilbert272 3 месяца назад +5

    😂😂jamaa anajua

  • @_mrpanya
    @_mrpanya 3 месяца назад +4

    Mitaaa ina watu ❤❤

  • @michaelmakochal
    @michaelmakochal 3 месяца назад +6

    Ww soo mlango sasa ya nn wahun wakugonge

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 3 месяца назад +4

    Jamaa nimemuelewa yuko vzuri sana

  • @AdaedDeroon
    @AdaedDeroon 3 месяца назад +4

    Big up lil chavezi

  • @yuzzlethe-voiceover8007
    @yuzzlethe-voiceover8007 2 месяца назад +2

    Mchizi anajua mnooo💥💥

  • @godfreymariki4115
    @godfreymariki4115 3 месяца назад +4

    Respect..

  • @patoojonas8519
    @patoojonas8519 2 месяца назад +2

    Sauti nzuri....fireee

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 3 месяца назад +13

    Kwetu hakuna shimo takataka tunamwagia ndani , soma kwanza cuba ndo utaelewa huo mstari

  • @AlphaNsemwa-cj1uy
    @AlphaNsemwa-cj1uy 8 дней назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eryclassictz6011
    @eryclassictz6011 3 месяца назад +5

    Kwa waliopita pitaaa apo ayu the best

  • @lusam7805
    @lusam7805 2 месяца назад +3

    Chavessssssssssss🙌🙌🙌🙌🙌

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 3 месяца назад +4

    Noma sana🔥🔥🔥

  • @amosmallya3994
    @amosmallya3994 2 месяца назад +2

    JINIII 🎉🎉🎉

  • @OCHUMASIHI
    @OCHUMASIHI 3 месяца назад +5

    Qubabake hy mwiteni hapa yl Yong kunya wn cjui

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 2 месяца назад

    Daaaah mamamamamaameeee msenge ni.faya sanaaaaa...this is real hip-hop

  • @jumamgendy6537
    @jumamgendy6537 13 дней назад +1

    Mamaaaaaaaaa

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 3 месяца назад +4

    Jamaa ana flow kali

  • @wapakaya_family
    @wapakaya_family 2 месяца назад +3

    Kazi kazi

  • @davidcharles1641
    @davidcharles1641 2 месяца назад +3

    Oyaaa, ilO ni jini aisee... Ana balaaa

  • @jayfarsaga4935
    @jayfarsaga4935 Месяц назад +1

    Huyu jamaa ni noma aseh😂😂😂😂😂 lil wat😂😂😂😂

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 2 месяца назад +4

    Hiii ya moto sana mchaka mchaka askari 🫡

  • @jephramso
    @jephramso 2 месяца назад +2

    Go Chavez 🚀🚀🚀

  • @BlantonNatembea
    @BlantonNatembea Месяц назад +1

    Raper with big Brian you are my bro big respect once more bro utafika mbali walai mark my true words

  • @yusuphkayoka5452
    @yusuphkayoka5452 2 месяца назад +2

    Daaaah noma sana

  • @AudaxDidace-cr7jg
    @AudaxDidace-cr7jg Месяц назад +1

    Safi 🔥🔥🔥🔥

  • @PRINCEGOLDEN-y6b
    @PRINCEGOLDEN-y6b 2 месяца назад +4

    HIP HOP 4 REAL

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 2 месяца назад +2

    Jamaa mkali 😮😮

  • @edwinasanga7849
    @edwinasanga7849 Месяц назад +1

    Mwamba noma sanaaa

  • @SamwelyElkana
    @SamwelyElkana 22 дня назад +1

    Daah bro Yuko sawa na jina lake ngga Yan hiyo ndio hip tunayohtaji sisi maa men Yan rapp yake sopw kaka

  • @meddymuddy228
    @meddymuddy228 2 месяца назад +2

    Jamaaaa nomaaaaaaaa

  • @abdallazakaria6953
    @abdallazakaria6953 Месяц назад +1

    Lil Chavel is bad news my brothersssss😂😂😂🙌🙌🙌

  • @MohamedMbaga
    @MohamedMbaga 2 месяца назад +4

    LiL Chaves..!yuko ahead of time baab.!Ebwaana eeeheeee..!Dullah mwana anatisha..apewe support atoboeee

  • @FiniasKibiriti-ww6lg
    @FiniasKibiriti-ww6lg 3 месяца назад +4

    Ukipew bit ukashindwa kuchan we syo rapper we ni panya

  • @StanleyMsemwa
    @StanleyMsemwa 2 месяца назад +2

    Nomaaaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @JeremiahMswagela
    @JeremiahMswagela 2 месяца назад +2

    Weee mbaya, noma sana jamaa katisha balaa ... Comment kwa hewa kichwa 🙂‍↔️🙂‍↔️

  • @tanganyikaboy
    @tanganyikaboy 28 дней назад

    Uyu ndio king wa freestyle Kwa Sasa bongo sijaskia no.1.bro

  • @azorindege3583
    @azorindege3583 2 месяца назад +2

    Dulla pls tutafutie MDADA mwenye mzuka mpaka nimemkumbuka frida mizuka kama bisiiii daah huyo demu kapoa mpeni show za ucku

