CHEKECHE || Nini kifanyike vita ya Urusi na Ukraine imalizike 25/02/2023
HTML-код
- Опубликовано: 26 сен 2024
- Zaidi ya watu 8,000 wamefariki dunia kufuatia vita kati ya Urusi na Ukraine huku zaidi ya watu 13,000 wakijeruhiwa.
Je, mwaka mmoja wa vita ya Urusi na Ukraine una maana gani kwa usalama wa dunia na athari za kiuchumi kwa ujumla.
Moses Mohamed anaungana na wachambuzi wa kimataifa AbdulAziz Jaad, Abdulshakur Aboud na Maggid Mjengwa kujadili mwaka mmoja wa vita hivyo.
Mbona marekani hakueheshimu Iraq,libiya, na siria
Chekeche ni vibaraka
Kama uyu alianza apo mwnzon anaonysh Kama urus ndio anakosa wakt wmghlb ndio walianza n waktngnz urfk w kinfki
Abdul Aziz yupo very good katika uchambuzi,
acha zelensik aue watu wake ipo siku atakumbuka aangalie Libya na ilaq
Mbona vita vya libya,Palestina,Kongo,Iraq na Afghanistani hamukuweka Chekeche Mnatumika vibaya Acheni ushoga Sisi hayatuusu.
Urusi hajavamia anafanya operation kuwaondoa vibaka ambao walitaka kuweka bezi
Mimi napenda kiduku hamtupie nyuklia Amerika
Urusi apigani na ukren anapigana na nato na marekani au hamjui hilo
Kivipi?
@@leonardgodliver9043 marekani anapeleka siraha pamoja na jeshi kisirisiri hvyo vifalu si vinapekwa na jeshi
Ahaaah Afaghastan, Iraq na Vietem Urusi na China wlipeleka pia silaha je Marekani alipigana na Urusi na China?
Mbona hamzungumzii wenye Marekani ime uwa?
Imewaelewa africa tupo Russia kiuhalisia
Urusi anatufaa kuriko hawa watoa misaada yakuidunisha afirika
Namshauri Putin aongeze mashambulizi makali zaidi
AZAM MNAANZA KUWA MNATUMIKA.... na MASHOGA
Siku nyingi tu wanatumika. Waislamu wazima wamevaa upunguwani
Mnaogopa msifukuzwe kazi zenu , ila ukweli hupu, Marekani na kundi lake wamekosea esabu, Putin ata waibisha sana poleni sana kwa ujinga wenu.
Azam mnaanza kuwa mnatumika na mashoga wa magharibi
Jamaa wa Uingereza amechambua vizuri sana
Libya na Iraq alipokuwa wanatandikwa mlikuwa wapi chkecheo? Palestina anapigiwa Kila siku mko wapi? Migogoro yote dunian chanzo ni marekan na washirka wake!!
Mnatumika
Zeleksi ni kibaraka wa marekani na nato
Vita baina ya Ukraine na Urusi imekwisha na Ukraine imeshindwa. Vita Sasa ni Marekani na NATO dhidi ya Urusi. Ikumbukwe Urusi haikuvamia Ukraine lakini ni kujilinda usalama wake. Hii ni tofauti na Uvamizi wa Marekani huko Mashariki ya Kati na Yugoslavia Cambodia.
Zelensky ni kibaraka na amewekwa pale na Marekani sio na wa Ukraine. Kinachosikitisha ni Azam TV kujiingiza na kusema huu ni Uvamizi na kuwa upande wa Mashoga.
