DC MAGOTI APANDISHA MZUKA,."Askofu Ukileta Uhuni Nitakushughulikia Kihuni, Sitaki Mchezo Mimi"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 37

  • @maalimjaffar5563
    @maalimjaffar5563 6 месяцев назад +2

    Mwenyezi Mungu awasimamie viongozi kama hawa, waendelee kupiga kazi wawasaidie wananchi wanaodhulumika.

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert 6 месяцев назад +3

    Dc magoti mie nipo bukoba lakin nakukubali sana kazi nzuri

  • @grationkato7658
    @grationkato7658 6 месяцев назад +2

    Makonda,Magoti,Mtaka nawapendaaaaaaa sana

  • @stevenchawala5316
    @stevenchawala5316 6 месяцев назад +4

    Mheshimiwa ana MKWARA et anaruka MEZA 😂😂😂 MAGOT 👍👍👍

  • @amosjmmtimba2949
    @amosjmmtimba2949 6 месяцев назад +1

    U're doing good....walakini wawezaondolewa kama Jerry Slaa..daaah!

  • @jacobnghwani1891
    @jacobnghwani1891 6 месяцев назад

    Kazi nzuri sana hii, kongole, ila watu wanaosema sana bongo hii

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 6 месяцев назад +1

    Magotiiiiiiiii napiga dua hapa uje uhamishiwe kwetu maana unapga kazi sana

  • @HusseinAmiri-pp8dy
    @HusseinAmiri-pp8dy 6 месяцев назад +1

    Well done sasa Mh: Magoti kdgo kwambali naanza kukuelewa elewa

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 6 месяцев назад +1

    Well done DC chapa kazi wasikuchukulie poa

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 6 месяцев назад +3

    😂😂😂😂 huyo jamaaa mwenye mabakamabaka duuuuu!!! Ukikohoa tu umeliwa😂😂

  • @MartinKavishe-o6d
    @MartinKavishe-o6d 6 месяцев назад

    Toka umekuja kisarawe tumepata heshima iliyopotea mheshimiwa Kweli umekuja kutusaidia nakukubali Sana mungu akulinde nipo nawe

  • @EliyaMloy-lf7vp
    @EliyaMloy-lf7vp 6 месяцев назад

    Yan katika vitu ambavyo mtu hutakiwi kujidanganya ni kujiona una mamlaka kuliko Mungu kuleta mapana ya hovyo mbele ya watumishi waliochaguliwa na Mungu hao ni watumishi wa Mwenye Mamlaka isiyowezwa muulize Farao na jeshi lake, muulize sesera na jeshi lake, muulize Goliath na jeshi lake, Muulize Ibilisi shetani na jeshi lake, do politics lkn kuwa na nidhamu kwa Mungu, Mungu hatishiwi Nyau Mzee huyo ni mwisho wa vituo yan hata uwe nani akiamua kukufuta kwenye ramani ya dunia ni jambo la sekunde tu

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid 6 месяцев назад

    Mungu akulnde

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 6 месяцев назад +2

    Umetisha magoti

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 6 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂ee Mungu wangu wewe, eti mzuka umenipanda naweza kuruka meza 😅😅😅😅nimecheka kizembe duh

  • @KanaliWamchongo
    @KanaliWamchongo 2 месяца назад

    Ongelasana

  • @frankhajimatozi3949
    @frankhajimatozi3949 6 месяцев назад

    Dc ninae mpenda Sana kwa kuchapa kazi😅😅😅😅

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 6 месяцев назад

    Uyu jamaa safi sana duu aisee kama ingekua kua wakuu wa wilaya wote wapo ivi mbona nchi ingekua poa sana

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 месяцев назад +2

    Kazi yako ni njema sana nimekufatilia sana unafanya kazi n
    Njema mnoo ila tu namna umemfokea askofu daa na namna uliongea na mashehe nitofauti ....DC KAZI YAKO NI NZURI SANA ILA NI HILO TU KAMA UNAWAONGELESHA MASHEHE KWA UPOLE NA ASKOFU WAONGELESHE HIVYOHIVYO KWAKWELI

  • @salmaramadhan2725
    @salmaramadhan2725 6 месяцев назад +1

    Yaani watu wanazurumiwa...dunia hii.. viongozi hwafanyi kazi..kabisa yaani magoti anavumbua madudu

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 6 месяцев назад

    Yani hivi ndio wanatakiwa wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wanavo takiwa kumsaidia Raisi wetu

  • @KletusChuwa
    @KletusChuwa 6 месяцев назад

    Mbona kama kavaa kihu ...

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 5 месяцев назад

    Kwahiyo wewe ni mhuni siyo?

  • @user13375
    @user13375 6 месяцев назад

    Kisalawe Kumenoga

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 6 месяцев назад

    Fatilia biwanja bya makazi vijepimwa Visegese mwaka wa 10 wamevigawana wanaviuza ghali sana ndio maana visegese haijengeki wala muwekezaji hawaji

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 6 месяцев назад

    Nitaomba endelee nione io mitikasi

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula 6 месяцев назад

      CCM hawataki kisarawe iendelee. Miaka 80 wikaya ipo km kitongoji

  • @Deoathanasmbongo
    @Deoathanasmbongo 6 месяцев назад

    Hatakama kumbe mnashughulikia watu kihuni na si kwamujibu wa sheria?

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 6 месяцев назад

    Huyu dada hapo pembeni ni nani? maana siku zooote namuona hapo pembeni kwa Mkuu