The industry : LORD EYEZ - MARAPA HAWA WANA 'PHD' KASORO AFANDE SELE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 17

  • @boniphace1
    @boniphace1 2 месяца назад +1

    Afande Sele is the top class hip hop artist

  • @mcndeu984
    @mcndeu984 3 месяца назад +1

    Namkubali sana lord from n.2.n to weusiiiiiii🎉🎉

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 3 месяца назад +3

    Afande alishawai kusema hawafanyi hiphop mzk wao hauelewi ndio maana huyo kamtoa afande sele.

  • @godsson5954
    @godsson5954 3 месяца назад +3

    When talent(g nako)meet genius(Nikki wa pili)meet joh makini(good business)meet the street credibility (lord eyes)= Hip Hop success

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 2 месяца назад +1

      lord eyez anaharibiwa na hao wapuuzi uliowataja.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 месяца назад +2

    Hakuna kama Mfalme Afande Sele, no way he is the living legend, atakufa na taji lake la Mfalme wa Rhymes. And he deserved

    • @boniphace1
      @boniphace1 2 месяца назад

      Bado wana kataa huu ukweli

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona 3 месяца назад +1

    Amjamuliza swali Moja , je wanachukuliaje swala la Fido vato kumchalazia joh makin!?

  • @khalidibero
    @khalidibero 3 месяца назад +2

    Kuna elimu inahitajika kujua tofauti ya Hip Hop na Rap.

    • @BabuuWakitaa-pb6gr
      @BabuuWakitaa-pb6gr 2 месяца назад

      Briefly....HIP HOP ni vile unavyoishi na RAP ni kile unachofanya

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 месяца назад +1

      Hip hop ni utamaduni na imani ya maisha ya kweli na harakati unaotambulishwa na mavazi ,na wenye nguzo kama dj, black dancers , mc's na graffiti .

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 2 месяца назад

      Hujatofautisha na rap​@@fahadfaraj6474

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 2 месяца назад

    Lord Eyez ni msanii mzuri wa hip hop lakini kina Gnako na Joe Makini wamemharibu sana anaimba ujinga sana siku hizi.😢

  • @africangorilla12
    @africangorilla12 2 месяца назад

    lord eyes hahahahahahahahahahahaha

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 месяца назад

    Lord Eyes hapo kwenye piano sikubaliani naye huo muziki umeletwa kuvunja joint ya African music hizo sound zimeletwa kwa makusudi kuharibu tamaduni zetu Africa isiwe na vibe moja. We ujiulizi muziki unachezwa kama mazombi?

  • @manenolugome934
    @manenolugome934 3 месяца назад

    Mnafanya ndio catalogue wakati biff hazijengi😂😂😂 kingmsindi akili nyingi mno endeleeni na bifu zenu tu.

  • @kassimmtepele5986
    @kassimmtepele5986 2 месяца назад +1

    G-Nako, one of the overrated artists ndani ya Tanzania