Asante sana my dear😊 Nashukuru pia kwa kuangalia mumy, kama hujasubscribe bado naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Kwa Tz sijui my dear ila nadhani ukienda kwenye maduka makubwa ya vyakula unaweza kupata, Maggi inaongeza ladha tu kwenye mboga. Unaweza ukauliza Maggi au Cubes. Asante wa support dear🙏🏾❤
nice meal nmeipenda. pia nina swali...tangawizi na swaumu zako huwa unazifanyaje?? maana zinakuwaga very smooth kiasi hata ukipika utapata tu ladha, hamna lumps. please share your trick
Aaaaawww!!! Asante my dear... Huwa nasaga mpz kwa blender na huwa naweka maji ya kutosha ili zisagike vizuri. Nashukuru sana kwa support yako my dear👏🏾❤
Mim kwa kwetu buja utumb wa hivo naulia ugali wa muhogo Ahsante dada ila kwet sio kila fas utapat nazi nazi yetu maranying tunatumia karanga zakusagwa kwa mbog zamajan
My God. You cannot speak a word of Kiswahili. Tafadhali jifundishe KISWAHILI kwanza. Hata majina ya vitu kwenye upishi wako huyajui. Masikini. Usinidhaljljshie lugga yangu adhimu tafadhali.
Asante sana dadangu unifundisha kupika ilikuwa sijui kuupika wa Nazi ubarikiwe sana moyoni mwakwo twakupenda sana mpishi wetu
Leo napika hivi .umepika vizuri saaaana
😋😋😋👌inaonesha Tamu sana mpenzi kwa ugali hii rösti la utumbo nice video
Tamu kweli my dear😋😋😋 thanx kipenzi.
Asante dada kw Mafnzo yko naomba kuurza iyo nyimbo inatwate nimeipenda
Asante sana, wimbo unaitwa Usiniache na muimbaji ni Dallarz.
Utumbo wavutia huwo, niupate na ubwabwa wangu loo😋👌
Balaaa🔥🔥🔥 tena ule wali wako wa nazi😋😋😋
Ubarikiwe sana mpenz endelea kutufunza zaidi kwa ujuzi ulonao,mapishi yako ni ya ukweli halafu simple sana
🎉🎉🎉🎉🎉 ubarikiwe
Waaaaawh ahxantee kwa somo dear
Karibu mpz, asante sana na ww kwa support yako na karibu tena🙏🏾❤
Napenda sana kupika
Tamu sana
Asante sana dear🙏🏾❤
Hch cha njan ulichweoka umesem kinaotwaje
Napenda vyakula vyako unapika vyakula vya asili yani sio spice nyingi na upikaji wako naupenda mnoo natamani ngekula huo utumbo kwa kweli
Aaawwww!!!😊😊😊 asante sana my dear pia nashukuru sana kwa support yako👏❤
Eey🔥looks so yummy napenda Sana utumbo kwa ugali sanaaa😋😋
Thanx dear👏❤
Hongera dear,hata kwa macho kinaonekana kuwa ni kitamu sana!unazidi kuniongezea maarifa jikoni!🙌
Asante sana my dear😊 Nashukuru pia kwa kuangalia mumy, kama hujasubscribe bado naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Ivi auez ukachngnya utumbo na matembele na naz
Sijawahi kujaribu dear, unaweza ukajaribu halafu ukaleta mrejesho kwa faida yetu wote dear. Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Salam alekum mm amina chakula kizuri sana napenda sana utumbo
Aaawww!!!🤗 asante sana my dear na pia nashukuru sana kwa support👏🏾❤
Your the best
Thank you my dear👏🏾❤ Your support is appreciated.
Mashallah
Safi sana ni pishi zuri ila hapo Kwa nynya Kwan lazima zote mbili?
daaah jmn 😋😋
❤👏
Unachemka masaa mangapi sasa?
Lovely
Thank you so much for watching and your support🙏🏾
Samahn hyo sjui magi ni nn na naipataje
Yani tamu dear 🤗🤗😍
Kama kawaida yetu,simple receipt...mambo ni mazuri utumbo unavutia dear-👌😍😍😍
😊😊😊 asante mpz wangu sana kwa support yako❤❤❤
Very nice
Thank you dear🙏🏾❤
@@MsBupe huu unavhukua masaa mangapi kuiva na utaujuaje
Dada napenda mafundisho yako ningeomba unipe mawasiliano
mashaallah
Shukrani👏
@@MsBupe asante
lovely work
Thank you so much👏🏾
Maji ndo nn jmn
Jamani mashaallh Kwan Kwan upo wapi shonga asante
Niko Tz best, asante kwa support my👏❤
@@MsBupe powa wangu pamojaa San 🤝🥰
❤❤❤
Salam alekum
Hiyo magi ni nn dea na inapatikana kwenye maduka gani mpenz ?
