Asante baba mchungaji(mwalimu) mimi ni Fabrice toka kongo nifata hiiih vidéo kiukweli imenigusa nainifunza. Asante baba kwa huduma mungu akubariki baba mchungaji
Kanisa linaishia mlango wa 5 kitabu cha ufunuo dhiki inaanza mlango wa 6 hapo Neema inaondoka, hebu leta andiko linalosema kanisa litaingia kwenye dhiki
Mungu atusaidie kwa ili tuweze kuyashinda majalibu ya shetani
Asante baba mchungaji(mwalimu) mimi ni Fabrice toka kongo nifata hiiih vidéo kiukweli imenigusa nainifunza. Asante baba kwa huduma mungu akubariki baba mchungaji
Ndugu mumbbereka sika asante sana kuniombea. Karibu sana tuendelee kujifunza.
Asante san baba kwa mafundisho yako ubarikiwe
Waaaaaaoooo Barikiwa Sanaaaaaa Mchungaji.
Amen Barikiwa Sana
Neno la Mungu,kwa wanopotea ni upuuzi. Lakini kwa wanaookolewa ni nguvu yake.
Asante mzee wangu
Ubarikiwe sana mtumishi
Ndugu Patrick asante sana kunitia moyo.
no 2 sijaelewa mtumishi
Mtumishi endelea kujifunza umeenda halaka please
Uongo tu zee zimaaa wakala wa shetani😂😂😂😂😂
Kwann mnatundanganya
Mafundisho dhaifu... Biblia imeandika wazi kabisa.... Namba itawakuta wakristo, kitabu xha ufunuo
Kanisa linaishia mlango wa 5 kitabu cha ufunuo dhiki inaanza mlango wa 6 hapo Neema inaondoka, hebu leta andiko linalosema kanisa litaingia kwenye dhiki
Unadanganya, eti kanisa la Mungu likiondoka ndipo 666 utafanya kazi? Eleza maana halisi ya hii namba Acha kuepaepa, na iwapo hujui uliza uambiwe
Duh! Hebu tupe elimu kidogo
Weye mwenyewe ni shetani hakuamini kama Mungu ni umoja na hana mtoto
Namjua anaye sababisha utukane, ni yule baba wa uongo, Mwaini Yesu atakuokoa.
Swali 666 ni nini tafasili yake ? Na kirefu chake n nini
Asante kwa maombi mtumishi.
John mogosi hujui kitu. Kila andiko ukisoma unaiona sabato. Soma (Yeremia 31;-31-32)