Jinsi ya Kupika Ndizi za Utumbo za Nazi.....S01E52

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 33

  • @nasmachilima9328
    @nasmachilima9328 2 месяца назад

    Hongera sana dada🥰

  • @jaytee2021
    @jaytee2021 5 месяцев назад

    Utumbo mweusi sana huo baby

  • @monakenia4843
    @monakenia4843 3 года назад +1

    Masha Allah Kwa mapishi yako ni mazuri Sana

    • @MsBupe
      @MsBupe  3 года назад

      Asante sana my dear, nashukuru kwa support yako🙏🏾❤

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 4 года назад +2

    Mmm😋😋 tam tam.... @chef asante i will try this

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад

      Asante sana👏🏾 kila la kheri, itatoka bomba sana.

  • @lightnessnasolwa8036
    @lightnessnasolwa8036 4 года назад +2

    Woooh! Ntajaribu tunaomba mapishi ya pizaa plsee

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад

      Asante my dear👏🏾❤, angalia video zangu za nyuma utaona mumy.

  • @anethwilliam1526
    @anethwilliam1526 2 года назад

    Asante sana mamy

  • @agnesndetaramo7209
    @agnesndetaramo7209 4 года назад +1

    Nimezipenda sana mimi huwa napika hivyo hongera sana dada

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад

      Aaaawww!!!🤗 asante sana my, pia nashukuru kwa support yako👏🏾❤

  • @nusramsangi1074
    @nusramsangi1074 9 месяцев назад

    Woow

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 года назад +1

    Ninavyo zitamani na ulivyo zipikia vizuri😋

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад +1

      Aaawww!!! Asante kipenzi👏🏾❤

    • @wizomdanandatz9130
      @wizomdanandatz9130 3 года назад +1

      @@MsBupe my nyimbo inaitwaj

    • @MsBupe
      @MsBupe  3 года назад

      Inaitwa Usiniache na imeimbwa na Dallarz, check link iko chini kwenye video, tena ana nyimbo nyingi nzuri pia waweza ukazicheck.

  • @swaumuhamad5593
    @swaumuhamad5593 3 года назад +1

    Nimeipenda ntapika namm

    • @MsBupe
      @MsBupe  3 года назад

      Nashukuru sana my dear na pia nashukuru kwa support yako na karibu tena🙏🏾😘

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 3 года назад +1

    Salam alekum

  • @collinsdory263
    @collinsdory263 4 года назад +2

    Natamani kipindi kijacho tujifunze kupika uji wa shanga😋😋

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад

      Asante kwa support my dear👏🏾❤ uji wa shanga ndio upi my?

  • @mapishiwithsabrina87
    @mapishiwithsabrina87 4 года назад +1

    Yummy

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад

      Thanx dear👏🏾❤

  • @KhadijasaidSaid-x3x
    @KhadijasaidSaid-x3x Год назад

    Like

  • @augustinolaurent3409
    @augustinolaurent3409 3 года назад +2

    jana nmejaribu hii kitu na mimi ila nazi ilikatikaa.

    • @MsBupe
      @MsBupe  3 года назад

      Sio mbaya wala usijali hata mimi langu lilikatika, asante sana kwa support🙏🏾

  • @wemz785
    @wemz785 3 года назад +1

    Dada huu utumbo ni wa n’gombe or something else?

    • @MsBupe
      @MsBupe  3 года назад +1

      Ni wa ng'ombe ndg yangu.... Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾

  • @monakenia4843
    @monakenia4843 3 года назад

    😋😋😋

  • @Villagelife2024-g3r
    @Villagelife2024-g3r 4 года назад +1

    Yummy

    • @MsBupe
      @MsBupe  4 года назад

      Thanx my dear🥰❤😘