Umesema jambo nzuri sana
Mh,Putin, very good, tunahitaji ile mipango ya urusi kutumia kemikali dhidi ya ukrein ifanyike kwa haraka ili NATO na marekani waelewe uwepo wao ni upi? Na anae sema kua urusi kaivamia ukrein anakosea Kama kavamiwa mbona anajiandaa na mapigano au mbona anajihami
Usubirie wapeke hivo vifaru mianne na ndege miambili kisha Urisi apige Nyuki tu
Aboud inatakiwa kujuwa kuwa ukraine ni sehemu ya warusi mipaka ni uwaduwi wa kisiyasa wa wamerika na mabwana zao kutoka ulaya
Tunamuombea putini achukue ukrein yote
Putin piga hao washenzi wametuulia gadafi
Matekani kavamia libya mbona hamkusema🤣
Mashoga hawa mzee
Urusi hapigani na ukraine anapigana na NATO na marekani.. wapo mamluki kibao wa magharibi wanaisaidia Ukraine
Nyingi nivibalaka vyamarekani
Nikwann ukreine nasio palestina sriya libya afghanistan iraq kwanni ukreine wanaipgania sana lakin israel anashambulia sriya juz
Ubeberu ni tatizo la Dunia linavunja amani ya Dunia, ubeberu unanyonga haki za wanyonge duniani, ubeberu ufikie tamati utokomezwe kakita USO wa dunia
Awaongei ukwer awa jamaa urs kaingia vtn sabbu n urfk w knafk w maghlb walkuwa wana weka mashush wngi kptia ukrein ili wzd kuiangsh Urus awa sem ayo awa jama wasfkli watu awaelew kbsa
Vita iendeleee
Kwa mara ya kwanza mmechambua hali halisi ya usalama wa Dunia na uchumi wake. Ni kweli kabisa UN kurekebishwa na EU wajitambue kwamba wanamnufaisha Marekani bila kujali hali zao hio ni kwasababu pengine ni woga au nyuma ya pazia kuna mambo baina ya marekani na viongozi wa eu.
Suluhuaho ni muhimu na mabadiliko ya sura ya UN yawe kweli kwa nchi zote bila upendeleo.
Uchambuzi mzuri saana.
UN ni umoja wa marekani na washirka wake nahaupo kwa amani ya ulimwengu
Nyinyi ni WA kwanza na mtaendelea kuwa hivyo katika uchambuzi wa mambo
Kila zelensk anachoongea anaandaliwa na marekani anatumika kama wakala wa Nato
Mgogoro utaisha pale urusi atakapo chukua nchi yote ya ukrain au zelensk afe au akimbie nchi
Azam ni vibaraka wa Marekani hawa
Nyinyi mliwahi kuikemea marekani kwa nchi alizovamia? Vibaraka nyie sitizami twna
Kwahiyo na nyie Azam Bado mpo upande wa Ukraine?
Maana huyo mwanamke digest ya VOA, BBC, na CNN.
Waandishi kuweni makini kuchambua mambo siyo usiku mzima unamsikiliza Diamond na Konde Asubuhi umesikiliza BBC mbio kuzungumzia vita.
Tambueni mchango wa historia, nani mchokozi na mikataba ikoje. Si vema kujifanya umarekani umewazidi na kununuliwa Kisha unajikita tayari mchambuzi.
Taratibi tu mmeanza kuisoma namba vzur mwanzon mlikuwa mnashadadia Sana marekani na kuona urusi si chochote saiv mmeanza kuwa neutral na maana ya neutral ni kwamba mpo upande wa urusi ila mnaona aibu
Himaya ya walaya imekwisha
Hii vita imefikia hatua ya point of no return ..maana urusi kashachukua mikoa 4 aliyokua anaitaka na kashapitisha kwenye katiba kwamba at iachia ata kwa kumwaga dam .. na ukraine anaona nyuma kuna nguvu kubwa ya ulaya inataka kumsaidia kukuomboa maeneo yake..
So solution ya hii vita ikifika hii level huwaga ni kifo ..maana diplomasia haiwez kabisa
Manake ni urusi Sasa aaamue rasimi kutumia nguvu zake zote kuipiga ukraine kifo Kibaya incase atumie nuclear ili isichukue muda
Then kama ulaya na MAREKANI watatak kulipa basi itakua vita ya 3 y dunia..then watakufa watu wengi then vita itaisha maana kila lenye mwanzo linamwisho..na dunia itaingia kwenye Mizuno mingine mipya
Nipe abari muchambuzi imasiku unatuima mahabari
MUNGU akupe nguvu Mrusi ,wametaka wenyewe kwakukeuka mikataba. Hao waliouwawa ni kidogo sana wauwe kama samaki, maana hao ni watu kama wanaouwawa palestina Somalia Congo Msumbiji LIBIA. na wanaosababisha ni haohao wamarekani uingereza na natoyake. ASANTE PUTIN HURAAAAA.
Uvamizi wa Putin hautafanikiwa bendera ya Ukraine inaruka na kupepea Kila mahali
Naomba marekani ikong'ote
Sasa mkisema watoto ili iweje ?