Kwa Tz sijui my dear ila nadhani ukienda kwenye maduka makubwa ya vyakula unaweza kupata, Maggi inaongeza ladha tu kwenye mboga. Unaweza ukauliza Maggi au Cubes. Asante wa support dear🙏🏾❤
Nice
Thank you👏
Utumbo wa mangoni
mate yanajaa mdomoni dadaaa
😊😊😊 asante mpz❤❤❤
naweza kula kwa spaghetti
Unaweza my dear, nashukuru kwa support yako👏🏾❤
nice meal nmeipenda. pia nina swali...tangawizi na swaumu zako huwa unazifanyaje?? maana zinakuwaga very smooth kiasi hata ukipika utapata tu ladha, hamna lumps. please share your trick
Aaaaawww!!! Asante my dear... Huwa nasaga mpz kwa blender na huwa naweka maji ya kutosha ili zisagike vizuri. Nashukuru sana kwa support yako my dear👏🏾❤
😍😍
yummy dear
Thanx dear.
....... Afu nasikiaga ety ukiwek chmv utumbo wakt wakuchemsha hauivii....ni kwel...
Hata sijui my dear ndio nasikia kwako, mimi naweka kama kawaida. Asante kwa kuangalia👏❤
neylicious_Mollel si kweli my unaiva tu vizuri
Dada naomba kujuwa hiyo magi inasaidia nini
Uko Kama Mimi aise,,,kwanza sijaelewa Magi NI nini ndugu!!!
Hongera sana dada napenda mapishi yako dear
Asante sana😊😊😊 nashukuru sana kwa support yako👏❤
Hiyo magi ina kaz gan samahani na unapata sehem gan
Kwa Tz sijui, ila inaongeza tu ladha... Nadhani ni kama Royco, asante sana kwa support yako dear😋❤
First🙈🔔
Hongera😂😂😂
Mpenzi kwenye nipo uwa napat tangawizi ya unga Je kuna tatizo
Haina shida kabisa, itumie tu.
Mim kwa kwetu buja utumb wa hivo naulia ugali wa muhogo Ahsante dada ila kwet sio kila fas utapat nazi nazi yetu maranying tunatumia karanga zakusagwa kwa mbog zamajan
Oooh!! Sawa sawa my, nashukuru sana kwa support yako👏🏾❤
Recipe nzuri jamn , ngoja nikaunge utumbo wangu nshauchemsha😋
Asante sana my dear🙏🏾❤ natumaini umetoka vizuri.
Hata me napenda huo mzito mzito ndo uko thamh hatari
Kweli kabisa, asante kwa kuangalia👏
Magi niipi umetumia maa
Sio ya Tz mpz... Ila nimetumia ya kuku, asante sana kwa support👏
Ukiwa huna nazi ??
Kama huna usiweke haina shida.
Wa pili Mimi jmn bs natka nikuombe unipikie kitu mama
Niambie my dear, asante kwa support❤
Apo na ugal xx
Ni 🔥🔥🔥 Asante my dear kwa support👏🏾❤ karibu tena na tena.
Na iyo nazi inayo itajika niya ahina gani mpenzi
Yoyote my dear unaweza ukatumia.
B's napenda unavyo jibu maswali unayoulizwa si km wengine maana ukijibu ndo mtu anajifunza zaidi, thanks dearrrrr
Aaaaawww😊😊😊 asante sana my dear na pia nashukuru sana kwa support yako👏❤
No nzuri sana
Ni nzuri
My God. You cannot speak a word of Kiswahili. Tafadhali jifundishe KISWAHILI kwanza. Hata majina ya vitu kwenye upishi wako huyajui. Masikini. Usinidhaljljshie lugga yangu adhimu tafadhali.
Hujawahi kusahau neno wewe? Rudia kusoma comment yako na wewe ujisahihishe, unayejua kiswahili fasaha.
Ubarikiwe sana mpenz endelea kutufunza zaidi kwa ujuzi ulonao,mapishi yako ni ya ukweli halafu simple sana
Amina mpz👏, Barikiwa na wewe my dear. Nashukuru sana kwa support yako mumy❤❤❤