Nina mengi matatizo hadi kila mda ni machozi yananitoka Allah anifanyie wepesi nitumie hii dua kumwomba Allah anifungulie na kila maitaji anifanyie njia Amen austadhi Asante sana Allah akujalie Maisha marefu inshallah jazakumlakheri 🙏🎉❤
Ya hayyu ya qayum birhmtika Ya hayyu ya qayum birhmtika astghilli aflihillii tahlli kulllhu wltkilli illa nfshi tarafathini aflihillii tahlli kulllhu wltkilli illa nfshi tarafathaiini
Mniwie radhi lakini mashekhe wengi wa dini yetu huwa wanazunguka sana na maneno mengi kabla ya kuongea point. Jitahidini kuzungumza haraka na kufikisha ujumbe kwa maneno machache ambayo muumin atayakumbuka. Wa hadha salaam
Jazakillah khiry baadalkheir janaat Firdausi shekh tafadhali tunaomba utuandikie dua hii kwenye comment tafadhali ili nasi tupat kuongoka kwa dua hii insha'Allah
Asante Allah kunitoa ukristu nakuniingiza uislamu😢😢😢
Honger sana
Mashallah
MashaAllah
Wow Mashallah
Mashallah tabarai Allah ❤karibu sana Allah akupe kher kila ukivuta pumzi in shaa Allah
In shaa Allah asante mwenyezi mungu ninaomba ukanitengenezee mambo yangu yote hapa duniani allah
YAA HAYYU YAA QAYYOOM BI RAHMATIKA ASTAGHEETH ASLIN LEE SHA'NEE KULLAHU WA LAD TAKILNI ILAA NASFSI TARFATA AYNIN
Jazaqalahu khayra waminkum❤❤❤
Nina mengi matatizo hadi kila mda ni machozi yananitoka Allah anifanyie wepesi nitumie hii dua kumwomba Allah anifungulie na kila maitaji anifanyie njia Amen austadhi Asante sana Allah akujalie Maisha marefu inshallah jazakumlakheri 🙏🎉❤
Shukran sana sheikh abuu hii Dua inasaidiya sana❤❤🙏🙏
Mashallah Allahu Akbar
Kweli shekhe mimi mimeisoma leo na nimejifungua salama salimin
MashaAllah ALLAH akupe kher dadangu akulinde wewe pamoja na mwanao kutokana na kila la shari inshaAllah❤❤
MASHAA ALLAH
shukrain shekh wetu ALLAH akupe afya njema umre mrefu kwa kutufuza ALLAH akulipe kheri zisizo na khesabu THUMMA AMIN 🤲🏼
Shukran shekh wet jazaqallah khyr Allah akuzidishie umri mref na weny manufaa in-shaa-allah
Mashaallah shukrani sheikh wangu kwa ufafanuzi wako mimi nilikua najisomea tu napenda lakini sikujua izo faida zake alhamdulillah alhamdulillah Shukrani kasila
MashaAlla Allah akulipe kheri hapa duniani na kesho akhera
Shukran jazaka Allahu khaira
Nashkuru ustadhi wetu hii duwa inanisedia sana mungu akujalie la Kila laheri🤲🤲🤲
Mashaallah , Asante shekhe kwa kutufundisha,Allah akup umri mrefu, inshallah 🙏🙏
YA HAYYU YA QAYYUM, BI RAHMATIKA, ASTAGHIITH, ASLIH LEE, SHA'NII KULLAHU, WALAA TAKILNI, ILA NAFSIH TARFATA AYN.
Shukran
Shukran ALLAH! Atufanyie wepes
Assante.Alhamdulillah.shekheumenisaidia sana naomba mungu aniwezeshe kuifanyia kazi.
Shukran sheikh allah akulipe kila la kheri
Shukrani ya ustadh hiyo dua imenisaidia sana
Amiin yaarabi Amiin yaarabi ❤❤❤
HA HAYYU YA QAYYOUM BI RAHMATIKA ASTAGHETHU ASLIH LEE SHA'AN KULLAHU WALATAKILNI ILAA NAFSI TWARFATA AYNIN
JAZAAKALLAHU KHAYRI SHEIKH WETU,
ZIDI KUTUFIKISHIYA NA MENGINE MENGI TU MAZURI, ALLAH ATAKULIPA NA WEWE MENGI YALIO YA KHERI " IN SHAA ALLAH. SHUKRAN
Shekhe hii unasoma kwa kwa idadi gani
Baraka Allahu fiiQ Yaa Akhiiy.
MashaAllah Allah akulinde shekhe wetu Kwa kila hatua
Waanti kadhaalik nawe pia mashaallah
Kaka angu mungu akuzidishie
Shukran sana kwa dua yako Allah akujazi kheir
Jazakallahu kheyran
Shukran JAZAKALLAH KHEIR.
