DADA MARRY vs DC MAGOTI: AMTWANGA MASWALI MAZITO - ''NIKALALAMIKE MSUMBIJI? TUNASAHAULIKA''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • DADA MARRY vs DC MAGOTI: AMTWANGA MASWALI MAZITO - ''NIKALALAMIKE MSUMBIJI? TUNASAHAULIKA''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 88

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 6 месяцев назад +8

    Tanzania nchi nzuri sana,DC anaongea na wananchi in a very friendly way.hongera kwake

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 6 месяцев назад +2

      Baada ya makonda nakuja kwa huyu DC. Mzuri

    • @linyamakasim191
      @linyamakasim191 6 месяцев назад

      Uzuri wa huyu ameumbiwa subira pia

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 6 месяцев назад +5

    Mama ❤❤❤ chukua mauayoko🌹🌹🌹🌹

  • @yusuphchimwala4126
    @yusuphchimwala4126 6 месяцев назад +4

    Mama yuko vzr sanaaa 🎉

  • @shaban6644
    @shaban6644 6 месяцев назад +4

    DC Magoti Mungu azidi Kukupa Hekima,

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 6 месяцев назад +1

    Huyu ni miongoni mwa viongozi wazuri nchini wanaweza kuacha alama, Mungu akulinde.

  • @Luvingadecoration
    @Luvingadecoration 6 месяцев назад +8

    Tena huyu ni mama mchumgaji nini 😂

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 6 месяцев назад +4

    Dada mashaallah upo vizuri

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 6 месяцев назад +6

    Huyu dada muuliza maswali alindwe pia ataftiwe nafasi yauongozi nijasiri pia anauchungu namkoa wake pia Kunamama kakaa meza kuu anakitambaa cha njano maneno ya mwanamke mwenzie yamemuuma

  • @OfficialAllytz
    @OfficialAllytz 6 месяцев назад

    Udada ajengewe sanam apo kisalawe 🎉🎉

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 6 месяцев назад +4

    Smart

  • @janemcharo5371
    @janemcharo5371 6 месяцев назад +7

    Mama mchungaji😂😂😂😊

  • @Luvingadecoration
    @Luvingadecoration 6 месяцев назад +4

    Yan kuna wanachi wanaakili jaman huyu dada Yuko vizur hatar

  • @alipipijimmy7605
    @alipipijimmy7605 6 месяцев назад

    SAFI KAKA MAGOTI DC MUNGU AKUBARIKI SANA HONGERA SANA KWA KAZI NZURI

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 6 месяцев назад +2

    Hapo injili inaweza kuwaka mapepo yakatoka kwaa jina la Yesu.

  • @georgelusinde4972
    @georgelusinde4972 6 месяцев назад

    MAGOTI UKIMCHUKUA HUYU DADA KAMA MTENDAJI WAKO, HAKIKA HATA KUANGUSHA' MUNGU ANANISHUHUDIA KUA HUYO DADA NIKIONGOZI MTENDAJI🙏

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 6 месяцев назад +9

    Huyu agombee udiwani, atapita bila upinzani; ikiwezekana atafute jimbo agombee ubunge

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 6 месяцев назад +2

    Wandali na Wanyakyusa siku zote ufahamu wao uko juu.

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 6 месяцев назад +1

    Kisarawe imesahaulika kweli.Lakini mtoto wake Mkuranga inazidi kuendelea kuliko mzazi wake.Huyo Jafo ni mbunge wa siku nyingi lakini anashindwa kufanya harakati za kutosha za kuleta maendeleo. Akijaa kugombea CCM oyeee.Shame with us.

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 6 месяцев назад +5

    DC siyo kweli kwamba Hakuna nchi nzuri kama Tanzania eti kwa sababu kuna majirani wanalisha wenye njaa😂

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 6 месяцев назад

      Rais hajaleta pesa bali walipa kodi ndio wameleta fedha kupitia kodi zao zilizotoka hazina..Samia hana pesa za kujenga barabara

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 6 месяцев назад

      Hongera sana kwa uelewa​@@hamisimuhunzi7916

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 6 месяцев назад +1

    Mungu fundi

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 6 месяцев назад

    Huyu maneno yake kintu hongera unafaa kua mbunge

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 6 месяцев назад +1

    Asante mwanamke mwenzetu Jafo hafai kuwa kiongozi Wallah yaani kwao kupo km mkoani vijijini

    • @shijaenock7638
      @shijaenock7638 6 месяцев назад

      Kwan pwan siyo mkoan? Ni wapi asa au maana ya kusema mkoan huwa unaelewa nn ndgu yetu kisarawe siyo kijijn

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 6 месяцев назад

      @@shijaenock7638 Sasa Kisarawe anatoka Waziri ndy kuwe km vile na ww ht Mkuranga vijijini kuzuri

    • @MlingaSawack45
      @MlingaSawack45 6 месяцев назад

      Mama ingia m4c hapo hapo hata kama elimu hakuna mbn akin msukuma wako bungeni

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 6 месяцев назад

    Siasa

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 месяцев назад +2

    Kabisa kisarawe imesahulika

  • @AbdallahOmari-z4n
    @AbdallahOmari-z4n 6 месяцев назад +1

    Mh! Mama Samia!

  • @SaimonMoren-vw8ys
    @SaimonMoren-vw8ys 6 месяцев назад

    Huyu dada apewe zawadi kabisa

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 6 месяцев назад

    She can be a politician!

    • @ckcollections255
      @ckcollections255 6 месяцев назад

      She might be....she is smart than some of mps...

  • @jordanmwamlima7579
    @jordanmwamlima7579 6 месяцев назад +6

    Mhe.Rais hajaleta hela bali ameidhinisha hela ziletwe huko bwana DC...achaneni na sifa nyingi baadala yake tuisaidie nchi.