  • @ayoubmartin3741
    @ayoubmartin3741 3 месяца назад +4

    Lil chaves ananikumbusha Geez mabovu

  • @peterluoga3903
    @peterluoga3903 2 месяца назад +1

    Lil Chaves 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @silvertz19
    @silvertz19 3 месяца назад +3

    💯

  • @VidelisiMsigala
    @VidelisiMsigala 10 дней назад +1

    noumaaa

  • @karathajunior6675
    @karathajunior6675 2 месяца назад +2

    Duuh…huyu jamaa anajua saanaa

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 3 месяца назад +4

    God ako juu satan ako chini😅😅

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 2 месяца назад +1

    Lil chaves 🎉🎉

  • @hemedyjuma2410
    @hemedyjuma2410 2 месяца назад +1

    Unyamaaa

  • @jumamgendy6537
    @jumamgendy6537 Месяц назад +1

    Huyu jamaaa motooo

  • @MckobeMckobe
    @MckobeMckobe 2 месяца назад

    Duuuu bongo noma sana, twenty alisemaga wenye vipaji wengi mafukara

  • @ramatraveller9709
    @ramatraveller9709 Месяц назад

    Kmmk uyu jamaa dunia🔥🔥🔥🔥

  • @OsmanKisibo
    @OsmanKisibo 2 месяца назад +2

    Msalaaaaa😂😂😂

  • @AllyIpombo
    @AllyIpombo 2 месяца назад +2

    Aiseee ni mgold msaidieni aende mjini

  • @NevileMaloba
    @NevileMaloba 2 месяца назад +3

    Nko Qatar mkuu nakuchekiii

  • @AnnurRamadhani-ux6tu
    @AnnurRamadhani-ux6tu Месяц назад +2

    Wewe sio mlango sasa kwanini tukugongeeee......kama hauna D mbili uwelewiii apoooo

  • @Ezdan_tz
    @Ezdan_tz 2 месяца назад +1

    Chaves got 🎉,

  • @MudathirAbdallah-h6r
    @MudathirAbdallah-h6r 2 месяца назад +2

    jamaa anajua sna yaani mpk anakera

  • @NevileMaloba
    @NevileMaloba 2 месяца назад +2

    Mkuuu walaiii hyo floooooooooooo unyamaaaa

  • @KaneOgtzWatuOGGang
    @KaneOgtzWatuOGGang Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @jastinarts
    @jastinarts Месяц назад

    Nimependa alivyokuja smart sana

  • @YusuphMohamed-k6s
    @YusuphMohamed-k6s 2 месяца назад +2

    Kanyonga xana

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 месяца назад +4

    Lil Chavez 👽👽👽👽

  • @fadango255-f8d
    @fadango255-f8d 24 дня назад

    🙌🙌

  • @DerickMwakajuja
    @DerickMwakajuja 2 месяца назад +3

    Lil chaves hii michano ni mikali kama nyama

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ Месяц назад +1

    Mwamba anajua

  • @RaphaelKapesa-x6g
    @RaphaelKapesa-x6g 3 месяца назад +4

    Snitch atakusema kisa maji😂

  • @DerickMwakajuja
    @DerickMwakajuja 2 месяца назад +1

    Me ni kamanda ambae si ofii kujaribu kwenye beat sidondoki najitupa

  • @GodfreyOlotu-xi1xb
    @GodfreyOlotu-xi1xb 2 месяца назад +1

    Jama ni hatari

  • @Kingote-tq5ne
    @Kingote-tq5ne 2 месяца назад +3

    Hawatakuita tena unachana adi unakela

  • @HajiMgwami
    @HajiMgwami 2 месяца назад +2

    WANGAPI WANAMJUA SENZO, NAIMANA HATA WATANZAJI HAPO HAWAKUMJUA NI NANI ALIMTAJA BAADA LUCKY DUBE

  • @mauliddanda794
    @mauliddanda794 2 месяца назад

    Stanza vina,jose mtambo

  • @GasperKissend
    @GasperKissend Месяц назад +1

    Real mc🔥🔥

  • @muddykabwe-h5c
    @muddykabwe-h5c 19 дней назад

    ainashaka kautaki weondoka kunamwenzako nilimtongoza akakataa namkuta kwao hakunamsosi anatarajiya kushindanjaaa

  • @HemediAlifa-l4s
    @HemediAlifa-l4s 2 месяца назад +1

    Dogo unajua mpaka unakela

  • @AmosPedeshee-gn7gc
    @AmosPedeshee-gn7gc 3 месяца назад +4

    Dog hatari snaaaaaaa tz labda mawenge upo wap njoo bwana

  • @HaidaryCaxanovah
    @HaidaryCaxanovah 2 месяца назад +1

    Mleteeeni boshoo huyu jamaaa

  • @JeftaMzuma
    @JeftaMzuma 19 дней назад

    Ukitaka kujua rap sio yenu nyie vichwa panzi msikilize Lil Chaves Rudini Shule nyie maana huwez elewa verse usiposcan your brain

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 месяца назад +5

    Lil Chavez 👽👽👽👽