Mashallah sheikh uzidi kutufundisha Zaid Allah akupe umri
Waanti kadhaalik nawe pia
Shirkan shekh masha allah 12:47
Sheeran Allah akufanyie wepesi
Mashallah from Mozambique
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
Shukran jazakAllah ukheri
MaashaAllah,Allah akulipe kila lakheri
Sheikh shukran kwa ukumbusho
Shukran pia inshaallah
Shukran sheik Jazakka Allahu kher 🙏
جزاك الله خيرا كثيرا طيبا
Shukrani shekhe Allah akuhifadhi uzidi kutupa elim zaidi ningeomba shekhe wangu hiyo dua ungeiandika pia ningefurah zaidi
يا حي يا قيم برحمتك أستغيث اصلح لى شأني كله ولاتكلني الى نفسي طرفت عين
Asalamu alykm warahmatulah wabarakatu, Kazak laah kuhara,naomba ilete dua hizi kiarabu inshaallah
Shukran ya sheikh
Allah akulip kheri sanaaa shekh wng 😭😭
Mashaallah tabarak Allah
Masha Allah
Mashallah mashallah Shekha wetu Allah akuifaz inshallah
Masha Allah Allah akupe kila la kheri shekhe
Jazaakallah khayran
Allahuakbar
Mashuwa mugu akuepushe na hasdii v
Mashaallah shehe Allah akuhifadhi
Shukran usthadhi 🤲
JAZAKA-ALLAH- KHEIR
Mashallah mashallah shekh wet
Ya hayum Ya qayuum
Shukrn sn allah ukupe umri sheikh
JAZAAKA LLAHU LLKHAYR
Shukran jakallah
Maasha allah tabarak Rahman
Shukrani MJA wa ALLAH
Shkrn jazllah😊
Asante shekhe
Asante pia naww
MASH 🅰llah
Mashallh shkrn shekh unaisoma mar ngp hy
Shukran❤❤
mashaallah maalim
MASHA ALLAH.
Mashallah
MashaAllah Dua Mujarab❤
Amissi kagoma
Shukran ma asalaam
Maashallah
Jazakhalakheir
Ya hayyu ya qayum birahmatika astaghith
Shukran
Amiiin Amiiiin Amiiin
Shukran shekh
May Allah bless you more.thanks very much sheikhe.
Mashaallah
Ya hayyu ya qayum birhmtika Ya hayyu ya qayum birhmtika astghilli aflihillii tahlli kulllhu wltkilli illa nfshi tarafathini aflihillii tahlli kulllhu wltkilli illa nfshi tarafathaiini
Shukrani
Mashaaalaah
Mashaalla
SHUKRANI sana Shk naomba kujua hiyo dua unaisoma mara ngapi au unataangulia kufanya nini kabla ya kuisoma.
SHUKRANI sana
Mashaalah
MashaAllah
Mashaallah
Unaisoma marangap shehe
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh masha allah
Walaykum salam.mashaallah
Naomba uniandikiye iyo duwa kwenye maandishi insha allah allah atakulipa 🤝
YAA HAYYU YAA QAYYUM
BIRAHMATIKA ASTAGHIITHU ASLIH LII SHAA NII KULLAHU WALAA TAKILNII ILAA NAFSIHII TWARAFATA AININ
Sheikh tartib y kuomba Dua ungetupa tartib. Tu isome ktk. Swala, za, Sunna na, kwa kusoma ukiwa n uradi
Tasbih.
Inshl. Tuoe Faida, Ustazi
@@mudiali4506 unasoma ukiwa waswali swala yoyote ata ukiwa nauradi sawa Ila hio vyovyote Ila nzuri zaidi ukiwa kwenye shida na ukiwa waswali
ya allah
shukran
mashaallah
Mniwie radhi lakini mashekhe wengi wa dini yetu huwa wanazunguka sana na maneno mengi kabla ya kuongea point. Jitahidini kuzungumza haraka na kufikisha ujumbe kwa maneno machache ambayo muumin atayakumbuka. Wa hadha salaam
Shekhe naomba utuandikie tafadhali sana
Asante
Mashallah sheikh bora ungeandika iyo dua kwa screen tuka yisoma nakuyifazi
Assalamu Alaykum warahhmatullahi wabarakat naombeni Kam Kun mtu anaifahamu aniandikie inshaallah plees
Tear iko juu kuna watyu wesha andika
Takbir
Jazakillah khiry baadalkheir janaat Firdausi shekh tafadhali tunaomba utuandikie dua hii kwenye comment tafadhali ili nasi tupat kuongoka kwa dua hii insha'Allah
Shukran nimeandika kwenye coment ya salumu mguru fungua hio coment nimejibu hapo inshaallah tuko pamoja
Dua, Ya hayu ya kayumu birahamika,ara astaghithu, asululili shaini . Walatakini ila nafsi tarfataaini .
Shukran
Shukrani inshallah
Allah akulipe kila la heri mashallah
Sheikh twapenda kuuliza,
Hii dua waweza, kuisoma kwa tartib y swala haja
Na kwa idadi yyeyote?
Inshlah. Tuelekeze!
@@mudiali4506 ndio wasoma kwautakavyo wewe muda wowote haina ratiba ili ukipanga wewe ukitaka kwenye adhkari au kwenye swala haina shida inshaallah
Sheikh shuran
Shukran pia
Shekhe! Namba za sim hazionekani vizuri
Mwenye anaijua kwa kiswahili ani andikie hua napenda kuomba dua kwa kiswahili ndo napata hisia
Samahani shekh naomba niandikie kwenye comment
Kweli binadamu zaifu hatuhimili matatizo
Tuandikia kwakiarabu pia
يا حي يا قيوم بر حمتك استغيث أصلح لي ثاني كله ولا تكلني إلى نفسي طرفة عين