    • @AndreaMtitu
      @AndreaMtitu 6 месяцев назад +1

      We mwache dc afanye kazi una ongea nn ww

    • @jordanmwamlima7579
      @jordanmwamlima7579 6 месяцев назад

      @@AndreaMtitu Shits ain't for me, but only sense are for me.

  • @consolataaloycemgumba3735
    @consolataaloycemgumba3735 6 месяцев назад

    🎉

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 6 месяцев назад

    Kimeumana kudadeki 😅😅

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 6 месяцев назад +2

    Huyu binti agombee ubungee

  • @constantinochalle856
    @constantinochalle856 6 месяцев назад

    Big upo boss !

  • @BuddhimanerDhadha
    @BuddhimanerDhadha 6 месяцев назад

    What man uses after he is established is his real character.😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 5 месяцев назад

    unatibu maria.sugu sawa ebutibu mgogoro wa kazimzibwa na wananchi wa DSM tumedhurumiwa aridhi yetu

  • @AbubakaryMizora
    @AbubakaryMizora 6 месяцев назад

    Sisi wapwani serikali imetudharau kila sekta elimu maji barabar

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 6 месяцев назад +1

    Huyo mama namkubali wanawake wa mbeya wanaakili kupita kiasi

  • @HUSSEINALLY-b7f
    @HUSSEINALLY-b7f 6 месяцев назад +4

    Huyu mama anafaa kuwa Mkuu wa wilaya

    • @joshuamsaki7734
      @joshuamsaki7734 6 месяцев назад

      Upo sawa kwanza anajiamini,anafaa kuwa kiongozi anatakiwa kubustiwa kidogo atakuwa mtambo,washauli wa mkuu wa wilaya muangalieni huyo mama kwa jicho la tatu.

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 6 месяцев назад +4

    Huyu mama ni mwinjilist

  • @melvinkanje
    @melvinkanje 6 месяцев назад +2

    Huyu Dada Anajua na Anaweza Apewe Kazi huyu

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 6 месяцев назад

      Mbona Kazi anayo mpaka sasa najua hana mme ila watoto anao hivyo kuwatunza tu ni kazi😂😂😂

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 6 месяцев назад +2

    rais hana pesa pesa Nizenu nyinyi wananchi mama anapesa anafanya biashala ipi

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 6 месяцев назад

    Mnampongeza WA nn wakati anakataza mkaa na gesi yote warisha chukua mabeberu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 месяцев назад +5

    🤔Hii lugha ya wasaidizi kusema Mama kaleta wakati ni fedha za watanzania,inatia ukakasi mno!🤭. Hizi ni kauli za kisiasa zinazopotosha uhalisia na wajibu wa wananchi kugeuzwa kuwa wajibu wa mtu mmoja kufadhili nchi nzima!

    • @josayajohn7324
      @josayajohn7324 6 месяцев назад +1

      Utashi wa kurejesha fedha kwa mlipa kodi ni wakiongozi anayekusanya kodi.
      Anaweza amua kulipa madeni ya nje badala ya kujenga barabara

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 6 месяцев назад +1

    Huyu DC muongo sana kama huna majibu ya uhakika na yakweli usidanganye watu

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 6 месяцев назад +4

    Huyu dada ajengewe mnala hapo kisarawe

  • @barakaabel482
    @barakaabel482 6 месяцев назад

    Magoti lakini na wewe una mikwara inaonekana.

  • @edwarddaniel7459
    @edwarddaniel7459 6 месяцев назад

    Wanawake wa mbeya wna iq kubwa sanaa,mh dc na comrade wangu najua utaliweka sawa mkuu

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 6 месяцев назад +1

    Mama una nguvu

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 6 месяцев назад +1

    Raisi hana hera kabisa mfanya kazi wetu hera anatoa ni za kwake au kodi zetu nyie ndio mnatakiwa mtushukuru sisi kwa kulipa kodi vizuri

  • @sandaymgunyi6268
    @sandaymgunyi6268 6 месяцев назад

    anasitahili Ubunge

  • @festoaidan8955
    @festoaidan8955 6 месяцев назад

    Naomba namba yake nimtumie hela

  • @prophetev.josephatfarasimw8445
    @prophetev.josephatfarasimw8445 6 месяцев назад

    Huyo dada ni mbunge WA kisarawe akigombea apite

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 6 месяцев назад

    Acha siasa ww Fanya kziuongo tuuu

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 6 месяцев назад

    Usiseme Hela ya Samia unatukosea wananchi sema Hela yenu walipa kodi

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 6 месяцев назад +1

    Wekeni lami tuhamie huko. Huku Dar msongamano

  • @MkomboziMwachanga
    @MkomboziMwachanga 6 месяцев назад +2

    dada huyo apewe ubunge

  • @SylvesterAmbokile-ur2vd
    @SylvesterAmbokile-ur2vd 6 месяцев назад

    Ongea kidogo usirefushe sana kuna wengi wanataka kuchangia.

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 6 месяцев назад +2

    Wazaramo na rami wap na wap

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 6 месяцев назад

    Kwan yule mwanamuziki alihamishwa kisarawe?

  • @EdwinRutunda
    @EdwinRutunda 6 месяцев назад +1

    Huyo chadema

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 6 месяцев назад +1

      Mjinga kabisa ww! Umelogwa au!

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад +2

      Umepigwa akili wewe, puuzi kabisa, watu wanataka maendeleo, ccm na chadema vinahusiana je na madai yake

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад

      DC hongera sana kusikiliza changamoto za wananchi safi sana kiongozi

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 6 месяцев назад

      Msamehe hajielew
      ​@@zebedayokatamaduni9676

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 6 месяцев назад

      Ujinga mzigo