Abdul aziz jaad nimekubal uchambuz wako .
Kumbe na nyie ni vibaraka wa marekani ...
Pongezi shakuru ,ndio ushaurihuo
Kakwambia nani kama wanasuhisha vita ao ndio wachochea urusi inapigwa na ulimwengu marekani azimio lake limetimia kuimaliza umoja wasoviet
Hapakuwepo usaidizi wowote wakati waisrael wanapo ya wapalastine na wa Israel wanapo ipiga Syria inakuaje leo tunawekewa hichi kipindi pale Urusi inapofanya operation ya kijeshi Ukraine? Azam nyinyi ni waafrika sio wamarekani na Wala Mashoga.
Oyaa wanzngua awa chekecheke
Pumbavu nyie chekeche upumbavu Tanzania team Putin
Marekani anamuogopa urusi hajui aanze vp
Finland na Sweden kaogezeka inamaana Gani kwa Urussi
Hizi hazina shida ni nchi ndogo tu
@@evaristmbuya6220 USSR Iko wapi naona tu NATO ikiongozwa na Marekani na kuzindi kupanuka Hadi nchi zilizokuwa USSR sasa tena ni Wana NATO kikamilifu kama vile hii inamaana Urussi ni nchi iliyoshindwa kiushwawishi kavamia nchi Moja nchi mbili zimekaribishwa NATO
Ukraine tunaslaa mpyaa tuko vzur
changamoto
Huyo mchambuzi wa miwani kidogo amenikosha .kwamba kipigwe kichapo Cha ukweri ili waingie mezani
Zama za washenz zimekwisha tunamtaka putin
Wanajitekenya wancheka haha
Kindly bring people who can make sense
Maana gani kuleta watu
Saf san zelenky
"Kulaani uvamizi wa Putin"
Kwenu Congo mbona hamkulani kipindi kumevamiwa mjinga sana
Ukren itashinda
Kweli kabisa
Nina wasiwasi na media hii. Inawezekana ikawa ni kibaraka wa magharibi.
Wnafkli ss atfatilii mambo awa Jamaaa wnzngua
Ukweli nikwabwa wasomi wanamapungufu makubwa nisawa na mtu anae okota huwezi kumshauli kwasababu kapaniki kama mtu mwenye hasira paka ziishe kunaubinadam nashelia sisi tusio wasomi tunatumia ubinadamu kiongozi wetu nimngu wanaotumia Shelia kiongozi wao shetani sisi ambao hatuna usomi lilikuwa swala dogo tu mlusi alitakiwa apewe haki yake haki yake naloho zawatu zilizomwagika na kujifanyia mnajua haki zabinadam kuliko masilahi ata ambae hakusoma anawashangaa nyinyi wasomi kwahekima zenu .
Mwambien zelenzick aache ujinga nchi inachukuliwa halafu mnamuita shujaa kama unaakri huwezikusifia ujinga wanamna hii
Mimi kinachosikitisha nikwamba ulaya yenye mataufa yaliotawala dunia tena kwanguvu yakiitawala mpaka hiyo U S A leo yamekua mateka wa U S A inasikitisha sana vita hivi nivya marekani wala sio vya ulaya ni marekani na Urussi hao ndo wanaweza wakaamua vita viishe lini
Jaad uko sawa bora urusi ipige kipigo cha mbwa koko ili wamarekan watie adabu
Munaongelea bya ulaya mnahacha kuongelea bya Africa hvi vya urusi na Ukrainian binabahusi nini? Amuko sawa na ninyi
Kwangu me wauane tuu maana hawa magharibi na ulaya wamezoea kutuonea sisi waafrica walimuua Gaddafi na hakuna kiongizi wa Africa wala wa ulaya aliyeikosoa nato na marekani kwa uvamizi wake leo mjadala mkubwa wa nini acha waone jinsi Africa wanavyoteseka na vita wanavyovichochea wenyewe we angalia Libya, Congo Afghanistan Iraq na nnchi zingine zenye vita je mbona hakuna anayetoa hyo misaada kama wanayoitoa kwa Ukraine 🇺🇦
Azam nao mashoga sasa
Hii ni vita kubwa na tusipoangalia inaweza kuwa chanzo cha vita ya 3 ya dunia coz ata vita zote za dunia zilianza kama masihala hivi hivi ..